OLE JUU YA DUNIA HAKUNA NCHI ITAKAYO PONA KWA PIGO LINALOKUJA || MWL. AUGUSTINE HB. TENGWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @frankdanford8245
    @frankdanford8245 10 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi wa Mungu nakuombea sana uzidi kubarikiwa na Mungu Baba Aliye Juu….

  • @rehemasuleiman7469
    @rehemasuleiman7469 ปีที่แล้ว +6

    Mtumishi wa Mungu, barikiwa sana,
    Mtumishi ikiwezekana nenda promover TV

    • @tengwatv
      @tengwatv  ปีที่แล้ว +1

      Amen 🙏 tutafanya hivyo mtumishi

    • @catherinenicander7468
      @catherinenicander7468 ปีที่แล้ว

      Mimi najua hakuna nchi yeye maombi kama Tanzania??sawa sio wote lakini maombi yapo:Mungu lazima atatuponya.wataadhibiwa hao tu wanaokwenda kwenye hayo madhabau

  • @SarahKapella-rm2of
    @SarahKapella-rm2of 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu ampe neema mama yetu Rais Samia Suluhu kutangaza Toba nchi nzima na kukutana na watumishi wa mungu Kwa ajili ya kuiweka Sawa nchi.

  • @IbrahimYoshua
    @IbrahimYoshua ปีที่แล้ว

    Mimi na familiya yangu tumekutenda dhambi BWANA,tunakuomba uturehemu BWANA,utuoshe uovu wetu kwa Damu ya BWANA wetu Yesu kristo amen.

  • @victorvenantkaigarula6255
    @victorvenantkaigarula6255 ปีที่แล้ว +5

    Mtumishi nami nimepewa ujumbe huu na Bwana Yesu na amerudia ujumbe huu zaidi ya mara 5:Ujumbe huu ni
    1.Vita ya tatu ya dunia
    2.Janga la njaa
    Pia amenambia Tanzania itapitia kipindi kigumu,Tunaweza kuyaepuka kwa kuomba huruma ya Mungu,kufanya toba.

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 ปีที่แล้ว

      Ameni dhambI zimezidi na YUMULUDIE MUNGU KWA KUTUBU DHAMBI NA kuacha

    • @gemmamwajombe3169
      @gemmamwajombe3169 ปีที่แล้ว

      Mungu tuhurumie tumekutenda dhambi

  • @bibianakiwali1969
    @bibianakiwali1969 ปีที่แล้ว

    Mungu uturehem ss Watanzania

  • @rubensokoine6647
    @rubensokoine6647 ปีที่แล้ว

    Amina mtu wa mungu yanini uovu umezidi Sana Tanzania nabado ghadhabu Ina kuja kubwa kweli Yani mungu atu rehemu sna

  • @catherinemutindi5031
    @catherinemutindi5031 ปีที่แล้ว

    Ya kweli haya kweli tukatumbu yesu hana Mateto nasi.2 nyakati 7 kuanzia Kumi Na tatu Hadi Kumi Na tano.haya usu Dunia nzima Pembe nne Za dunia.asante mtumishi .

  • @rehemaemma2499
    @rehemaemma2499 ปีที่แล้ว +1

    Dunia yte imejaa dhambi tumemsahau mungu

  • @mjumbewaaganoduniani
    @mjumbewaaganoduniani ปีที่แล้ว

    Katiba ya Mungu ni mapenzi yake yatendeke duniani hapangiwi na watu wala hasajiliwi nani atakaye msajiri Mungu na aseme sasa.MJUMBE WA AGANO DUNIANI.NYAMAZENI MBELE ZA MUNGU WA MAJESHI.

  • @aminitu3766
    @aminitu3766 ปีที่แล้ว

    Mungu anatupenda sana vitoto vyake Katika Kristo Yesu !! Nasi tumemjua Baba anatupenda upeo Pendo lake Baba halinakipimo ! Yule mwovu alikwishahukumiwa kwa kifo cha Yesu msalabani Hao unaosema wamekwishahukumiwa !! Maana hawajaamini

    • @ivonaevarista4654
      @ivonaevarista4654 ปีที่แล้ว

      tokaaaaa pepoooooo ndani ya mtu huyu mpotoshaji Mungu Hana vitoto ana watoto kwaiyo acha kupinga neno la Mungu usije ukafa wew.

  • @saramss7262
    @saramss7262 ปีที่แล้ว +2

    ASANTEE SANA mtumishi Bwana akubariki SANA

  • @judithchatila7725
    @judithchatila7725 ปีที่แล้ว

    Mungu aturehemu taifa hili lote, tumemtenda Mungu dhambi, hakuna mwenye haki hata mmoja, wote tumeoza, Mungu akitazama anaona hapana muombezi, tunakwenda wapi taifa, Ee Tanzania mrudie Mungu

  • @LucyNzogo
    @LucyNzogo ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭😭Eh MUNGU unirehem maana nimekutenda dhambi, tuokoe na hili swala la maovu katika hiii yetu🙏🙏🙏tunakulilia wewe BWANA

  • @serenakimigho8449
    @serenakimigho8449 ปีที่แล้ว +1

    I saw this mtumishi be blessed Mungu akutumie

  • @BrianMwamakula-cy2tg
    @BrianMwamakula-cy2tg ปีที่แล้ว +1

    Mungu aturehemu 😭🙏

  • @mjumbewaaganoduniani
    @mjumbewaaganoduniani ปีที่แล้ว

    Si kwa maombi wala kulia bali Neno la wakati tutapona kwa Neno la wakati, na Mjumbe wa agano. Hakuna aliyepewa kufunua siri yote ya Mungu,Tangazeni habari za Mjumbe wa agano duniani.mpatekupona dunia nzima.

  • @mdmahammad3278
    @mdmahammad3278 ปีที่แล้ว

    Mwenyenzi mungu tumushukuru akumuinua

  • @joachim5650
    @joachim5650 ปีที่แล้ว

    Mungu atusaidie watanzania hakika mana tumemsahau mungu twawaza pesaatu.

  • @eliamwashibanda-kd5ph
    @eliamwashibanda-kd5ph ปีที่แล้ว +1

    Tar 5/2/2023 niliambiwa tubuni inakuja dhiki kubwa Sana

  • @wilsonmaregesi8106
    @wilsonmaregesi8106 ปีที่แล้ว +1

    Amina Amina, kheri Yao wale waisikiao sauti ya bwana na kuikili.

  • @neemamhongole2801
    @neemamhongole2801 ปีที่แล้ว +1

    Uko SAHIHI SANA,JAMANI ITANGAZWE JAMANI TUOMBE TOBA!!!

  • @dadafrida9202
    @dadafrida9202 ปีที่แล้ว

    Bwana Yesu Kristo turehemu

  • @liesharehema5193
    @liesharehema5193 ปีที่แล้ว

    Mungu turehemu sana

  • @serenakimigho8449
    @serenakimigho8449 ปีที่แล้ว +6

    😭😭😭chenye wasema mtumishi nilionyeshwa jana nilishindwaa ata kuomba naililia nchi yetew ya kenya Africa mzima na dunia yote

    • @tengwatv
      @tengwatv  ปีที่แล้ว

      Amen Serena Mwangi; namshukuru Mungu kwa kuwa BWANA MUNGU anawaonyesha mambo haya yote! Naomba endelea kusambaza ujjmbe huu kwa Wakenya wote.... 🙏

    • @serenakimigho8449
      @serenakimigho8449 ปีที่แล้ว

      @@tengwatv Amen poster Mungu amekasirika xana na ghadhabu yake inakuja kwa wale wampingao

    • @Neemakilimba
      @Neemakilimba ปีที่แล้ว

      Ulioñeshwa nini mpendwa natamani tuungane kuomba naomba unishirikishe

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 ปีที่แล้ว

      Ni kweli kabisa tulipo Ni PABAYA mno dhambI zimefunika dunia

    • @lillianmwawa2619
      @lillianmwawa2619 ปีที่แล้ว

      Let us pray that mercy

  • @aminitu3766
    @aminitu3766 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna MTU anapigwa hapa Mungu anatupenda sana

    • @elizagregory377
      @elizagregory377 ปีที่แล้ว +1

      Wee kaa hapo ukisema unapendwa na hutubu

    • @paulinakiswaga7505
      @paulinakiswaga7505 ปีที่แล้ว

      Ww leo nmekujibu nadhan utakua umejifunza kitu haya mapigo yameshaanza bado tz kwan hawa libya,comoro,china,london,italy,india,na nchi nyingine Mungu hawapendi acha kushupaza shingo yako kama ww upo sawa mbele za Mungu lia kwaajili ya wengine waokolewe

  • @aminitu3766
    @aminitu3766 ปีที่แล้ว +1

    Kristo alishamaliza kwakifo chake msalabani Na Mungu hakumbuki wala na uovu wao hakumbuki tena Yy ni Baba yetu anatupendaaaaa

    • @marinemodest1798
      @marinemodest1798 ปีที่แล้ว

      MUNGU hakumbuki uovu kivipi! MUNGU anapatiliza uovu wa baba zetu vizazi hata cha nne usipotubu. BWANA YESU alikufa kwa dhabi zetu ndiyo, sasa ndio uendelee na uovu wako?

    • @aminitu3766
      @aminitu3766 ปีที่แล้ว

      @@marinemodest1798
      Yani ww unaishi dunia ya zama za ujinga ndo maa unasema Mungu hupatiliza maovu Mungu alisema atafanya jambo jipya dunia itashangaa ila ww Bado hujajua ni jambo Gani Mungu amefanya ! Baada ya kifo Cha Christo msalaban. Mungu ni Mungu wa Pendo mtafute Mungu wa Pendo sio Mungu wa visasi mtafute Mungu utampata Mungu amekusamehe kabixa kama ww ni mkristo Wala hutakaa ufaNye kosa madam umeamini kaz ya msalaban

  • @saramss7262
    @saramss7262 ปีที่แล้ว

    Aminaa Bwana nimwema akubariki SANA Mtumishi UBARIKIWE UBARIKIWE sana MUNGU Akuzidishiyee sana naumiyaa SANA Mtumishi BWANA Atusaidiyee Aturehem

  • @liesharehema5193
    @liesharehema5193 ปีที่แล้ว

    Nikweli baba yangu hata Mimi Mungu aliniambia tutubu kwa maombi yenye utungu yaani turehemu MUNGU WETU

  • @HappyAnton-yv4ms
    @HappyAnton-yv4ms ปีที่แล้ว +1

    YESU uturehemu katikati ya ghazabu yako kumbuka rehema kumbuka msahama sadaka ya DAMU YA YESU itulipie madeni yote

    • @mwajumahuseni4073
      @mwajumahuseni4073 ปีที่แล้ว

      Mungu atusamehe na atupemacho ya rohoni tuweze kuomba 🙏🙏 Amina 🙏 ubarikiwe mtumishi wa Mungu ubarikiwe

  • @BM_Smart2-6
    @BM_Smart2-6 ปีที่แล้ว

    Mungu aturehemu tuifikie toba ya kweli maana hakuna mwenye uwezo wa kuhimili hasira na hukumu ya BWANA.

  • @biyamunguernest2222
    @biyamunguernest2222 ปีที่แล้ว

    Mungu atusamehe?

  • @abdulmtiba9599
    @abdulmtiba9599 ปีที่แล้ว

    Kama MUNGU alisema kuwa palapanda litalia basi Tuna sibiri tuna ishi kwaneno la Mungu kama Dunian Ina angamia sadaka Mna taka za nini Mungu Tulinde tiali Tuna Tubu Mbingu ZINA sikia Mungu ata Tulinda

  • @agnesmacharia8207
    @agnesmacharia8207 ปีที่แล้ว

    Amen Bwana na haturehem

  • @mjumbewaaganoduniani
    @mjumbewaaganoduniani ปีที่แล้ว

    Mimi ndiye nabii pekee duniani nimepewa NENO LA WAKATI HUU wa ufalme wa mbinguni hapa duniani naomba dunia nzima inyamaze kimya mataifa wajipatie nguvu mpya, watu wengi wanapenda kutangaza mabaya, nipo mjumbe wa agano kufundisha, Neno la wakati dunia nzima itapona kwa Neno la mjumbe wa agano duniani.

  • @joannekesa1835
    @joannekesa1835 ปีที่แล้ว

    Amen ameen MUNGU aturehemu tu wakosefu

  • @Neemakilimba
    @Neemakilimba ปีที่แล้ว +1

    Natamani nisimame katikati ya Dunia nipaze Sauti watu wasikie hili Jambo lakini Mungu ndie wajua shauku yangu

    • @edwardkimaro2103
      @edwardkimaro2103 ปีที่แล้ว

      Hatasikia na kubadilika hata alitokea mjumbe kutoka kuzimu.Watapata ishara ya Yona

    • @elizabethkisawa3407
      @elizabethkisawa3407 ปีที่แล้ว

      Mungu aturehemu.Hafanyi jambo bila kutaarifu au kusema kupitia watumishi wake.Mungu atusaidie atuundie moyo WA toba.Mungu aendelee kukutumia apendavyo.

  • @Neemakilimba
    @Neemakilimba ปีที่แล้ว +1

    Nalilia watoto wangu 😭😭😭Min turehemu

    • @ushindihalisi7917
      @ushindihalisi7917 ปีที่แล้ว

      Huna watoto wewe,watoto BABA Yao ni Muumba,kuwa na amani usitishwe na taarifa za manabii wa uongo.

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 ปีที่แล้ว

    Mungu aturehemu sana baba

  • @mjumbewaaganoduniani
    @mjumbewaaganoduniani ปีที่แล้ว

    Hakuna nabii wa kweli leo wanatimiza unabii wa manabii wengi wa uongo hakuna hata mmoja aliye na kweli ya Mungu ila ni mjumbe wa agano pekee.Neno la Mungu lilifichwa sasa limefunuliwa kwa Mjumbe wa agano pekee.nabii aliye na ndoto na aseme ndoto ambayo ni makapi sio Neno la kweli, Mjumbe wa agano amepewa NGANO NENO LA KWELI.

  • @ThomasUmbe-fc4ky
    @ThomasUmbe-fc4ky ปีที่แล้ว

    😢 Mungu aturehemu

  • @rubensokoine6647
    @rubensokoine6647 ปีที่แล้ว

    Mtumishi mimi mwenyewe nilionaga mna mrefu ila nazidi kupika kelele huku Arusha tupo pamoja

  • @liesharehema5193
    @liesharehema5193 ปีที่แล้ว

    Hata Mimi nilioneshwa ndotoni na nikawa napaza sauti nikisema MUNGU amekasirika na anaenda kuangamiza Dunia. Na nikiwa kwenye maombi jioni Mungu a kaniambia piga magoti nataka kusema na wewe akaanza kuniambia haya haya nahiki kipigo nichadunia nzima MUNGU TUREHEMU uasherati umezidi sana

  • @mariambeyale2215
    @mariambeyale2215 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU aturehemu jamani ujumbe huu ufikie wengi na upate kibali na uzito Kwa Kila mmoja bila kujali cheo chake Wala hadhi....Eee MUNGU turehemu😭😭 tubadili njia zetu

    • @tengwatv
      @tengwatv  ปีที่แล้ว

      Amen, Ubarikiwe sana kwa shauku yako hiyo, Share kwa wengi zaidi ili wazidi kuupata.

    • @ushindihalisi7917
      @ushindihalisi7917 ปีที่แล้ว

      Vitisho tupo salama.

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 ปีที่แล้ว

    Unaongelea matumbo ila naona Tuma kwenye nambaaaaaaaa hiiii hapo sio tumbo

  • @asherydavid3751
    @asherydavid3751 ปีที่แล้ว

    Bwana Yesu turehemu 😭😭😭

  • @doricemrema2177
    @doricemrema2177 ปีที่แล้ว

    BWANA YESU KRISTO, TUREHEMU sisi wakosefu.

  • @rizikivincent5255
    @rizikivincent5255 ปีที่แล้ว +1

    Niajabu kubwa sana kila kukicha wanauhubiriwa mambo ya kuja kuangamizwa kila leo ni sisi waafrika mitandaoni kote wainjilisti wakiafrika hawaesabiki kuonyesha kwamba waalifu ni sisi waafrika tumezidi kuangamizana kwakuwafaidisha wazungu kuzalisha vyakwao nasi tunakuwa ndo watenda kazi wao wazungu awatawaniki kwenye mtandao kuzagaza maubiri kuubiria ndugu zao kwakuwa wao wanajielewa kipi cha kumtumikia mungu pia wao wakihubiri mzigo wote wanautupilia afrika ambako kumejaa uovo wa kuinafki chuki fitina unafki vyote vimejaa kibao ni ole ole kwakutokujitambuwa kumjuwa Mungu mwenyezi

    • @catherinenicander7468
      @catherinenicander7468 ปีที่แล้ว

      Manabii waambie watu kuwa kila mtu anatakiwa toba awe mzungu awe mwafrica lakini kuwatangazia watu mbaya tu hiyo haiwasaidii.je wewe utapona au utatwaliwa????

    • @rehanijuma1421
      @rehanijuma1421 ปีที่แล้ว

      Upo sahihi sisi tupo 😢 😭 bize na unabiii Wenzetu wazungu wanatuangamiza

    • @rehanijuma1421
      @rehanijuma1421 ปีที่แล้ว

      Zumaridi vipi

    • @georgeolekelele5072
      @georgeolekelele5072 ปีที่แล้ว

      Mlit true.manabii wauongo ni wengi sana.wakidanganya watu.kuwauzua maji, anointing oil,vitambaa,vivagio etc.hosea 4:6

  • @ArcoiriscelestialTv
    @ArcoiriscelestialTv ปีที่แล้ว

    its true man of God ,here im crying ,im mozambicain

    • @tengwatv
      @tengwatv  ปีที่แล้ว

      Be blessed man of God .

  • @mercymwasha3993
    @mercymwasha3993 ปีที่แล้ว

    Asiyemuelewa huyu Mtumishi katika haya anayoeleza basi, labda ni akili za watu zimetiwa giza. Mimi nimekuelewa sana Mtumishi wa Mungu. Eee Mungu nisaidie Mimi

    • @tengwatv
      @tengwatv  ปีที่แล้ว

      Amen, Mungu akubariki sana. Tuendelee pia kusambaza kwa wengi ili nao waupate na ili waelewe ni nini Mungu anataka tufanye.

  • @neemakusuhibwa347
    @neemakusuhibwa347 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi ubarikiwe.naomba ujitahidi uendee kwenye vyombo vikubwa vya habari ili jumbe ufike.

    • @tengwatv
      @tengwatv  ปีที่แล้ว

      Amen, Ndio tunashughulikia utaratibu huo mtumishi wa Mungu

    • @ushindihalisi7917
      @ushindihalisi7917 ปีที่แล้ว

      Mnadanganyana na kutiana hofu.Huyo bwana ana hasira Sana.

    • @magrethmwakifuna9792
      @magrethmwakifuna9792 ปีที่แล้ว

      @@tengwatv Mm naomba namba yake ya simu Ili anisaidie namna ya kufanya toba ,maana yeye anaufunuo namna ya kutengeneza.Moyo wangu unataka kupasuka maana Mungu aliniambia nataka uombe kwa ajili ya Tanzania.Aliniambia usiombe kwa ajili ya watoto wako,usiombe kwa ajili yako,omba kwa ajili ya tanzania.

    • @tengwatv
      @tengwatv  ปีที่แล้ว

      @@magrethmwakifuna9792
      Amen mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana kwa kumtii Mungu.
      Namba yangu ni 0678 304 931

  • @stellapaul2442
    @stellapaul2442 ปีที่แล้ว

    Nimesikia na nikaogopa

  • @kulthumbashiru864
    @kulthumbashiru864 ปีที่แล้ว

    Mimi nilishaota zaidi ya mara mbili kunapulizwa Baragum na tunakimbia hovyo hua nikikumbuka naogopa na nnaamini tuko mwisho tunahitaji toba ya kweli

  • @mjumbewaaganoduniani
    @mjumbewaaganoduniani ปีที่แล้ว

    Nipo mjumbe wa agano duniani John Isaya Igumi nipo Tanga Handeni ninawaomba mnipe nafasi ya kufundisha na kuondoa mawazo ya kipumbavu duniani nimepewa NENO LA WAKATI HUU dunia nzima inyamaze kimya mataifa wajipatie nguvu mpya Isaya 41:1-6.

  • @RastaSuma
    @RastaSuma ปีที่แล้ว

    Watanzania mmekuwa wezi na matapeli hadi makanisani na hii kwakua mnaowangoza ni mambumbumbu mtu akishasema mi nabii mnapiga makofi , sadaka hupewa mwiitaji au fakiri nasii wachungaji, huo ni utapeli. Watanzania amkeni na manabii wa uongo haoooo.

  • @jamesmwita4603
    @jamesmwita4603 ปีที่แล้ว

    Ole wenu watumishi mlioheuza huduma zenu na vikao vya mahubiri kuwa biashara. Kuombea watu wenye matatizo mbali mbali siku hizi ni hela, huu sio mpango wa mungu. Vp kuhusu maji ya baraka yanayouzwa kusavisha nyota. Tena kwa gharama kubwa, kama kweli mnamuabudu MUNGU wetu aliyehai na aliyetuumba badilikeni na soma maandiko vizuri mjuue ukweli kuhusu wito wa uteua.

  • @rosemayunga4021
    @rosemayunga4021 ปีที่แล้ว

    Watu wametolewa kafara utazuiaje ajari

  • @Sara-ne3xl
    @Sara-ne3xl ปีที่แล้ว +2

    Yaani haya mtumishi anayoyasema nilionyeshwa zaidi ya mara mbili,vitaaa ambayo hakuna pakukimbilia,kilio kikuu.

  • @peterbujari5128
    @peterbujari5128 ปีที่แล้ว

    Ushindi Msalabani Tv

  • @praxedamkwila8825
    @praxedamkwila8825 ปีที่แล้ว

    Isaya 8;20 na waenende kwa Sheria na ushuhuda ikiwa hawasemi sawa sawa bila shaka kwao hakuna asbuhi

  • @generosakinemo5490
    @generosakinemo5490 ปีที่แล้ว

    Ee Mungu Baba yetu uturehemu

  • @ushindihalisi7917
    @ushindihalisi7917 ปีที่แล้ว

    Unatufokea.

  • @R.mkushi-vo2hn
    @R.mkushi-vo2hn ปีที่แล้ว

    Ezekiel 34 yote inamaelekezo juu yao..

  • @ArcoiriscelestialTv
    @ArcoiriscelestialTv ปีที่แล้ว

    God bless

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 ปีที่แล้ว

    Ni kweli shetani kasika kisu kuchinja na kuharibu watu wanakufa KWA ajali sadaka zatolewa watu wanakufa ktk dhambI AAA Basi mm MUNGU ANIHURUMIE MM

  • @evelema6146
    @evelema6146 ปีที่แล้ว

    Kila anaesema Mungu mnafikiri Yuko sawa.Sasa mfuateni Imani mcimbwa TH-cam muone Kama huyu ni nabii au anaongozwa na shetani. Dini zote chini ya jua ni mawazo ya watu weupe sisi ni watu wa kiroho sio wakidini Amkeni tokeni kwa mablanket kumekuchaaaaaaa

  • @salomechenge3802
    @salomechenge3802 ปีที่แล้ว

    Bariki wa

  • @aminitu3766
    @aminitu3766 ปีที่แล้ว

    Mungu ni Pendo apenda watu

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 ปีที่แล้ว

    Naomba mungu aseme hata kwa ndoto kwa viongozi Hawa wa juu,

    • @georgekauma6432
      @georgekauma6432 ปีที่แล้ว

      Viongozi ndio walioliuza nchi kuzimu na BWANA YESU KRISTO mwenyewe anasema nao sana lakini Wana moyo wa farao.

  • @christophermushendwa9514
    @christophermushendwa9514 ปีที่แล้ว

    Acheni kutisha watu, tabia mbaya tu

  • @ivanbreezy-7970
    @ivanbreezy-7970 ปีที่แล้ว +1

    Kiukweli mm mwenyew niliota ndoto nikama nchi ya Tanzania IPO kwenye vita na nchi ilikua haikaliki xkujua Nini maana yake

  • @nasarostudio2008
    @nasarostudio2008 ปีที่แล้ว

    Ni Bora kuwa mfano Kwa ufundishacho, ukifundisha utiifu kuwa mtiifu kwanza mwenyewe, uaminifu kuwa mwaminifu ww Kwanza

  • @ashelimuhanga5914
    @ashelimuhanga5914 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @peterbujari5128
    @peterbujari5128 ปีที่แล้ว

    Mwalimu nakubaluana na wewe. Bwana Mu gubamesema nami J5 trh 16.02.2023 saa tisa na nusu.

    • @tengwatv
      @tengwatv  ปีที่แล้ว +1

      Bwana anavyozidi kuwaonyesha mambo haya wapendwa wangu, ni kwa ushahidi ili Mungu asiwe na hatia!
      Niwaombe wapendwa katika Bwana; ili kilio chetu kilingane, ni kupiga kelele juu ya nchi, madhabahu zivunjike! Na kufanya toba ya MATENGENEZO.
      SADAKA YAKO NI MUHIMU SANA, ILI UJUMBE HUU UFIKE KWENYE MEDIA ZOTE.
      Mbarikiwe.

    • @peterbujari5128
      @peterbujari5128 ปีที่แล้ว

      @@tengwatv Sijui viongozi wetu kama wanajali. Tafadhari umipata nafasi sikiliza na ya kwangu Ushindi Msalabani Tv. Hapa tumetangaza ibada zote zitakuwa za toba na hazitarukanhewani mpaka mwisho wa mwezi. Mungu akituwrka hai mwezi ujao tutafitane mtumishi

  • @rosemayunga4021
    @rosemayunga4021 ปีที่แล้ว

    Kwani kunamatukio yapi?

  • @hadijamlokakuzenza2146
    @hadijamlokakuzenza2146 ปีที่แล้ว

    Umesema ukwelimtumishi wa mungu

    • @florencecostantine8756
      @florencecostantine8756 ปีที่แล้ว

      Tunaomba Baba Atusamehe tunslia tumeona wakuu wako kimya Baba tusikie

    • @florencecostantine8756
      @florencecostantine8756 ปีที่แล้ว

      Inatiisha sana Baba hata Mimi nimeona gharika ktk ndoto Tuungane kwa maombolezo

  • @GabrielMassawe-sd6yp
    @GabrielMassawe-sd6yp ปีที่แล้ว

    Mbona hakuna tamko rasmi la serikali kukataa hili la ushoga?
    Mtumishi wanena vema watumishi wengi wameiacha kweli na kugeukia utajiri.

  • @janengaga2928
    @janengaga2928 ปีที่แล้ว

    Itakuwa vema mkuu wa nchi na viongozi wengine wajue habari hizi.Tafadhali Mtumishi wa MUNGU tusaidie wajue .Maana wewe ndie kiongozi uliyepewa ujumbe.

  • @Neemakilimba
    @Neemakilimba ปีที่แล้ว

    Mtumishi nenda promova Tv watatangaza ninaimani

  • @jofreykilangila4118
    @jofreykilangila4118 ปีที่แล้ว

    Sasa mnataka sadaka tuwe tunatoa wapi ? Kwaajili ya MUNGU .Maana kutoa ni lazima

    • @joachim5650
      @joachim5650 ปีที่แล้ว

      Ni razima ila tizama sehem utoayo sadaka. Kuna sehem sadaka haistaili kwenda

  • @paulvicent8972
    @paulvicent8972 ปีที่แล้ว

    Mtumishi tufanye nini?

    • @tengwatv
      @tengwatv  ปีที่แล้ว

      Watumishi wa Mungu naombeni mchukuwe namba zangu hapo kwenye video, then nipigi simu kwa what's up ni number
      ÷255 678 304 931
      Na kwanjia ya kawaida pia ni number hiyo hiyo na +255 331 055

    • @dianastemile6976
      @dianastemile6976 ปีที่แล้ว

      Jamani na mimi nimeonyeshwa kwenye ndoto mara mbili leo na juzi matetemeko pamoja na maji Mungu naomba utusamehe😭😭😭😭😭

    • @dianastemile6976
      @dianastemile6976 ปีที่แล้ว

      Tena Dar es salaam

    • @tengwatv
      @tengwatv  ปีที่แล้ว

      Watumishi wa Mungu naombeni mchukuwe namba zangu hapo kwenye video, then nipigi simu kwa what's up ni number
      ÷255 678 304 931
      Na kwanjia ya kawaida pia ni number hiyo hiyo na +255 331 055

    • @florencecostantine8756
      @florencecostantine8756 ปีที่แล้ว

      Kwenye izo midia atatangaza buree jamanii msichanganye habari kuweni ktk Roho Mtakatifu mtaelewa ,

  • @sinzannenmisquee1425
    @sinzannenmisquee1425 ปีที่แล้ว

    Mtumishi tunatakiwa toba ya kitaifa itangazwe haraka na MUNGU atusaidie

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 ปีที่แล้ว

    Naona meza yako Ina neno M.pesa hapo ndo mnapo tupa tabu

  • @niymaedwin4297
    @niymaedwin4297 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭😭

  • @petrosamson2024
    @petrosamson2024 ปีที่แล้ว

    Nabii ni Kwa ajili nchi siyo wa dhehebu tu

    • @georgekauma6432
      @georgekauma6432 ปีที่แล้ว

      Anasema sana juu ya dhehebu na kanisa maana kanisa tu ndilo lenye garama na dhamana mbele za MUNGU mwenyezi wa milele.
      Dini zingine zote hazina nafasi yoyote hata chembe mbele za BWANA MUNGU mkuu mtakatifu milele. Kanisa tu ndo la kusimama mbele za BWANA MUNGU.

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 ปีที่แล้ว

    Utawa wa hapa duniani ni wa shetani

  • @ArcoiriscelestialTv
    @ArcoiriscelestialTv ปีที่แล้ว

    they need mersy

  • @petrosamson2024
    @petrosamson2024 ปีที่แล้ว +1

    Jamani
    Mungu wetu tusaidie kwanini
    Taifa wasitangaze toba Viongozi wa nchi yetu eee
    Mungu tusaidie

    • @rahelpaul3079
      @rahelpaul3079 ปีที่แล้ว

      Wao wenyewe waneokoka ???

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 ปีที่แล้ว +1

      Mmmmh hao VIONGOZI wa taifa WANATAKIWA kwanza waokoke na SS pia tuokoke na tulie na haya madhambi yetu SS na WATOTO wetu

    • @hedwigaolomi3832
      @hedwigaolomi3832 ปีที่แล้ว

      Turehemu Bwana🙏

  • @neemamhongole2801
    @neemamhongole2801 ปีที่แล้ว

    Mbona huwa maombi yanatangazwa na tunaomba, basi hata ktk hili RAIS ATANGAZE JAMANI,MAASI NI MENGI MNO!!

  • @ushindihalisi7917
    @ushindihalisi7917 ปีที่แล้ว

    Kwa mwenye hakika na aliyetuumba Wala hana mashaka,maana yeye amesema hawezi kutuumba akatuacha.Acheni kutishwa na taarifa.

    • @marinemodest1798
      @marinemodest1798 ปีที่แล้ว

      kumbuka sodoma na gomora. kumbuka Nuhu alivyoambiwa tengeneza safina watu walivyokuwa wanamkebehi na kudharau unajua kilichowapata?

  • @Ngalabutoofficial
    @Ngalabutoofficial ปีที่แล้ว

    Amen

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa8728 ปีที่แล้ว

    HAKUNA MANABII KWA SASA

  • @georgekauma6432
    @georgekauma6432 ปีที่แล้ว

    Ndio BWANA. Ni kweli kabisa ujumbe huu Wala hakuna walakini ndani yake.
    Ni kweli muda umeenda sana na hukumu hii umening'inia mlangoni kabisa.
    Lazima Rais Samia aitishe Toba ya kweli kwa taifa na Dunia, lakini hofu giza lilomfunika kwenye kiti chake hakimpi hata nukta moja ya kushituka, na kuchikua hatua.
    Huu ujumbe ni wa uhakika na Amini.

    • @mariamfaicalhassan2890
      @mariamfaicalhassan2890 ปีที่แล้ว

      Samia ni freemaso hawezi utawala huo amepewa na Illuminate

    • @gemmamwajombe3169
      @gemmamwajombe3169 ปีที่แล้ว

      Viongozi wa nchi sikieni tangazeni watu watubu tutaangamia

    • @gemmamwajombe3169
      @gemmamwajombe3169 ปีที่แล้ว

      Mama Samia we ni mkuu wa Machifu yaaani kiongozi wa nchi uanakuwa kiongozi wa kuabudu mashetani je tutaponaje? Utamwongoza Nani ? Utaheshimiwa na Nani? Jiulize mamangu

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 ปีที่แล้ว

    Ni kweli kabisa KWA Sasa watu tunataka utajili wa ajabu Ila twatoa sadaka wenzetu

  • @evelema6146
    @evelema6146 ปีที่แล้ว

    Hakuna kitu hapo. mfuatilie Imani mcimbwa ndio utajua kuwa huyo mzungu anaekuonesha maomo ni pepo la kizungu kristo wa kweli ni mweusi na haumjui sisi weusi ni taifa teule na haujui hakuna ukweli nje ya ukweli ulioletwa na mzaliwa wa pili zouloula 100 je unamjua? MFuatilie Imani mcimbwa TH-cam utaijua ukweli wote uliofichwa na wazungu

  • @emmanuelkube449
    @emmanuelkube449 ปีที่แล้ว

    Nimeangua kilio san juu ya hili jambo, Mngu hachezew wala hachez atapiga amechoka juu ya wanadam

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 ปีที่แล้ว

      Ni kweli tumemuchosha MUNGU NA UZINZI WETU NA UCHAWI WETU NA UONGO WETU NA KANISANI KUMEJAA MADHAMBI AAAA MUNGU ATUSAIDIE

    • @liesharehema5193
      @liesharehema5193 ปีที่แล้ว

      Tutubu kwa machozi

  • @rosemayunga4021
    @rosemayunga4021 ปีที่แล้ว

    Mtoto anayependwa huwa hapigwi

  • @mtumwawabwanayesu7136
    @mtumwawabwanayesu7136 ปีที่แล้ว

    Watanzania bado sana hizi sio akili za kawaida asee, !!!
    Yaani badala msambaziane link wote wapate ujumbe, eti ooh, mtumishi ubarikiwe, mwingine eti ooh, nenda promover, ....ngoja mpigwe akili zenu za kijinga hizo zitakaa sawa tu, stupid dunderheads wakubwa nyie,

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 ปีที่แล้ว

      Wewe unaonekana wokovu wako wa mashaka. Unatukana badala ya kutangaza hizi hbr Ili watu qatubu. Mm Kila ninapopata muda Huwa nawambie watu Kila mm ahali. Haijaliahi hata kzn nawamvia. Na hii hbr ni ya kweli Kwa sbb nimeiona Kwa watumishi watu tofauti waingelea hii hbr Kwa nyakati tofauti

  • @paulvicent8972
    @paulvicent8972 ปีที่แล้ว

    Mtumishi tufanye nini?