Mi huwaga nyimbo za kumuhusu ROHO MTAKATIFU zinanibariki sana na hata mahubiri ya kumuhusu ROHO MTAKATIFU na nguvu zake huwaga nayapenda sana. Tangu nimjue ROHO MTAKATIFU maisha yangu yamebadilika sana... nampenda sana ROHO MTAKATIFU kushinda kitu chochote kile 🙏🙏
Yes Roho Mtakatifu ndio kila kitu, na Mungu amenipa Neema ya Huduma zetu kuongozwa na Roho Mtakatifu, hivyo tutajitahidi kuweka hata mahubiri, na tumekusudia kurusha live mahubiri .
Ni heri kumjua Roho Mtakatifu na kazi zake azitendazo kwa ajili ya kuwakomboa wanadamu kutokana na vifungo mbalimbali. *Ee BWANA Yesu KRISTO utuondolee vifungo vya mwovu shetani*
Descend Esprit de Dieu installe ton règne en nous , sans l'esprit de Dieu nous la proie du diable et des démons , non Père remplit nous de ton Esprit Saint nous sommes tes enfants. Merci prophète et tous les chanteurs. Soyez bénis peuple du Dieu Vivant
Huwez kuona uwepo WA MUNGU bila kua na roho mtakatifu yesu Kristo alituachia huyo awe msaidizi wetu nasikia hata kunena Kwa rugha wimbo mzr Sana : matana laka mentee
Wimbo una nguvu sana za Mungu .Kuna mpiga kinanda namuona jamani anaitwa Samora mwanafunzi mwenzangu ama kweli Mungu huwatoa watu sehemu na kuwafikisha sehemu
Mbarikiwe watu wa Mungu wimbo mzuri
Asante sana karibu na Mungu akubariki sana
Safi sana Mungu awabariki kwa wimbo mzuri wote mpaka wapiga vyombo mko rohoni
Amen sana Mungu akubariki sana
Namini tukisimama kwa maobi yote hinawezekana amen
Mungu aendeleee kubariki n wimbo unaogusa mioyo ya watu
Mi huwaga nyimbo za kumuhusu ROHO MTAKATIFU zinanibariki sana na hata mahubiri ya kumuhusu ROHO MTAKATIFU na nguvu zake huwaga nayapenda sana. Tangu nimjue ROHO MTAKATIFU maisha yangu yamebadilika sana... nampenda sana ROHO MTAKATIFU kushinda kitu chochote kile 🙏🙏
Yes Roho Mtakatifu ndio kila kitu, na Mungu amenipa Neema ya Huduma zetu kuongozwa na Roho Mtakatifu, hivyo tutajitahidi kuweka hata mahubiri, na tumekusudia kurusha live mahubiri .
@@boniphacejanuary3371 mtumishi wa Mungu upo wapi baba nabarikiwa xn
Ni heri kumjua Roho Mtakatifu na kazi zake azitendazo kwa ajili ya kuwakomboa wanadamu kutokana na vifungo mbalimbali. *Ee BWANA Yesu KRISTO utuondolee vifungo vya mwovu shetani*
Ni wimbo mzuriiiii sana Watumishi wa Mungu
Nko
Nafsi yangu ijawe na nguvu zako Nishibishwe na neno lako
hallelujah
nimependa sana wimbo huu muko vizuri sana wàtu wa mungu ❤❤❤❤It very blessed songs
Karibu sana
Nitumie wimbo huu inanibariki sana machoni pa BWANA. Ubarikiwe mno mtumishi
Sawa
Mungu akuinue Zaid na zaid baba yangu boni
Wimbo mzuri sana Mungu awainue,
Am totally blessed with this song,be blessed .
Mungu Awabariki sana nabii wa Mungu
Let God fill us with Holy Spirit in Jesus name
Amennnn barikiwa sana Wana sifa
Amen wimbo wa upako mbarikiwe
Lord save my young sister to deliver well i love her. Twakuhitaji tenda miujiza yako😭😭😭😭😭
Wow thank you,I receive behave her
Amen 🙌 sana Roho mtakatifu shuka ndani yangu
Ewe Roho shuka nina haja nawe❤
Amen shuka roho tuhudumie🎉🎉🎉🎉
Ameen nimebarikiwa sana nahii nyimbo roho wa mungu ananguvu nampenda sana
Amen karibu sana ktk ukurasa huu
Anastahili kuhabudiwa , ROHO mtakatifu shuka ndani mwangu 🙏😭
Amen amen shuka rohowabwana shuku baba niponye Mimi ninakuhitaji 🤚🤚🤚🤚🤚🙏🏻🙏🏻🙏🏻
inainua moyo wangu 🙏🙏
Amen Mungu awatunze wote mnaofuatilia Chanel yangu
It's good to have holy spirit as our teacher
Eee mwenyezi naomba niponye nafsi nakuomba baba wew ni mungu una wezaa
Nina haja nawe mtakatifu shuka roho bwana maishani mwangu
Mungu awabariki, i worship unimove
Mbarikiwe sana watumishi ya Mungu
Hallelujah roho wa Mungu atuongoze
Hakika Roho mtakatifu ndiye Kila kitu katika maisha yangu naupenda Sana huu wimbo
Amen,Mungu ajitukuze ktk maisha yako
Mbarikiwe watumishi wa Mungu, naguswa Sana na huduma hii.
Shuka kwangu robo wa bwana useme nami
Shuka roho wa bwana maishani mwangu 🙏🙏🙏🙏😭😭😭🙌🙌🙌🙌
Ooh hallelujah Roho wa mungu shuka
Mungu awabaeiki kwa wimbo hii merci beaucoup
🧎😭😭😭 Hallelujah wacha roho wa Mungu atawale kwa nafsi zetu kila wakati,,,hii wimbo inanibariki xana
Amen thank you Jesus
Karibu Roho wa bwana.❤
Hallelujah
Shuka baba amen 🙏🙏🙏🙏
ROHO MTAKATIFU shuka w unanguvu
Amen mungu akubariki sana dadangu
🔥🔥🔥🔥,,nafeel kubarikiwa kupitia huu wimbo
Mungu akayabadilishe maisha yako
Congratulations man of God for awesome ministration.
Asantee Sana Pastor Denis , Mungu akubariki Sana
Thanks so so much I’m connected and blessed by this powerful awesome song
Thanks my Dear,stay Connected always with holly spirit.
Shuka roho wa bwana twakuitaji🙏🙏🙏
amina karibu Kenya tena Bukembe tumekumis
Faith nitakuja
Thenk you Jesus
Waau ......I love the song
Amen god bless you worship team
Amen
Nimewapendasanaaa
Karibu sana jaman tunakupenda pia
Roho mtakatifu mtakatifu mtakatifu bwana
Descend Esprit de Dieu installe ton règne en nous , sans l'esprit de Dieu nous la proie du diable et des démons , non Père remplit nous de ton Esprit Saint nous sommes tes enfants. Merci prophète et tous les chanteurs. Soyez bénis peuple du Dieu Vivant
Halleluya Wacha roho wa bwana ishuke...hatuwezi bila roho❤
Amen
Kaz yako njema sana
Asante sana
Na uwepo na roho wa Bwana ushuka ndani ya maisha yetu
Amen
iLike your work really it is nice my god be with you all
Thank you so much 😀
Shuka roho wa Bwana. 🙏🙏
Very powerful man of God b blessed
🙏🙏the powerful of holy sprit 🙏🙏 blessed more servant
Asante sana ndugu yetu kwa huu wimbo Mungu akumbariki❤amina
Amen nashukuru sana vile Mungu anawagusa kupitia huduma hii ya uimbaji
Mbalikiwe nko vizuri sana pia namavazi yenu yamewasitiri vizuri
Asante sana,Mungu akubariki
Huwez kuona uwepo WA MUNGU bila kua na roho mtakatifu yesu Kristo alituachia huyo awe msaidizi wetu nasikia hata kunena Kwa rugha wimbo mzr Sana : matana laka mentee
Amateur roho mtakatifu nisikiapo wimvohuu roho mtakatifu unitokea amina kumbwa
Waoh my God , Mungu akupeleke viwango vingine
Ninapo sikiza hizi wimbo najazwa na wepo wake❤
Barikiwa sana
Spiritual message,be brethren
Amen be blessed
I thanks God
Shuka roho niguse.na mimi mungu awabariki san
Amen Karibu sana
Our God is great breathrens let God be our guider to all
Amen God bless you forever
Powerful gospel songs,God bless u Pastor
Amen Glory be to God
Mungu wa mbinguni awaguse kwa uimbaji wako
Amen Rehema ubarikiwe Sana pia
nice wimbo
Barikiwa Sana Ni wimbo ambao umeugusa moyo wàngu mungu akubariki sana
Amen
My favourite song i swear amen 🙏🙏 when i sing i must feel something
Wow thank you Frida,be touched
Nishukie mm familia yangu ww ndiyo tegemeo langu
AMEN MUNGU AKUSIKIE KILIO CHAKO
Shuka roho wa bwana shuka rohooo mtakatifu
Amen,Mungu akutunze
Aimeeeeni mubalikiweeeeeeee mwenti yoooooo
Amen Hosea karibu
Thanks for blessing my soul
Amen
What a powerful song full of blessing. God bless all.
Nice song
Powerful song, Mbarikiwe sanaaa
Amen utukukufu kwa Mungu alie juu
Shuja yesu tunakuitaji
Amen ,Tunamwitaji Roho wa Mungu siku zote ili atuongoze
Amen pastor
Your welcome Kelvin
It is very touching
Nuru ya Uzima Tv
Nuru ya Uzima
Wajibu Wa mwana mke
Wimbo unagusa aise mbarikiwe sana
Amen karibu sana
Very touching song 🎉
Thank you Glory be to God
God bless you
Shuka ndani yangu roho nakungojea 😢
Mungu aguse maisha yako
Hallelujah amen
Wimbo una nguvu sana za Mungu .Kuna mpiga kinanda namuona jamani anaitwa Samora mwanafunzi mwenzangu ama kweli Mungu huwatoa watu sehemu na kuwafikisha sehemu
Hakika Regina Acha Mungu aitwe Mungu.
Shuka jehova we really need you this time of difficulties 😭😭😭🙏🙏we need you in our hearts baba 🙏🤲
Amen
😭😭😭😭🎤roho wa bwana Una nguvu Sanaa,nitakuabudu milele
Amen Mungu huyu Acha tu tumwabudu
Wonderful 🎉🎉
Very spicy ❤❤
Good song
very touching song. thank you Lord for this choir. Bless them all.
Amen
It,s amazing song
Amen
Shuka roho wa bwana, good song my fellow gospel minister
Ohoooo halheruyah
Napenda sana jaman
This song is a blessing oh my redeemer we need you Holy spirit of God🙏🙏all time
What ablessing song shika Roho wa Bwana tunakuitaji
Come down holy spirit we need you
Thanks for this may God bless you am so blessed trough this song
God bless you all
Thanks just wait for the others