🔴LIVE: MUDA NI: PASS CODE NGUMU ZA KUFUNGUA ULIMWENGU WAKO WA MAFANIKIO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 15

  • @MichaelAbel-m5y
    @MichaelAbel-m5y 3 วันที่ผ่านมา +1

    Hayo ufundishayo siyo Neno la Mungu Tengwa! Injili ni uweza wa Mungu Rum 1:16, hubiri acha propaganda za maneno hayamtukuzi Yesu,Wala hayatabadilisha watu.lnjili ni uzima ;Yoh 17:3--- .Life is knowing according the word of Living God (Gospel).watu hawakuelewi na hawata kuelewa. Amen

    • @MichaelAbel-m5y
      @MichaelAbel-m5y 3 วันที่ผ่านมา

      Maandiko unayatumia siyo mahali pake na ndiyo maana hawakuelewi yanazidi kuwaua,hubili lnjili unapoteza muda bure na hizo propaganda zako ;unachelewesha uamusho,unaumia kwa waliokufa lnje ya Kristo wakati Neno linasema Eb 9:27 ,wewe ni mpinga Kristo,kipofu wewe! Amen

  • @RoseBathlomeyo
    @RoseBathlomeyo 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mataifa yote yatakusanyika mbele zake BWANA mwokozi wakisema BWANA ooooo BWANA ooooo BWANA haleluya BWANA

  • @Veronicaaugustine-nb1vt
    @Veronicaaugustine-nb1vt 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu awatendee mema watumishi wa mungu

  • @RoseBathlomeyo
    @RoseBathlomeyo 5 วันที่ผ่านมา +1

    Ni Mungu mwenyewe

  • @MichaelAbel-m5y
    @MichaelAbel-m5y 2 วันที่ผ่านมา

    Mt 6:33

  • @EliyaKizaofficial
    @EliyaKizaofficial 4 วันที่ผ่านมา +3

    MUNGU AKUBARIKI MFALME TENGWA, KWA UJUMBE HUU MZITO, JUU YA TANZANIA, NA JUU YA ULIMWENGU MZIMA, HELI MWENYE MASKIO YAKUSIKIA MANENO, HAYA KUMBE NI MDA UMEAMLIWA ILI WENYE MACHO WAONE, NA WENYE MASKIO WASIKIE. EMNUGU SAIDIA WATU WAKO, WALIOPO KILA MAHALI WAWEZE KUPATA UJUMBEHUU. AMINA.

    • @tengwatv
      @tengwatv  3 วันที่ผ่านมา

      Amen Mungu akutendee mema mtu wa Mungu. Bwana amekuchagua wewe uweze kuyaelewa mambo haya mazito,
      Basi chukua hatua yaweke katika matendo hayo uliyoyasikia, ungana nasi kwa kujitoa sadaka ili maneno Haya yawafikie na wengine wengi.

  • @TommyKirway
    @TommyKirway 6 วันที่ผ่านมา

    Amina mtumishi ubarikiwe san

  • @MichaelAbel-m5y
    @MichaelAbel-m5y 2 วันที่ผ่านมา

    Mbona mwapotea kwa kutoyajua maandiko! Wala uweza wa Mungu!

  • @queenchristopher1515
    @queenchristopher1515 6 วันที่ผ่านมา +1

    Nimefurahi sn kumuona mama cjawah kumuona tang umeanza harakat za huduma ya uamusho

  • @BerthaMashamba
    @BerthaMashamba 3 วันที่ผ่านมา

    Maneno.nimangusana.kwahaki.za.binadamu.huwezi.kujuwa

  • @SAVETHEGENERATIONFAUNDATION
    @SAVETHEGENERATIONFAUNDATION 5 วันที่ผ่านมา

    ATUKUZWE MUNGU KWA UTUMISHI HUU

  • @BerthaMashamba
    @BerthaMashamba 3 วันที่ผ่านมา

    asente.MFARUM.TENGWA.kwa.maneno.mazito.kutoka.kwambwana..je.tufanye.nini.ili.tuyajue

    • @tengwatv
      @tengwatv  3 วันที่ผ่านมา

      Unachopaswa kufanya tutafute kwa namba zifuatazo 0766 182 718 au 0787 406 230 ili upate kujua yakupasayo kufanya Bwana akubariki sana.