Muheshimiwa Mo naomba mungu akulinde na akupe afya nyema, zaidi tumia mlaka yako kuondoa wanaoikwamisha Simba; Simba ni yetu na tuipende na kuendelea kuijenga
Orodha ya Makocha wa Simba Ndani ya miaka tisa (9) 2018 P. Lenchando 2018 Patric Aussen 2019 S. Vandlobloc 2021 Didier Gomes 2021 Pablo franco 2022 Zolan Mark 2022 Juma Mgunda 2023 Robertino O. 2024 Benchika 2024 Juma Mgunda
Hhhhhhh duuh hamuipati tena yanga wako mbali kiuongozi kimbinu kimipango yani simba nawaonea uruma sana sasa pikipiki ya nini unataka kuwavunja miguu huyo taperi tu mtakuja kulia tena
Mo akupe maisha marefu umepeleka Simba kwenye USO wa Dunia pongezi kwako uskate tamaa Simba nguvu moja
Mo mungu akusaidiye siyowengiwaokutakia maisha marefu🙏🙏🙏
Kila la kher I mo mungu akulinde mno
Mo mungu akubarik uipambanie simba sc
Bosi mo dewjj we hauna baya hongera kwa kuifanya Simba iwe timu tishio barani afrika na nnje ya afrika
Mungu akubariki sana nguvu moja
Naiombea Sana timu yangu ya Simba imarike Tena jmn
mungu akubariki sana akuongesee saidi ila tunaomba usajili wa uhakika 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Rasi wa heshima endelea na moto huo huo Kwa kujali klabu chetu Cha Simba sc ila yote na yote uongozi unatuangusha sana
Muheshimiwa Mo naomba mungu akulinde na akupe afya nyema, zaidi tumia mlaka yako kuondoa wanaoikwamisha Simba; Simba ni yetu na tuipende na kuendelea kuijenga
Hauna baya tajiri
Mungu akubarki kwa kujitoa kwako kiongoz
Tusamini wachezaji wetu
Uko vizuri xana mo
Akulinde aliye juu uyaendelezemaze mazuri ndani ya simba
Boss mo hiyo itakuwa ndio pw Sana kwasaabu tuache kubeba miziga inayoachwa simba nguvu moja
Mungu akusaidie uache kombe la Africa maana tuna aibu miaka miwili hii
Namba shabarara imkuwa tatizo ndio inatuangusha shabarara azogee mbele simba itakuwa tishoo shabarara nichezaji mzuri
Ukifanya kweli nitanunua juic zako za mo extra
Orodha ya
Makocha wa Simba
Ndani ya miaka tisa (9)
2018 P. Lenchando
2018 Patric Aussen
2019 S. Vandlobloc
2021 Didier Gomes
2021 Pablo franco
2022 Zolan Mark
2022 Juma Mgunda
2023 Robertino O.
2024 Benchika
2024 Juma Mgunda
Usali mzuri na nakinga manara nakamati Yao yao ya ufundi, asituharibu Tena wanaturogea wachezaji timu kwa ujumla,
Fanyeni kweli sio munawaongopea madhabiki😂😢😮😅😊❤😂😢😮😅
MO fanya kweri
Waooooooooooooo bosss wambie wape salamu manyani fc
🤧🤧🤧
Yes. Shindana na vigogo. C wengine wanashindana na timu ambazo zishashuka daraja halafu wanajiona wamefika.
Kama kwer tumezamilia kusajir tumuchukue feisal 1:03 umu tusiwe tunacherew kwenye mafanikio
Simba nguvu moja
Naam na iwe ivyo mungu asaidie
Simba Ni noumaa tuta Tisha Sana msimu huu
naipenda sana timuyangu yasimba
Uko vizuri boc
Tuna waomba wamtoe GB64 hana hatia yoyote mnajihalibia bulandi nyie wenyewe SIMBA
Mo fanya vitu hapo SIMBA abaki mhamed huseni,chama,kibuD,malon,ngoma,chasambi,mwenda na ayubu lekieen wenyine wote fukuza
Mungu yupo na wewe sanaaa
Masharaaaa tajiri
Fanya kweli baba.
Asante Rais wetu
Majigambo mengi mwisho wasiku havieleweki
Simba nguvumoja💪💪
Hhhhhhh duuh hamuipati tena yanga wako mbali kiuongozi kimbinu kimipango yani simba nawaonea uruma sana sasa pikipiki ya nini unataka kuwavunja miguu huyo taperi tu mtakuja kulia tena
bodi wawe makini sana kwausajili
Simbaa nguv moj
💪💪💪💪💪💪 simbaaaa
Tunaomba chama nakanda wabakie kwenye kikosi chetu wachezaji shonga mumusajili
Safi 👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Asante sana mkuu
God bless mr presdent of SIMBA we love's more more
Kumama zenu tunataka habar mpya
Hii ya mwaka 2019
Tumechoka namaneno yenu fanyen kwel
Mashallaa
Safi Sana
Siimchezo kbsa
Nguvu moja tupo pamoja
Katika wote hao mwisho wake utakuta ni Jobbe tu wapuuzi sana,,,,yanga anapitia mnapojigamba na usajili wenu WA mdomoni kwa sifa za kijinga
Kweli
Hatare xna
Niyaleo au
The mastes
Acha ujinga hiyo issue ni ya miaka minne iliopita hapa unaileta ya Nini? Tunataka ya Sasa
Good
hivi hii si ya mwaka Jana jamani mbona munatumalizia mb zetu
Miaka minne iliyopita😂
Acha kutufanya mafara
Kened.apshewengne
Simba nguvu moja