AHMED ALLY awanyea "YANGA hakuna walichofanya, UJINGA MTUPU"/ HATUNA CHA KUJIFUNZA timu ya HOVYO"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 25 ก.พ. 2024
- ...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram rickmediatz...
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
----------------------------------------------------------------------------------- - บันเทิง
Interview nzima unaongelea yanga zungumzia timu inafikaje robo kaka umepaniki sana alafu kaka uwezi jibu kila kitu
Zuzu sana hili, halijui majukumu yake ya msingi
Kweli Maumivu ni makali sana aiseee.. almost dakika 9 na sekunde 43 unaiongelea Yanga.
Hujaambiwa kuwafunga waarabu,,, umeambiwa kuwafunga waarabu goli zaidi ya 3
Huo ni ujinga kwani lazima ugunge goli nne soul wamefungwa na, simba 3-0 kwani sio goli nyingi?
Kwa huyu mzungumzaji kuna shida 😂😂 Simba waangalie mtu wa kumuajiri asee 😂😂
Mh wew naw mbona ropo ropo wew jaman
Ila huyu mjinga kweli
Njaa kali
Umepaniki bro
facts meza na mike nazionea huruma
Jamaniiiii pole Ahmed umepanac kaka 😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂bado hujitambui mpaka uongee kikike
Umefika robo 5 je ulishawai kufunga 4 aujafika
Alishafungwa 5 as Vita na 7 Horoya kwa mkapa
😂😂😂😂😂😂 Ahamed bwana tuliza kinyeo baba dawa imewaingia
Wivu tu😂😂😂
Duuh huwez mkuta alikamwe anaongea hivi ,,tuna watu wenyew akili sn Yanga
Akili gani waliyonayo au kupaka brich
Kwanza cyo brich ni bleach😂,halaf acha kupanic bleach imelipaaa mpaka msemee@@user-je7gr4jv8o
Yule anayesema mgunda na andazi unachagua nini? Kweli mahaba mabaya😂
Anatumia nguvu kubwa dah😂😂😂
Na hiyo mikono unayopiga hapo ukitoka uende hospital
Huyu embu apelekwe mirembe aomwe mana simba amekaa kwenye kiti cha simba anaongea habari ya yanga badala a simba hahaha kumekucha akapimwa ahh hii atari
😂😂😂😂 nimecheka mpk nikaumwa kichwa hyo mikono kwl iende hospital
😅😅wivu huooo, we kila cku robot,robo ..........
SUBIR USWEKWE KOROKORONI
Leta mipango ya timu Yako,acha kupanic broo
Sana kaka
Hujawai kumfunga mtu nne yanga pekeake ndianaandika histolia inaumaeee nabado mpaka utasema nne mjomba siombili kajifunze ukatae ukubali lazima utajifunza tu yanga oyeeeeee Simba ziiiiiiiiii
Simba ilimpiga mtu 7 vp ulikuwa haujazaliwa et utopolo wewe
@@PeterMwimanzi-cr1evalikua hajazaliwa kwahy usimshangae labda hajuiii
@@PeterMwimanzi-cr1evNambie mwarabu yupi alikufa 4 kwa mkapa
Mashenzi hayo na malimbukeni hayo
Mbona umepanki Sana.
Sasa mapovu ya nini?mbona hujasema khs 5G ulizofungwa?
Pole
Fact, well said semaji..!!
We pimbi kweli nenda kwenye point tukusaidie nini maana yanga ni nomaaa yanga hoyeeeeeee hoyeeeeeee hoyeeeeeee saluti sana
Mbona unapanic sana broo angalia mipango ya timu yako achana na roho yakukunja
😂😂😂 Bado hujasema nautasema😅😅😅😅
Na huo mdomo wako ndo unakuponza maana mwili upo 2024 ila akili ipo 2017
Umepanic kaka,😂😂😂😂
Mnyama kazeeka
Ahamed ally huna akili ya mpira hats kidogo.yanga hawamdharau simba Bali wanakwambia jifunzeni kwa yanga wachezaji kujituma.wewe unadani Jana ni Leo. Sawa..
Pole bhn kwa maumivu makali ulikuwa unaiombea yanga mabaya imekujib ulivo kuwa huna akilii ss yanga tumekuzalau xan kwa ulopokaji wako wakijinga
Ataachia ushuz huyu jamaa sio kwa kuvurugwa huku daaaaaaah😂😂😂😂😂😂😂
Nimeamini 5nyingi aisee 😂😂
Acha ujinga wako ongelea timu lako bovu huna jipya
Timu ya simba inaponzwa na uyu kinyago we ongea mungu akuzibe mdomo jumamosi unaonekana unapingana mbaka na mungu lopoka tu upingwe alafu ujuwe kuna mungu subilia
We acha shombo uto semaji la caf
Huyu kweli poyoyo
Simba mnatuangusha sana, Usajili wa papatupapatu ndiyo maana mnafeli sana
Sijui kabanwa namavi nyoo
Daah sema kaka unakazi ngumuuu.Kazikazi lkn kazini kwako kuna kazi.
Unalolote
Sawa sawa semajiiiiiiii letuuuu.... Uko sahihi sanaaaaa
Aaah unatia huruma sana
Kumbe maneno ya mashabiki wa timu pinzan yanaweza kuwavuruga viongoz wenu kwel 😂😂😂 nimeamin hiki ni kikundi cha wahuni
Sasa mbona km umepaniki😂😂😂
Ongea yamana bhana
Historia haita wasaidia elezea current issues
Kwann YANGA Sasa
Hahaaaaa hiki kijamaaaa kina mavi kweli aiseeee mpk huruma😊
Ahmed nakukubali!!! Waambie hao wajue ukweli!!!!
Haya nambie manina zako we na Ahmed Ali Sema a leo
Umepanic bro
Kiongoz jitahdi kuongea fact mana ww ndo msemaji usipaniki na kugonga meza
Kwani kinachompanikisha ni nini?!
Rais mwenyewe ambae ndo mamaetu kaipongeza yanga na kuitakia heri ww ni nani wivu tu unakusumbua huna uzalendo ht kdg😂😂😂
Povu 😂😂😂😂😂😂
Lakini ari kunyea tono kwenye mchezo wenu
Pole sana nahisi unachokisema haukisikii
Js soura ndo tim ya kujisifia kuifunga ? Yanga ni moto wewe si mkubwa umetiwa 5 bingwa wa algeria kala 4
😂😂😂😂 hii panic ni tooo much Ali kamwe yupo live huku jamaniiiii
Hivi hapa tunaichambua yanga au tunaandaa mechi ya kumaliza cafcl
Kamuuluze mwandishi aliyeuliza swali
Tabulele Raa!!!
Hili jinga kweli kweli..
Hahahaha, uyu jamaa kweli mjinga!!! Mapepe sana
Tena hata mpira hajawahi kucheza!
Hovyo kabisaaa!!
Nilidhan huwa haskii sifa za Yanga kumbe huwa unasoma comment???
Apo Jasho mpaka kwenye.........😂😂😂 Nguvu nyingi
Ataamka mungu mwema
Kufirwa shida sanaaa
Na wew ulifungwa ngapi
Wewe ni handsome una kila kitu ila umekosa kitu kimoja tuu unatoa sana mate wakati wa kuongea mike za watu hapo zimeloa
Hakuna siku Ahmed Ally umeteseka kwenye interview kujieleza na kuitetea simba kama Leo. Ukitoka hapo lazima wakukande SI Kwa vurugu na mbwembwe hizi.... Yanga mtamuua Ahmed Ally
Semaj sema sema
Mbona kama kapaniki
Ahmed kapanik jamani yanga fire
Huwezi kumlinganisha mwanafunzi wa form one na mwanafunzi wa form 4 ,uto fc Bado sana ,wao ndiyo wajifunze kwa Simba
Unafanana kabisa na Mayele bro.
Waambie hao utopolo mpaka wanazimia hao wageni wa mashindano::utopolo 😂😂😂😂
DAH LEO NSHAPOTEZA MB KUANGALIA UJINGA NGOJA NIANGALIE TOM NA JERRY MM HUYU HAKUNA KITU
Relax bro
Izo robo 5 ushafunga Gali 4 Mara ngapi?
huyu ndiye anawadanganya simba atawachelewesha sana,ongelea simba unapanic kwa yanga haikuhusu,mwanadamu yeyote anajifunza isipokuwa ahmed ally 5:56
Ulipaniki brother, hiyo unazungumzia zamani let us talk currently issue
Mbona kama vile umepanic bro we hamasisha wanasimba. yanga haitaishia robo fainal kila hatua dua saiv ni robo alafu nusu then kilo kaa utulie endelea kujamba jamba hapo nyambaf
Yanga imetajwa mara teilioni elfu 9
Mwangalieni kweli hajajinyea kweli
Bro kapanic vibaya sana
Tujifunge Kwa chekechea sisi
Hii ni ajabu badala ya kuzungumzia mechi ya simba ijayo inakuwaje unaleta historia unatakiwa upewe mshahala nusu maana umekuwa msemaji timu mbili
Akuna anaeweza kila kitu ko kua mtu mzima kaka ongelea maendeleo acha zezeta
acha kuwa mtumbuizaji wa meli ya taitaniki wakati meli inazama.
Wivu mbayaaaa
Mbina kama unamjibu miraji kwani kasema uwongo kama kunavya kujifunza kwa yanga mjifunze kimya kimya arafu yanga mabo yao wanafanya kimyakimya ira Ally mambo ya simba unayaweka wazi sana yafanye yawe privet😢😢😢😢😢😢 viongozi hamuelewani wachezaji wanacheza kimatabaka mnakera simba na viongoz wenu
Simba 1-5 Yanga. Hii ndiyo habari ya kujifunza. Ukiendelea kuchonga next tie pale Chamazi utakufa nyingi zaidi.
Naangalia comment sioni hat mwanasimba mmoja anaemsapot hapa ndio ujue anabwabwaja ujinga duh
Sasa mbona kama uhangaika sana,,
Huna akili kilaza unarudia darasa kila mwaka ovyooo
Punguza hasira bro kwani meza imekosea nini Yanga kiboko yenu bana😅😅😅
Da hyu jamaa sio kaka jadili jambo la maaana acha kuruka ruka hahahaha
Hili Jamaa ni SHOGA, hata ongea yake ya mipasho na vidole juu kama mwanamke😂
Kumbuka hata kuingia makundi kuna ushindi mlipewa na washindani wenu kwa kuwafungia goli kwa bahati mbaya. Sema ukweli ili simba iende mbele.