🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 186

  • @halimamnavi3208
    @halimamnavi3208 2 หลายเดือนก่อน +11

    Kwani Kuna makolo wanateseka wakiwa wapi Jezi nzuri sana kama una wivu jinyonge

  • @DicksonMathayo-h9h
    @DicksonMathayo-h9h 2 หลายเดือนก่อน +13

    Jezi Kali sana yanga tam sana jaman

  • @ronaldissack3338
    @ronaldissack3338 2 หลายเดือนก่อน +16

    Jezi za yanga tamu sana

  • @SophiaPhills
    @SophiaPhills 2 หลายเดือนก่อน +7

    Wangapi wamejuwa code yay...😂😂Rasta platinum...dangote

  • @AllyMasangaluka-bm5ib
    @AllyMasangaluka-bm5ib 2 หลายเดือนก่อน +1

    Injinia cckm. Yanga familiya tunamtaka ally kamwe msemaji wetu na siomanala

  • @PauloAlfayo-qi1gn
    @PauloAlfayo-qi1gn 2 หลายเดือนก่อน +23

    😂😂simba watajuta walichofanyaga kwa Morrison hii yanga ni otea mbali,😁😁😁

    • @ZuwenaIsmail-q1m
      @ZuwenaIsmail-q1m 2 หลายเดือนก่อน +2

      Jezi gan ambayo inandikwa sanda

    • @ZuwenaIsmail-q1m
      @ZuwenaIsmail-q1m 2 หลายเดือนก่อน +2

      Jaman nyie makolo sio mkubal tu kuwa jezi yet mzur

    • @thadeylyimo9772
      @thadeylyimo9772 2 หลายเดือนก่อน

      Hapo ni kick tu.. siyo kweli kibu hawez kwenda yanga kwa sasa

  • @GEOFREYTANGANYIKA
    @GEOFREYTANGANYIKA 2 หลายเดือนก่อน +11

    Yanga raha sana jaman

    • @SmartTz-y5z
      @SmartTz-y5z 2 หลายเดือนก่อน

      Yanga namba nyingine

  • @Nope6e07
    @Nope6e07 2 หลายเดือนก่อน +5

    Alikamwe unaupiga mwingi sana brother

  • @rachelcheyo-p5z
    @rachelcheyo-p5z 2 หลายเดือนก่อน +4

    Love yanga

  • @salehemsafiri2333
    @salehemsafiri2333 2 หลายเดือนก่อน +7

    Nyie hamjui raster anaetangazwa Aly kamwe ni mondi Wala sio kibu

  • @FranckJuliasi
    @FranckJuliasi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Me spendag Jez ila kwa hii ntaivaa maana ni Kali sana

  • @MagangaSeni
    @MagangaSeni 2 หลายเดือนก่อน +3

    najikuta nanenepa laha sana yanga

  • @SudiTumbo
    @SudiTumbo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana yanga!

  • @BinhoGrapher
    @BinhoGrapher 2 หลายเดือนก่อน

    Yanga motoooo

  • @AdolophinaShawa-pd8yo
    @AdolophinaShawa-pd8yo 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yanga wanantishia

  • @maase2023
    @maase2023 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kweli waswahili tunaongoza kwa uongo duh

  • @MarthaNgusuli
    @MarthaNgusuli 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mtaua simba kisaikolojia

  • @BilaliBilaliamri
    @BilaliBilaliamri 2 หลายเดือนก่อน +2

    Simba ndo walianza uchokozi sasa yanga anamaliza mbona wataomba mma

  • @michomichael4111
    @michomichael4111 2 หลายเดือนก่อน +7

    Huyo atakuwa JONATHAN SOWA

    • @songombingo108
      @songombingo108 2 หลายเดือนก่อน

      Wachezaji wa nje wametimia 12. Kwahio sio Jonathan

  • @MustaphaHasani-u1v
    @MustaphaHasani-u1v 2 หลายเดือนก่อน +2

    Labda bobu marely uyo Rasta ila Kwa kibu munajidanganya

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kamwe anajua kukera😅😅😅

  • @swaalehrmihange1015
    @swaalehrmihange1015 2 หลายเดือนก่อน

    Mwaka huu tunawambia simba UBWIGA UMALA

  • @EmmanuelTyoe
    @EmmanuelTyoe 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sipati picha kama kibu akitangazwa

  • @Gthekingtiger10
    @Gthekingtiger10 2 หลายเดือนก่อน +7

    Kua na heshima kaka 😂😂 vijora gan

  • @luckygmdegela8477
    @luckygmdegela8477 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana kaka ,,ulisema hamuwezi mtaka , japo mwanzo mlimtaka , leo tena et mna mtaka . Simba haiwezi iachia mchezaji kizembe

    • @azizymachadeson3577
      @azizymachadeson3577 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ka inauma katika isikuchubue acha kujielezea sana unamwambia nani sasa !

    • @jumamkoka2267
      @jumamkoka2267 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @YusuphJilala-r4e
    @YusuphJilala-r4e 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kabisaaa,watajutaaaa😂😂😂

  • @Kaneysiddy
    @Kaneysiddy 2 หลายเดือนก่อน +1

    DaaH 🎉

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 2 หลายเดือนก่อน

    Allaah Akbar

  • @MichaeliMshana-xn4yw
    @MichaeliMshana-xn4yw 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ili yanga anufaike ni mpaka atumie mgongo wa simba, ndio maana kila linaloongelewa na wajangwani lazma wait are simba.
    Simba ni ICON ya nchi

    • @MchichaMchicha
      @MchichaMchicha 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kumamayo wenu huwa hamuiongelei yanga

    • @GibsonWabike
      @GibsonWabike 2 หลายเดือนก่อน

      Hahahahah, daima mbele nyuma mwiko no kufra

  • @mudyAlly-yv8qg
    @mudyAlly-yv8qg 2 หลายเดือนก่อน

    mulikuwa wapi wakat sis tunaichagua yanga

  • @MalaleMalale-j7m
    @MalaleMalale-j7m 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ali kamwe unajitaidi mpaka unawachanganya wareeee logo dudu

  • @ZuberiMlanzi
    @ZuberiMlanzi 2 หลายเดือนก่อน

    Ww huna jezi hizo ni vijora Dogo. Tukutoshe ss Simba wachezaji wte tusio wajirani ila timu yko inawahitaji wachezaji wtu. Ww kwko CHAMA NI MUHIMU KWKO AU KWENU NA KIBU WW NA WAJINGA WENZIO KTK YANGA .Bado sana sisi SIMBA ni timu tofauti na Yanga pambavu ww na viongozi wko.

    • @cessianthony2644
      @cessianthony2644 2 หลายเดือนก่อน

      Meza kwinini..upone😂😂😂😂😂mamae

    • @robertrobert563
      @robertrobert563 2 หลายเดือนก่อน

      Kwinini ya Nini mwambie ameze bom limsambaratishe😂😂😂

  • @AdhamAlliy-mg5py
    @AdhamAlliy-mg5py 2 หลายเดือนก่อน +3

    Naona rangi nyeupe kwenye jezi yenu nyeusi😂😂😂😂😂😂

    • @ombeniMassawe
      @ombeniMassawe 2 หลายเดือนก่อน

      Ipi iyo sanda???

  • @elizabetty-rt7py
    @elizabetty-rt7py 2 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉👍💚💚

  • @sadamiddi9342
    @sadamiddi9342 2 หลายเดือนก่อน

    Rasta diamond

  • @privatarimo4811
    @privatarimo4811 2 หลายเดือนก่อน

    Rara kweli jamani kuona makolo a.k.a sanda fc wanavyo umizwa na mabigwa 😂😂

  • @BabaNuraty
    @BabaNuraty 2 หลายเดือนก่อน +1

    Piga keleleeee kwa yanga

  • @mwankunjatyson
    @mwankunjatyson 2 หลายเดือนก่อน

    Udugu umala💚💛✌️

  • @Rameck-lx8jg
    @Rameck-lx8jg 2 หลายเดือนก่อน +4

    Atari sana

  • @thompsonkiputa6842
    @thompsonkiputa6842 2 หลายเดือนก่อน +1

    Rasta Kibu Denis 😂

  • @Allyhusseni-h2m
    @Allyhusseni-h2m 2 หลายเดือนก่อน +1

    HUYO NI JONATHAN SOWA NA SIO KIBU DENIS😂😂😂

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 2 หลายเดือนก่อน

      Nakuunga mkono kaka
      Anachukua nafasi ya skudu

  • @ErickShija-vz5rl
    @ErickShija-vz5rl 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nahiyi langi nyeupe tena vip wakati muliwahi kukataa neno vodacomu lisiandikwe kwa langi nyekundu

  • @elizabetty-rt7py
    @elizabetty-rt7py 2 หลายเดือนก่อน

    Senaji niko tabola tunazipataje hizo jezi

  • @priscamboya3091
    @priscamboya3091 2 หลายเดือนก่อน

    Wee unaesema utamnunulia mkeo kitenge kumbe unampenda mkeo utamuhepusha na nguo za mazishi unaakili sana😂😂

  • @bakariiddy5387
    @bakariiddy5387 2 หลายเดือนก่อน

    Afisahabari gani huyu Bora atafutiwe kazi nyingine manara apewe kazi

    • @Latifa-m4u
      @Latifa-m4u 2 หลายเดือนก่อน

      wakupe ww itakufaa afisa uropokaji

  • @BernardMwita-k6n
    @BernardMwita-k6n 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani ao wenye wapo misri waambiwe wapashe mazoezi ya maana maana kunamitambo na pia Kuna litimu kazi yake ni kupiga TU wasipashie mikono.

  • @tintz3157
    @tintz3157 2 หลายเดือนก่อน

    Bl 2.7 utopolo hamna hiyo hela nia yao ni kujaza uwanja hapo mnapigwa tu

  • @YakoboJackson
    @YakoboJackson 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka Ali talatibu watakuloga

  • @Elihurumamathew
    @Elihurumamathew 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kibu denga ila yanga mungu anawaona😂😂

  • @Hadijamatemba
    @Hadijamatemba 2 หลายเดือนก่อน +1

    Umeenda kanisani Leo bahati nzuri umetengenezewa vijora na vitenge.zakubadilisha hauna shida.

  • @MathayoRajabu
    @MathayoRajabu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Vitenge vya waksi

  • @RashidZahran
    @RashidZahran 2 หลายเดือนก่อน +1

    Vijora ndio hanza ww nikusikie hao wenzio wote wamekubali hahah dah makolo bwan

  • @AllyAbdallah-w8b
    @AllyAbdallah-w8b 2 หลายเดือนก่อน

    Ni Diamond huyo msishtuke Wala nini

  • @peterpaschal4522
    @peterpaschal4522 2 หลายเดือนก่อน

    Jamaa kaanza kuongea kama ahmed😂

  • @khalifamaliki4179
    @khalifamaliki4179 2 หลายเดือนก่อน

    Apa akuna msemaji iiyo diyo amasa alafu unataka water waje kiwanjani kweli mmekosa ubunifu

  • @waleskonja5648
    @waleskonja5648 2 หลายเดือนก่อน

    Boya wwe

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je 2 หลายเดือนก่อน +5

    Kibu asije yanga bwana

    • @magobocrissvance1187
      @magobocrissvance1187 2 หลายเดือนก่อน

      Yanga atunashida na kibu tunawavuruga tu thimba tutamtambulisha diamond kuburudisha

  • @KakeSimba
    @KakeSimba 2 หลายเดือนก่อน

    Maanina

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 2 หลายเดือนก่อน

    nikweli ejeuzuri sitaki kuamini

  • @WiliamMasalu-gs2ov
    @WiliamMasalu-gs2ov 2 หลายเดือนก่อน

    Nyeupe kwa chura vipi tena

  • @ErastoNnko
    @ErastoNnko 2 หลายเดือนก่อน +2

    Dha ndaaaaani ni kibu denis prospaa

  • @Urchr
    @Urchr 2 หลายเดือนก่อน

    Au ni jobe nin

  • @AbuubakariMohamedi
    @AbuubakariMohamedi 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani kuna shidoo

  • @AshaNchira
    @AshaNchira 2 หลายเดือนก่อน +3

    Yanga washenzi tuu wsnaiga

  • @JosephMushi-jr1um
    @JosephMushi-jr1um 2 หลายเดือนก่อน

    Jaman me nishabiki wa yanga ila Kama kweli ni kibu Tujiandae kuzika watu jaman mashabiki wa Simba watakufa wengi

  • @vivanyboy9743
    @vivanyboy9743 2 หลายเดือนก่อน

    Walifurah na kuchagza kuondka kwa fey sasa watajuta 😂

  • @JamesSichimata-w1u
    @JamesSichimata-w1u 2 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ndo maana ya kua na msemaji mtoto

  • @gisdenga7740
    @gisdenga7740 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yanga bora hujengwa na Simba mbovu

    • @Anuarmustafa4128
      @Anuarmustafa4128 2 หลายเดือนก่อน +2

      Hahahahahaaaaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @barakamwantolwa4336
    @barakamwantolwa4336 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sababu anajua anaongea na wasio na akiri....Maana anajua mashabiki wake wanapenda propaganda

    • @vaxminja9053
      @vaxminja9053 2 หลายเดือนก่อน

      Akiri ni nini? Ulimaanisha akili?
      Kuna UMBEA FC ndio wanapenda uongo na Umbea

  • @mudyAlly-yv8qg
    @mudyAlly-yv8qg 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂iii yanga inasifa sana

  • @Shemahonge-ku7xx
    @Shemahonge-ku7xx 2 หลายเดือนก่อน

    Vijola

  • @IvanSaid-ef8tb
    @IvanSaid-ef8tb 2 หลายเดือนก่อน

    Ubaya ubwera waendelee kutamka

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 2 หลายเดือนก่อน +2

    Muda si mrefu yanga itaitwa SIMBA b

  • @waleskonja5648
    @waleskonja5648 2 หลายเดือนก่อน

    Boya tu wwe njiti

  • @JoachimNnko
    @JoachimNnko 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa yanga washamba sana. Wataishia pabaya sana hawa wajamaa. Yetu macho

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi 2 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa unalilia nn

    • @gililwise
      @gililwise 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kama mlivyoishia nafasi ya 3😂😂

  • @BeforeKaunda
    @BeforeKaunda 2 หลายเดือนก่อน

    Hiro Rasta achana naro bhana harina lolote .

  • @davidwatson6821
    @davidwatson6821 2 หลายเดือนก่อน

    Hizo jezi zinaficha uchafu, ina maana ni wachafu hao

  • @JoasNgaiza
    @JoasNgaiza 2 หลายเดือนก่อน

    So makolo wata juta msimu 24_2024

    • @JoasNgaiza
      @JoasNgaiza 2 หลายเดือนก่อน

      Makolo mwaka huu watajut kibu Denis ni mwananchi

  • @HemediHassani-ff4tq
    @HemediHassani-ff4tq 2 หลายเดือนก่อน

    Tuwe na subira hadi tarehe nane tutajua nani kasajili

  • @benjaminipeter1691
    @benjaminipeter1691 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwakweli yanga mmebugi Ali kamwe utoto mwingi

  • @mishlay8164
    @mishlay8164 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa Kibu siyo mchezaji wa hivyo , kibu ni mchezaji wa kawaida sana

  • @FilbertKalembe-fy4oq
    @FilbertKalembe-fy4oq 2 หลายเดือนก่อน

    Hiyo jez ngoi amechemka mbaya

  • @bkkomesho9272
    @bkkomesho9272 2 หลายเดือนก่อน

    Batiki fc

  • @JoshuaDaniel-s6k
    @JoshuaDaniel-s6k 2 หลายเดือนก่อน

    Aya bwana tunamsubir

  • @RajabuHassan-x9n
    @RajabuHassan-x9n 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona nynyi mlikua mnamngangania kwani mlikua hamjui kwamba anagoli moja mnajitoa ufahamu kunguni nyinyi

    • @MabenaKishapu
      @MabenaKishapu 2 หลายเดือนก่อน

      Mchezaj anamkata nakumuuza ni matwakwa ya club ngoj nione hii movie

  • @Hadijamatemba
    @Hadijamatemba 2 หลายเดือนก่อน

    Usiite jezi ita hiki kijora tutampa Rasta hivi wewe ni kipofu huoni ni kijora hicho umevaa.

  • @PauloAlfayo-qi1gn
    @PauloAlfayo-qi1gn 2 หลายเดือนก่อน

    Roho ya malipix na Azam watakoma Bado haijaisha

  • @Dayotz
    @Dayotz 2 หลายเดือนก่อน

    Hehe jichanganyee uone

  • @halidimgonza5945
    @halidimgonza5945 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jezi mby acha kuzipamba hio rangi y bluu na nyeupe mezitoa wapi UTOPOLO??? ukwel useme Uzi w SIMBA mkali mnoo

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 2 หลายเดือนก่อน

      Nilazima Ujue Tofauti Baina Yasanda Najezi.

    • @yunusimchala6569
      @yunusimchala6569 2 หลายเดือนก่อน

      Kuna nembo ya TAIFA HAPO ELEWA PIMBI

    • @AbdallahWaziri-l3d
      @AbdallahWaziri-l3d 2 หลายเดือนก่อน

      Ww huna akili acheni kuishi Kwa mihemko nyie mashabiki wa bongo hebu kueni kiakili

    • @issanangambu1719
      @issanangambu1719 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani simba rangi yake nyekundu? Vp ile rangi nyeupe simba wawapi wa blue ,simba wawa pori gani amekuwa wa mwekundu😢

    • @privatarimo4811
      @privatarimo4811 2 หลายเดือนก่อน

      Sanda cf makolo kolo

  • @SaidMuya-z9l
    @SaidMuya-z9l 2 หลายเดือนก่อน

    Haji manara anaitaka nafasi yake. Wewe siyo msemaji wa yanga. Magoma anasema anakuitaji

  • @MedsonMsovi
    @MedsonMsovi 2 หลายเดือนก่อน

    Hivyo vijora jezi

    • @OscarGregorymosha
      @OscarGregorymosha 2 หลายเดือนก่อน +1

      Tofautisha na sanda za Ina maana Mashabiki wa Simba na wachezajiwenu ni maiti?

  • @ErickShija-vz5rl
    @ErickShija-vz5rl 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe dogo umekosa Cha kuongea maana wewe mwenyewe unajuwa kuwa siku yenu imekosa muvuto ndomaana unaaza kubwatuka

  • @MathayoRajabu
    @MathayoRajabu 2 หลายเดือนก่อน

    Mh jezi za kishamba tuu

    • @OscarGregorymosha
      @OscarGregorymosha 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kama hizo sanda zenu mnazovalishwa mkiwa hai?

    • @robertrobert563
      @robertrobert563 2 หลายเดือนก่อน

      Bora kitenge kuliko sare ya mizim😂😂

  • @CosmassEmmanuel
    @CosmassEmmanuel 2 หลายเดือนก่อน

    Ni kitenge au jezi

    • @robertrobert563
      @robertrobert563 2 หลายเดือนก่อน

      Ni vigumu mtu alievaa sanda kutofautisha vitu😂😂😂

  • @WilleSalingwa
    @WilleSalingwa 2 หลายเดือนก่อน

    Mpenzi tuu ivyo vijora

  • @bakarsalimu6418
    @bakarsalimu6418 2 หลายเดือนก่อน

    Ushawishi wa kujaza uwanja Bado huja ujua ww

  • @Abdul-oc1ul
    @Abdul-oc1ul 2 หลายเดือนก่อน

    Hawa wandish komed

  • @saadomar2480
    @saadomar2480 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mnatumia pesanyingi kwakukomoa afu badae mnasema mmepata hasara bl 7, kwaupumbavu wahv hv😂😂😂😂

    • @RajabuHassan-x9n
      @RajabuHassan-x9n 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani kunasiku ushawahi kuombwa uongeze kwenye hio hasara we wa mbeaaaa nini

  • @VitalessGalus
    @VitalessGalus 2 หลายเดือนก่อน

    Mwigulu mchemba yupo

  • @maternmkomange5389
    @maternmkomange5389 2 หลายเดือนก่อน

    Modi huyo