Viongoz wa Simba huwa wana kiburi ssna. Lufunga hakuwa na hadhi hata ya kukaa benchi Simba. Binafs nlishukuru sana alivoondoka na nafas yake kuchukuliwa na Salim Mbonde
Simba walipaswa kuwa naye kichuya hata km kiwango chake kimeshuka kwani bado umri unamruhusu.Hy ni damu ya Simba,na ndio mana sichoki kuiangalia hii mechi
Simba hajawahi kua paka ila ukimbahatisha ni mara moja kwa mwaka 😀 yanga walidhani wanaweza kushinda Darby mara mbili ndani ya muda mfupi ila so mbaya yanga walichagua point 3 simba ikachagua kombe na point 3 😂
@@rashidjoseph2624 bila kupepesa macho Club ya Simba n kubwa Sana na inauweza uspofungwa na mshambuliaj utafungwa na bek au Kiungo 😀😀😀ukismama nchale ukikaa nchaleee 😀😀wao n Mabondia tuu saiz yao kina Mwakinyo au Kiduhu show show 😀😀mpira waawaachie Simba pira Brian soft touch
ambao umaiangalia hii had mwaka huu 2024 gonga likes
Pp
I love ❤ simba🦁🦁🦁
Jamani shiza alikua mtu😘🥳🦁
Simba wa nyika ❤
Simba baba laoooo
Hakika kichuya nitaendelea kumpenda naiomba simba impatient heshima ya uongozi pale atakapo staafu
66😅
❤
Wakumbushe baba utopolo wepesi wa kusahau
huwezi amini hiyo siku ndio nilinza kuishangilia simba mpaka kesho simba sihami
Tunae iangalia ihii gem 15 .3 .2024 tujuane
Tar 22/3/2024
yanga kwa simba ni wadogo sana basi tu ni timu ya waswahili hawaishiwi maneno
Yes, I ❤ simba kwa sababu ndio team pekee yenye mafanikio.
Kochuya ana nafasi yake ndani ya mashabiki wa Simba😂😂😂
KichuyaBado anaitajika simba
Utopolo walishasau tuvyowagonga tukiwa pungufu
Mm mpaka sasa ni mchezaji mzuri sana ujinga tu wa viongozi wa simba
Wape salam utopolo
Ilikua tam sana🦁💪
Nice moment by kichuya
Mimi ni simba damu
Dah Mo Ibrahim
Tena mara 2 tunawauwaga hawa tukiwa pungufu
Utopolo wanajisahaulisha kila siku
Hakuna kama simba🎉❤🥴👹
Hiyo siku naikumbka sanaa katika family yangu tupo watoto4 ukijumulisha nawazazi watu6 pekeangu ni simba hiyo siku nilinyimwa chakula😅😅😅😅😢
Hahahahaha pole sana
Kwanini
😂
@@obedwilson nilikela watu kwa frahaa sometimes frahaa yako kikwazo kwa wengine
Hahahahaha 😀 😀 😀 nakubari
HII KITU INANIFANYAGA NIMKUBALI KICHUYAAAA POPOTE ALIPO MPKA LEO HIII🙌🙌🙌 ameacha alama kwenye maisha ya wana simba🙌🙌🙌💯💯
Wasema tu
Goooal
Kichuya aje asitafie simba
Nomaaa
simba ya kichuya
yanga Hana historiya ya kumfunga Simba akiwa pungufu. hakika hii ni record ya kipekee kwa hao Simba..
Tena yanga ya kampa kampa tena
Mechi ilikuwaga safi sana
Well done lion
😂😂😂 na wew upo hapa muda huu😂😂🙌🙌
Simba
Alieskia Sauti ya Salim Kikeke Kama mimi like plz
Sio kikeke ni baruani muhuza
F❤❤❤❤❤
UTOPOLO hawanaga chaoo
Shiza kichuya na mguu wake wa kushoto utampenda
Ya kale....
Vyakale vinathamani Kama ndomana Somo LA historia lipompkaleo shule ilikuwakumbusha watu Kama nyinyi !!
Daah simba tulitoka nayo mbali❤❤❤❤❤❤❤
Utopolo fc waliyatimba wallah 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
mmH au bas
Watisha xana
TBT la kibabeee🎉
Kumbukizi😂😂
Mmh kichuya kona
Viongoz wa Simba huwa wana kiburi ssna.
Lufunga hakuwa na hadhi hata ya kukaa benchi Simba. Binafs nlishukuru sana alivoondoka na nafas yake kuchukuliwa na Salim Mbonde
talehe 5 mrikura tano bado talehe 20 sijui mtakura 20
Ambao leo mnaangalia hii 19/2/2024 tujuane mapema.
Tupo🎉🎉🎉
08/3/2024
Goal
Jaman kichuy Mmmhhh
Sitahisahau hiyo mechi
❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
23.03.2024
❤🎉
Jifariji tu kwa yaliyopita
Simba walipaswa kuwa naye kichuya hata km kiwango chake kimeshuka kwani bado umri unamruhusu.Hy ni damu ya Simba,na ndio mana sichoki kuiangalia hii mechi
Nilikesha hii mechi
Dar ilikua hatari sana
Goof
Shiza hakubahatika kupata Wakala mzuri. Alikua ni wa kucheza Ulaya!
Wakuiponda simba waiponde Ila wakiifuatilia watajua ni team ya namna gani
Mh san tu
Mpira saf
kichuya noma xana
Goli 5 zitawasumbua sana.
Hata mm siji kusahau hii siku
Hivi Manara anaikumbuka hui 😂😂
hii ndo mechi nloamini dawa zpo ndo maana hili litimu linavaa nguo nyekundu huwaambii kitu😂
Kwahiyo wewe ni simba au tuelwwe vipi😂😂😂
Ebwana eeeeeee!!
keel yanga Tam jaman😮😮😮
Nan anaweza kufanya maajabu haya kama SI Mnyama
Wanaumbaaa mje ukuuu muone vitu
Saf
Mambo yalikuwa ni moto sn
Live
Nimpenda goal Keeper wa Yanga alivyomuonesha Mchezaji wa Simba kiatu
WAZEE tumewanyoosha
Kipindi hicho watu wanajitoa haijalishi wako pungufu
Sauti ili nakauka iyo siku maan nilikuwa nixhakata tamaa alaf kichuya anakuja kuxhinda gori kam lionel messi vile
Kichuya wa moto Dah.. BHAS tu
Hii mechi naikumbuka nikiwa mwaka wa pili chuo
Uto Huwa wanazimia zimia sana wakicheza na Simba😂😂😂😂😂😂😂
Wahandishi wahabari sasa si kurupushani hizo
Me
kwani kushangilia dakika ngapi wazee
Ni zaidi ya mtu
Vo
Utopolo hawta comment hapa😂
😅🎉🎉😅😂🎉😅😂🎉😊🎉
Hyt
😂😂😂😂😂
Simba hajawahi kua paka ila ukimbahatisha ni mara moja kwa mwaka 😀 yanga walidhani wanaweza kushinda Darby mara mbili ndani ya muda mfupi ila so mbaya yanga walichagua point 3 simba ikachagua kombe na point 3 😂
😆😆😆
Hahahah
Acha tuwakele
I thought it's a gospel channel!!!
Haya babapaloko huyooooo!!!
haha
Ila nadhan wanakumbuka 5G ya young African 2023
Nn
Upuuzi .Mukoko alikula hela za simba .ujinga tu .hamna uwezo ndo maana mlimhonga Mukoko
Kwmb nyie hamn hela
@@rashidjoseph2624 😀😀😀😀😀😀😀jibu mujarabu
@@wakembetajaphary3648 et alihongw hata ningekuw mm kam mijitu haitoi posho kuna haja gan ya kuikumbatia afu mnajiita timu kubwa hahahahhaah
@@rashidjoseph2624 bila kupepesa macho Club ya Simba n kubwa Sana na inauweza uspofungwa na mshambuliaj utafungwa na bek au Kiungo 😀😀😀ukismama nchale ukikaa nchaleee 😀😀wao n Mabondia tuu saiz yao kina Mwakinyo au Kiduhu show show 😀😀mpira waawaachie Simba pira Brian soft touch
C mngetufunga bac mkiwa pungufu na Nyinyi nyani FC