MO DEWJI:NATAKA NIKUTANE NA MGUNDA/TUNATAKA SIMBA IWE BINGWA WA AFRIKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 32

  • @ilhammohammed4192
    @ilhammohammed4192 2 ปีที่แล้ว +2

    Sawaah
    Asante kwa kutuelewesha uzur..
    Kutana nae t itakua vzr zaidi In Shaa Allah.

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 2 ปีที่แล้ว +2

    🔥❤️🔥

  • @sadayosiame8798
    @sadayosiame8798 2 ปีที่แล้ว +1

    safi sana boss wa watanzania

  • @ndmox3017
    @ndmox3017 2 ปีที่แล้ว +1

    Swa boss mo

  • @janetaksa5003
    @janetaksa5003 2 ปีที่แล้ว +3

    Mleteeeee mgundaaaa

  • @paschalkatulanda2879
    @paschalkatulanda2879 2 ปีที่แล้ว +6

    Umesema wewe sisi ni nani tupinge sawa boss

    • @davidmbwilo4954
      @davidmbwilo4954 2 ปีที่แล้ว

      Tunahitaji kombe Sasa mgunda afanye jambo na baraka za watanzania tushampa timu

  • @jumasijali713
    @jumasijali713 2 ปีที่แล้ว +2

    Tuna subir

  • @magrethcostantine9223
    @magrethcostantine9223 ปีที่แล้ว

    Leila mjinga mwenyewe tena ni mpumbavu Sana, na utopolo waenu kwa mechi ya Jana Bamako inawanyonga Mapemaaa

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 2 ปีที่แล้ว +2

    Sikuzote hajasema ila leo timu imeingia makundi anajua mkwanja umeingia, wadosi kwa pesa acha tu

  • @mafurumatijo8803
    @mafurumatijo8803 2 ปีที่แล้ว +1

    kutana nae hata swala la usajili.

  • @mugulusiwakanazi9986
    @mugulusiwakanazi9986 2 ปีที่แล้ว

    Sisi yanga tunacomment wapi😂😂

  • @leilahasani3118
    @leilahasani3118 2 ปีที่แล้ว

    Hili nalo jinga tu

  • @rukiamkwayo6302
    @rukiamkwayo6302 2 ปีที่แล้ว

    Unasubili Mechi na yanga ndio mumpe mkataba au mumwage kabisa Kama akifungwa na yanga halafu wewe ulikuwa wapi naona umejisogeza kwakuwa timu ineingia makundi umefuata pesa wewe ni sawa na mkulima mvivu hua anaonekana mahindi ya kiiva ndio mo

  • @stn4873
    @stn4873 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu Boss wetu, timu ikifanya vizuri ndio anaongea ila ikizingua anakimbia kimbia ana mambo ya kimiyeyusho sana.

    • @gospelvibestv3914
      @gospelvibestv3914 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @MS.independent8934
      @MS.independent8934 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂 ndio asilii ya ma'boss walivyo, walichukia huwaa hawa ongea ongea 🌚🌚🌚

    • @aminicofu6208
      @aminicofu6208 2 ปีที่แล้ว +1

      Huyu nae ni binaadam uwezo wa kuhimili negative katika mahaba yake yakisoka ni mdogo ndyomaana team ikiyumba anakaa mbali nayo kuepusha maradhi ya moyo muelewe tu

    • @allynassoro2080
      @allynassoro2080 2 ปีที่แล้ว +1

      Amna boss anaye penda mabaya wewe

    • @malopemaliyamungu5243
      @malopemaliyamungu5243 2 ปีที่แล้ว

      ​@@aminicofu6208 Akikaa mbali mnaweza kwenda popote? waswahili bhana 😲Maana
      1993 walifika fainali CAF mfadhili alikuwa Azam Dewji..
      Yeye Kama Mohamed Dewji anataka Ubingwa wa Africa akiwa Rais wa Heshima..na anaongoza. Walianzia mipango mbali. (it's just a roadmap).

  • @robertmyaba6182
    @robertmyaba6182 2 ปีที่แล้ว +1

    Umeona mkwanja huyo,alikua wapi siku zote.🤣🤣🤣ila watu kwenye wanapenda waonekane🤣🤣

    • @tidyboybishubo6440
      @tidyboybishubo6440 2 ปีที่แล้ว

      Bila yy hap tulip tusingefika labd humfalilii

    • @macozjouder5071
      @macozjouder5071 2 ปีที่แล้ว

      Kwan aliefany uwekezaj Simba ni Nan Kam sio yeye

    • @allynassoro2080
      @allynassoro2080 2 ปีที่แล้ว

      Roho ya kichawi iyo