GB 64 Athibitisha USAJILI WA MPANZU MASHINE YA MAGOLI/SIMBA MPYA TISHIO/ MO ATUMA TIKETI KUTUA MISRI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 88

  • @MamboMbuli
    @MamboMbuli หลายเดือนก่อน +12

    Aisee hiyo nimeipenda,Ubaya Ubwela,,,,,NSSF ni wanga sana😮😮,,,mwaka huu tuwarinde wachezaji wetu,,,,kwa visomo vya mana

  • @JeniphaFocus
    @JeniphaFocus 25 วันที่ผ่านมา +2

    Kama kweli mpenzu katua simba saluti kwa mo deuji pamoja na viongozi wengine 😊🎉❤

  • @saadomar2480
    @saadomar2480 28 วันที่ผ่านมา +1

    Wanarogwa Sana, NAYANGA

  • @JumaJuma-u2t
    @JumaJuma-u2t หลายเดือนก่อน +3

    Yani Simba rahaaaaaa sana ukisikia Kaz naumri ndosimbaa ii tupo kazni kwasaaa niushind tu

    • @Kambi-c1w
      @Kambi-c1w หลายเดือนก่อน

      Kazin kwa aucho.kuna kazi

  • @ROBERTJOHN-yg3zt
    @ROBERTJOHN-yg3zt หลายเดือนก่อน +2

    Gb 64 we noma Simba nguvu moja

  • @AjensiKauzeni
    @AjensiKauzeni หลายเดือนก่อน +2

    Simba nguvu moja

  • @manmanonline6394
    @manmanonline6394 หลายเดือนก่อน +1

    Simba nguvu moja ❤❤❤❤❤

  • @houmdmajid-ur9dp
    @houmdmajid-ur9dp หลายเดือนก่อน +3

    Ww sahiv mm sikuamin tena

  • @user-sk6qd8hx6u
    @user-sk6qd8hx6u 24 วันที่ผ่านมา

    Elaa

  • @AidaniMwaipaja
    @AidaniMwaipaja หลายเดือนก่อน +1

    Nice Gb 64

  • @Paschalmaganga-v5p
    @Paschalmaganga-v5p หลายเดือนก่อน

    Simba nguvu mojaaaa❤❤

  • @EDWINLWEZAULA
    @EDWINLWEZAULA หลายเดือนก่อน +1

    Kaka umetisha

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l หลายเดือนก่อน

    Simba nguvu moja🎉🎉🎉❤❤❤

  • @MachameMachame-tx3bk
    @MachameMachame-tx3bk 28 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉simba nguvu moja

  • @SalumuMajidi-iq9sp
    @SalumuMajidi-iq9sp 25 วันที่ผ่านมา

    Kama mpanzu katua unyamani bac sas mateso bac welcome mpanzu

  • @EliyaKudaga-u4q
    @EliyaKudaga-u4q หลายเดือนก่อน

    I love you SIMBA

  • @kichenjewillian5720
    @kichenjewillian5720 หลายเดือนก่อน +1

    GB 360

  • @wailesmsongole1914
    @wailesmsongole1914 27 วันที่ผ่านมา

    Waooooo

  • @sirajally8356
    @sirajally8356 หลายเดือนก่อน +1

    chama alikua mlija wa yanga katuuza sana

  • @andrewkitema9838
    @andrewkitema9838 28 วันที่ผ่านมา

    Ni muhimu muongee yote sasa hivi, Kwani ligi ikianza ni muda wenu wa kutoa matusi kwa viongozi wenu. MANGUNGU, TRYAGAIN n.k. Endelea kupayuka na kuropoka sasa.

  • @halimalachpat1927
    @halimalachpat1927 หลายเดือนก่อน

    Umetisha Gb 64 waeleze wajue.ubaya ubwela

  • @saadomar2480
    @saadomar2480 28 วันที่ผ่านมา

    KWELI, wachezajiwetu WAZIR lkn wanarohwa Sana NAYANGA Ili kupoteza vipajivyao.

  • @joshuasamson9618
    @joshuasamson9618 29 วันที่ผ่านมา

    Lingi ikiisha Mwakani kuna uwezekano Mkubwa Simbasc ikauza wachezaji wengi sana ulaya

  • @user-to1iw6es6y
    @user-to1iw6es6y หลายเดือนก่อน +1

    Ubaya ubwela, maanayake ni ubaya umerudi

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 หลายเดือนก่อน +1

    I love Simba, but what drugs is this guy on? Are they available at Kariakoo markets?

  • @ErickJohnfredy
    @ErickJohnfredy 28 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤

  • @hildarichard7019
    @hildarichard7019 หลายเดือนก่อน

    Saf kaka❤❤❤❤❤❤

  • @PauloMole-lv4tf
    @PauloMole-lv4tf หลายเดือนก่อน +1

    mimi ni simba hila staki maneno mpaka niwaone uwanjani hisije kuwa kina jobe

    • @joshuasamson9618
      @joshuasamson9618 29 วันที่ผ่านมา

      Gb 64 Yeye Ana Mawasiliano Ya Simu Za viongozi Moja kwa Moja Data Anazimegewa Vizuri Kwa Hiyo Elia Mpanzu Ni Mnyama

  • @user-bc5sd9qv8w
    @user-bc5sd9qv8w 28 วันที่ผ่านมา

    Haaaaa umenichesha kwel

  • @fadhiryomary9492
    @fadhiryomary9492 หลายเดือนก่อน

    Kwanza manula nmuskie segelea 5 zilikuwa nyingi alaumiwe manula na chama na kenedi na inonga

  • @DorcusMalimi
    @DorcusMalimi หลายเดือนก่อน

    Hatari

  • @user-fv7qi9zp1s
    @user-fv7qi9zp1s หลายเดือนก่อน

    GB64 tutatumia carbon fourteen,umetisha baba

  • @twahambowe440
    @twahambowe440 หลายเดือนก่อน

    Chama hana jipya ktk ligi yetu. Kubwa kwa sasa wachezaji wapewe KIAPO cha UAMINIFU kwa SIMBA, ili mashabiki waondoshe sintofahamu juu ya wachezaji wao kuihujumu timu.

  • @hamadiayossy
    @hamadiayossy หลายเดือนก่อน +1

    Tuliosikia neno ubwaya ubwela naombeni like zenu jmn😂😂😂

  • @user-fl8ws8ey3y
    @user-fl8ws8ey3y หลายเดือนก่อน

    Safi mkuuu

  • @AbasiKharid
    @AbasiKharid หลายเดือนก่อน

    Mbona yanga walisajili msimu mmoja na msimu huohuo wakachukua ubigwa

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 หลายเดือนก่อน

    UBWELA UBAYA ❤❤❤❤❤❤ MPAKA MAJI WAITE MMAAA 😂😂😂😂

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 หลายเดือนก่อน

    SIMBA OYEEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @JeniphaAnthony-cw9dm
    @JeniphaAnthony-cw9dm หลายเดือนก่อน

    Nice

  • @user-bt6ep3yb2h
    @user-bt6ep3yb2h หลายเดือนก่อน

    Magufuli alikuwa ana akili sana kutimua walimu hewa, sasa wanafunzi wangeambulia nini.

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 หลายเดือนก่อน +1

    Magoli mwenyewe amekanusha

  • @muksinimbaruku1233
    @muksinimbaruku1233 หลายเดือนก่อน

    Babra kumbe yupo na hamsemi GB friji bovu

  • @user-pn8ux8of7f
    @user-pn8ux8of7f หลายเดือนก่อน

    Gb 64 kumbuka yakuwa ngombe hazeeki maini talehe 8 ndipo tutakapo juwa

  • @SAfiSAfitz
    @SAfiSAfitz หลายเดือนก่อน

    Ametshaaa

  • @ZawadiSimyota
    @ZawadiSimyota หลายเดือนก่อน

    Gb natamani sku Moja nikuone kwenye bodi ya wakurugenzi na itatimia

  • @othmanhamad7887
    @othmanhamad7887 หลายเดือนก่อน

    Tena na jezi ya mkude kapewa Chama,mkude chaliiiii

  • @Emmanuelmoke-k5s
    @Emmanuelmoke-k5s หลายเดือนก่อน

    Sisi simba tuna maneno jamani

  • @florentinigawday1094
    @florentinigawday1094 หลายเดือนก่อน

    Tunakukubali gb64

  • @user-he1bm8xm9y
    @user-he1bm8xm9y หลายเดือนก่อน

    Sana kakaaaaaa

  • @HusseinRamadhan-f7m
    @HusseinRamadhan-f7m หลายเดือนก่อน

    Hakika niushid 2

  • @user-zu6ec8nh1q
    @user-zu6ec8nh1q หลายเดือนก่อน +1

    GB 64 ubaya ubwela

  • @user-pn8ux8of7f
    @user-pn8ux8of7f หลายเดือนก่อน

    G B ACHA MANENO TUNATAKA UKWELI ERIYA MPA,ZU

    • @user-pn8ux8of7f
      @user-pn8ux8of7f หลายเดือนก่อน

      Baba hakuna cha mpazu wa faiasli wewe nunuwaga tu vocha

  • @RodrickMosha
    @RodrickMosha หลายเดือนก่อน

    Wenzetu wamesajili mwalimu sio mchezaji ambaye ni chama

  • @RHOIDAKALUKWA-bw4jo
    @RHOIDAKALUKWA-bw4jo หลายเดือนก่อน

    Wanasimba tubakize maneno na chama amesema tukutane uwanjani

  • @shabanfelix4273
    @shabanfelix4273 หลายเดือนก่อน

    Tena chama alisein nawino mwingine aliunywa kwasaba anajua aliko enda hakupendi

  • @zahiruhamisi4162
    @zahiruhamisi4162 หลายเดือนก่อน

    Mwanzoni ilikuwa nakuamin sn ila cku izi ni muongo kupindukia

  • @JEREMIAHSAMBAI
    @JEREMIAHSAMBAI 26 วันที่ผ่านมา

    hu ni mwaka wa full mikazo t

  • @hamisimsosi6237
    @hamisimsosi6237 หลายเดือนก่อน

    Hili kweli gb 64 hizo data ni sahihi na hajalikodi popote mpeni maua yake jamani huyu jamaa kiboko😅😅😅😅😅😅😅

  • @MarryCharles-rc6ei
    @MarryCharles-rc6ei หลายเดือนก่อน

    We call him Deborah (dibrah)

  • @KenesiKomba
    @KenesiKomba หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤

  • @lukiaanatory4598
    @lukiaanatory4598 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤

  • @babycandycharles7816
    @babycandycharles7816 28 วันที่ผ่านมา

    Muoongo wewe kaziyenu iyoiyo kuwadanganya mashabiki wewe ulikuwepo wakatiwausajili wakati kinashabarara hawajalipwa elazao za mishahara mpkaleo wachezaji wote mliowasajili hamnahata wamilioni miambiliapo nahuyompanzu atajuta kusajiliwa Simba wenzie kinaonana wameshaanza kukataliwa na kocha

  • @user-id5oc7hm4n
    @user-id5oc7hm4n หลายเดือนก่อน

    Viongozi chonde wachezaji muwe nao makini ,,pini jamani

  • @jumapmateli
    @jumapmateli หลายเดือนก่อน

    kweli

  • @user-xv2zm5ec9y
    @user-xv2zm5ec9y หลายเดือนก่อน

    Nyuma mwiko Wana mambo yajabu jamani tupate mwaka wa fulaha popote pale tetea nembo ya simba simba ndotim kubwa

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 หลายเดือนก่อน

      MWIKO WA NYUMA NUKSI SANA

  • @AbelOmary
    @AbelOmary หลายเดือนก่อน

    Watasema utoporo

  • @VitalessGalus
    @VitalessGalus หลายเดือนก่อน

    raha kidog mpaka wataelewa msimu uu

  • @salamSalehhhhh
    @salamSalehhhhh หลายเดือนก่อน

    Machine ya maneno ila watu wa Simba 😁

  • @AishaaMamaa-zh3cf
    @AishaaMamaa-zh3cf หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂 atutaki mleviiiiiiiiiiii😂😂😂😂😂

  • @HamisiKafuluma-m5o
    @HamisiKafuluma-m5o หลายเดือนก่อน

    Mwamba unaongea sana tena vizur ila usiwaswifu sana wachezaj

  • @SimonMwanali
    @SimonMwanali หลายเดือนก่อน

    Gb64 nimsala

  • @houmdmajid-ur9dp
    @houmdmajid-ur9dp หลายเดือนก่อน

    Muongo ww simba hakuna ht mchezai 1 alofika dola laki 1 wachezaj wote wadogo wale hlf ww kesho t unabadilika sikuamin tena ww bwege 😂

  • @swaleheukwaju2225
    @swaleheukwaju2225 หลายเดือนก่อน

    Ikifika mwezi wa 12 usije itisha waandishi ooh hatumtaki mangungu. Yanga inao wachezaji mahiri sana watawafunga tena nyie endeleeni Mambo ya ushirikina 😂😂

    • @muksinimbaruku1233
      @muksinimbaruku1233 หลายเดือนก่อน

      Umetoa mwiko mzee?

    • @ErnestMalima
      @ErnestMalima หลายเดือนก่อน

      Bado anahangaika nao huyo😂😂​@@muksinimbaruku1233

  • @KeraryoGamaha
    @KeraryoGamaha หลายเดือนก่อน

    GB 64 wewe ni wamba kweli kweli

  • @BakariShemagembe
    @BakariShemagembe หลายเดือนก่อน

    😂😂😂wemwamba ni hatari

  • @joachimsironga1560
    @joachimsironga1560 หลายเดือนก่อน

    Awesu tena???

  • @kiumbeharuna
    @kiumbeharuna หลายเดือนก่อน +1

    chama aondoke tu

  • @PauloMole-lv4tf
    @PauloMole-lv4tf หลายเดือนก่อน

    tatizo wewe kigeugeu

  • @DavidKibaha
    @DavidKibaha หลายเดือนก่อน

    Izi video za kucopy jau

  • @awamhusen1054
    @awamhusen1054 หลายเดือนก่อน

    Jjh

  • @user-to1iw6es6y
    @user-to1iw6es6y หลายเดือนก่อน

    Ubaya ubwela, maanayake ni ubaya umerudi