haleluya am here to testify,from Nairobi kenya Mungu amekua mwema kwangu..few months ago nilihadithia ugumu uliokua umenizidia na hali ngumu ya maisha.niliposikia sauti ya mungu kupitia mahubiri tv ,kwa hakika nimeuona mkono wa bwana yesu,machozi yangu yamevutwa the lord heard my cry and now am at peace. nampenda yesu,baraka tele mtumishi Mmbaga. KWA HAKIKA nashuhudia ukuu kwa kristo amen
Amen, Mungu azidi kukutumia ktk roho na kweli Asante kwa mafundisho ya kiroho uliyofunuliwa na Roho wa Mungu, ni kweli unayosema tusihukumu tusije tukahukumiwa, tunawakwamisha watu wasije kwenye ufalme wa Mungu kwa kuwanyanyapaa, Yesu hakuja kuhukumu bali kuokoa. Nakukubali sana Asante
Baba mchungaji asante kwa neno. Nami kutokana na ushuda wa mchungaji naomba uniombee na Mimi naumwa tumbo na chembe ya moyo miaka 20 sasa silali usiku naomba kinywa chako kiongee na aliye juu niweze kupona
Mpendwa huwezi amini nilikua naumwa tumbo la mwezini ( kwa wanawake) mwezi wa 6 niliokoka vizuri kabisa kwa msaada wa Yesu nikamshikilia Yesu vizuri huwezi amini alinifungua vifungo vyote ata tumbo nilifanya Maombi kwenye simu na Mchungaji Yesu mkono wake ukagusa tumbo langu na likapona kwaiyo Mimi nakushauri kama hujampokea Yesu batizwa na umpokee ununue bible uongozwe na Roho mtakatifu yani kuna mambo yatafunguka yenyewe bila at Mchungaji kukuombea japo nawenyewe wana umuhimu sana ila ukiwa na Yesu vizur n raha sana na utafunguka meng,Mungu akusaidie upone
Asnt past leo umenifunza kitu kikubwa sana mm hofu ilikua imenitawala lakini leo umenipa ujasiri mkubwa jana tu kunakitu kimenitokea sijawai kutokewa ila chaajabu nikaaza kukemea ila hofu ilikua kubwa mno lakini umenifunza sana mungu akubariki sana 🙏
BWANA ni mwema PASTOR,kwny kile kitabu chako umesema ili kusikia sauti ya MUNGU lazima uwe umebatizwa,vp kuhusu Samweli je alikuwa amebatizwa maana kwa uelewa wangu najua alikuwa mdogo naomba unisaidie PASTOR.
Ndugu kwa uelewa wangu, Mungu Ni roho, na binadamu Ni nafsi ambayo Ina roho na inaishi kwenye mwili, hivyo binadamu ana Roho, Nafsi na Mwili, mwili una viungo na milango ya ufahamu ambayo husaidia nafasi. NAFSI Ina akili, hisia na Nia. Hivyo kufikiri, kupenda, kukasirika, kuumia, pamoja na kufanya maamuzi Ni kazi ya Nafsi. Kwa kuwa Mungu Ni roho sehemu pekee ya ubinadamu ambayo inaweza kuwasiliana naye Ni roho, hivyo binadamu akitaka kumsikia Mungu lazima roho yake iwe active, pili aweze kutenganisha Kama hiyo sauti inatoka kwenye, roho yake, Nafsi yake au Mwili wake. Sasa tatizo lilianzia Edeni binadamu alipovunja amri ya Mungu bustanini sehemu yake moja Kati ya zile tatu alizopewa yaani roho ilikufa, hivyo kuanzia kipindi hicho binadamu akawa hawezi Tena kuwasiliana na Mungu hata kumpenda automatically maana software muhimu Ambayo Mungu alikuwa anahifadhi Mapenzi yake ndani ya Mwanadamu imekufa, hivyo haiwezi kupokea updates, ndiyo maana ya kupewa sheria kwenye makaratasi maana alikuwa hawezi kuhifadhi moyoni. Mungu aliona taabu anayopitia Mwanadamu kwa kuwa alikuwa Hana ushirika naye, ikabidi atafute namna ya kuifufua roho ya Mwanadamu iliyokufa, na njia yenyewe ikawa amtafute mtu atakayebeba na kulipa ule uovu wa adamu wa kwanza age, alafu afufuke na roho iliyo hai, hivyo kuitwa adamu wa pili, kwa maana hiyo usipobatizwa wew baba yako bado Ni yule adamu wa kwanza ambaye roho yake haiko active, inabidi ubatizwe ili uweze kuhamishwa kwenye ukoo wa adamu wa pili ambaye Ana Roho active. Ndo maana Yesu anasema kilichozaliwa kwa Mwili Ni Mwili, alaf kilichozaliwa kwa roho ni roho, hivyo unapobatizwa unakuwa umezaliwa kiroho, unakuwa na viungo vyako vyote Kama vile vya adamu kabla ya dhambi, yaani roho, nafsi na Mwili, hivyo sasa Bwana anaweza kukusemesha maana una roho ambayo iko active, Kwa kesi ya Samueli kipindi hicho doctrine ya ubatizo ilikuwa haipo hivyo, walikuwa wanatahiri siku nane tuu pale mtoto anapozaliwa ambayo kipindi hicho ilikuwa Sawa na ubatizo, angalia kolosai 2:11-12 ila Hawa Ni uzao wa ibrahimu, kwako wewe njia pekee yakuingizwa kwenye ukoo wa Yesu, Daudi, ibrahimu, na Yakobo na kuwa mrithi pamoja nao Ni ubatizo.
Samweli alibatizwa Na ubatizo waroho maana hapo mwanzo kulikuwa hakuna ubatizo wa maji watu walikuwa wapakwa mafuta ya bwana lakin yesu baada ya kuja akaleta ubatizo wa maji Na roho
Asante Mungu kwa neno lako zuri kupitia Pastor 🙏.
haleluya am here to testify,from Nairobi kenya Mungu amekua mwema kwangu..few months ago nilihadithia ugumu uliokua umenizidia na hali ngumu ya maisha.niliposikia sauti ya mungu kupitia mahubiri tv ,kwa hakika nimeuona mkono wa bwana yesu,machozi yangu yamevutwa the lord heard my cry and now am at peace. nampenda yesu,baraka tele mtumishi Mmbaga. KWA HAKIKA nashuhudia ukuu kwa kristo amen
Ameeen
God never fails..May He bless and favor you more in the name of Jesus Christ..
Aminaaaa upalikiwe ndugu
Ubarikiwe kwa kuimarisha wito wa Mungu ndani ya watoto wa mungu
Amen, Mungu azidi kukutumia ktk roho na kweli Asante kwa mafundisho ya kiroho uliyofunuliwa na Roho wa Mungu, ni kweli unayosema tusihukumu tusije tukahukumiwa, tunawakwamisha watu wasije kwenye ufalme wa Mungu kwa kuwanyanyapaa, Yesu hakuja kuhukumu bali kuokoa.
Nakukubali sana
Asante
Amen mungu akubariki sana pr
Bwana Yesu asifiwe mtumishi naomba unisaidie hizi ndoto huwa naota naombea watu na kuw ponya hii ndoto inamaangan please mtumishi nisaidie
Yes pastor barikiwa sana mtumish
Baba mchungaji asante kwa neno. Nami kutokana na ushuda wa mchungaji naomba uniombee na Mimi naumwa tumbo na chembe ya moyo miaka 20 sasa silali usiku naomba kinywa chako kiongee na aliye juu niweze kupona
Mpendwa huwezi amini nilikua naumwa tumbo la mwezini ( kwa wanawake) mwezi wa 6 niliokoka vizuri kabisa kwa msaada wa Yesu nikamshikilia Yesu vizuri huwezi amini alinifungua vifungo vyote ata tumbo nilifanya Maombi kwenye simu na Mchungaji Yesu mkono wake ukagusa tumbo langu na likapona kwaiyo Mimi nakushauri kama hujampokea Yesu batizwa na umpokee ununue bible uongozwe na Roho mtakatifu yani kuna mambo yatafunguka yenyewe bila at Mchungaji kukuombea japo nawenyewe wana umuhimu sana ila ukiwa na Yesu vizur n raha sana na utafunguka meng,Mungu akusaidie upone
Amen ubarikiwe PR mmbanga
SAWA pastor nashukuru SANA kwa msaada wa elimu hii nzuri 🤔.
Asante Mchungaji kwa somo zuri lahisi na jepesi Amina ninashukuru sana.
Asante Yesu kwa kuondoa udhaifu wetu na kutuweka huru,barikiwa sana mtumishi wa Mungu,Amina
From this teaching we need forgiveness in our faith. Amen amen ubarikiwa.
Amen pr somo nzuri hilo, Mungu nisaidie niweze kukutumikia katika maisha yangu
Good preaching and teachings....God bless you for your good work.
Amina nabarikiwa sana na mahubiri haya pasta
Amen barikiwa sana
Amen. Pia nawe ubarikiwe 🙏🙏
Asante pastor ubarikiwe.
Mungu tusaidie tufanane na wew kroho
Nashukuru mchungaj kw neno la uzima,nimebarikiwa sana!!!
Ee Mungu wangu ni sahidie, kuzingatia neno lako,
Hallelujah. Ahsante kwa mahubiri mchungaji
Asnt past leo umenifunza kitu kikubwa sana mm hofu ilikua imenitawala lakini leo umenipa ujasiri mkubwa jana tu kunakitu kimenitokea sijawai kutokewa ila chaajabu nikaaza kukemea ila hofu ilikua kubwa mno lakini umenifunza sana mungu akubariki sana 🙏
Ubarikiwe sana mchungaj wetu
awaaah thank you God for this pastor
Amen Amen Amen am blessed
MUNGU atusaidie sana AMEN
Amen
Amina mwalimu
Asante mchungaji kwa somo zuri ubarikiwe sana
Amen and Amen nimebarikiwa sana kwa somo hili
The best preaching ever 👍🙋
Amen Pr. be blessed
Amen amen
Ubarikiwe sana pr.
Amina 🙏
Mchungaji ubarikiwe nipo katika mitihani naomba uniombee
Ameeeeen God bless you pastor 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼💖💓😍
Amen mchungaji
Mungu nisidie, niokoe, nihurumie
Thank you Lord for your blessing.
Amen🙏🙏🙏
Amen pastor.
Ameen
Ameeeeeeen blessed
Mtu wa huzuni nyingi ajuaye sikitiko
Yesu ni mkombozi wa ulimwengu Hakuna wokovu kwa mwingine
Amina pastar ubarikiwa
Amina
AMEN
BWANA ni mwema PASTOR,kwny kile kitabu chako umesema ili kusikia sauti ya MUNGU lazima uwe umebatizwa,vp kuhusu Samweli je alikuwa amebatizwa maana kwa uelewa wangu najua alikuwa mdogo naomba unisaidie PASTOR.
Ndugu kwa uelewa wangu, Mungu Ni roho, na binadamu Ni nafsi ambayo Ina roho na inaishi kwenye mwili, hivyo binadamu ana Roho, Nafsi na Mwili, mwili una viungo na milango ya ufahamu ambayo husaidia nafasi. NAFSI Ina akili, hisia na Nia. Hivyo kufikiri, kupenda, kukasirika, kuumia, pamoja na kufanya maamuzi Ni kazi ya Nafsi.
Kwa kuwa Mungu Ni roho sehemu pekee ya ubinadamu ambayo inaweza kuwasiliana naye Ni roho, hivyo binadamu akitaka kumsikia Mungu lazima roho yake iwe active, pili aweze kutenganisha Kama hiyo sauti inatoka kwenye, roho yake, Nafsi yake au Mwili wake.
Sasa tatizo lilianzia Edeni binadamu alipovunja amri ya Mungu bustanini sehemu yake moja Kati ya zile tatu alizopewa yaani roho ilikufa, hivyo kuanzia kipindi hicho binadamu akawa hawezi Tena kuwasiliana na Mungu hata kumpenda automatically maana software muhimu Ambayo Mungu alikuwa anahifadhi Mapenzi yake ndani ya Mwanadamu imekufa, hivyo haiwezi kupokea updates, ndiyo maana ya kupewa sheria kwenye makaratasi maana alikuwa hawezi kuhifadhi moyoni.
Mungu aliona taabu anayopitia Mwanadamu kwa kuwa alikuwa Hana ushirika naye, ikabidi atafute namna ya kuifufua roho ya Mwanadamu iliyokufa, na njia yenyewe ikawa amtafute mtu atakayebeba na kulipa ule uovu wa adamu wa kwanza age, alafu afufuke na roho iliyo hai, hivyo kuitwa adamu wa pili, kwa maana hiyo usipobatizwa wew baba yako bado Ni yule adamu wa kwanza ambaye roho yake haiko active, inabidi ubatizwe ili uweze kuhamishwa kwenye ukoo wa adamu wa pili ambaye Ana Roho active. Ndo maana Yesu anasema kilichozaliwa kwa Mwili Ni Mwili, alaf kilichozaliwa kwa roho ni roho, hivyo unapobatizwa unakuwa umezaliwa kiroho, unakuwa na viungo vyako vyote Kama vile vya adamu kabla ya dhambi, yaani roho, nafsi na Mwili, hivyo sasa Bwana anaweza kukusemesha maana una roho ambayo iko active,
Kwa kesi ya Samueli kipindi hicho doctrine ya ubatizo ilikuwa haipo hivyo, walikuwa wanatahiri siku nane tuu pale mtoto anapozaliwa ambayo kipindi hicho ilikuwa Sawa na ubatizo, angalia kolosai 2:11-12
ila Hawa Ni uzao wa ibrahimu, kwako wewe njia pekee yakuingizwa kwenye ukoo wa Yesu, Daudi, ibrahimu, na Yakobo na kuwa mrithi pamoja nao Ni ubatizo.
@@godfreygeffi3865 ahsant mpendwa nimekuelewa vzr pia
Samweli alibatizwa Na ubatizo waroho maana hapo mwanzo kulikuwa hakuna ubatizo wa maji watu walikuwa wapakwa mafuta ya bwana lakin yesu baada ya kuja akaleta ubatizo wa maji Na roho
Barikiwa m2 wa Mungu
@@godfreygeffi3865 OK asante mpendwa Ubarikiwe.
🤗🤗
Amani amani
Tunablikiwa sana
Pastor kwa nn makanisa yanafuta ushirika ?
🙇♂️🙇♂️🙇♂️
Mbarikiwe wote mnaofuatilia masomo yote ya mahubri TV
Amen
I blessed
𝒃𝒂𝒓𝒊𝒌𝒊𝒘𝒂 𝒔𝒂𝒏𝒂 𝒑𝒂𝒔𝒕𝒐𝒓
Lucy from Musoma
Barikiwe sana Mtumishi
th-cam.com/video/FcEpBLmG_Tw/w-d-xo.html
Amen
Amen amen
Amina
Amen
Amen amen amen
Amina
Amen
Amen
Amen