Ondoka kwangu kwa kuwa mimi ni mwenye dhambi,Mungu amenibatiki jambo moja hapa,hakuna lugha ya mwanadamu inaweza kuelezea,Namtukuza Mungu kwa ajili ya mtoto wake Pastor Mbaga,Jina la Yesu litukuzwe milele Haleluyaaaaa
Mungu akubariki pastor,zamani tulikuwa hatusikizi Sana mahubiri ya wasabato kwa sababu yalikuwa ni kuisema siku ya sabato,amri kumi,namba 666,now tunafundishwa wokovu,YESU endelea kumtumia mchungaji huyu
AMEN🙏AMEN🙏....kwanza choir barikiweni sana nimependa huo wimbo;...mchungaji barikiwa kwa mahubiri yako kwetu yanazidi kutujenga ki imani kila wakati🙏🙏🙏🙏AMEN🙏kutoka KENYA nashukuru🙏🙏💞💞💞💞💞💞🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hakika Mungu akuhifadhi Mchungaji. Mafundisho yako ni fire!! Hata mtu awe na kichwa ngumu kiac gani lazima atakuelewa. Acyetoka na kitu mmmmhh!! Hilo ni sikio la kufa halickii dawa. Barikiwa Mtu wa Mungu.
Hyoo nyimbo ya nyegez hakika ni nyimbo nnayo ipenda Sana ila walio imba hakika hawajaimba inavyo takiwa hyoo nyimbo ni nzur sana lakn hawajaimba vzur Mungu awaongoze siku nyingine mkaiimbe vzur zaid
kiukweli pastor vitu unavyofundisha ni vigumu kuvimudu kibinadam Mungu atusaidie kuviweza. Pengine usinielew ila kuna siku natazama video yako unasema tujiufunze kunyamaza ila nikiwa bado naingalia mtu akaniuzi kwa kwel sikunyamaza kama ulivyosema ila baada ya kumjibu ndio nakumbuka nilipaswa kunyamaza, ila nipo bado napambana kuhakikisha ile siku na mimi nakuwepo katika ule ufalme wa mbingu.
Ondoka kwangu kwa kuwa mimi ni mwenye dhambi,Mungu amenibatiki jambo moja hapa,hakuna lugha ya mwanadamu inaweza kuelezea,Namtukuza Mungu kwa ajili ya mtoto wake Pastor Mbaga,Jina la Yesu litukuzwe milele Haleluyaaaaa
Amina barikiwa sana mtumishi na mie ni mroman Catholic nakufatilia sana mchungaji pia nabarikiwa sana nipo Oman Muscat
Fundi mitambo jitahidi kwenye sauti,iko hovyo Sana.
Mungu akubariki pastor,zamani tulikuwa hatusikizi Sana mahubiri ya wasabato kwa sababu yalikuwa ni kuisema siku ya sabato,amri kumi,namba 666,now tunafundishwa wokovu,YESU endelea kumtumia mchungaji huyu
Nakubaliana nawe, mchungaji huyu amebadilisha mitazamo yangu mingi, ameisaidia sana uelewa wa neno.
Sabato hawez acha
AMEN🙏AMEN🙏....kwanza choir barikiweni sana nimependa huo wimbo;...mchungaji barikiwa kwa mahubiri yako kwetu yanazidi kutujenga ki imani kila wakati🙏🙏🙏🙏AMEN🙏kutoka KENYA nashukuru🙏🙏💞💞💞💞💞💞🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hakika Mungu akuhifadhi Mchungaji. Mafundisho yako ni fire!! Hata mtu awe na kichwa ngumu kiac gani lazima atakuelewa. Acyetoka na kitu mmmmhh!! Hilo ni sikio la kufa halickii dawa. Barikiwa Mtu wa Mungu.
Pastor uko vizuri sana Mungu akubariki sana
Ahsante Mungu kwa Neema ya kuweza kusikiliza hili somo🙏
Mtumishi ubarikiwe sana na Mungu akujalie neema katika mafundisho yako nimejifunza ukuu wa Mungu
Mungu akubariki sana mchungaji
A big Amen and Amen 🙏🙏I am blessed alot may God bless you pastor
But watu wa mitambo just be serious alot na voice za micks pliz
Hyoo nyimbo ya nyegez hakika ni nyimbo nnayo ipenda Sana ila walio imba hakika hawajaimba inavyo takiwa hyoo nyimbo ni nzur sana lakn hawajaimba vzur Mungu awaongoze siku nyingine mkaiimbe vzur zaid
Mungu hajui kuchelewa anakuja kwa wakati amina
Fundi mitambo rekbisha mambo,sauti inamchanganyiko wazingine sauti.
Hii nayo imenifikia najua nitabariwa
Ameeeeeen🙏
Amina sana nabarikiwa na masomo mazuri
Mungu akubariki Pastor 🙏.
Nimejifunza kitu hapa hata Mimi niliwahi kuibiwa hela yangu yote benk nililia sana
Jamani naenjoy sana haya maubiri, barikiwa sana Amen
Mmmh MBNA wimbo huoo sound inazingua
Mwangwi unasumbua
Barikiwa sana mtu wa Mungu kwa somo zuri
Amen ❤
Pastor, MUNGU AKUBARIKI TU MAANA MAFUNDISHO YAKO YANA KITU CHA THAMANI KWANGU
Mwangwi unasumbua sn
kiukweli pastor vitu unavyofundisha ni vigumu kuvimudu kibinadam Mungu atusaidie kuviweza.
Pengine usinielew ila kuna siku natazama video yako unasema tujiufunze kunyamaza ila nikiwa bado naingalia mtu akaniuzi kwa kwel sikunyamaza kama ulivyosema ila baada ya kumjibu ndio nakumbuka nilipaswa kunyamaza, ila nipo bado napambana kuhakikisha ile siku na mimi nakuwepo katika ule ufalme wa mbingu.
Mungu akubariki sana pastor mbaga
Mungu akusaidie
ndiyo
Amen amen
Mbona sauti inabadilikabadilika?
Fundi mitambo atulie asiguseguse mitambo.
Mwangwi unasumbua. Unaniboa
Mitambo ya sauti inaboa
Sa mchungaji umesema kwamba Mungu aliacha kutoa wake, halafu hii Mithali 19 : 14, mke mwenye busara mtu hupewa na BWANA imetokana na Nini?
What a blessed sermon
Asnte Mtumishi naomba namba yako
Amen
Amina
Sound error
Amen