Kwani wewe ndio ulimtengenezea ukaeka taji yake uko mbinguni ? Mchungaji anahubiri lkn Mungu ndio anajua mambo yake ya mbinguni imani yake huioni sasa unamuahidi taji gani muache Mungu amuahidi yeye.
Asante sana Pastor kwa mahubiri , naomba Mungu azidi kukupatia afya njema ili uzidi kuhubiri neno lake.. Yaani tukifika karibu na maombi Mara nyingi inakatika..lakini Nina Imani yote uliyooomba nasi tumeyasikia..
Huyu Pastor, ametimiza unabii wangu miaka si mingi imepita. asante yesu. Dini sana sana ya SDA ambaye imefanya bidii sana kukuza watu kama sisi kwa njia bora za mungu walakini walibaki nyuma kiroho, watakuwa wakwanza.
Paster hapa nilipo mtandao waintenet ya vodacom haushiki nikifungua kuangalia habari za kidunia ila nikifungua mahubili haugomi wala kukwama huyu Mungu ni wanamna gani hata tuwe na moyo mgumu tusimwamini Mimi sasa naamini kabisa bando hili lisaidie nikisikia neno la Mungu na mfumo wa maisha yangu ubadirike
oooooh Mungu wangu !!mtumishi David Mbaga umenifundisha jambo kubwaaa mnoooo,hili somo ni kuu kama nini,tafadhali moyo wangu unahitaji kukuona Mtumishi,wkt mwingne kwenye maisha yangu ninakutana na mambo ya ajabu sana,naumizwa na kujeruhiwa yaan maneno magumu na mazito ya kusingiziwa !niombee kwa kuwa cjui kwanni nakutana na mambo km haya ,story yako ya maisha ya kwenye daladala ni somo zito mno,naamin na nimeona kama unaniponya mimi,Ninahis amani unavyofundisha,asante Mtumishi
Pastor Ashuriwe MUNGU kwani katika maupiri yako nafwata sana lakini nilikuwa iko siku nitapona kwaimani yangu MUNGU alikuwa nakusudhi na Mimi kwani kilicho nifunga macho kimeondoka kwajina la YESU uparikiwe pastor AMINA
Kabisa pastor kwanza Imani yangu imeingia test kubwa ya kupambana na mapepo kwenye nyumba yetu ila Mungu anatenda mpaka yakanikaba shingo ila Mungu aliingilia shingo halikuleta shida aendelee kunipigania
Nashindwa kukuelezea zaid ya kusema hii ndio injili tuliokua tunaitaji,Coz Nilisha wahi kumuliza Mzee wangu wa kanisan kuhusu Mungu kuongea ,Alisema hilo jambo halipo na aliongea na Ellen G white tu,Wakat mm nilisha sikia sauti ya Mungu Mara kadhaa,ilinisikitisha sana
Ni kweli unaomba mpaka inafika mahali ni kama Mungu amekuwacha.mahubiri yako imenitia Imani nime mambana mpaka nimefika mwisho na kosa matumaini lakini nakataa kutenda dhambi kwa wakati wake Mungu atajibu maombi.
Mimi nina ndoto kila mara na sijaijua maana yake yaani najikuta mahali kuna fanyika kitu na niko na simu lkn nikitaka kupiga picha nakuta aidha simu inaenda betrey low au kioo inaziba so siwezi piga picha sijaijua huwa inamaanisha nini
Amina pst ooooh mm niko utumwan sina ruhusa ya kuabudu lakin naingiaga kwa chumba changu nasali nanikipata nafasi y kuskiza yutube napata habari njema inanihuuisha upya hakika sitatupa kitbulisjo changu naomba unikumbuke kwa maombi kutoka Bahrain
David Mmbaga Mtumishi wa Mungu umejibu maswali mengi sana. Nina siku tatu nakusililiza ila nimebarikiwa sana. I wish ningekufuatikia mafundisho yako muda mrefu ungenisaidia sana lakini hakijaharika kitu mungu anafanya vitu kwa wakati wake. Mungu akulinde Skype miaka mingi ya kuishi ili utusaidie kiroho. Zaburi 91
Mahubiri Tv karibu Sana kanisa gani ??? Mm Niko Kangemi SDA Church camp meeting inaisha leo,,, choir yako inaitwa kibangu juu SDA Church choir iko hapa unaijua??
Mahubiri Tv karibu Sana Sana brother mahubiri yako yamenitia nguvu kweli kweli kabisa,laiti nikuone life siku iyo,,,Kuna jamaa yupo Dodoma aliniambia anakujua,,barikiwa Sana,, welcome!!!
Ikiwezekana wana D.R.Congo kuyafata mafundisho haya.
Mungu atusaidiye sana.
Mubarikiwe✋
Amina,Asante kwa ujumbe mzuri, barikiwa mchungaji na jina la Bwana litukuzwe
Mungu Akulinde nakuelewaga sanaaaa mchungaji David Mbaga
Mungu azidi kukutumia uzidi kutushibisha kiroho, Ubarikiwe sana
Hakika,huu ndio ujumbe ambao ulimwengu wa sasa unauhitaji Mungu atusaidie sana,Baba azidi kukutumia pastor.
Amen and Amen 🙏🙏 you have gifted me from where I was God bless you sooooooo much pastor
Kweli pastor Mungu awabariki sana pastor wote kwa kazi yao nzuri tunawaombea Mungu awatunze vyema
Aah Mungu akubariki sana, I'm really blessed May our Lord Jesus bless you abundantly Pst
amina Sana pastor wetu, taji yako inakusubiri Mbinguni.
Kwani wewe ndio ulimtengenezea ukaeka taji yake uko mbinguni ? Mchungaji anahubiri lkn Mungu ndio anajua mambo yake ya mbinguni imani yake huioni sasa unamuahidi taji gani muache Mungu amuahidi yeye.
Asante sana Pastor kwa mahubiri , naomba Mungu azidi kukupatia afya njema ili uzidi kuhubiri neno lake..
Yaani tukifika karibu na maombi Mara nyingi inakatika..lakini Nina Imani yote uliyooomba nasi tumeyasikia..
Nice
Ubali kiwe
Barikiwa Pastor
Nami mwaka huu MUNGu anitambulishe etc in USA kama mkristo. nishinnde vita vya imani Amen A😇😇😇🏠💗💖😀
Amina Amina nabarikiwa kwa kweli Ee Mungu utusaidie barikiwa Mtumishi
Pastor MUNGU Akubalik saana maana mim kila ninapo sikiliza somo lako kuna jambo linatokea ambalo nizuri katika poa nabalikiw saana Ase
MUNGU akubariki sana mtumishi....nipokea mafundisho mazuri
Mungu akubariki Sana Pastor, tumebarikiwa sana ulipo kuwa Ukonga, Mungu atukuzwe
Amen Mungu atabaki kuwa Mungu hata katika manjugumu yeye ni Yaweah tu.
Mchungaji Mungu Akubariki sana nakuelewa mtumishi nahitaji kujua zaidi HAKI KWA IMANI
Crich J. Nitumie email kwenye davidmmbaga@gmail.com
Ivi wangapi 2nashambuliwa
Weka like 2juaneee😂😂😂
Helloo pastor barikiwe sana kwa neno sasa naomba unisaidie ni vitabu gani vinavyo nipasa kusoma kwa ajili yakutubu
@@trihanah7725 biblia 2 mwenywe utajihis ku2bu 🙏
Ibrah Joel yaani! Yaani
Ameeeeen Mungu nipe Imani hii Imani imara isiyotikiswa wakati wote
Amen pastor karibu kenya
Mungu akubaliki mtumishi umeniinua kiimani sana
Huyu Pastor, ametimiza unabii wangu miaka si mingi imepita. asante yesu. Dini sana sana ya SDA ambaye imefanya bidii sana kukuza watu kama sisi kwa njia bora za mungu walakini walibaki nyuma kiroho, watakuwa wakwanza.
amen pastor nabarikiwa sana
😂😂😂 Ubarikiwe Mr David mbaga
Asante kwa mahubiri mazuri YAWE akubaliki na akutie nguvu
Jina LA Bwana lipewe sifa.Bwana akuzidishe Imani kwa kukujaza na Roho Mtakatifu.Bwana abariki na familia yako.
Amen pastor ,God bless you .
Amen....ubarikiwe Baba.
Amina mungu akubaliki pastor
Unanibariki sana mm pasto bura
You are truly a chosen savarnt of almighty creater
not sure if anyone cares at all but I just hacked my girl friends Instagram account using Instablaster.
Mungu akubariki Sana Mtumishi
Mtumishi nitakupataje nimeupenda ujumbe huu
Amen,Mungu nisaidie nami nifikie utukufu wako
Natamani kila siku uwe una upload mahubiri mapya. Maana nasikiliza hadi nakosa ya kusikiliza naanza kurudia ya nyuma. Barikiwa sana pastor!
Joshua Nyamaiswe Tuombee tupate team ya kutosha. Mahubiri Tv ina team ya watu wawili wa kujitolea. Ombea huduma hii
Amina
Tupo wengi tunaosikiliza ,mpaka na mahubiri ya nyuma,kiukweli mungu ni mwema
Surely Am blessed by the word
Amen🙏
Amen. God bless you Pastor abundantly.
Karibu sana Kenya.
Angel Nyamisa ,,,pr anafaa kuwa Kenya vile alinishow last month,,,,moganyere nakuru na Nairobi Kenya,,,kwaigure???
Dennison Mogire Nyabaro, where will Pastor be in Nairobi?
Angel Nyamisa ,,yet to confirm Cox bado hajacommuicate
Hi, I have confirmed he will be at Kitengela church nrb and at KITI nks. Will you attend Kite?
Dennison Mogire Nyabaro
Amina mtumishi nashukuru maana nabarikiwa kupita maelezo, mungu akuzidishie na kuzidi.
Somo hili limenichoma sana Na nahisi Kama umeniona jinsi nilivyoo kwakweli nimepata jibu lakumpa shetani hatonisumbua tena
Mungu amekuona
@@MahubiriPrMmbaga Aminaaa
Barikiwa mtumishi
Amen kubwa
Watumishi MUNGU anatakamuzae matunda mema. Tutawatambuwa kwa matendo mazuri 😇😇🚛
Amen 🙏🙏🙏
Nashukuru mtumishi kwa ujumbe mzuri
Jina la BWANA litukuzwe AMINA
Amina, Mungu ashukuriwe milele!
Wow Amina👏👏
AMEN
Nimebarikiwa sana mtumishi
Paster hapa nilipo mtandao waintenet ya vodacom haushiki nikifungua kuangalia habari za kidunia ila nikifungua mahubili haugomi wala kukwama huyu Mungu ni wanamna gani hata tuwe na moyo mgumu tusimwamini Mimi sasa naamini kabisa bando hili lisaidie nikisikia neno la Mungu na mfumo wa maisha yangu ubadirike
Ameina😊
mungu atukuzwe
oooooh Mungu wangu !!mtumishi David Mbaga umenifundisha jambo kubwaaa mnoooo,hili somo ni kuu kama nini,tafadhali moyo wangu unahitaji kukuona Mtumishi,wkt mwingne kwenye maisha yangu ninakutana na mambo ya ajabu sana,naumizwa na kujeruhiwa yaan maneno magumu na mazito ya kusingiziwa !niombee kwa kuwa cjui kwanni nakutana na mambo km haya ,story yako ya maisha ya kwenye daladala ni somo zito mno,naamin na nimeona kama unaniponya mimi,Ninahis amani unavyofundisha,asante Mtumishi
Amen
'Kumbe nimekaaa na mtu mbaya hapa 'kumbe mtu mbaya ni wewe mwenyewe duh..wachawi jamani badilikeni🙏🙏🙏
Pastor Ashuriwe MUNGU kwani katika maupiri yako nafwata sana lakini nilikuwa iko siku nitapona kwaimani yangu MUNGU alikuwa nakusudhi na Mimi kwani kilicho nifunga macho kimeondoka kwajina la YESU uparikiwe pastor AMINA
Amina
Tuombe kuongezewa imani
Kabisa pastor kwanza Imani yangu imeingia test kubwa ya kupambana na mapepo kwenye nyumba yetu ila Mungu anatenda mpaka yakanikaba shingo ila Mungu aliingilia shingo halikuleta shida aendelee kunipigania
Mtumishi mimi nasematu asante kwasababu nakosa hata chakusema
Nimebarikiwa na haya mahubiri🙏🙏
Mungu akubaliki
Nimebarikiwa kupitia ww,Mungu anisaidie
Uwonga umeshindwa Kwa jina la Yesu
Muujiza ulitendeka ndani ya Moto na siyo inje ya Moto ingia Kwanza pr. siku nikushika mkono naomba ROHO anikumbushe nikwambie hivyo tena
Nimekuelewa Mtumishi
***Kanyaga kanyaga hakuna kuogopa wew kanyaga***
amina tuishinde dhambi karbu karatu pr mbaga
Mchungaji ubalikiwe sana
AMEN🙏
Pr.ubarikiwe,swali langu ni kuwa huyo Pr. Ulosimulia habari zake aliyefia offisin jina lake nani?
Barikiwa sana mtumishi
Amina barikiwa sana
amen.
Nashindwa kukuelezea zaid ya kusema hii ndio injili tuliokua tunaitaji,Coz Nilisha wahi kumuliza Mzee wangu wa kanisan kuhusu Mungu kuongea ,Alisema hilo jambo halipo na aliongea na Ellen G white tu,Wakat mm nilisha sikia sauti ya Mungu Mara kadhaa,ilinisikitisha sana
Piga kazi mtumishi
Nimebarikiwa mno ahsant Mungu
Kuna kipindi nilipitia hiyo mambo ya wewe wajua yaani maneno yote yalipotea
Umesema ukweli mtupu imenitendekea leo nika kana kabisa
Ni kweli unaomba mpaka inafika mahali ni kama Mungu amekuwacha.mahubiri yako imenitia Imani nime mambana mpaka nimefika mwisho na kosa matumaini lakini nakataa kutenda dhambi kwa wakati wake Mungu atajibu maombi.
Amin amin
Mimi nina ndoto kila mara na sijaijua maana yake yaani najikuta mahali kuna fanyika kitu na niko na simu lkn nikitaka kupiga picha nakuta aidha simu inaenda betrey low au kioo inaziba so siwezi piga picha sijaijua huwa inamaanisha nini
Nimebarikiwa sana
You are always a blessing pr
Mungu atusaidie kujiimarisha kiimani
Very much blessed from nakuru Kenya
Amina
/mbaga hapo ndiyo penyewe ubarikiwe
Nina mshukuru MUNGU kwa neema kubwa iyi amenipa ya ku sikia ili neno la MUNGU,
Niko D.R.CONGO, KIVU YA KASKAZINI, MJI wa GOMA
Amina
jina LA somo zuri lakin umezungumzia somo lingne LA imani ...ungetutafutia hilo somo kamili LA kwanini unashambuliwa ,imani n somo lingne
amen
Amen
Amen
God your bless
Na ww
Amena
Amina pst ooooh mm niko utumwan sina ruhusa ya kuabudu lakin naingiaga kwa chumba changu nasali nanikipata nafasi y kuskiza yutube napata habari njema inanihuuisha upya hakika sitatupa kitbulisjo changu naomba unikumbuke kwa maombi kutoka Bahrain
Amen Barikiwa
Mungu akupe nguvu
MUNGU aendelee kukuvunulia Saidi ili wengi waje kwake
Kwa nini usiondoke huko mpendwa?
15:00
ambiere nikushukuru ambu mi ninavogha Mira yoo nimwisho
NACHELEA KUJITAMBUA MIMI NI MTU WA DUNIA SASA HAKIKA YAKO MUNGU AKUBARIKI NAOMBA NAMBA YAKO NINA SWALI AU 0714454242
Yagwisha Heke +255764600129
David Mmbaga Mtumishi wa Mungu umejibu maswali mengi sana. Nina siku tatu nakusililiza ila nimebarikiwa sana. I wish ningekufuatikia mafundisho yako muda mrefu ungenisaidia sana lakini hakijaharika kitu mungu anafanya vitu kwa wakati wake. Mungu akulinde Skype miaka mingi ya kuishi ili utusaidie kiroho. Zaburi 91
amina
Pr umefika Kenya??? Maana uliniambia utakuwa nakuru na Nairobi Kenya???
Dennison Mogire Nyabaro Nairobi nitakuwa tr 18/8/2018
Mahubiri Tv karibu Sana kanisa gani ??? Mm Niko Kangemi SDA Church camp meeting inaisha leo,,, choir yako inaitwa kibangu juu SDA Church choir iko hapa unaijua??
Mahubiri Tv karibu Sana Sana brother mahubiri yako yamenitia nguvu kweli kweli kabisa,laiti nikuone life siku iyo,,,Kuna jamaa yupo Dodoma aliniambia anakujua,,barikiwa Sana,, welcome!!!
Amina, barikiwa sana
Uko pande gani ya Nairobi Kenya
a
Amima
Barikiwa mtumishi
Amina
Amen
Amina