Ahimidiwe mwenyezi mungu siku sote maana yy Ni mungu na atabaki kuwa mungu , hakika atusaidie n.a. kutufanya kuwa wana wake kila kunapo kucha, , abarikiwe pst, uendelea kutuombea tuwe na upendo sisi watoto wa mungu
Amina ubarikiwe Mchungaji. I was wrong in my life to trust wrong people and they betrayed me. I have learned that I can put all my trust to God he will never let me down.
Tumwache Mungu aitwe Mungu tu. Mungu yule aliyemwumba mtu, ndiye aliyeshuka akasulubiwa na kiumbe wake. Mungu yule anayeweza kukupandisha, na ni yule anayeweza kukushusha. Mjue Mungu ndipo umfuate nawe utakuwa na furaha maishani mwako!
AMEN;🙏...mchungaji hua wanichekesha sometimes sana.but naishia kubarikiwa.asante kwa yote.hio movie ya nigeria nami niliona na kwakweli zinatupa mafunzo sana.kwa yote.....tuweze kumtumainia mungu.
How can we pray for them? Have you got any God's message about what's happening there. Is the preparation of the end of the world? Thank so much may God add you an unbreakable spiritual protection in spreading the Gospel.
I'm in Kenya Refugee camp. I'm from Burundi. I'm among those who were christened.
Amen Asant sana Baba yangu
Ahimidiwe mwenyezi mungu siku sote maana yy Ni mungu na atabaki kuwa mungu , hakika atusaidie n.a. kutufanya kuwa wana wake kila kunapo kucha, , abarikiwe pst, uendelea kutuombea tuwe na upendo sisi watoto wa mungu
Mungu atukuzwe siku zote aminaa 🙏🙏🙏🙏
Bwana asifiwe Mtumishi wa Mungu!
Amen ubarikiwe mtumishi
Amina ubarikiwe Mchungaji. I was wrong in my life to trust wrong people and they betrayed me. I have learned that I can put all my trust to God he will never let me down.
Tumwache Mungu aitwe Mungu tu. Mungu yule aliyemwumba mtu, ndiye aliyeshuka akasulubiwa na kiumbe wake. Mungu yule anayeweza kukupandisha, na ni yule anayeweza kukushusha. Mjue Mungu ndipo umfuate nawe utakuwa na furaha maishani mwako!
Ubarikiwe Sana pasteur
Mungu atusaidie kumtegemea,kutoka Kenya
Amen pr, Mungu tumaini langu somo nzuri
Asante Sana kwa mahubiri mazuri mch, nimejifunza mengi Sana kupitia mafundisho yako na nimeona matokeo mazuri, Mungu akutumie ck zote za maisha yako.
Namwachia mungu arudishe tumaini langu Kweli ni ache ngutumani watu ni mutumaini yeye mille Ameen 🙏
Amen amen nakuelewa muchungaji🇰🇪
AMEN;🙏...mchungaji hua wanichekesha sometimes sana.but naishia kubarikiwa.asante kwa yote.hio movie ya nigeria nami niliona na kwakweli zinatupa mafunzo sana.kwa yote.....tuweze kumtumainia mungu.
mtumishi Mungu akutangulie, natamani mwanangu aje kuwa kama wewe baba!!!
Asanti sana nimeelewa
Unahubiri vizuri Mungu akuinue juu zaidi na zaidi Amina
Amina napokea kwa Jina la Yesu
Mungu uwe tumaini langu la milele
Mungu ndio tumaini pekee mambo yote yatapita ila Mungu ni wa milele tumtegemee yeye pekee hata tuacha milele, ndio furaha ilipo😍
Sure huyu mungu wetu safari ya kumquat ni complicated
Amina .kila wakati nikisikiliza mahubiri yako nabarikiwa.Mungu azidi kukubariki na kuyabariki mafundisho yako
Mungu yu pamoja nawe mchungaji azidi kukupa imani ya kutuongoza katika neno la mungu na utuombee sisi tulio mbali
barikiwa sana mchungaji
Nimejifunza kuweka tumaini langu kwa MUNGU pekee.
Amen i will continue being with this hope and i know that God will change my ways.
Amina sana pastor somo zuri
Ninazidi kubarikiwa na Mahubiri Tv Mungu Awabariki Sana
Ubarikiwe Sana paster
Ubarikiwe paster
Amen
Barikiwa sana pr
Endelea kuokoa roho za watu watu tumjue mungu mungu azidi kukubariki akutie ngvu
How can we pray for them? Have you got any God's message about what's happening there. Is the preparation of the end of the world? Thank so much may God add you an unbreakable spiritual protection in spreading the Gospel.
Amina nabarikiwa.
Amen Amen
Pastor naomba maombi kwa mtoto wa mdogo wangu anaumwa yukokwenye hatari ya kupooza awezekupona
God is good for sure
appreciate
BWANA TUMAINI LANGU, KATIKA JINA KUBWA LA YESU KRISTU
Amina
amen
I would like to know and to understand about what's happening in Ukraine. Is Russia right about what's doing?
Naongea na watu au binadamu?
Amen
🤔🙏
Amen🙏
Amen
Amen
Amina
Amina