Nimekua muoga mm kudhubutu Asante mtumishi wa Mungu umeniokoa kwasomo na maombi mwezi huu nilipata pesa hila niliogopa kufanya biashara sababu ya woga wa kudhubutu nikaamua tu kununua vitu vya nyumban kwangu kuliko kufanya biashara nimeogopa kupata hasara Kama hasara nilizopata mwanzo Asante mtumishi
Mimi hali yangu ya kiuchumi sio mbaya Sana wala sio nzuri sana ila ninaposikiliza neno la mwenyezi mungu kwa kupitia kinywa chako nahisi nimemiliki vitu vyote vya ulimwengu na moyo wa kupambana na maisha niliyonayo unanizonga kwa kasi maana bado ni mwanafunzi kidato cha pili na ila kiukweli ninafurahi Sana kila ninaposikia maneno ya mungu kwa kupitia chombo chake ambacho ni pastor David mmbaga
Mungu wa mbinguni akubariki sana sana mchungaji napenda sana masomo yako mungu atukumbuke hata sisi ambao tumeanza na biashara ndogo ila bado ndani yangu nakir ushindi
Mungu azid kukutia nguvu pastor mahubir yako yanijenga sana na kinipa faraja nilitaman sana kama ungekua karibu familiar yetu inamatatizo makubwa sana naamin unaweza kua msaada mkubwa sana kwetu kulingana na mungu anavyokuongoza
Eee somo langu kabisa Yaan naogopa kufanya biashara mm mwezi huu nimetilia mashaka kila biashara nayotaka kufanya Yesu anisaidie
Amen amen ubarikiwe sana pr Mungu akubariki sana
Nimekua muoga mm kudhubutu Asante mtumishi wa Mungu umeniokoa kwasomo na maombi mwezi huu nilipata pesa hila niliogopa kufanya biashara sababu ya woga wa kudhubutu nikaamua tu kununua vitu vya nyumban kwangu kuliko kufanya biashara nimeogopa kupata hasara Kama hasara nilizopata mwanzo Asante mtumishi
Amen 🙏 Nimebarikiwa na hili Somo 🙏 Ubarikiwe sana Mtumishi wa MUNGU
Nimebarikiwa pasteur David mungu ubarikiwe Sana kwa ushauri mzuri sana
Amen ubarikiwe sana Mchungaji
Mungu akupe maisha marefu uzidi kutulisha chakula kilichobora cha kiroho 💖💖💖💖 nakufuatilia kila siku
Amina,Mwenyezi Mungu akubariki sana pastor
Mungu akubariki nimeona hili somo leo na nimebarikiwa sana Pastor
Mchungaji ninabarikiwa Sana Asante Yesu kwa kulisikia hubiri hili
Mimi hali yangu ya kiuchumi sio mbaya Sana wala sio nzuri sana ila ninaposikiliza neno la mwenyezi mungu kwa kupitia kinywa chako nahisi nimemiliki vitu vyote vya ulimwengu na moyo wa kupambana na maisha niliyonayo unanizonga kwa kasi maana bado ni mwanafunzi kidato cha pili na ila kiukweli ninafurahi Sana kila ninaposikia maneno ya mungu kwa kupitia chombo chake ambacho ni pastor David mmbaga
Amen mbarikiwe wachungaji
Natamani siku moja uje ututembeleee ukukeetu USA 🇺🇸 Omaha Nebraska
Kijerumani Yesu ni Jesus Kristus.
Mungu hawabariki sana watumishi wa BWANA
Tunapigan na vita isiyo saiz yetu neno hilo limekuwa mbaraka sana kwangu japo hukulisem sehm hii ubarikiwe sana mchungj
Ameeeeen nimepoeka roho ya ushindi wa bwana
Mchungaji Mbaga, nimekuelewa sana. Umeniinua tena. Umeamsha imani tena.
Hili somo kila mmoja wetu analihitaji kulisikia. Barikiwa sana
Amen wana kwaya Mungu awabariki
Nimebarikiwa sana Pastor. Mungu azidi kukutumia.
Mungu ananibdilisha kuptia wewe mchngaji nakuombea baba yangu azidi kukutumia
Mungu wa mbinguni akubariki sana sana mchungaji napenda sana masomo yako mungu atukumbuke hata sisi ambao tumeanza na biashara ndogo ila bado ndani yangu nakir ushindi
Amen Mungu awe nawe siku zote akutie nguvu barikiwa pastor much love
Amen Ubarikiwe Mtu wa Baba
Amina pastor mmbaga umenibariki sana. Mungu azidi kukutumia rafiki
MUNGU wa Ibrahim Isaka na Yakobo akubariki Pastor
Amina . Ahsanteeee kwa somo zuri
Amen nabarikiwa na neno hili Asante mchungaji mungu akuinue saidi
Amina pr barikiwa
Barikiwa sana Mchungaji
Amina barikiwa sana mchungaji nawapata vizuri kutoka Oman Muscat
Amen 🙏. Thanks Lord for the blessings
Amen,ubarikiwe
Mitambo inasumbua kidgo lkn
@@producer_nash ndio
0766100036 nicheki
Mungu azid kukutia nguvu pastor mahubir yako yanijenga sana na kinipa faraja nilitaman sana kama ungekua karibu familiar yetu inamatatizo makubwa sana naamin unaweza kua msaada mkubwa sana kwetu kulingana na mungu anavyokuongoza
Amen amen amen Mungu akubariki pr
Tupo pamoja pastor from Australia
Mungu pokea sifa na utukufu
Huu ujumbe ni kwa ajili yangu, Mungu nisaidie.Barikiwa xana pr,
Amen. Nimepoke kwa Jina la Yesu.
Bwana wa sabato akubariki mchungaji
nime barikiwa
Pr. Mmbaga, hili ni somo muhimu sana kwa vijana wa leo
barikiwa na Bwana
eee Mungu nami nibariki
Amen hakika Mungu wangu ni mkuu kuliko wao
Amina Mungu akupe neema na rehema siku zote hallelujah!
Amina nimepokea hizo baraka kupitia utube 🙏🙏🙏
Kama kuna raha ni kua ktk kristo Yesu
Wimbo mzuri, YESU,huokoa..Aminaaa!!
Amina ila mchungaji huwa unamaanisha Nini pale unapo sema naongea na binadamu au na mtu hapo mm sikuelewi nisaidie mtu Ni yupi na binadamu Ni yupi
Ili usikivu uongezeke
Pastor mahubiri yako yanazidi kunijenga kila uchao,nafwatilia kutoka kenya
Aaaminaa!!!!! Mungu akubariki sana
Amina kwa mafndisho mazururi lakin ninajambo gum sana lakin jepesi kwa Mungu
Karibu sana
Amen amen 🙏 amen 🙏
ubarikiwe
Amen. Asante kwa somo zuri
It good to depend in lord
Nimetiwa nguvu, ninakwenda kufanya.
Bado ujumbe una nguvu japo ni wa muda 🤔.
PASTOR UNANIFURAHISHAGA SANA UNAPOZUNGUMZIAGA HISABATI JAPO MIMI NIMEBOBEA HUKO.
Maubiriyako huwayananijenga kiroho
Tuandikie kitabu cha rugha ya mawasiliano kwa wanandoa mchngaji
Ubarikiwe mchngaji andika kitabu cha mawasiliano kwa wanandoa
Huo wimbo unaoimba kabra ya hubiri unatwaje? Mwenye kuufaham please anifahamishi Et
Ameeen
God bless you
Iyi nyimbo ni Number ngambi yimo kwenye kitabu cha wokovu awu pasta Mbanga?
Amen and Amen
Amina
Naomba namba yako mchungaji
AMEN And AMEN 🤲🤲
Amen
Amen
Amen