HII NI ZIARA YA ASKOFU ELIBARIKI SUMBE KATIKA TAIFA LA ISRAEL!!
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ค. 2024
- Ibada Hii Ilifanyika Kanisa La Vuka Yordani Kisongo Waya - Jijini Arusha Tanzania na kuongozwa na @Bishop Elibariki Sumbe Mwangalizi na Askofu Mkuu Wa Makanisa Ya Grace Evangelical Church Tanzania (G.E.C.T)
Follow Our Social Media Pages :
/ bishopelibarikisumbe
/ bishopelibariksumbe
tiktok.com/BishopElibarikiSumbe
/ bishopsumbe
Website
Vukayordani.Org
LIKE | COMMENT | SHARE.
UBARIKIWE.
#VukaYordaniChurch #KisongoWaya #ArushaTanzania
Nimefanikiwa sana kwa ziara ya mtumishi wa MUNGU Askofu Elibariki Sumbe.Natamani siku Moja nami nifike katika Nchi hiyo ya kipekee
Asante yesu kwa matendo yako makuu muno
Ikawe baraka mch sumbe ! mwenyenzi MUNGU azidi kukuinua milele na milele
Amina sifa na utukufu zimrudie MUNGU kwakupa kibali cha kufika huko
Asante Mungu kwa wema wako baba naomba nasisi utukmbuke kwa maombi
Mungu atukumbuke . Ubarikiwe baba askofu 🇨🇩🇨🇩
Amina nimejifinza SoMo limenibariki kweli kuona maeneo Muhim mkubwa ya kushanganza ukuu wa Mungu barikiwa sana Mungu akubariki Bishop Mungu waajabu sana Amina
Bwana yesu asifiwe mungu atusaidie sana 🇨🇩🙏
Amina Bishop na mimi nna shauku siku moja ntaanza ziara za kwenda Israeli nchi takatifu niombee na mapenzi ya Mungu yatatimia mbarikiwe Amina.
Amen baba mtumishi kwa kazi unayo Amen
Mungu akubariki baba mchungaji Sumbe.
Mungu akuongezee miaka mitimilifu mtumishi wa Mungu hakika tunajifunza mengi,Bwana Yesu ibariki familia yangu tukutumikie daima
Asante bwana Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
I was so happy to be at Jericho last March, and I was able to visit there as well! It’s a wonderful country!
Mch Mungu akubariki. Jana nilikuwa Yordan leo tupo yeriko . Nimefurahi sana kuna mkuu alio ukwea Zakayo mfupi lkn pia milima ambapo Yesu alijaribiwa na shetani
GOOD IS AWESOME 👏 Hubarikiwe baba 🙏
Mungu akubariki Sana mtumishi WA Mungu
Nimekufwatilia Baba Mungu asifiwe sana utukumbuke kwa maombi huko uliko
Amen Ameeen namimi na family yangu tuko uko nawewe
Asante yesu kwa kutufanya tukayajua haya kupitia mtumishi wako
Barikiwa sana baba yani nashuhudia mji ambao nasoma kwenye bibilia nkidhani ilipita kumbe ilkua kiukweli yani nawaza mateso waliyo ya pata wana wa Iziraeli kutoka kwa farao haki ilkua ni zaidi ya hatari
Amen 🙏🙏 Asante mungu wangu
Waooooooh nimeona mazgira halisi ya kibibilia
Mungu ni mkuu sanaaaa
Amen Amen Amen
Amena sana sifa kwa Mungu
Oh yeah I remember that’s Masada, I did enjoy the ride going at Herod palace!
Tumuzifu Yesu kirisito Ameeeen
Mungu ni mwema
Amen baba ubarikiwe sana
Ameeen barikiwa 🙏🙏
Amen Amen
Ameen🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
amen ❤❤❤
Amen
Amina baba
Amina, Ubarikiwi sana
Mungu asifiwe sana
Mount of temptation
Ameen
Mungu ni mwema milele.
Ameen 🙏🙏🙏
Hongera sana
Ameeeen Ameeen
Asanti baba Sumbe kwa mafunfisho
Katika hii ziara nimejifunza mengi sana sana yaani kupitia MTUMISHI wa MUNGU barikiwa sana
Waaauu yaani mkuyu bado ukoo
Mungu yupo na wala so story .kama wameweza kutunza hizo kumbukumbu ,tupate kuamini...Neno la Mungu yuhai Jana leo na hata milele...
Ubarikiwe mtumishi wa bwana,na sisi tunaona sanamu ya petro.❤❤❤❤❤❤❤❤❤ 1:14
Amina, baraka sisinipite Mungu wangu
Natamani ziongezewe dakika. dah!
Mungu akutunze baba
8:2
😂Mungu akutangulie kama alivokupatia kibali Cha ziara hii.
Amen
Ameen
Amen