NYOTA ILI IBIWA NA WACHAWI YARUDI KWA JINA LA YESU - VUKA YORDANI NGARAMTONI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
- Ibada Iliyoongozwa Na Mtumishi wa Mungu Bishop Elibariki Sumbe.
Follow kurasa za Bishop Sumbe,Bofya Link Hapa Chini.
/ bishopelibarikisumbe
/ bishopelibariksumbe
LIKE | COMMENT | SHARE.
UBARIKIWE.
Mungu akubariki mtumishi wa mungu sumbe mungu akutiye nguvu
Mungu naomba unirudishie nyota yangu iliyo nyakuliwa na madui zangu kwa jina lako yesu uliye niumba naomba na kwamini amen
Nyota nyota nyota nyota nyota nyota nyota nyota nyota yangu ingae Kwa jina la YESU kristo amen
Mungu nisaidie nyota yangu pia baba nisaidie
Naomba nyota yangu iliyo ibwa na shetani na watu wake , irudishwe na mtumishi Sumbe mu jina la Yesu Kristu, amen
Nami kama Meshack kisosion najiungama na neema hii ya Yesu Kristo aliehai nafunguliwa na nyota yangu irudi kwa upwa kwajina LA Yesu Kristo aliehai amen
Nyota nyota nyota nyota yangu in,gae kwa damu ya yesu
Nmeguswa sana baba ubarikiwe
Mungu naomba Uniondale iki kivuri cha kichawi kitoke kwenye mwili wangu na huu mkosi uniotawala mwili na kunifanya nishindwi kuolewa naachana na kila mwanaume naomba baba niondolee hii roho ya shetani baba katika jina la yesu kristo naomba unifungulie baba amina
MUNGU naomba nyota nyota yangu nirudishiwe kibali chaka kazi kwa jina la YESU kristo amen
Naomba unifungue nipone mgongo nasumbuliwa na pingiri mungu niponye
Mungu akuzidishie macho ya rohoni mtumishi Bwana
Amen,nyota yangu ikawake tena🎷🎷🎷🎷🎷🎷🎷🎷🎷🎷🎷🎷🎻🎻🎻🎻🎸🎻🎻🎻🎻🎻🎻🎤🎤🎤🎻🎻🎤🎤🎤
Amina mtumishi naomba kufunguliwa
Tufungue kwa jina la Yesu kiristo anazarethi Amina.
Mungu ibaliki nyota yangu
Mungu naomba nyota yangu nirudishiwe😭😭😭😭aki nimekaa maisha mangumu sana mungu sikia kilio changu 😭😭😭 nataka nikae maisha ya furaha jameni
Naomba nyota yangu irudi kwangu kwa jina la Yesu
Mungu naomba nirudishiwe nyota yangu iliyofungwa 😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏
Nashukuru Sana Mungu akuongezee neema tere katika kutumika kwakutumia chaneri hii yota iriyokuwa imeibiwa imerudishwa kwa jina la Yesu kiristo anazarethi Amina Mungu Skype kipachi kikubwa mch sumbe
Ubalikiwe sumbe
Amen papa, j'attend votre prière pour moi papa
Mungu nisaidie mimi nategemewa na familia lakin mambo yangu hayaendi nisaidie mungu nifanyie njia naomba😭😭😭😭😭😭😭 nyota yangu ing'ae, ahsante mungu najua utafanya kwa wakwakati wako ameeeeeeeen
Amen Amen I receive I receive I receive I receive
YESU nilejeshee nyota yangu
AMEN AMEN AMEN AMEN
Prophète je besoin de votre prieur dans ma vie mais je suis loin presiment en RDC me Dieu est capable de de faire quelque chose dans ma vie
Yesu mkuu umenibariki sana bishop
Mungu onesha ukuu wako
I receive I receive I receive I receive I receive I receive
I love you man of God
mutumishi wamungu bwana'Yesu akubariki sana mi ni Murundi nimeomba maombi kwasimu yakuza kwa sasa nimepata mimba nanisha za mutoto mwanaume
Amen Amen, glory be to God almighty father
Mungu nami usini pite
Haleluya mimi na mume wangu fungua ndoa yangu ameni na pokea ndoa mpya
Man of God be blessed amen
MUNGU naomba nyota yangu irudi iliyoibiwa na shetani
Mungu akupe uhai mrefu ili uzidi kutufungua katika vifungo vya nguvu za Giza amen
Naomba nifunguliwe ndoa yangu mtume mungu niwekee mkono
oh thanks 👍👍👍👍👍👍
Nyota nyota nyota nyota nyota nyota nyota nyota nyota yangu ingae kwajina layesu kasikazin magalibi kusin kusin
I receive I receive I receive I receive I
Anapatikana channel ipi mtumishi
I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I
Amen naomba siku moja nitafunguliwa
That's Almighty God doing his work 💪💪💪💪
Eee mungu naomba kufunguliwa chochote kilichofungwa kwenye maisha yangu.
Mungu fungua milango yangu kwa jina la yesu
Ameen Mungu azid kukubariki Baba mi nikiangalia huku uwa naona nafunguliwa na mm
Amen
Nyota nyota nyota nyota nyota nyota nyota nyota nyota nyota nyota nyota nyota nyota nyota nyota nyota nyota nyota nyota nyota nyota nyota nyota nyota nyota yangu ingae
Asante sana mtumishi nami naomba uniombee mtumishi,, naomb nifunguliwe
Mungu akubariki Sana Mtumishi 🙏🙏🙏
Bishop elibariki
Oh! Hallelujah! Jesus you are Great! Be glorified forever. Amen 🙏
Shetan mbaya jaman
Amen ameeeen
Naomba kufunguliwa na mm mtumishi
Amen 🙏, Glory be to God 👏, mungu anifungue katika Jina LA yesu 🙏
.
.
Mungu akubariki bishop
Mchungaji asantisana naminakujakwako
Nyota nyota yangu irud emunguwangu
Naomba kufunguliwa
Ameen naomba kufunguliwa Yesu wangu
Ubarikiwe
Hacha Mungu aitwemungu
Naomba niombe Sana bishop haja ya moyo wangu itimie 🙏
Nabarikiwa sana Mungu anavyokutumia
Ameen! Mungu akubariki Mtumishi
Ee, Mungu naomba kufunguliwa Baba
Yesu naomba unifungue
Mungu mkubwa ubarikiwe mtumishi karbu kagera
Jambo pasta niko na aja na maombi yenu niko Congo mume wangu atakuja Ku kuona na picha yangu passeport inanikosa
Mungu aendelee kupingania aendelee kutufungua
Naomba namba yake jamani ninapitia kweny wakat mngumu sana
Great performance👌
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 umewaza kama mimi
GOD Bless you
Nambayako Bishop
🙏🙏🙏🙏👏👏
Mtakatifu mtakatifu tunakutukuza siku zoto ameni
AMEEN NAFURAIHIYA IYI HUDUMA
Bonjour exo
Amen,Nam nyota yangu ifunguliwe leo?
Ungunaomba nyota yangu iruhuko Irish eemwenyesimungu
📖📖📖📖🙏🙏👏👏
Yesu wangu
Nainama mbele ya nehema hii
Ulimwengu wa Giza Ni ulimwengu mbaya Sana
Jambo katika chriato.Naendelea kufata TH-cam ,Ila kwa mapenzi ya Mungu tajitaidi kwa Uhu mwaka nifike Tanzania ndani ya kanisa
Elihuruma Bakhari
Mmmmm jamaniiiii dunia hiii!!!
Naomba kufunguliwa eneo la uzazi,na eneo la mafanikio ya familia yangu
Naomba kuongea na Mtumishi tafadhali
🙇🙇🙇
Dîeu nous libérer
Naomba kufunguliwa nahisi kufungwa ktk mambo yangu yote.
Mtumishi nahitaji uponyaji
Amen naomba nbr ya askofu
Kwa video below right side
Bahati
Pastor ezekieli
Icconect
N mm lemali naomben Mao.b
Naomb namba ya mtumish
Nyie wagombnishi manabii wauwongo tumewachoka mnaenda kuzimu mnapewa mamlaka narusifa mnadonganya watu nakuwapoteza
I think your demons
Hata mimi nifuguwe
Arudishe nyota.haraka