MBANGA PART1: Aliyezamia meli asimulia "wote walikufa/ tulikaa kwenye injini' | Dar24 Media

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 เม.ย. 2020
  • #baharia #mbanga #comoro
    Ni jamaa alojaribu kuzamia meli kwenda visiwani Mayotte akipitia njia za magendo huko visiwa vya Comoro.
    Alipitia mengi hapa katikati kama kuuza dawa na mengine lakini alikamatwa mwisho wa siku akarudishwa Tanzania na sasa anauza mihogo koko beach hebu

ความคิดเห็น • 74

  • @stn4873
    @stn4873 2 ปีที่แล้ว +2

    Daaaaah KINONDONI moja Hiyoooo, watoto wa TOWN bata kibao mamae, unaweza ukatamani maisha ya mtu hela nyingi kumbe ma deal ya maghendo.

  • @stn4873
    @stn4873 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu Mwamba akikutana na mjinga mjinga mjini anampiga hela kizembe sana, maana anaongea kishenzi.

  • @jemamhagama4978
    @jemamhagama4978 3 ปีที่แล้ว +2

    Kuna mabaharia na wazamiaji hao ni wazamiaji! Baharia ni profession

  • @mwinukafundibombanjombe
    @mwinukafundibombanjombe 3 ปีที่แล้ว +3

    Mwinuka wakwanza baharia😂😂😂😂

  • @aqssaomarynizwa9738
    @aqssaomarynizwa9738 3 ปีที่แล้ว +7

    Usha kua ongea kama mtu mzima Bana

  • @edrickniwamanya9968
    @edrickniwamanya9968 4 ปีที่แล้ว

    Nakubali aiseee mbele mbele yao kujiamini

  • @surujajwie4768
    @surujajwie4768 3 ปีที่แล้ว +1

    Duuh hongeran napoleni pia

  • @khamisjuma5046
    @khamisjuma5046 3 ปีที่แล้ว +2

    I'm really storwway Africa to marekani

    • @dupamdupange5918
      @dupamdupange5918 3 ปีที่แล้ว +1

      nitafute kwenye namba hii 0653127761...ili tuongee vizuri kuhusu kipindi

  • @Abrahamtherealife
    @Abrahamtherealife 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwenye maisha kitu cha kwanza unatakiwa kuondosha tamaa za maisha haraka halfu tafuta maisha bila ya kulazimisha vitu

  • @danielgudaga2183
    @danielgudaga2183 3 ปีที่แล้ว

    Daaah wanging'ombe

  • @nahishakieathumani5041
    @nahishakieathumani5041 3 ปีที่แล้ว +2

    Nalibu Mayotte brother

  • @rubnagadafi8367
    @rubnagadafi8367 3 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣hii lugha jmn kumbambanya

  • @charlz4617
    @charlz4617 2 ปีที่แล้ว

    Safi Sana home iyo makambako to iringa southern highland zone

  • @quindotto2931
    @quindotto2931 2 ปีที่แล้ว

    Nakubali

  • @hawarama5533
    @hawarama5533 3 ปีที่แล้ว +3

    Kwakweli Maisha magum saana Mimi mwenyewe Niko na mikasa mingi sana lakini sijuwi utanipata vipi kutokana Niko mbali kidogo na Tanzania nipo south African Cape town

    • @kaitharmnyambi8895
      @kaitharmnyambi8895 3 ปีที่แล้ว

      Hawa vip hali yako

    • @hawarama5533
      @hawarama5533 3 ปีที่แล้ว

      @@kaitharmnyambi8895 Hali kwema alhadulillahi

    • @kaitharmnyambi8895
      @kaitharmnyambi8895 3 ปีที่แล้ว

      Hawa pls nichek watsapp +255777290221

    • @hawarama5533
      @hawarama5533 3 ปีที่แล้ว

      @@kaitharmnyambi8895 kuhusu nini

  • @shabaniguma8696
    @shabaniguma8696 3 ปีที่แล้ว

    Huyu travellers mfuko kishenzi nikija bongo lazima niende coco beach kwenye mihongo nipenge story nae story za ng'ombe

  • @KULKID
    @KULKID 3 ปีที่แล้ว

    💣

  • @bignic18
    @bignic18 4 ปีที่แล้ว +1

    Schoolmate Mwongozo 1996

  • @danielbarickmunishi3785
    @danielbarickmunishi3785 3 ปีที่แล้ว +2

    Kingereza cha plaster chaku unga unga

  • @anawa4326
    @anawa4326 3 ปีที่แล้ว

    Loooo ⚓️⚓️⚓️🙌🏼👍🏼👊🏼👊🏼👊🏼👊🏼

  • @stn4873
    @stn4873 2 ปีที่แล้ว

    Kwa Zulu Natal🔥🔥🔥🔥

  • @davydmlay3264
    @davydmlay3264 ปีที่แล้ว

    Na uwakika huyu jamaa ana story nyingi

  • @mamumakamba4963
    @mamumakamba4963 3 ปีที่แล้ว

    Jamani kumbe nimesoma nae ila cmkumbuki

  • @hatibuathuman1178
    @hatibuathuman1178 4 ปีที่แล้ว

    Hahaha wanyumbani haya mwinuka

    • @adamally6
      @adamally6 3 ปีที่แล้ว

      tizainuka hangiwe??

  • @kareemalamoody6345
    @kareemalamoody6345 3 ปีที่แล้ว

    Comorians ni wangazija kwa kiswahili

  • @edrickniwamanya9968
    @edrickniwamanya9968 4 ปีที่แล้ว +1

    Kombolo nani kasikia

  • @hafidhdrogba3392
    @hafidhdrogba3392 3 ปีที่แล้ว

    We bonge mchawi kweli.yan unataja sehem nyonge nyonge alafu kiumen tmk kwa washishi umesahau vo wew

    • @mkumbuyasaidi2118
      @mkumbuyasaidi2118 3 ปีที่แล้ว +1

      We ndio mchawi huwezi kulazimisha mtu ataje sehemu ambayo hana ishu nayo

  • @mouhamadiibrahim9021
    @mouhamadiibrahim9021 3 ปีที่แล้ว

    kaka tuambie comores kisiwa gani ulikuwa maana kuna visiwa vitatu cha nne mayotte

  • @solomonsesso393
    @solomonsesso393 2 ปีที่แล้ว

    Jamaa muongo sana huyo,Visiwa vya Mayotte haviko karibu na Ufaransa ila ni koloni la Ufaransa, Mayotte mbaka Ufaransa ni mbali sana

    • @mickdadyronaldo4113
      @mickdadyronaldo4113 2 ปีที่แล้ว

      Kabla ujajibu sikiliza vizuri ndo ucomment 🤣amekuambia kua kisiwa kina milikiwa na wafaransa

  • @eliasbihemo2425
    @eliasbihemo2425 3 ปีที่แล้ว

    Hahahaa combolo

  • @maxmiliantv1159
    @maxmiliantv1159 3 ปีที่แล้ว +1

    Onga kama mtu mzima

  • @erickmoses6395
    @erickmoses6395 3 ปีที่แล้ว

    Hivi huyu mtangazaji wa mbanga na Chalamila mkuu wa mkoa wa Mbeya ni ndugu au?

  • @jemamhagama4978
    @jemamhagama4978 3 ปีที่แล้ว

    Mbena huyo kama mwinuka!

  • @binmbarouk7246
    @binmbarouk7246 3 ปีที่แล้ว

    Mwataka tudanganya tu maana sjuwi nani amkuja kutowa hiyo stry

  • @tanzaniaboxing1051
    @tanzaniaboxing1051 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbn part 2 amjatoa wazee vip

  • @suleymanially974
    @suleymanially974 3 ปีที่แล้ว

    Brother unapotea sana tuletee kila cku hizo stori za mabaharia

    • @dupamdupange5918
      @dupamdupange5918 3 ปีที่แล้ว +1

      kila siku za jumamosi usikose kutazama dar24media utakutana na story kali

  • @hamadimwinyi2146
    @hamadimwinyi2146 2 ปีที่แล้ว

    Wee jamaa kuhoj story ujui .......ww fany umuache aadisie full story unamkatisha san

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 3 ปีที่แล้ว

    we bonge ni ng'ombe tu acha kupakazia mabaharia fala we

  • @nahishakiyeassuman5541
    @nahishakiyeassuman5541 3 ปีที่แล้ว

    Wewe usingesema kama wewe Comoros ungesema ata mtanzania

  • @jumakalukule5312
    @jumakalukule5312 3 ปีที่แล้ว

    Simchezo

  • @alikingzofficial9007
    @alikingzofficial9007 4 ปีที่แล้ว +1

    Hii nayo kali usikose kuitizimath-cam.com/video/pGPGG2Dr9hY/w-d-xo.html

  • @ramadhanmasiku4105
    @ramadhanmasiku4105 3 ปีที่แล้ว

    Mbona hakuna part 2

    • @dupamdupange5918
      @dupamdupange5918 3 ปีที่แล้ว

      ipo tazama vizuri na usikose kutazama kila siku za jumamosi kipindi huwa kinapanda

  • @shabbyofficial_
    @shabbyofficial_ 3 ปีที่แล้ว +2

    Mjomba anaongea sana 😂😂😂

  • @mwinukafundibombanjombe
    @mwinukafundibombanjombe 3 ปีที่แล้ว

    Ndugu yangu unaushawishi wa kuendelea kukusikiliza

    • @dupamdupange5918
      @dupamdupange5918 3 ปีที่แล้ว +1

      usikose kutazama kila siku za jumamosi kipindi kitakuwa hewani

  • @vincentmokenye4465
    @vincentmokenye4465 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbona hawa wasamiaji wajanjawajanja 🤣🤣🤣

  • @ahmedchuchu389
    @ahmedchuchu389 3 ปีที่แล้ว

    una store mwaka 1996 hakuna lakuchumpa siyo baharis hiyo

    • @skulfees5453
      @skulfees5453 10 หลายเดือนก่อน

      Reboq timberland mbona midundo long time

  • @ringoaskali7625
    @ringoaskali7625 3 ปีที่แล้ว

    Huyu mwinuka yupi sio yule wa mjombe

    • @stn4873
      @stn4873 2 ปีที่แล้ว

      Ndio huyo huyo itakua.

  • @ramadhanjumanne8882
    @ramadhanjumanne8882 4 ปีที่แล้ว +3

    Nikiwa mkubwa nataka kuwa blaza

  • @frollynyenza7220
    @frollynyenza7220 3 ปีที่แล้ว +1

    Ocean road ni Kinondoni? Hahahaaaaaa.

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr 3 ปีที่แล้ว

      Amesema amezaliwa ocean road hospital, lakini yeye ni wa kinondoni,,,sasa hujaelewa nini?

    • @mastaplan
      @mastaplan 3 ปีที่แล้ว

      Ocean road ipo wilaya gani?

    • @Cheetah837
      @Cheetah837 3 ปีที่แล้ว

      @@NR-ll4sr Si ndo hapo

  • @ruthkimaro6137
    @ruthkimaro6137 3 ปีที่แล้ว

    Kombolo

    • @solomonsesso393
      @solomonsesso393 2 ปีที่แล้ว

      Jamaa muongo sana huyo hivyo visiwa vya Mayotte wala haviko karibu na ufaransa, ni mbali sana toka Mayotte mbaka Ufaransa, ila ni koloni la mfaransa

  • @clayssondotto5938
    @clayssondotto5938 3 ปีที่แล้ว

    💥