MBANGA PART 2: Aliyezamia meli asimulia 'Wote walikufa, /tulikaa kwenye injini'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • #Baharia #Mbanga #Comoro
    Ni jamaa alojaribu kuzamia meli kwenda visiwani Mayotte akipitia njia za magendo huko visiwa vya Comoro.
    Alipitia mengi hapa katikati kama kujiingiza katkika biashara haramu za uuzaji wa madawa.....karibu Ulimike, na uburudike pia kupitia simulizi hii....
    KIPINDI HIKI CHA "MBANGA" HURUKA KILA SIKU YA JUMAMOSI USIACHE KUKAA KARIBU NASI KWA SIMULIZI ZA KUSISIMUA

ความคิดเห็น • 134