Hayo mafundisho ni ya Paulo Imani na dhana za kikafiri wa wapagani wa ulaya wagiriki na waroma. Ndacha anafundisha fikra za Paulo kwa kutumia bango la Jina la yesu
Waislamu wanakazana kupinda maandiko ili kwamba Yesu asionekane Mungu lakini maandiko yako wazi. Yesu alirudisha uhai Yesu alisamehe dhambi Yesu aliponya viwete na magonjwa Yesu alipewa mamlaka yote mbinguni na duniani Yesu atarudi kuwahukumu wafu na walio hai Yesu ni MUNGU Waislamu, Bibilia aio quran
Ndacha muongo kwer yesu ni mungu yani wakirito waongo Sana anawapotosha Sana wachingaji hawa Wana kaz kupotesha tu wakirisito Amna dini yiyi kwaiyo mungu arikuja duniani wakati mandiko yanasema mungu ajawai one kama au kumuomba mtu yoyo te
Kila kitu kuhusu maisha ya yesu humu duniani ilikua ishatabiriwa kitambo na manabii wa mungu . Sasa kupingana juu ya kazaliwa kwake, huduma yake nakadhalika ni bure tu .
Enda Qatar na Dubai, watu Wala nguruwe, wewe tu ndio huelewi maana ya dini ya uislamu, mambo yake ni ya hapa duniani. Lakini ukitaka kuwa pema Peponi lazima uokoke ustadh, Yesu tu ndiye njia ya ukweli na uzima, hakuna atakayeenda kwa baba ila tu kwa njia yake Yesu. Ndacha ashakueleza yeye amefanya kazi yake.
@@stemlute nipe aya moja tu katika bibilia inasema wakiristo munakwenda peponi hata ulevi ni haramu lakini kwa aliyeamua kumuasi mungu anakunywa sasa ni sawa na nguruwe asiyejua baya anakula lakini dini zote kaharamishwa hata hio bibilia lipo andiko la kukatazwa musile kwa vile hacheuwi ni haramu kwenu musile wala musishike mzoga wake sasa vipi sema wakiristo hamufati maandiko munafata nafsi zenu zinataka nini
Yes he created everything 1 John says in the beginning was the word and the word was with God and the word was God, he was in the beginning before all things we made and without him nothing was made that was made. Revelation says, Jesus is the word of God
Wakristo nikama mkewa nabii ruti alimbiwa usigeuke nyuma rakini yeye aligeuka kwa zalau zake akageuka jiwe nahawa hatamuuwambie nini hawata waelewa yesu alisema wanamacho lakini hawaoni wanamasikia lakini hawasikii tuwaache mpaka mwishowao wataelewa kama Mzee wa upako Antony lusekero
Ndacha muongo nyie 😆😄. Hakuna sehemu yoyote Yesu kasema kaumba Dunia wala yeye ni Mungu . Hayo ni maneno ya Warumi wamemtungia Yesu. Yesu akirudi atajigonga na hayo mabenchi kanisani.
@@kawtharalbarwani1337 ndio alivyo Ndacha anachanganya maandiko lakini watu wenye akili wameshamjua kuwa ni muongo. Naam Shekhe Yusuphu kiboko ya Ndacha.
@YunisIsmailSheikh you don't understand this things Jesus spirit was given to Christianity in Antioch so he went to church as spirit which he promised but Christian don't operate as Muslimeen and Judaic
@lokedavid4949 Muslims don't worship kaaba,, its the 5th pillar of Islam to visit the holy kaaba for Hajj(pilgrimage) or sunah performances for umra...We worship only God .... we don't associate God with anything else like others religions do... So you can testify that he(jesus) has never stepped into a church physically during his lifetime?
Assalamu alaikum shekhe Huwa mnajibu swali Yao Wakati nyinyi hanjibiwi mara mingi wanaepuka swali zenyu afadhali ujibiwe swali ulilouliza kuliko kung'ang'ania hoja wanao toa katika mada huwa mnaniacha na suspense (taharuki)
When Eve gave time to the devil, she was led into disobedience and fell. Be careful when you give time to those who are in opposition to Jesus, God the Son, they are just like the devil who asked Eve, "Did God really say you do not eat of any tree? " Those people are asking you " Does the name and person of Jesus make sense before God? " The descendants of Ishmael are what Genesis 16:12 calls them. Please desist from arguing on the holy Word with those to whom the word is foolishness ... who are destined for hell, teach the Word to those the Word is salvation unto them. Amen
There's a very big problem here, who was saying that Jesus was the word or the other verse he's talking about? was it Jesus or did Jesus pbuh instructed someone to record, its very confusing and shallow. that's why we feel sad for the Christians coz they like cheering for nothing. if you cannot connect christianity and the bible to Jesus pbuh, how can you claim to be his followers?
Thank you mr.ndacha 🙏🙏kazi yako nzuri sana mungu akubariki
Kabisa the other guy seems to be looking for fame na kufoka Kila mara
Mashallah Mashallah Shekhe Yusuphu nakufananisha na Shekhe Habibu Mazinge wa Tanzania maana mnajua kuwachapa makafiri bakora 😀😃.
This is a mature conversation wacha feelings nyingi
Namkubali Ndacha hit from Burundi 🇧🇮. I wish o could meet with him ❤.
Ameijibu sawa sana.
Allah awabariki masheikhe wetu awazidishieni kila la kheir na baraka uzima na afya njema inshaAllah amiin
Amin sote
Swali limejibiwa vilivyo lkn sio lazima mkubali bali ukweli udhihirishwe na vitabu.
Yesu ni Mungu wa kweli.
Yohana 17:3
Akiwa yesu ni mungu mungu atakuwa nani baba ako au ?
Sasa ndacha amejibu nin apo
Masha Allah Tabarakah...najifunza mengi sana kupitia iyi Channel yenu apa. Allah awajalie mwisho mwema na JANNA FIL'HDAUS sheikh na w'alim wetu 🥰🥰
Amin sote
mashaAllah tabarakAllah sheikhs wetu ... thanks for this wonderful job..
Allah'hu Akbar Allah'hu Akbar❤❤❤.
Sasa Alah Akbari na swali limejibiwa? Tena vizuri sana.
Mashaalah sheikh Yusuph kweli umejua kumpa full doze akae kwa kutulia Allah azidi kuwaongoza kueleza njia ya haqi iliyonyooka inshaalah allahuma ameen
Amin sote
Amir Yusuf wambugu na wenzake,mmemmaliza ndacha,hofu imemjaa,walimu wetu ,Allah awape afia awaepushe na shari pamoja na familia zenu.
Amin sote
Masha Allah Mola awahifadhi mashehe wetu .
Amin sote
MashaAllah Mashelhk wetu Mungu hawape afya njema na umuli mrefu lnshaallah
Amin sote
Waleykum musalaam warhmatulwahi wa barakatuh shukraan Amiyn Jezaka'allahu kheir
Amin sote
Alijibu vizuri sana.. nyinyi ndio wagumu kusikia..Yesu alikuwepo kiroho kabla akuje duniani.
Hahaha, wewe umepoteya
Apo nin alichokijibu nguvu ya kelele tu yeye ameulizwa kama yesu anasifa za mungu mbona hajajibu?
YESU NI BWANA MILELE NA MILELE!!!!
Hata wewe ni bwana kwa ofisi yako,nyumbani kwako. Funguka ndugu hacha kufungwa blanketi kwa porojo za akina ndacha
labda bibi c bwana
@@abeidkhamis6130Bwali Kristo ni Bwana wa vyiote, hata Muhammad.
Subhanalha mspotee wakirito rud kwa mungu wa kweli ambea ni Alha
Amen nabarikiwa sana
Innan lillahi waina illayhi rajiuun ❤Pastor Ndacha yasikitisha
Hivi kweli wakristo hawajui kutofautisha mungu na yesu au kusudi
MashaAllah masheikh kazi nzur Allah awape nguvu
Mashallah Tabarakallah Jazakallahu kher Inshallah
Amin sote
Gen 1:26
Let us make man in our own image....
MashaAllah
Ndacha amejibu swali vizuri sana..Lakini kwenu kuelewa ni vigumu ju hamja funzwa ....
Asalm alaykum warahma tulay wabarakatu salama Allah awazidishie umri masheikh wetu
Waleikum Salam warahmatullahi wabarakatu, Amin sote
Kweli nakubali kama yesu ni Mungu.ubarikiw sana mwalimu ndacha.
Yohana 3 :16 na mtoto ninani?
Which can waik on Earth while eating food ,and circum, when Jesus being 😊n the cross who was controlling the world yani god with genology ajabu
Yesu milele 🙏🙏🙏 from US number ya kusppt ijirii please
safi sana ndacha wape dozi
Mathayo 24 :24
Ndacha bibilia huwezi itetea kaka .jisalimishe kwa alie kuumba utachomwa bure muogope mungu hio pesa ya kanisa haitokusaidia at the end
sis hatuna mwombezi ila mwewnyezi Mungu ina maana hatuna mwingine wa kumuomba ila Mwenyezi Mungu
Hayo mafundisho ni ya Paulo Imani na dhana za kikafiri wa wapagani wa ulaya wagiriki na waroma. Ndacha anafundisha fikra za Paulo kwa kutumia bango la Jina la yesu
Ndacha kazi nziri, ni kama unawahubiria ma Pepo. Wana macho hayaoni na masikio hayasikii
Yesu ndio njia
Njie sio yesu hata na mussu daudi Muhammed wote ni njia kuelekea kwa mungu
@IbrahimBinbenya soma sura 19:71 hiyo ndio njia ya Waislam wote
Yesu ni Mungu
Yohana 8:40
Jibu nanyongezo huyu hatowahi kuuliza swari kama hili ndacha ubarikiwe sana kwama fundisho yako neno la Mungu ni upanga
nakukubali ustadh yusuf hiyo dozee ni ya kifahari inaponya hadi ukoma ndacha mtoto sana kwako mpe mafunzo ajielewe
Mashallah Allah ❤❤❤
Waislamu wanakazana kupinda maandiko ili kwamba Yesu asionekane Mungu lakini maandiko yako wazi.
Yesu alirudisha uhai
Yesu alisamehe dhambi
Yesu aliponya viwete na magonjwa
Yesu alipewa mamlaka yote mbinguni na duniani
Yesu atarudi kuwahukumu wafu na walio hai
Yesu ni MUNGU
Waislamu, Bibilia aio quran
Ndacha muongo kwer yesu ni mungu yani wakirito waongo Sana anawapotosha Sana wachingaji hawa Wana kaz kupotesha tu wakirisito Amna dini yiyi kwaiyo mungu arikuja duniani wakati mandiko yanasema mungu ajawai one kama au kumuomba mtu yoyo te
Subirini siku ya mwisho kitaeleweka
Nyie Ndo waongo, mnaombewa na Allah kwa nani, Yan huyo Mwenyezi Mungu anawaombeeni kwa nani
Kila kitu kuhusu maisha ya yesu humu duniani ilikua ishatabiriwa kitambo na manabii wa mungu . Sasa kupingana juu ya kazaliwa kwake, huduma yake nakadhalika ni bure tu .
Waisalamu amuna oja
Your reasoning
Mwenye anasema swali halijajibiwa ni kuelewa haelewi ama ni kusikia hasikii ama ni kujifanya Tu?
mungu sie utu sasa ni yama
Huyo Ndacha ni Bwege sana walah Hana akili hata moja😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Mwenye hakili ni nani😂😂
Mr ndacha excellent pastor
Pia mnanganganya watu ata hivo.
Isaiah 43:15, John 1:3
Hilo swali nyepesi sana na Mwalimù ndacha amelieka wazi, nilìhani kuna jambo geni 😂😂😂
Sura ishakuwa ya nguruwe kwa laana kafiri ndacha
Kweli kabisa..... LAANA TUL ALLAH
Enda Qatar na Dubai, watu Wala nguruwe, wewe tu ndio huelewi maana ya dini ya uislamu, mambo yake ni ya hapa duniani. Lakini ukitaka kuwa pema Peponi lazima uokoke ustadh, Yesu tu ndiye njia ya ukweli na uzima, hakuna atakayeenda kwa baba ila tu kwa njia yake Yesu. Ndacha ashakueleza yeye amefanya kazi yake.
@@stemlute nipe aya moja tu katika bibilia inasema wakiristo munakwenda peponi hata ulevi ni haramu lakini kwa aliyeamua kumuasi mungu anakunywa sasa ni sawa na nguruwe asiyejua baya anakula lakini dini zote kaharamishwa hata hio bibilia lipo andiko la kukatazwa musile kwa vile hacheuwi ni haramu kwenu musile wala musishike mzoga wake sasa vipi sema wakiristo hamufati maandiko munafata nafsi zenu zinataka nini
@@stemlute nguruwe ata bibilia inakataa
Mbn hamujaendelea akajibu mmemkatisha
Jameni uislam raha ❤️❤️❤️
Ndacha amajibu 💯 ndacha elemu yako hawayiwezi kamwe
JINA LA YESU LISIFIWE MILELE NA MILELE
Yes he created everything
1 John says in the beginning was the word and the word was with God and the word was God, he was in the beginning before all things we made and without him nothing was made that was made.
Revelation says, Jesus is the word of God
Doesn't make sense,
@@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp doesn't make sense to the blind and those in darkness like you
common sense obey this
Hivi Tangu lini mjadala wa kidini ukawa na maelewano?
Lzm kila mmoja ataona dini yake ndo sahihi
Wakristo nikama mkewa nabii ruti alimbiwa usigeuke nyuma rakini yeye aligeuka kwa zalau zake akageuka jiwe nahawa hatamuuwambie nini hawata waelewa yesu alisema wanamacho lakini hawaoni wanamasikia lakini hawasikii tuwaache mpaka mwishowao wataelewa kama Mzee wa upako Antony lusekero
hii mada ya Yesu ni Mungu itaendelea mpk mwisho wa dunia 😂😂😂😂
Ndacha comedian general
Uyoooo dacha anawapoteza wa kristo wote kabisa
Huyu mutu arindika eti ndacha arishindwa kujibu hiri swari nimuzima aunimungonjwa yani hawa watu ata yesu arudi leo hawa tasikia
Swadaqtaa
Huyu pastor ni kiswahili haelewii 😂😂
Don't misquote the quran of which you don't understand it's contexts wee Ndacha
Ndacha muongo nyie 😆😄. Hakuna sehemu yoyote Yesu kasema kaumba Dunia wala yeye ni Mungu . Hayo ni maneno ya Warumi wamemtungia Yesu. Yesu akirudi atajigonga na hayo mabenchi kanisani.
Kazi yake kudanganya ndacha swali hakujibu la muislam hatar' sheikhe Yusuf kiboko yake
@@kawtharalbarwani1337 ndio alivyo Ndacha anachanganya maandiko lakini watu wenye akili wameshamjua kuwa ni muongo. Naam Shekhe Yusuphu kiboko ya Ndacha.
Wewe wa ukweli si useme yako..matako wewe
@@gabrielwafula7076 siku jibu matusi waislam matusi kwetu ni dhambi . Wewe kafiri matusi kwako ni chai so endelea kutukana 😀😀.
Soma wakolosai... Bro
'Christo' Maana yake ni 'Mtumwa aliye chaguliwa na MUNGU!'
Kwa hivyo YESU ata kuwa 'mwana' au 'mungu' Vipi?
Kwanini.waisiramu wakisikia kuwa YESU NI MUNGU wanachanganyikiwa? lazima ujuwe kumufahamu YESU nilazima upateufunuo
Mathayo 27:45
Mapepo matupu hapo
Mbona hamuweki video,ujanja wenu waislamu utaisha
Videos zipo kwa hii channel
Musa si MUNGU.ILa alitumiwa kufanya miujiza.
Waislamu mnatumia ujanja kudanganya wasiojua lakini hivi karibuni mtajua hamjui
Isiolo imenipa raha duniani
Alijibu na akapata
Waislam mkubali kukaa chini mfundishe na pr ndacha huyo pr ni moto
ndacha hajajibu video imekatwa😅😅😅
Islam is preaching physical aspects of Jesus Christ leaving spiritual aspects of Jesus
Where did he ever went to church?
@YunisIsmailSheikh he went to church in Antioch as he left the spirit to Peter .
@YunisIsmailSheikh you don't understand this things Jesus spirit was given to Christianity in Antioch so he went to church as spirit which he promised but Christian don't operate as Muslimeen and Judaic
@YunisIsmailSheikh and don't tell me that with God permission Muslim are worshiping stone Kaaba and Yemeni stone corner
@lokedavid4949 Muslims don't worship kaaba,, its the 5th pillar of Islam to visit the holy kaaba for Hajj(pilgrimage) or sunah performances for umra...We worship only God .... we don't associate God with anything else like others religions do...
So you can testify that he(jesus)
has never stepped into a church physically during his lifetime?
Assalamu alaikum shekhe
Huwa mnajibu swali Yao
Wakati nyinyi hanjibiwi mara mingi wanaepuka swali zenyu afadhali ujibiwe swali ulilouliza kuliko kung'ang'ania hoja wanao toa katika mada
huwa mnaniacha na suspense (taharuki)
Waleikum Salam warahmatullahi wabarakatu
Yani waisalamu mungekua mafundi nguo kwavilaka mkosaw
Uombapo kwa Jina la mungu ajulikanaye Yesu, ombea Islam wapate roho manake mifupa mikavu TU Acts 2:38:revelation 1:1,Romans 8:9
hujui unachosema Wala hujui Imani yako Ni potovu ,ole wako ukifa na Imani hiyo
Islam appeals to simple minds, very short sighted!!
Yesu wanamuchukuriya powa wanasahawu kama ndiye atahukumu dunia yote na Muhammed akiwa ndani 😂😂😂😂
Ndacha aulizwe 1+1 aseme ni 2 ?? Eeish hiyo siku indian ocean itakauka.
Ndacha ni MUONGO MPAKKA SIKU YA KIAMA.MDOMO WAKE UTAPINDA MPAKA MASIKIONI.
Swali imejibiwa, Wacha kusema ijajibiwa.
Sheikh Said wanifurahisha😂
Swali ni wapi yesu aliumba si sifa ni kuumba
Huyu ndacha mwongo
Hamfundishi chochote mnapotosha watu kristo ndo njia ya milele
sisi tunafanana na mungu
Cash jibu
Hata ukiwaeleza wasiotaka kuelewa hawataelewa kwa sababu hawataki...genesis 1:---------- cancels all that islamic noise
P
When Eve gave time to the devil, she was led into disobedience and fell. Be careful when you give time to those who are in opposition to Jesus, God the Son, they are just like the devil who asked Eve, "Did God really say you do not eat of any tree? " Those people are asking you " Does the name and person of Jesus make sense before God? " The descendants of Ishmael are what Genesis 16:12 calls them. Please desist from arguing on the holy Word with those to whom the word is foolishness ... who are destined for hell, teach the Word to those the Word is salvation unto them. Amen
Lailaha Ilka llla
😂😂😂ndacha jameni 🤣🤣
Nyinyi you dont understand purpose ya Yesu kuja hangekaa more than 30 years
Sasa ona huyu muislamu mwenya akili ndogo, swali limejibiwa, hakuna kitu ilifanyika bila Yesu.
Sasa mbona hilo swali alilijibu vizuri huyo ndacha
Hayani mkijibiwa mnakereka hamtaki ukweli na kwenye kurani hakuna andiko kam hilo wanafiki kweli
Pp
Shinda yao ni makasiriko mingi
Shinda yao ni kusikiliza na meno