DEBATE KUU KATIKA MJI WA ISIOLO (MADA MSALABA) BAINA YA USTADH YUSUF WAMBUGU NA PASTOR NDACHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
  • DA-WAA NA USTADH YUSUF WAMBUGU, USTADH SAID MWIRIGI, USTADH HUSSEIN, USTADH ABDIKADIR NA USTADH HAMISI ABDALLAH

ความคิดเห็น • 79

  • @moanamohammed1406
    @moanamohammed1406 ปีที่แล้ว +5

    Masha Allah tabaraka Allah

  • @dennismajesonlenamunyi7761
    @dennismajesonlenamunyi7761 ปีที่แล้ว +3

    Be blessed Pst.Francis Ndacha

  • @aliadawi5181
    @aliadawi5181 ปีที่แล้ว +6

    Mwenyezi Mungu awape nguvu na Maisha marefu.

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah, Allahu Akbar, kazi nzuri walimu wetu, Allah awazidishie elimu na afya njema na awaepushe na shari na awajalie kila la na awape amani majumbani mwenu na awape na subra mnapo fikiwa na mtihani Allah Ummah Amiin

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah Mashallah Shekhe Yusuphu

  • @husnanancyatieno2391
    @husnanancyatieno2391 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah Tabarakallah Jazakallahu kher Inshallah

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah

  • @aminaabu1599
    @aminaabu1599 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah uislam Raha Allahu Akbar

  • @Zack-yi3vb
    @Zack-yi3vb ปีที่แล้ว +6

    Msomaji kama saidi ni bahati..mashaalah 🔥

  • @guenterernst5481
    @guenterernst5481 ปีที่แล้ว +5

    mashaallah allah awabariki

  • @yusufmahdi8921
    @yusufmahdi8921 ปีที่แล้ว +4

    Mansha Allah excellent job

  • @hafsakirao398
    @hafsakirao398 ปีที่แล้ว +5

    Masha'Allah ❤ you all look presentable and classy my brothers. It was a very good debate you nailed it.

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah Allah

  • @abdimusa488
    @abdimusa488 ปีที่แล้ว +4

    Manshaa Allah takbirr

  • @abdilatifhashi9659
    @abdilatifhashi9659 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah sheikh Hassan Mwenja ana organize muhadathara vizuri

  • @samxx411
    @samxx411 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah mashehe wetu

  • @belongdgdyg5637
    @belongdgdyg5637 ปีที่แล้ว +4

    Takbir

  • @flacksevene4505
    @flacksevene4505 4 หลายเดือนก่อน +2

    Munafanya kazi nzuri ya kuelimisha

  • @bahatikenia39
    @bahatikenia39 ปีที่แล้ว +4

    Mashaalah

  • @mosmart4718
    @mosmart4718 ปีที่แล้ว +5

    It sad to see Murtad Paulo. Yeye ndiye alimooteza Ndacha.

  • @tabbygocho4127
    @tabbygocho4127 ปีที่แล้ว +3

    May God protect you my pastor it is not easy but with God u will make it

  • @hotmovieshd1658
    @hotmovieshd1658 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah

  • @maherzain615
    @maherzain615 ปีที่แล้ว +2

    وَمِنَ النَّاسِ مَنْ يُجَادِلُ فِي اللَّهِ بِغَيْرِ عِلْمٍ وَلَا هُدًى وَلَا كِتَابٍ مُنِيرٍ
    And among the people are those who argue about God without knowledge, without guidance, and without an enlightening book.
    Quran:(22:8)

    • @andallaathman3856
      @andallaathman3856 ปีที่แล้ว

      But ndacha ni msomi Ila ni pesa zfnya hivyo tuu Ila anajua ukweli wote kabisaa yy na huyo murtad wake pesa tuu ndio shida ya hapa duniani imewatoa watu wengi Kwa dini ya usilam mungu atuhifadhi Sisi na asitupokonye neema hii ya usilam na atujalie tukifa tufe tukiwa wiaslam na mwisho mwema 🙏

    • @maherzain615
      @maherzain615 ปีที่แล้ว

      @@andallaathman3856 Ameen

  • @user-rc7oi2hp8l
    @user-rc7oi2hp8l 8 หลายเดือนก่อน +1

    Shukran walim wetu Allah ampe afya njema n elimu n hekma

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 ปีที่แล้ว +4

    Ndacha atasilimu kabla ya kuondoka duniani,na kama hatosilimu mbaka mauti basi Allah atamuadhibu adhabu kali sababu anajua ukweli ila kusudi anapotosha watu kwa kulinda maslahi

  • @farahanmohammed8409
    @farahanmohammed8409 ปีที่แล้ว +4

    Ehh yusuf tulimkosa isli kumbe yuko isiolo

  • @nubianqueen6700
    @nubianqueen6700 ปีที่แล้ว +3

    Huyu murtad Paulo hajali uislamu wala ukristo, yeye yuko kazi. JazakumAllah khairan mashekhe.

  • @ibruzah001
    @ibruzah001 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanza hakuna wakristo zama hizi. Hawa ni mushrikeen. Wakristo halisi walikuwa zama za Yesu, na walikuwa wanamuabudu mungu mmoja na kufuata mafundisho ya Yesu.
    Hawa wa zama hizi ni washirikina kwa sababu wanamuabudu Yesu badala ya Mwenyezi Mungu. Allah awaongoze kwa sababu wengi wao hawana elimu. Wanapotezwa na wachungaji waongo kama Ndacha.

  • @Sal.0
    @Sal.0 ปีที่แล้ว +4

    Sauti na Picha iko PERFECT!
    NDACHA ata Wacha UWONGO lini?
    Hata Pastor Josefu wa Eastleigh ame tumwa hapa?
    Pia José ame kuja kupigwa shindano la Wambugu?
    Kumbe JOSEFU na Ndacha wame andikwa na Wa Sabato?
    Au ine one kana José ni Boi wa Ndacha!
    Alfa ni LETTER A. Omega ni letter Z.
    Kwa hivyo YESU ni A to Z? Nonsense tupu!

  • @morehermadeosman4977
    @morehermadeosman4977 ปีที่แล้ว +2

    Marehemu Imani petro alikua ashamaliza kusema ukristo si din
    Mjifunze kutoka magugu ama parable yesu alikua anatumia kufunza to wanafunzi wake

  • @mobutu3884
    @mobutu3884 ปีที่แล้ว +2

    Nishawambia someni vitabu wenyewe mnapotezwa, hiyo hapo 1 Wakorintho 15:15-20 (KJV) Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi.
    Maana kama wafu hawafufuliwi, Kristo naye hakufufuka.
    Na kama Kristo hakufufuka, imani yenu ni bure; mngalimo katika dhambi zenu.
    Na hapo wao nao waliolala katika Kristo wamepotea.
    Kama katika maisha haya tu tumemtumaini Kristo, sisi tu maskini kuliko watu wote.
    Lakini sasa Kristo amefufuka katika wafu, limbuko lao waliolala.

    • @michaelamiani6755
      @michaelamiani6755 ปีที่แล้ว +2

      Achani kusoma bibilia kama korani soma hapo 12 Hadi 20

    • @michaelamiani6755
      @michaelamiani6755 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa nakuelewa hawa watu wamelewa umajini ambao umejaa ndani ya kurani

  • @EmmyRowland-ir5gh
    @EmmyRowland-ir5gh 5 หลายเดือนก่อน +1

    Yohana 7:30 saa ilikua bado 💯
    Luka 22:52 umemaliza jamanii Glory be to God 🤲Big points to ndacha kwa pastor asiejua neno yani MBWA BUBU...AKI NILIKUA NAWASIWASI hiyo kitabu ni Copy ya wasilam wanaopiga vita kristo😅

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 ปีที่แล้ว +3

    Huyu pasta mkorofi Ndacha ni mkorofi kweli .Hivi kweli kuna tofauti kati ya kufa na kuuliwa.Kweli huyu ni mkorofi

  • @hiimbinaimmuslim3041
    @hiimbinaimmuslim3041 ปีที่แล้ว +3

    Yesu anarudi ataona na atatiwa nguruwe na atavunja misaraba na atakufa na malaika wote watakufa

  • @mkomwahassan6384
    @mkomwahassan6384 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi nashangazwa mwenendo wa yesu na mama yake. 1. Tazamen pich zenu au Masanamu yenu ya yesu na mamie wanafanana na watu gani 2 tabia zake yesu mala yupo msikitin mala anasujudu mala anavua viatu kuingia patakatifu mala kazikwa na sanda napata tabu kumlinganisha na ukristo embu nisaidien sielewi....!!!!

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 ปีที่แล้ว +3

    Joseph macho4 kaja huku 😃😄.

  • @JamesOgwala-kt7pl
    @JamesOgwala-kt7pl 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mwalimu yusufu anapiga tu story hana mafundisho yanayofaa

  • @sulehassan5544
    @sulehassan5544 ปีที่แล้ว +2

    Ndata Ana mapepo wachafu waanamsumbua Anafaa Apelwekwe baharini Akazamishwe kwabahari Ili hao mapepo wamtoke kwamwili yake.

  • @janetwekesa2247
    @janetwekesa2247 ปีที่แล้ว +3

    Waisilamu wanaonanga tunaenda binguni na umati wa wingi wa watu,Jesus is lord,am so proud to be Christian,

    • @shamimnassor3700
      @shamimnassor3700 ปีที่แล้ว

      @@jkewl999 hata yesu mwenyewe ametaja peponi hata sijui MBINGUNI wameitoa wapi Hawa wakristo

    • @hamisikassimmwatamu7949
      @hamisikassimmwatamu7949 ปีที่แล้ว

      Mbingu zitatoka akutakuwa na mbigu sasa sijui wataenda wapi wakristo

    • @stoispapi2380
      @stoispapi2380 ปีที่แล้ว

      We are glad jesus was a muslim.

    • @user-rc7oi2hp8l
      @user-rc7oi2hp8l 8 หลายเดือนก่อน

      Jane am sorry to u kweli Mungu humuogoza amtakae n ss hatukulzmshi tutakuonyesha ukweli it's your choice

  • @samxx411
    @samxx411 ปีที่แล้ว +3

    Hawa wakristo wamenifurahisha hayo maswali yao

  • @mosmart4718
    @mosmart4718 ปีที่แล้ว +4

    Tosha this is enough evidence that Jesus was never killed and crucified. It’s all from their holly book the Bible. When did kifo ya mtu kumekuwa nguzo. It’s insane someone dies on your behalf when it’s all our responsibility to face justice on our own in this world but when it comes to the important things in life and death Jesus will take care of business.

  • @alfredwanga7850
    @alfredwanga7850 ปีที่แล้ว +2

    batiza yusufu😆😆😆😆😆😆😆

  • @guenterernst5481
    @guenterernst5481 ปีที่แล้ว +3

    huyo murtad bado yuko ndacha

  • @motherteresa8314
    @motherteresa8314 ปีที่แล้ว +2

    Jesus Christ is God, the same yesterday today and forever

  • @jokabable
    @jokabable ปีที่แล้ว +1

    Kiitabbu ya pastor mmkorofi weka kando. Tumia bibilia kutoa hojja zako. Bibbillia ndio huongea Kwa. Wachristo Sisi hatutumiangi hadith ATA Bible haiijasema tumia vitabu za hadith izo zinexist Kwa waiislammu tu

  • @hiimbinaimmuslim3041
    @hiimbinaimmuslim3041 ปีที่แล้ว +2

    Tobaaa wakiristo kweli mmepotea kila kitu kimo kwenye vitabu vyenu lakinj hamna macho wala mashikio mmepewa full dozi na mandiko huyo kijiso hana zaid ya makelele anarosha mawe police unafikir itakuwaje

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 ปีที่แล้ว

      Isome hiyo 1wakorintho 15:15- 20 uone inasemaje, mshaambiwa mnapotezwa someni wenyewe 1 Wakorintho 15:15-20 (KJV) Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi.
      Maana kama wafu hawafufuliwi, Kristo naye hakufufuka.
      Na kama Kristo hakufufuka, imani yenu ni bure; mngalimo katika dhambi zenu.
      Na hapo wao nao waliolala katika Kristo wamepotea.
      Kama katika maisha haya tu tumemtumaini Kristo, sisi tu maskini kuliko watu wote.
      Lakini sasa Kristo amefufuka katika wafu, limbuko lao waliolala.

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 ปีที่แล้ว

      @@mobutu3884 sasa huoni kua huu ni utopolo? Haya mwanzo inaelezea mengine na chini kina Paulo wameweka maelezo yao!! Alafu kama ni wafu kufufuka bado wajati wa wafu kufufuka, maana basi angeanza kufufuka Adam na Hawa, wameonekana mashadi wa uongo, alafu nyinyi kweli hamjielewi!! Sasa mnafurahi kwa mauwaji!! Kwa hiyo waliomuuwa yesu kwa madai yenu,huyo muuwaji mkimjua mnaweza hata kumpa zawadi ya ndege nyinyi!!

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 ปีที่แล้ว

      @@mobutu3884 mnaopotezwa ni nyinyi mnaosherekea mauwaji ili mpate dini!! Alafu hao hao wanasema kuna sala ya toba, sasa mnatubu nini ikiwa dhambi zenu zilisha bebwa? Au hamjui toba inamaanisha nini?

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 ปีที่แล้ว

      @@fatumamwalimu5765 nawakumbushabtu msome vitabu wenyewe nadhani ukweli umeona mwalimu wenu anavopotosha kwenye vifungu, basi ujue ndivo anavyofanya sehemu kubwa. Hata ukielezewa vipi hautaelewa sababu unaamini mwalimu wako kuliko vitabu vya Mungu.

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 ปีที่แล้ว

      @@mobutu3884 kwani waalimu wamesoma gazeti? Si wamesoma bibilia yenu!! Nyinyi ndio mnatakiwa msome hizo bibilia zenu, yani mzini,muibe,muuwe,mroge, alafu dhambi abebe mtu mwengine!! Kwanza tu hiyo statement ilivyo hanza unajua wazi huko mbele kumeunganisgwa vitu na bado hakuna mashiko, yani kiumbe afe kisa ni kiumbe mwengine!!! Kwani huyo MUNGU atakua hawezi kusamehe mpaka mtu auwawe? Na sasa wale waliomuua kwa sasa wako huko mbinguni kwenu hau wako wapi? Tumieni akili

  • @apollorutamucero6971
    @apollorutamucero6971 21 วันที่ผ่านมา +1

    Yufu uk unagrwuz andiko

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 ปีที่แล้ว +2

    Bible imekataa yesu hakufa,ndacha unatumia bible ya uongo

  • @ahmadmadhi8147
    @ahmadmadhi8147 ปีที่แล้ว +1

    Kweli huyu murtad paulo hana cha uislamu au ukristo.Amesomeshwa dini ya kiislamu na matamshi ya aya na kuarabu atamka vizuri amekubali kuritadi na kuzidi kumpoteza huyo Ndacha kweli Murtad paulo shida yake ni pesa

  • @aliadawi5181
    @aliadawi5181 ปีที่แล้ว

    Huyo Paul Alsilim, mbona karudi tena katika Ukristo.

    • @maherzain615
      @maherzain615 ปีที่แล้ว

      Hela

    • @Mrtm254
      @Mrtm254 4 หลายเดือนก่อน

      Aliona nuru ambayo iko kwa Yesu.

  • @jokabable
    @jokabable ปีที่แล้ว +1

    Hope you all know Christian prince si you call him one day and challenge him that Islam is a religion muone izo kanzu mkizifanya bath towels lol 🤣🤣😂

    • @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
      @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp  ปีที่แล้ว +1

      Hana lolote, uisilam ni dini ya haki, nobody can challenge Islam in the world

    • @EmmyRowland-ir5gh
      @EmmyRowland-ir5gh 5 หลายเดือนก่อน

      Kwa Ndacha kwenywe Hana point ,😂😂, what ABT kwa Christian prince

  • @mwanamtotosaid702
    @mwanamtotosaid702 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah