MJADALA MOTO MOTO BAINA YA USTADH YUSUF WAMBUGU NA MCHUNGAJI NDACHA KUHUSU KIPI KITABU CHA KUFUATWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • DA-WAA NA USTADH YUSUF WAMBUGU, USTADH SAID MWIRIGI, USTADH HUSSEIN MWENJA NA USTADH HAMISI ABDALLAH

ความคิดเห็น • 42

  • @abdilatifhashi9659
    @abdilatifhashi9659 ปีที่แล้ว +5

    Masha Allah Ustadh Yusuf ameweka mambo bayana Leo. Biblia sio kitabu ya Mungu.

  • @nailahsaeed837
    @nailahsaeed837 ปีที่แล้ว +4

    Amir Yusuf Allah Akulipe maaada yako inaeleweka mashallah Ndacha ataelewa anavo taka yeye

  • @halimahbwelele694
    @halimahbwelele694 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah ustadh kimeeleweka

  • @mohamdmohamd4842
    @mohamdmohamd4842 ปีที่แล้ว +5

    Masha ALLAH. AmiR Yusuf ni Hikma na Busara na Elimu ya Hali ya Juu Sana kwa hayo Mafundisho au hiyo Mada kuhusu Kitabu Kitakatifu. ALLAH atakulipa Jazzaa Kheyr Jazzaa. Alf Alf ShukraN.

  • @hiimbinaimmuslim3041
    @hiimbinaimmuslim3041 ปีที่แล้ว +4

    Ndacha pole next time utamkimbia yusuf mana humuezi hata kidogo katafute wanafunzi sio yusuf kapewa elimu kubwa Mungu kamuandaa kwa watu kama nyinyi pole ndacha watu wanajuwa ukweli na wanasilimu kila siku

  • @hajinkulunge8493
    @hajinkulunge8493 ปีที่แล้ว +3

    Swali ni Mungu , Mwana au Mtume
    Jibu ACHA kuhubiri

  • @hanifaalbalushi2483
    @hanifaalbalushi2483 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah

  • @mwanamtotosaid702
    @mwanamtotosaid702 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah 🥰

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah Ustaz Wambugu

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Allah ❤❤❤

  • @user-rc7oi2hp8l
    @user-rc7oi2hp8l 8 หลายเดือนก่อน +1

    Walkm mslm warahmtullah wabarakatuh

  • @onlineislamictv7126
    @onlineislamictv7126 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah yusuf Allah akuzidishie

  • @hiimbinaimmuslim3041
    @hiimbinaimmuslim3041 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mashehe wetu Mungu awabarik awaingezee umri na siha na elimu ndacha mh kwanza pole huna hata point 1 ukajitete kwenye kitabu chako huna hata 1 tazama kurani iavyo jieleza wenyewe hakujaengezwa kitu wala kubanaika ni inakupeleka street ufahamu hebu wacha kupotowa wenzio kwa ajili ya pesa wakat umeambiwa kwenye kitabu chako wachungaji wao wamewapoteza wacha kuwapoteza wenzio

  • @husseindiaby5097
    @husseindiaby5097 ปีที่แล้ว +1

    Masheikh Mungu awazidishie kila la kheir
    Rai yangu muacheni huyo ndacha anaelewa vizuri ila ameyazungusha masikio yake ameyaweka nyuma ila naomba
    Wekeni nguvu zenu kwa wale wasiofikishiwa ukumbusho

  • @nyawebabu5644
    @nyawebabu5644 ปีที่แล้ว +3

    Asalam waleykm khamis dakika 20 camera haitembei tunakuomba tembeza camera

  • @user-gy6xz5xh3f
    @user-gy6xz5xh3f ปีที่แล้ว +1

    Ustadh Yusuf ALLAH Akuogezee Elimu Zaidi Huyo Ndacha Hana Hoja Akiulizwa Kitu Yy Hujibu Mambo Mengine Yy Ndacha Ni Hodari Wa Ubishano Na Kuchekesha Wakiristo Wacheke Mm Kwa Rai Yngu Msipoteze Wakati Zenu Kushindana Na Ndacha Kuna Wakiristo Wengi Wako Na Haja Ya Kujua Nn Uislamu Nyinyi Mumejaribu Sana Kumuelimisha Ndacha Lkn Yy Ni Mtu Sukumu Bukumun Umyun

  • @newlightmoviesproduction3598
    @newlightmoviesproduction3598 ปีที่แล้ว +3

    Ndacha Mungu Akulinde baba unatengeza hao .

  • @hajinkulunge8493
    @hajinkulunge8493 ปีที่แล้ว +2

    Jibu ACHA kuhubiri

  • @nyawebabu5644
    @nyawebabu5644 ปีที่แล้ว +3

    Hata yesu pia alikuwa hakujua kuandika ndio maana hupati injili ya aliyo andika yesu

  • @hajinkulunge8493
    @hajinkulunge8493 ปีที่แล้ว +2

    Swali gumu Hilo hapo ataletamambo ya kanisani

  • @mohamedhozi8110
    @mohamedhozi8110 ปีที่แล้ว +1

    Ndacha wwe elmu ulio nayo lakn ushindwe nkuelewa kwamba biblia sio kitabu cha mungu wakati haikutajwa miongoni mwa vtabu vya mungu Allah akuonyeshe dini ya hakki

  • @samuelondieki9164
    @samuelondieki9164 ปีที่แล้ว +2

    Salaaaala Qur'an iritelemuzwa na hakuna kitu kiritelemuzwa kutoka mbinguni ila tu shetani vyooote Viliumbwa hapa duniani swali shetani na Qur'an kuna uusiano

    • @user-rc7oi2hp8l
      @user-rc7oi2hp8l 8 หลายเดือนก่อน

      Umechoka kaa upumzike

  • @hajinkulunge8493
    @hajinkulunge8493 ปีที่แล้ว +1

    Umechemka

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 ปีที่แล้ว +2

    kwa ushahidi huo sheikh hawa wasiposilimu basi utakua mtihani mkubwa,biblia maandiko yanapungua hayaendani kabsaa

  • @emmanuelfungo2236
    @emmanuelfungo2236 6 หลายเดือนก่อน +1

    Aliyekua ADUI WA MALAIKA GABRIEL basi huyo ndiye aliyetelemusha Quruan ...??? Adui tena ??

  • @hiimbinaimmuslim3041
    @hiimbinaimmuslim3041 ปีที่แล้ว +2

    Qurani ndacha ni chakula kigumu hukiwezi wewe hukusoma wewe chako hicho mseto mlio potea

  • @Sal.0
    @Sal.0 ปีที่แล้ว +1

    KIBOKOOOO ya NDACHa, Ustad Wambugu! Simba Yusuf 🦁!
    Mafundisho MOTO! Hai SHIKIKI Ndacha! 😅
    Na huyu Ndacha, ako na SAUTI mbaya kweli! Ana sound kama Crows!
    HAKUNA mKristo Duniani, anaye WEZA kui ANGUSHA the MIGHTY QURAN!
    WaZungu Wa Dunia MZIMA, wali jaribu, na WOTEEEE, akina:...
    1) Dr William Cambell
    2) Dr Anus SARROSH
    3) Dr Floyd Clark....
    .... Woteee wali shindwa!
    Sasa, hawa MACHOKORA wa SDA, akina Ndacha na BOI zake kama Josephu, kweli mutei weza The QURAN?
    JARIBUNI tuu! 🤕
    Tabarak Allah Ustad Yusuf and whole Team!

  • @princeacama401
    @princeacama401 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nauliza gibril kazi yake ni gani?? Cz kulingana vile najua ni malaika wa vita..vilikuaje waislam wadai ati aliteremsha quran????

    • @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
      @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp  ปีที่แล้ว

      Wapi ushahidi

    • @user-rc7oi2hp8l
      @user-rc7oi2hp8l 8 หลายเดือนก่อน

      Et Gibril n malaika wa vita kasome vzr ujue n nani aliyemjia marium kw habari njema