THE CLASSIC BAMBO EP 2 :SABABU YA LAFUDHI YA KINGONI/BIBI NA UCHAWI/NILIWAFUNDISHA WAIGIZAJI WENGI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 พ.ค. 2024
  • Sehemu ya pili ya maongezi na Muigizaji/mchekeshaji Bambo ambapo hapa anaeleza namna alivyopambana katika kujijengea heshima yake,maisha magumu ya kijijini na changamoto zake,kuingia kwenye muziki na kadhalka

ความคิดเห็น • 22

  • @bensonjohn9633
    @bensonjohn9633 หลายเดือนก่อน

    Najua Huwezi kuniangusha. Ila Naomba Umlete Stara Thomas. Yule Mama ni Noma

  • @ombenijady8409
    @ombenijady8409 หลายเดือนก่อน

    Ongea ya Bambo kama ya Juma nature

  • @aminmohammed4249
    @aminmohammed4249 หลายเดือนก่อน +1

    Ulialite😂..u-reality… mpaka mtangazaji kapotea

  • @JohnsonKatana
    @JohnsonKatana หลายเดือนก่อน

    Bambo akafanye dude kwa chizen brain asichelewe

  • @bashiruhassani1017
    @bashiruhassani1017 หลายเดือนก่อน

    Namkubar sana bambo

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 หลายเดือนก่อน

    Dahh marehem max kitambo sana halafu huyu bambo nimeanza kumuona kwnye matangazo ya sabun ya OMO walizunguka tz nzima kbl hata ya itv

  • @selemanimsangi7805
    @selemanimsangi7805 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu mtoto mpododu sanuu

  • @RobertGeorge-ss2qi
    @RobertGeorge-ss2qi หลายเดือนก่อน

    Bambo shemeji yangu unatisha

  • @maufoung
    @maufoung หลายเดือนก่อน +1

    Mwanadamu ni kitabu

  • @gabrielmoses6860
    @gabrielmoses6860 หลายเดือนก่อน

    Big up bamboo

  • @mellahcoffee
    @mellahcoffee หลายเดือนก่อน

    😂😂 eti we bambo yan mzee anajisahau jina lake mda mwngn

  • @reonardymfambo496
    @reonardymfambo496 หลายเดือนก่อน

    Bambo we ni mwamba

  • @amanimushi4052
    @amanimushi4052 หลายเดือนก่อน

    Nimecheka sana 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @nicksoncharles-kx3gr
    @nicksoncharles-kx3gr หลายเดือนก่อน

    Bro Kuvichaka I see Damme mkubwa

  • @selemanimsangi7805
    @selemanimsangi7805 หลายเดือนก่อน

    Mtango chukui heli zako

  • @rivaldomallowah
    @rivaldomallowah หลายเดือนก่อน

    🔥 🔥 🔥

  • @reonardymfambo496
    @reonardymfambo496 หลายเดือนก่อน

    Mimi jina langu Mali ya Shetani nahitaji uwezo wako KABLA hujazeeka

  • @edubari9344
    @edubari9344 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅

  • @mzansi27
    @mzansi27 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂

  • @clevalupakisyo7460
    @clevalupakisyo7460 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂

  • @reonardymfambo496
    @reonardymfambo496 หลายเดือนก่อน

    Bambo we ni mwamba