THE CLASSIC BAMBO EP 1 :KUNA KIJANA ANATUDHARAU/KATUKATAA JUKWAANI/TOKA MCHEZA NGOMA HADI UIGIZAJI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Bambo ni moja ya waigizaji na wachekeshaji wenye nguvu na wanaopendwa Tanzania,amedumu kwenye Game kwa zaidi ya miaka 20 na zaidi na amekua katika ubora ule ule,tumepiga nae stories za kutosa kuanzia mwanzoni mwa harakati zake hadi sasa na changamoto za muda wote ,hii ni sehemu ya kwanza ya maongezi yetu

ความคิดเห็น • 38

  • @edgarwilliam9481
    @edgarwilliam9481 4 หลายเดือนก่อน +9

    Rest in peace my Mamma, she used to like Bambo, I truly respect you Bambo, you're a true legend 🙏.
    Much love and respect 🙏

  • @sokastreet
    @sokastreet 4 หลายเดือนก่อน +4

    Wakwanza leo❤❤ shout out kwa jabir bambo ni msanii wa bongo fleva pia

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 4 หลายเดือนก่อน +7

    Mze Haki Ya mbongo binti mwamadi 😂😂😂😂😂
    Hicho kiapo nimekitithi hadi leo

  • @frankmwamed9284
    @frankmwamed9284 4 หลายเดือนก่อน +2

    4:21 kwere aiseee move ya happy birthday ilikua Safi sana

  • @YusuphSeiph-k2r
    @YusuphSeiph-k2r 4 หลายเดือนก่อน

    Good work jabir ilike it...

  • @Yayokiraka
    @Yayokiraka 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee hii kubwa so next kigwendu & Jot

  • @stuartikonko1941
    @stuartikonko1941 4 หลายเดือนก่อน +8

    Daaaar hujafa hujaumbika mwaka 1999 kuelekea 2000 mashaka katoka ulaya kaja bongo mzee wake kamtafutia mchumba kisa mlemavu wa mguu daaaar kitambo mzee kipara

    • @alexruhigi
      @alexruhigi 4 หลายเดือนก่อน

      Ngoja, Kisa sina alikua Mke wa Dr Cheni.
      Mashaka alikuja na mipesa, akahama kwa mzee Kipara akaenda kula bata na Zawadi

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@alexruhigiyule kisa najiulizaga hadi Leo yuko wapi aisee

    • @NoelChambo
      @NoelChambo 4 หลายเดือนก่อน

      Dah long time

  • @mustafamatata3795
    @mustafamatata3795 4 หลายเดือนก่อน

    Nakumbuka bamboo alikuwa anapiga show zake kipindi cha miss vitongoji ..moja ya njia ya kupata watu ni pamoja bambo awepo ...na hapo lazima avae timbalendi ili apogee maokoto yake

  • @ShabaniAdamu-j5s
    @ShabaniAdamu-j5s 4 หลายเดือนก่อน +1

    Bambo ❤❤❤❤

  • @djnine9tz26
    @djnine9tz26 4 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu mzee bado kuna vingi anavyo😂😂

  • @robertjustine358
    @robertjustine358 4 หลายเดือนก่อน +2

    Bambo sio story teller mzuri @Jabir ulitakiwa umuongoze vizuri ili afunguke vizuri..mfano nilitamani kusikia why sauti hiyo katika uigizaji wake?kwa nini alichagua hiyoo na hajawahi kupigwa kwa sauti ya kingoni?

    • @AzeezHunter
      @AzeezHunter 4 หลายเดือนก่อน

      Huyo ni mngoni kabisa

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  4 หลายเดือนก่อน +2

      nadhani wewe ndio uli[paswa ungalie interview yote hilo swali amelijibu vizuri akamtaja mpka mtu alichukua hio lafudhi.

    • @frankngajilo7137
      @frankngajilo7137 4 หลายเดือนก่อน

      Bambo ni anaigiza kingoni

  • @gabrielmoses6860
    @gabrielmoses6860 4 หลายเดือนก่อน

    Bambo unyama sana broo

  • @nicholausmbilinyi3587
    @nicholausmbilinyi3587 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kuna movie walicheza bambo,beni na mhogo mchungu ilikuwa inaitwa CAKE YA BIRTHDAY..tunaipataje hyo movie?

  • @lionroot4073
    @lionroot4073 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mwana nakukubali nakufuatilia bro kutoka Sweden tuna muhitaji k ngwendu

    • @HaneelyahAlly
      @HaneelyahAlly 4 หลายเดือนก่อน

      Aminia rasta wagwan

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  4 หลายเดือนก่อน

      One love fam

  • @samirmswahili
    @samirmswahili 4 หลายเดือนก่อน

    Ingawa nimeona live ila na huku lazima niipitie chaka🙌🏾

  • @mellahcoffee
    @mellahcoffee 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂 bambo ni 🔥🔥

  • @Jumamabela
    @Jumamabela 4 หลายเดือนก่อน

    Dah.bambo.wapi.nyamayao

  • @JohnsonKatana
    @JohnsonKatana 4 หลายเดือนก่อน

    Brother kazi nzuri unayofanya,huwa nakufatilia sana kutoka +254 Mombasa

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  4 หลายเดือนก่อน +1

      Asante sana

    • @JohnsonKatana
      @JohnsonKatana 4 หลายเดือนก่อน

      @@KuviFacts pamoja kaka

  • @zaharamlau8817
    @zaharamlau8817 4 หลายเดือนก่อน

    Bambo kama Bambo😅

  • @vitalisvedastus5191
    @vitalisvedastus5191 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kata hicho ki crip cha vere uzembering

  • @MisendamilaFumbuka
    @MisendamilaFumbuka 4 หลายเดือนก่อน +2

    Gk atokee day apo kwenye pnd mzuka xana

  • @chimu_mobiles
    @chimu_mobiles 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂

  • @MONEY_CHANNEL.
    @MONEY_CHANNEL. 4 หลายเดือนก่อน

    Jabir Unaongea sanaaaaa

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  4 หลายเดือนก่อน +3

      Ndio mana nimeajiriwa radio kaka

    • @Soccer_nation-y3j
      @Soccer_nation-y3j 4 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@KuviFacts alitaka utumie lugha ya ishara

    • @khanafrica22
      @khanafrica22 4 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@Soccer_nation-y3j😂😂😂😂umemaliza mkuu😂😂😂

    • @innocentmushi1550
      @innocentmushi1550 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@KuviFacts😂😂

  • @MisendamilaFumbuka
    @MisendamilaFumbuka 4 หลายเดือนก่อน

    @jabirsareh