KUNGWI DUME: JIFUNZE KUSAFISHA UKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • Karibu ujifunze namna ya kusafisha UKE wako na kuepuka na harufu mbaya zinazotoka ukeni.

ความคิดเห็น • 302

  • @bahatiomar5297
    @bahatiomar5297 3 หลายเดือนก่อน +16

    Mashaallah kungwi Kwa mafunzo Yako kwel wengi tulikuwa atujui kuusafisha uke ila sah tumejua from Kenya ❤

  • @LisiKambale
    @LisiKambale 3 หลายเดือนก่อน +54

    Nimepima nikaweza kufinyia kwa ndani ivi ananiambia nimetia nini😂😂❤ nikamuambia mambo ya kungwi ayo 😂😂😂😂😂❤ Asante 😂

    • @user-qs7lj7kj1k
      @user-qs7lj7kj1k 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mansha allah

    • @fatumahayeshi
      @fatumahayeshi 3 หลายเดือนก่อน +1

      Habari hy

    • @LisiKambale
      @LisiKambale 3 หลายเดือนก่อน

      @@fatumahayeshi hyy

    • @user-zi1or6xh2w
      @user-zi1or6xh2w 3 หลายเดือนก่อน

      Kweli ao utani mtupu

    • @LisiKambale
      @LisiKambale 3 หลายเดือนก่อน

      @@user-zi1or6xh2w nenda ukapime utamushukuru kungwi

  • @agripinajastini-kh3bt
    @agripinajastini-kh3bt 2 หลายเดือนก่อน +11

    Kungwi dume naomba kuungwa kwenye group💕

  • @sinawsinaw6201
    @sinawsinaw6201 3 หลายเดือนก่อน +8

    Maashaallaah tujuze jinsi ya kumliza mwanaume sio kila siku tunalia sie tuh ni mama raidina hapa nipo omani nakupata vema kungwi dume

  • @user-zi1or6xh2w
    @user-zi1or6xh2w 3 หลายเดือนก่อน +10

    Iyi yampaka kinashindwa kuingiya ukiwa unajisafisa huaga inanichanganya Kumbe ndio imetakata tayàli 😊 Asante baba

  • @saunanzige3329
    @saunanzige3329 2 หลายเดือนก่อน +8

    kaka unafundisha vizuri sana sichoka kukusikiliza mungu aku maisha marefu kaka

  • @Sweetlady22-cr5fm
    @Sweetlady22-cr5fm 3 หลายเดือนก่อน +7

    Shukraan xnaa kaka...Nakufatilia xnaa kutoka kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @kuruthumumkalawa2786
    @kuruthumumkalawa2786 3 หลายเดือนก่อน +8

    Asante Sana kwingi kwa mafunzo. Ila kiukweri hakuna ki2 kinaniuzi kama Hawa wadada wanoreta umaraya eti wanamtamani Kungwi waboresheni waume zenu wawe kama uyo kwungi acheni umalaya tusikilize masom bc😏

  • @trufenaodongo7999
    @trufenaodongo7999 3 หลายเดือนก่อน +5

    Nashukuru kungwi kwa mafunzo yako sana
    Kutoka kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @SaumNdale
    @SaumNdale 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mashaallah kungwi mm mgeni nimekipenda kipindi mungu akuzidishie from kenya

  • @Aishabankhadil
    @Aishabankhadil 3 หลายเดือนก่อน +6

    Naomba uniunge kwenye grp lako kungwi tafadhali👏❤️🎉

  • @user-og4mq8ph4y
    @user-og4mq8ph4y 3 หลายเดือนก่อน +5

    Habari yako kungwi, nimekuskia vzur sana na Ahsante kwa funzo ila naomba unisaidie kitu niko na kama siku 4 kufikia leo huku chini kwenye (K) kuna kitu kimefura kwa ndani kidgo ila hakiumi hicho kitu kilichofura ila nina was wasi sijui km ni shida gani naomba uniambie tafadhali

  • @user-su7uo3eu5b
    @user-su7uo3eu5b 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kwanza yeye kashaowa kaka angu mambo ya tanga hayo wewe najivunia kuzariwa tanga jamani ❤🎉 thanks you so much my brother ♥

  • @zainabsaidbotea9792
    @zainabsaidbotea9792 3 หลายเดือนก่อน +3

    Asante kwa mafunzo mazuri hakika tunajivunia uwepo wako

  • @user-py5sn3sx2h
    @user-py5sn3sx2h 22 วันที่ผ่านมา +3

    Hongera sana kaka yangu ❤❤❤❤❤ maneno mnzuri

  • @fatumakushonda4277
    @fatumakushonda4277 3 หลายเดือนก่อน +2

    Asante kungwi wetu kwa kufunguka,tunajifunza mengi❤

  • @missyt343
    @missyt343 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka. Nakupenda bure. Asante kwa kunijibu. Ivi kuungwa kwa group ni vipi vipi. Mimi pia naitaji. Kungwi wangu

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is 14 วันที่ผ่านมา +2

    Waaah nmependa sana mafunzo yako kaka

  • @user-xn4fy1df3f
    @user-xn4fy1df3f 3 หลายเดือนก่อน +7

    Asante sana kungwi ila wakati mwingine ufundishe wanaume kuusu matumizi ya shanga mana tunavaa shanga kama urembo tu lakini mwanaume ajui jinsi ya kuzitumia

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂haki tena sa sijui ulembo anaona nani kama hautumiki🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @user-jg6en3kd3j
      @user-jg6en3kd3j 3 วันที่ผ่านมา

      Nikweri

  • @user-ur4tz9xs7e
    @user-ur4tz9xs7e 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mafundo mazuri kweli Asante sana

  • @FatnaAlly-oo7tz
    @FatnaAlly-oo7tz 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤ napenda kufatilia kipind chako nataman siku moja uwe kungwi wangu kabisa siku ikikaribia ndoa yangu

  • @HafsaHamad-b6r
    @HafsaHamad-b6r 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kungwi dume naomba uniuge na group

  • @zuhurahussein4738
    @zuhurahussein4738 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kaka kwa mafundisho yako. Nakufuatilia kutoka Kenya

  • @neemamwinami6487
    @neemamwinami6487 3 หลายเดือนก่อน +6

    Kungwi naomba niunge kwenye grupu lako!

  • @user-qn1yq1pi7p
    @user-qn1yq1pi7p 6 วันที่ผ่านมา +1

    Mashallah

  • @AgnessLeonard-ug5oq
    @AgnessLeonard-ug5oq 8 วันที่ผ่านมา +1

    Naomba niunge kwenye group lako kaka angu

  • @khadijaabubakar2330
    @khadijaabubakar2330 3 หลายเดือนก่อน +7

    Mashalllah kungwi dume tumepokea mafunzo na tunaendelea kujifunza ila natamn niwe mke wako na ww uwe mume wangu dah😢😢🎉🎉😂😮😅❤

  • @MwanaidShadhil
    @MwanaidShadhil หลายเดือนก่อน +2

    Kungwi dume naomba kuungwa kwenye group

  • @peacechristopher5152
    @peacechristopher5152 3 หลายเดือนก่อน +7

    Msisahau kunawa mikono kwa sabuni na maji safi kabla ya kuingiza kidole, itasaidia kuepusha maambukizi ya magonjwa kama PID

  • @user-ez2ps2qq4h
    @user-ez2ps2qq4h 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah kungwi dume unafiza vzr sn mungu akueke

  • @user-fq2sg6yy7y
    @user-fq2sg6yy7y 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤🎉Asante kungwi dume kwa mafunzo yako

  • @user-mb9dv9os2k
    @user-mb9dv9os2k 3 หลายเดือนก่อน +1

    shukraan kungwi dume Allah akubaariki

  • @ommylau
    @ommylau 12 วันที่ผ่านมา +1

    Kungwi dume Naomba kuungwa kwenye group

  • @ArafaSaid-oy9pe
    @ArafaSaid-oy9pe 3 หลายเดือนก่อน

    Asante Kwa elimu kung'wi, naomba utufundishe kuusu pipi za kifuaa na matumizi yake katika tendo.

    • @franciscakija1702
      @franciscakija1702 3 หลายเดือนก่อน

      Alisha fundisha tafuta utapata

  • @OdetteKahambu
    @OdetteKahambu 3 หลายเดือนก่อน

    Aksante sana kwa ushauri wako Kaka.
    Mimi natoka Congo DRC.
    Sasa utamaduni wetu haufahamu shanga.

  • @Somoo220
    @Somoo220 หลายเดือนก่อน +2

    Asnte kungwi kwa mafunzo
    Ila naomba uonge na wanaume nao kwenye kuandaa wake zao kabla ya tendo wengi hawajui

  • @noorramadan8156
    @noorramadan8156 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana kungwi kwa mafunzo🙏

  • @OdetteKahambu
    @OdetteKahambu 3 หลายเดือนก่อน

    Papa, Nakusii sana, Uwe mu wazi.
    Ama ufunguke kwani una wafunza wengi. Salamu kwwako papangu

  • @zuhuraramadhani
    @zuhuraramadhani หลายเดือนก่อน

    Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh . mashaallah mafunzo mazuri sanaa m
    .naomba mniweke Kweny grp
    Zuzu from Burundi

  • @DorcasKendahassan
    @DorcasKendahassan 3 หลายเดือนก่อน

    Nakubali mzee mungu akupe maisha marefu mimi naishi congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @emilyKay8
    @emilyKay8 3 หลายเดือนก่อน +4

    BABA mrezi wangu ❤❤❤swali langu leo ni hili wenye hawapo ndani ya ndoa tuna uwezo huo wakujisafisha kutumia hizo dawa unazo tuambia?❤kama kenya utaweza kufika na Burundi pia tunakuitaji baba wetu mimi sija olea ila nathami nikifanikowa unifunze tukiwa pamoja 🎉🎉🎉❤❤❤

  • @aishaomary6307
    @aishaomary6307 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah kungw naomb uniadd kweny group

  • @user-rc7bu8yu4d
    @user-rc7bu8yu4d หลายเดือนก่อน

    abali kongue dume naomba nijiungue na grupo lako napenda sana kusoma niko msubiji.

  • @user-qq6yb3pm2i
    @user-qq6yb3pm2i 3 หลายเดือนก่อน +16

    Kungwi nami niunge kwenye group tafadhali

  • @fatmahemedi3252
    @fatmahemedi3252 3 หลายเดือนก่อน +3

    barikiwa sana kakaa

  • @user-jg6en3kd3j
    @user-jg6en3kd3j 3 วันที่ผ่านมา

    Warah allah akuripe

  • @assa4862
    @assa4862 2 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru sana tenasana I'm from Uganda

  • @MoiseMutokambali-f2d
    @MoiseMutokambali-f2d 5 วันที่ผ่านมา

    Barikiwe Kaka kwa somo

  • @user-jg6en3kd3j
    @user-jg6en3kd3j 3 วันที่ผ่านมา

    Asante papa

  • @zaituniabdul2222
    @zaituniabdul2222 14 วันที่ผ่านมา

    Jman mpk raha naomba uniunge kungwi Mashalah

  • @user-qp5gh9eq4t
    @user-qp5gh9eq4t 3 หลายเดือนก่อน +2

    Asante San

  • @sharifasalum5176
    @sharifasalum5176 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kungwi dume nimependa mafunzo yko mam makungw wa ckuiz ni matusi tu na mm naomb uniunge

  • @Afuaynamuharami
    @Afuaynamuharami 8 วันที่ผ่านมา

    Kungwiii dume naomb uniungeee kwenyee group

  • @user-ke5ik9kq3w
    @user-ke5ik9kq3w 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asalam Alaikum kak yet Allah akurip kwamafunz unay tup nirikua naomb uniwek kweny groupe mery from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @Shafiipamba
    @Shafiipamba 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka natak nimtek mume wangu nifangaj❤🎉

  • @renypaultv8342
    @renypaultv8342 2 วันที่ผ่านมา

    Asante kaka

  • @user-yi9yv8sr3j
    @user-yi9yv8sr3j 3 หลายเดือนก่อน

    Mashallah kungwi najifunza mengi kwel

  • @user-qn1yq1pi7p
    @user-qn1yq1pi7p 6 วันที่ผ่านมา

    Nakukufwatilia sn kaka Kenya mm

  • @JulePrince-ex7tz
    @JulePrince-ex7tz 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa Kweli wwwe Una tufunza Mengi kaka tuna penda sana 💋💋na itwa Adija kutoka Congo baraka

  • @VictoriaAlex-n4l
    @VictoriaAlex-n4l 19 วันที่ผ่านมา +1

    Naomba niungee kwenye glop

  • @RubenMwasha
    @RubenMwasha 5 วันที่ผ่านมา

    Kungwi napenda mafundo yk hakika unatuelimisha

  • @user-rs9eo7qs8s
    @user-rs9eo7qs8s 3 หลายเดือนก่อน

    Asante kaka yangu nimejifunza mengi sana

  • @AminaYusra-y8j
    @AminaYusra-y8j 4 วันที่ผ่านมา

    Naomba uniunge kwenye grop kaka

  • @user-lo4sf3jl8c
    @user-lo4sf3jl8c วันที่ผ่านมา

    Naitaji shanga

  • @mgazamwachupa4918
    @mgazamwachupa4918 3 หลายเดือนก่อน

    Mashallah kungwi dume kwa masomo yako

  • @queenestherjoviale5919
    @queenestherjoviale5919 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Asante 🙏 kwa mafunzo ila sasa kungwi kama mashavu ya uke ayajaongezwa unawezaje kufinyiya kwa ndani?

  • @katanaajonathan6987
    @katanaajonathan6987 3 หลายเดือนก่อน +1

    kutoka Kenya 🇰🇪 ukosawa kumbi ila unatuweka sana kwa mafundisho yako

  • @luckylucky7153
    @luckylucky7153 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah kungwi

  • @princessmakwega2444
    @princessmakwega2444 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mimi nijisafisha na kidole kesho nikiamka mgonjwa wallah nakua nasikia maumivu sana sasa ivi siingizi kidole nasafisha tu juu juu na maji mengi basi

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 3 หลายเดือนก่อน

      Pole huna kucha ndefu

  • @queenestherjoviale5919
    @queenestherjoviale5919 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    na pia naombwa kuhungwa kwenye group la whp

  • @user-jk4ct2ld2r
    @user-jk4ct2ld2r 3 หลายเดือนก่อน

    Kungwi nipo kenya naomba kujiunga na group

  • @user-nr5di2yw2s
    @user-nr5di2yw2s 3 หลายเดือนก่อน

    Asalam kaka karibu sana Kenya 🇰🇪 ❤❤ ni zawadi

  • @user-nn3dh3jv2j
    @user-nn3dh3jv2j 3 หลายเดือนก่อน

    Kungwi naomba namimi uniunge kwenye grip napenda Sana kazizako

  • @LatifaMsuya-e3x
    @LatifaMsuya-e3x 20 วันที่ผ่านมา

    Naomba uniunge kwenye grup lako kugwi nimependa daras lako

  • @AthmanMasini
    @AthmanMasini 3 หลายเดือนก่อน

    Much love from Kenya ❤

  • @ZiadaHussen
    @ZiadaHussen หลายเดือนก่อน

    Mashaallaa kaka

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 3 หลายเดือนก่อน

    Kungwi nimependa Sana mafunzo yako kutoka 🇰🇪

  • @Lashymreal96
    @Lashymreal96 3 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana nmejifunza mengi mm silent follower

  • @tanzanianhappy60
    @tanzanianhappy60 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kungwi.naomba.kuuliza.kwa.wanawake.yale.maji.huwa.yanatokana.na.nini

  • @user-wz9zt9sy1l
    @user-wz9zt9sy1l 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mbona mm nikifanya mapenzi nawashwa sana jaman

  • @hussainalajmi5511
    @hussainalajmi5511 3 หลายเดือนก่อน

    Kugwi huwa😂 naon kitamba watu wanatumiya kitamba waliyo kwenye ndowa na wengie tissu jee ipi sahii na nn matumizi yake wiiiiiiii munguu akuweke kungwi

  • @rithalucas7547
    @rithalucas7547 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kungwi NAMi naomba uniunge kwenye group

  • @bintimrope
    @bintimrope 3 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kungwi wetu❤❤❤🎉

  • @barkaoman-ub6ko
    @barkaoman-ub6ko 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asalam alaykumu kungwi dume niunge kwenye group tafadhali

  • @mwanajaajuma9042
    @mwanajaajuma9042 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupata nikiwa anga za 🇸🇦

  • @MarthaKabango-rh7lo
    @MarthaKabango-rh7lo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kungwi naomba uniadd kwenye group lk tafadhal

  • @RahelMakoye
    @RahelMakoye หลายเดือนก่อน

    Nimependa mafundisho yako

  • @zuenaNkeramihigo
    @zuenaNkeramihigo 28 วันที่ผ่านมา

    Naombaa uniunge kwenye groupe lakoo kungwiii pls

  • @dalilaabdulkarim4458
    @dalilaabdulkarim4458 3 หลายเดือนก่อน +1

    Aslm alkm kungwi pls niunge kwa group yako inshallah..

  • @hassannshimirimana9481
    @hassannshimirimana9481 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kungwi niunge kwenye group naomba

  • @NajmaMubaraka
    @NajmaMubaraka 17 วันที่ผ่านมา

    Mafunzo mazur kungwi kamakuna group la wsp jaman niunge

  • @TantineKalumba
    @TantineKalumba 3 หลายเดือนก่อน

    Takupataje Kaka mimi Niko mu Congo

  • @user-gu1lg2zr8s
    @user-gu1lg2zr8s 3 หลายเดือนก่อน

    Umepata follower mpya. Ngoja na mimi nijifunze

  • @KHADIJAALFANCHINDA
    @KHADIJAALFANCHINDA วันที่ผ่านมา

    Niunge na mm kwenye group

  • @JamilaIdd-s8g
    @JamilaIdd-s8g 12 วันที่ผ่านมา

    Nimekuelewa kaka😊 naomba uniunge kwenye group

  • @JescaPetro-fr5vv
    @JescaPetro-fr5vv หลายเดือนก่อน

    kungwi naomba uniunge kwenye grup lako

  • @AminaBakari-ew1qr
    @AminaBakari-ew1qr 3 หลายเดือนก่อน +1

    Naomb uniung kweny group

  • @petfridapius-sb8dw
    @petfridapius-sb8dw 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani najifunza mengi sana ambayoo sikuyajua assant

  • @saunanzige3329
    @saunanzige3329 2 หลายเดือนก่อน +1

    naomba uniunge kaka kwenye group lako

  • @ZahraAlly-wq4ku
    @ZahraAlly-wq4ku 3 หลายเดือนก่อน +1

    Atakae olew na don kaz anayo😅😅😅