USHAURI KWA WANAOTAKA KUANZA UFUGAJI WA KUKU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 พ.ค. 2020
  • Kabla ya Kuanza Ufugaji wa Kuku wa Aina yeyote, kuku chotara, kuku wa kienyeji, kuku wa mayai, kuku wa nyama Unapaswa Kuzingatoa mambo ya fatayo
    Utafiti wa aina gani ya kuku ufuge
    Elimu ya ufugaji bora wa kuku unayotaka kufuga
    Ujenzi wa banda bora la kuku
    Mtaji wa kuendeshea mradi wako
    PLAYLIST
    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji
    bit.ly/2JlD0sl
    Ufugaji wa Kuku Chotara
    bit.ly/39r7FPD
    Magonjwa Tishio ya Kuku
    bit.ly/39oRfr1
    Ujenzi wa Banda Bora
    bit.ly/3bxQJs2
    Uleaji Bora wa Vifaranga
    bit.ly/2JjPH73
    SOCIAL MEDIA
    TH-cam; bit.ly/2vU8SBg
    Facebook; bit.ly/39ogwlb
    Instagram; bit.ly/3dA25xF
    Twitter; bit.ly/2UIh3Jh
    What's app; 255 (0)752209073
    For Advertisements
    Email; changamkiafursa@gmail.com

ความคิดเห็น • 78

  • @erickkidava5784
    @erickkidava5784 3 ปีที่แล้ว +3

    Kwa majina yangu naitwa Erick kidava napenda Sana ufugaji na nimeanza kufuga kuku wakienyeji yaani Ni wake kuku asiki kabisa,ila nataka nifuge kwaajili ya biashara ingawa nataka nianze na vifaranga 50,ombi langu Dada Antonio naomba msaada wa elimu na chanamoto zake. Kama hutojali .

  • @COVID19BMH-wg5mg
    @COVID19BMH-wg5mg ปีที่แล้ว +2

    Nahitaji kujiunga kwenye group la elimu ya ufugaji,je nitakuwa nimechelewa?

  • @DoroMwageni-mh8vd

    Mama lyimo asante kwa maelezo mazuri dd❤❤, naomba unisaidie ushauri tena, kuku wangu wanamwezi mmoja niwape mchanganyo upi dada ili waendelee kukua vyema,. Please.

  • @hassammohammed5046
    @hassammohammed5046 3 ปีที่แล้ว +2

    Milion 3 unaweza kuanza kuanzia banda vifanga na vifaa vyengine

  • @lujainamahir6266
    @lujainamahir6266 3 ปีที่แล้ว +1

    Dada limo nimejifunza na video zako na nimependa iyo biashara sasa nahitaji kuanza jee unanishauri nianze na vifaranga wangapi mwanzo lakini nahitaji kufuga kibiashara na eneo nnalo

  • @adnaicemwacharo4740
    @adnaicemwacharo4740 4 ปีที่แล้ว +2

    Niko Kenya nikitaka vifaranga kutoka kwenu nitavipataje?

  • @eliassimbeya2734
    @eliassimbeya2734 ปีที่แล้ว

    Mie hata sijui aina za kuku ila nmeanza kufuga kidogo kidogo

  • @elishareteti1892
    @elishareteti1892 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi ni elisha napenda ufugaji wa kuku naombeni ushauri

  • @HarithMkadam-gx8ne
    @HarithMkadam-gx8ne ปีที่แล้ว

    Na mm nahitaj kuwezeshwa ufugaj

  • @annagracenestory6432
    @annagracenestory6432 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante Dada mi nataka kufuga ninao kuku wa Aina ya kuchi lkn sijapata darasa vzur unanisaidiaje

  • @melodyanne3249
    @melodyanne3249 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana dada

  • @RenathaJames-e6s
    @RenathaJames-e6s 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Asante kwa ushauri mzuri

  • @khamadnkumba1395
    @khamadnkumba1395 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi Sana dada angu

  • @user-wb6hm5uy8v

    Shukran sana

  • @jothankabura103
    @jothankabura103 ปีที่แล้ว

    Safi kabisa

  • @bernardmboya1971
    @bernardmboya1971 3 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe sana jamani

  • @elishaleonard1401
    @elishaleonard1401 2 ปีที่แล้ว

    Darasa lipo vzuri asante

  • @mwashiuyayoshuatv9829
    @mwashiuyayoshuatv9829 3 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana mama yangu ...

  • @isaachosea1570
    @isaachosea1570 2 ปีที่แล้ว

    Hamna group la whatup