JINSI YA KUANZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI (HISTORIA YANGU)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ค. 2020
  • Jinsi ya Kuanza Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji;
    Ninamapenza Makubwa Sana na Kuku wa kienyeji, ni kwa sababu kuku wa kienyeji walinitoa kwenye shida iliyokuwa imenifika shingini. Hii ndio sababu kubwa ya kutoacha kufuga kuku wa kienyeji.
    Leo nitakuelekeza jinsi ya kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji ili upate mafanikio.
    1. Tafuta Elimu ya ufugaji wa kuku wa kienyeji
    2. Jenga Banda bora
    3. Chagua Mbegu Bora ya Kufuga
    4. Walishe chakula chenye virutubisho vyote
    5. Wape chanjo kuzuia Magonjwa
    PLAYLIST
    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji; bit.ly/2JlD0sl
    Njia ya Kupata Vifaranga Wengi wa Kienyeji; bit.ly/2YZjyJg
    Ufugaji wa Kuku Chotara; bit.ly/39r7FPD
    Ufugaji wa kuku wa Nyama; bit.ly/3dXOfEd
    Magonjwa Tishio ya Kuku; bit.ly/39oRfr1
    Ujenzi wa Banda Bora; bit.ly/3bxQJs2
    Uleaji Bora wa Vifaranga; bit.ly/2JjPH73
    SOCIAL MEDIA
    TH-cam; bit.ly/2vU8SBg
    Facebook; bit.ly/39ogwlb
    Instagram; bit.ly/3dA25xF
    Twitter; bit.ly/2UIh3Jh
    What's app; 255 (0)752209073
    For Business Purposes
    Email; changamkiafursa@gmail.com

ความคิดเห็น • 63

  • @deogratiaszozo1658
    @deogratiaszozo1658 3 ปีที่แล้ว +9

    Amujambo. Aksanti kwa mafundisho hayo mazuri. Ninataka kujuwa hivyo vyombo vyakunywesheya MAJI kwa vifaranga vina patikana kwa bei gani? Na tena nataka kujuwa dollar moja ya US nisawa Shilingi ngapi za Tanzania. Aksanti.

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana sema umenifurahisha kumsemesha kuku kama binadamu

  • @jacklinejimmy8965
    @jacklinejimmy8965 3 ปีที่แล้ว +2

    Hawa viumbe me nawapenda ikifika mda wa kuwauza kila kuku natamani abaki cjui nahisi mnunuzi anaenda kuwaharibu tu

  • @tululililomo4706
    @tululililomo4706 4 ปีที่แล้ว +8

    😂😂😂😂 mimi nikianza kuwaangalia kuku wangu wa kienyeji huwa nachelewa hata kwenda kazini

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  4 ปีที่แล้ว +2

      😍😍😍 wanapendeza sana machoni

  • @Irene-bz6zz
    @Irene-bz6zz ปีที่แล้ว

    Historia yako imenihamasisha sana, shida yangu ni kwenye chanjo unakuta kuku katotoa vifaranga kumi kuwapa chanjo ndo changamoto msaada tafadhali

  • @mu-crzymahez9229
    @mu-crzymahez9229 3 ปีที่แล้ว

    nzuriii

  • @baredekariso8389
    @baredekariso8389 4 ปีที่แล้ว +4

    Blavoo kaka umetixha atar

  • @nurdiniabdillahi3558
    @nurdiniabdillahi3558 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kaka

  • @NjembaVenasi-cn3ev
    @NjembaVenasi-cn3ev ปีที่แล้ว

    Habari zauzima

  • @twororeturimekijambere5491
    @twororeturimekijambere5491 2 ปีที่แล้ว

    🇧🇮🇧🇮🇧🇮nagufata Sana sana

  • @saidhamisi2795
    @saidhamisi2795 4 ปีที่แล้ว +3

    Asante bro

  • @roselinaainea3747
    @roselinaainea3747 10 หลายเดือนก่อน

    This one,...!!

  • @eradolyamuya3929
    @eradolyamuya3929 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana bro,kweli umetoka mbali

  • @emmanuelaloyce932
    @emmanuelaloyce932 2 ปีที่แล้ว

    Habari kaka,namehamasika Sana na mafunzo yako kaka,Mimi nilianza kufuga kuku kumi na walianza kutaga kuku nane baada ya wiki moja kuku waliliwa na mbwa,sasa nataka kuanzabtena naomba ushauri wako tafadhali,

  • @carolyneateya1777
    @carolyneateya1777 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana

  • @jafarilupimo4537
    @jafarilupimo4537 4 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante sn
    Natamani siku tuonane maana nimejifunza mengi sn kupitia chanel yko napenda kuku tuko pamoja.

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  4 ปีที่แล้ว

      🐓🐓🐓
      Kuku wa kienyeji wanakupa raha

  • @medybrown85
    @medybrown85 4 ปีที่แล้ว

    Mimi nahitaji kujua hivi kuku wa kienyeji anachukua muda gani hadi kufikia hatua inayotakiwa kuliwa ?

  • @jimmytishe374
    @jimmytishe374 2 ปีที่แล้ว

    Napenda kuku jaman niunge kwenye familia plzz

  • @imamkassim3969
    @imamkassim3969 4 ปีที่แล้ว +1

    Inafa kuku jike na jogo wakiwa wanatoka family moja watazaana kweli

  • @mosesfa.1945
    @mosesfa.1945 4 ปีที่แล้ว

    Vip twaweza kupata canjo za kuku maana huku kwetu Burundi canjo hazipatikani

  • @obedinassary294
    @obedinassary294 4 ปีที่แล้ว +1

    Naitaji kujua jinsi ya kufanya mkuu

  • @kionyemgeni1910
    @kionyemgeni1910 2 ปีที่แล้ว

    Unapatikana wapi nataka kujifunza kufuga

  • @mgayarajabu2498
    @mgayarajabu2498 3 ปีที่แล้ว

    Ebena inpndezaaa

  • @lamecktungalaza5049
    @lamecktungalaza5049 4 ปีที่แล้ว

    Nim ipenda kaziyako naomb nambazenu

  • @DianaJimmy-y6i
    @DianaJimmy-y6i 3 วันที่ผ่านมา

    Inamaana kuongea nao wanasikia

  • @rashidishedyelly7591
    @rashidishedyelly7591 3 ปีที่แล้ว +1

    asante kwaelim je uka nunua kuku wasio na chanjo naunataka kuku wawe salama unafanyaje naomba ushaur

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  3 ปีที่แล้ว

      Asante kwa swali zuri

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  3 ปีที่แล้ว

      Kwanza watenge ili kuwaangalia kama wanamaambukizi ya magonjwa na uwe unawapa antibiotics na vitamin. Wasipoonyesha ugonjwa baada ya siku 7 wape chanjo

    • @rashidishedyelly7591
      @rashidishedyelly7591 3 ปีที่แล้ว

      shukurani sana kaka chanjo nzuri ni ipi kak mana kuna yamaji na yatone

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  3 ปีที่แล้ว

      Zote ni nzuri tu

  • @veronicakarimi1341
    @veronicakarimi1341 ปีที่แล้ว

    Habari nimefurai saaana kupata ujumbe uu naomba numbari yako ya simu tafadhali

  • @twalibsaid9573
    @twalibsaid9573 4 ปีที่แล้ว +2

    Habari
    Naomba msaada kuku wangu wa kienyeji wanapata choo kigumu sana.
    Wanajikamua sana anaweza kutumia hata dakika 10 mpaka kutoa choo

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  4 ปีที่แล้ว

      Umepita muda gani tangu uwape dawa ya minyoo

    • @twalibsaid9573
      @twalibsaid9573 4 ปีที่แล้ว

      @@changamkiafursa sijawahi kuwapa

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  4 ปีที่แล้ว

      Wape dawa ya minyoo

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  4 ปีที่แล้ว

      Hakikisha kila siku wanapata maji safi na salama muda wote

    • @twalibsaid9573
      @twalibsaid9573 4 ปีที่แล้ว

      @@changamkiafursa asante nitafanya hivyo

  • @johnnhiga5198
    @johnnhiga5198 4 ปีที่แล้ว

    C

  • @christophekabilamusenge1024
    @christophekabilamusenge1024 4 ปีที่แล้ว +2

    nafurahi kuigiya nakuanza kufuka mimi ni mu congo mani namba yangu +243815700646 wsap nipigie tuhoge kuhusu kufuka

  • @mrafb7224
    @mrafb7224 4 ปีที่แล้ว +1

    Sawa vifaranga videon wazuri San ni mbegu gani?unao wa kuuza?

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  4 ปีที่แล้ว

      Hao ni pure kienyeji,

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  4 ปีที่แล้ว

      Niauza kuroiler na kienyeji miezi mitatu

    • @heptamuscleburn524
      @heptamuscleburn524 4 ปีที่แล้ว +1

      Changamkia Fursa boss nahitaji kienyeji miezi mitatu..whatsapp 0684 027507 niambie bei

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  4 ปีที่แล้ว

      Uko mkoa gani?

  • @rikekikonyo2265
    @rikekikonyo2265 4 ปีที่แล้ว +1

    Bro unapatikana wapi naomba namba yako

  • @davidugomba9679
    @davidugomba9679 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kwa somo...0714 722739 tuwasiliane kaka

  • @gutugukuruwanga6544
    @gutugukuruwanga6544 3 ปีที่แล้ว +2

    Mimi nipo Butiama kiabakari Mara Nimeanza kufuga kuku nimenunua watetea. 45. Nimwezi Sasa hawa jataga wanakula tu . Nimewapatia chanjo ya Newcastle. Tu je Ni chanjogani inayo fuata??Nanina Banda la ukubwa was Futi15/30 wakianza kutaga nichangamotogani zitakazo nisumbua Sana?

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  3 ปีที่แล้ว +1

      Ni mwanzo mzuri sana na umeanza na mtaji mkubwa. Hapo wapatie dawa ya minyoo ambayo utakuwa ukiwapa kila mwezi na chanjo ya Newcastle utairudia kila baada ya miezi 3