USHAURI KWA WANAOTAKA KUANZA UFUGAJI WA KUKU EP2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • Kabla ya Kuanza Ufugaji wa Kuku wa Aina yeyote iwe ni kuku chotara, kuku wa kienyeji, kuku wa mayai, kuku wa nyama Unapaswa Kuzingatoa mambo ya fatayo
    Utafiti wa aina gani ya kuku ufuge
    Elimu ya ufugaji bora wa kuku unayotaka kufuga
    Ujenzi wa banda bora la kuku
    Mtaji wa kuendeshea mradi wako
    PLAYLIST
    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji
    bit.ly/2JlD0sl
    Ufugaji wa Kuku Chotara
    bit.ly/39r7FPD
    Magonjwa Tishio ya Kuku
    bit.ly/39oRfr1
    Ujenzi wa Banda Bora
    bit.ly/3bxQJs2
    Uleaji Bora wa Vifaranga
    bit.ly/2JjPH73
    SOCIAL MEDIA
    TH-cam; bit.ly/2vU8SBg
    Facebook; bit.ly/39ogwlb
    Instagram; bit.ly/3dA25xF
    Twitter; bit.ly/2UIh3Jh
    What's app; 255 (0)752209073
    For Advertisements
    Email; changamkiafursa@gmail.com

ความคิดเห็น • 24

  • @joshuaabuya6953
    @joshuaabuya6953 10 หลายเดือนก่อน

    Naomba unitumie no yko

  • @MANOFSTEEL-m3r
    @MANOFSTEEL-m3r ปีที่แล้ว

    Nimeenda somo lako

  • @hopegodbless1305
    @hopegodbless1305 4 ปีที่แล้ว +2

    Yani Kuku wangu nilinunua Vifaranga 244 wamekufa na kubaki Kuku 150 nimeokota mizoga acha kbs ni kweli unacho shauri kbs

  • @josephmarwa6942
    @josephmarwa6942 4 ปีที่แล้ว +3

    Je vifaranga huhutaji Kuota jua ( miale ya jua)

  • @mwaigombeinvestmentcoltd3748
    @mwaigombeinvestmentcoltd3748 ปีที่แล้ว

    Naitaji 100

  • @lujainamahir6266
    @lujainamahir6266 3 ปีที่แล้ว

    Nimependa sana awo kuku aina ya mwendo kasi ni wazuri wanamwili na warefu kama nahitaji kuanzia na vifaranga 500 niwe na mtaji wa kiasigani

  • @ilfanadam-ue6wo
    @ilfanadam-ue6wo ปีที่แล้ว

    Jina lako

  • @eradolyamuya3929
    @eradolyamuya3929 4 ปีที่แล้ว

    Nashukuru Dada lyimo kwa ushauri mzuri

  • @ihucha
    @ihucha 4 ปีที่แล้ว +1

    Shukrani sana kwa ushauri mzr.

  • @melodyanne3249
    @melodyanne3249 4 ปีที่แล้ว +1

    nafatilia sana ushauri wako

  • @Fatma-d8r2h
    @Fatma-d8r2h 25 วันที่ผ่านมา

    Daw ya kuk wle wanaoishiw nguv na kull

  • @WillymongaWillymonga
    @WillymongaWillymonga 3 หลายเดือนก่อน

    Naitaji kupata namba ya sim kwa maongezi zaidi

  • @allenmhando8443
    @allenmhando8443 ปีที่แล้ว

    Mbona hii video ni miaka mingi

  • @ilfanadam-ue6wo
    @ilfanadam-ue6wo ปีที่แล้ว

    Uko wapi

  • @JumaDeo-cr4fw
    @JumaDeo-cr4fw 9 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba yenu

  • @wilckstenyaboke7829
    @wilckstenyaboke7829 4 ปีที่แล้ว

    Uko wapi dada mi niko kenya natamani kuona vile umejenga nyumba ya kuku

  • @abelraphael9746
    @abelraphael9746 4 ปีที่แล้ว

    Kama vipo unauzaje

  • @abelraphael9746
    @abelraphael9746 4 ปีที่แล้ว

    Dada naitaji vifaranga nitapata toka kwako?

  • @berthachella5920
    @berthachella5920 2 ปีที่แล้ว

    Ep2 ndio nini dada?