ALIAMUA KUANZA UFUGAJI WA KUKU BAADA YA KUTAFUTA KAZI BILA MAFANIKIO AKIWA NA SHAHADA YAKE.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 มี.ค. 2021
  • #MBCITV #JAMIIYETU

ความคิดเห็น • 13

  • @user-ls2uj3fl1o
    @user-ls2uj3fl1o 8 วันที่ผ่านมา

    Naomba no ya huyo mama

  • @benjaminmushi9994
    @benjaminmushi9994 ปีที่แล้ว

    Bazi kazi dada ,karibu tanzania dada
    Unajua kiswahili sana

  • @benjaminmushi9994
    @benjaminmushi9994 ปีที่แล้ว

    Dada safi sanaaa!! Kiswahili chako nimekipenda sanaa

  • @godfreymlanda5188
    @godfreymlanda5188 3 ปีที่แล้ว +5

    Nipo Tanzania nimefurahi Sana kujifunza leo Mimi nasomea ualimu nimehamasika sana kufuga kuku nategemea mwakani baada ya kumalza chuo kikuu nijiajiri kwenye ufugaji, je Nini au vitu gani vya kufanya ili nifikie hatua Kama hii ulipofikia?

  • @khalidmainala2570
    @khalidmainala2570 2 ปีที่แล้ว +1

    hongera nikuulize hio mashini ya mayai inatoka ngapi

  • @user-ls2uj3fl1o
    @user-ls2uj3fl1o 8 วันที่ผ่านมา

    Naomba kujuwa Hao kuku ni aina gani?

  • @annahannah140
    @annahannah140 3 ปีที่แล้ว +1

    Safii Dada

  • @eugenetv6881
    @eugenetv6881 2 ปีที่แล้ว +1

    Je ako Kenya 🇰🇪 am??

  • @noelimlinga9694
    @noelimlinga9694 ปีที่แล้ว

    Dada ena shikamoo na ongera kwa hii chanel

  • @furahamuywanga2427
    @furahamuywanga2427 2 ปีที่แล้ว

    Banda kama hilo linalotoa mayai nje kuku akitaga, ili walalie unafanyaje?

  • @FarmingWithJoshe
    @FarmingWithJoshe 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana

  • @joviangeofrey866
    @joviangeofrey866 2 ปีที่แล้ว

    Nimeajiriwa ila naona kama nachereweshwa kimaendeleo maana nafuga ila nakosa usimamiz zaid ya masaa 10. Nalima na vanilla nakosa muda wa kutosha kwenda kumwagilizia

    • @user-yz5zn4tr6i
      @user-yz5zn4tr6i 4 หลายเดือนก่อน

      Kama mmi apo amua tuu maamuzi ila jipange kwanza mamy