Women Matters (1): Dr Mwaka anavyoweza kuishi na wake 3, 'Najadiliana na wake zangu niongeze wa nne
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
- #WomenMatters ya Lillian Mwasha awamu hii imemualika Dr Mwaka ambaye amebahatika kuwa na wake watatu. Unadhani ni rahisi au ngumu kuishi nao? Anaelezea huku Aunt Sadaka naye akimwagika busara zake
kama unampenda lilian anavyoongea gonga like
liliii umeongeeeaaaa kwa kweliiiii
This show is so good 😘. Gonga like kama tuko pamoja
Well spoken madam...its not about the money...its the respect n love that matters.
Alhamdulillah Dr sema tu dini inarihusu uwe na wake.unawaumiza mioyo wake zako hawawezi kusema kwakuwa pesa IPO.moyo mmoja kupenda wengi mtihani sana.
Ni ukwely hakuna mwanamke yeyote ataekubali mume aongeze mke mwengine true ni dini but huwa wanawake wanaumia ndani ya moyo wao na huyu weakness yake ni wanawake hata akiwa na wanne atabaki kuwa na tamaa bado pesa zasumbua zikiwa nyingi
Docta mwaka yupo vizuri kwa kujibu maswali mashaalah
Aisee Mungu akubariki sana Dr, kweli unalijua neno la Mungu ndio maana unamaarifa ya kuishi kwa akili na wake zako
📖📖🙏🙏🙏📖📖
Nimependa anavyo cheka docta Mwaka😂😘😘😘
Anaonekana mwenye furaha Sana
Hacheki kimaskini
Hata mm asee
nafas iko waz ila sasa anahitaj mdada mrefu
Yaani kiukweli nmejifunza vitu vingi Sana, thanks Dr.mwaka
Yaan mwaka hana tofaut na mume wangu jaman ukiwa na mume wa hivi raha sana ....,
Hongera my dear!!
Yamaha za mwili
Doctor love you so much my brother
Mtangazaj nlidhani zamarad kumbe lilian mashallah dunian wawilwawil
Hongera sana doct natamani na mm niogeze mke wa pili
Asanteni sana kwa ichokitu mimi kwa kweli nakubali
Dr hongra xn upo vizr Allah akuzdixhie nakukubal mno xamahanin xna wake zake doct nampenda kwa ajil ya Allh
Mashallah may Allah bless you and your family because you are the best person who ever makes women as friends mashallah Allah make you stronger
Huyu Dr ndio Mimi kabisa japo mke wangu mmoja tunafanya vitu pamoja, muda mwengine nafanya Mimi binafsi Alhamdulillah hayo ndio mafundisho ya dini yetu ya kiislam Kwa wanaliosoma na kuelewa
Hakika Allah awazidishie upendo
Mashallah beautiful heart ❤ may Allah protect your marriage because all the world they watch your video they are going to learn something mashallah
Kipindi murua,mnasound vizuri hasa Lillian,your voice daah so sweet.
Mwaka anafurah sana
Yaani Leo nimegundua bbysky ana wasaidizi wa kucheka, nime enjoy Sana kwa kweli #women's matters
Wallahy I've fallen in love with Dr mwaka and his wives😘just wonderful...ningekua msichana mdogo wallahy ningependa niwe wa 4 lkn bahati mbaya ama nzuri mimi ni mke wa mtu for 23 yrs
Congratulation Dr mung awalinde
Najifunza zaidi yaan ni zaidi ya PHD nitairudia zaidi ya mara kumi ili nielewe zaidi kwa ni elimu inayo tuzunguka kwa walio wengi kwenye jamii ya karne hii. Asante kwa vipindi vizr sana barikiwa sana!
Mashallah nakukubali sana Dr. Watching from Italy
Mimi nasukuma turuli na beba mizigo na Nina wake watatu na wapenda sana na wao wananipenda sana shida sio pesa shida ni upendo
Mashaallah Allah awajaalie wazid kupendana na uwapende hivyooo hivyooo hadi yaumul kiyama
Ubarik mwingi💞💞💞💞💞💞💞
duh! Wewe ni genius Doctor Mwaka
Daaah dokta mwaka,,,**ww ni midfielder Hatariiiii
Kiungo cha kati
Dah! Dr Mwaka uko vizur, natamani nipate mume mwenye uelewa mzuri kama wewe, niko tayar hata kuingia kwenye uke wenza.
Saumu ww
Dr dah nakupenda xn coz unajielewa mnoo dah Allah wajaalie Na wanaume wengne wajielew kabixa nakupenda bure my broo
Imenilazimu nikoment nimeipenda sana
Nampenda sana.iwish nigekuwa mke wake.
Doctor 👨⚕️ you are perfect 👌
Nawapenda balaaa
Ahsante women matter p
Jamani mimi cwez mpaka naingia kaburini mwenyez mungu aniepushe. Na balaa hilo sifagiliiii hata theluthi.
Ahaaa! Kumbe msipopewa stress mnakua na tamaa ya kuongeza mwanamke mwingine!!, naomba haya mambo msiongee public msije mkawashawishi waume zetu ambao hawakua na nia ya kuoa mke mwingine wakaoa kwa ushawishi wenu, hizi mada hazijanibariki kwakwel
Mke ni huyo wa kwanza wengine madanga tu.
😅😅😅😅😅😅😅
tena wakae kimya kabisa
Nice intevieuw
Lillian nakupenda upo so funny nawapenda wote mnaoendesha hichi kipindi
Duuuh mwaka anajielewa sana jamn
Yaani dokta Mwaka nakuelewa mnoo... Anaelewa anazungumza nini,anajielewa mashaa Allah
Lilian hakika uko sawa kabisa hapo pesa ndio kilakitu hakika
Nakupenda maswali yako we dada maana unauliza yanayoulizikaaaa
Unawezaje kupenda watu 4 kwa wakati mmoja, mungu aliumba adam na hawa tu. Dunia ya sasa ilivyojaa magonjwa duh.
Hivyo ndivyo mwanaume alivyo umbwa. Ndio maana Mungu akamuumba Adam na Hawa (zaidi ya moja) na hakuumba Adam na Huyu.. (mmoja tu) 🤣
Kipindi hko walikua wawili tu now wako wengi lkn
Mmh
Alietuumba alijua hivyo. Nandio maana hao wanaodanganya wanammoja michepuko kila kona.
Hayo ndo mawazo ya maskini maskini hawazsgi mbali.
"Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe."
(1Kor 7: 2)
Kweli kabisa ila litawezekanaje?.
Mi nilivyo na wivu Kwa kwel sitak ata kusikia uwiiii!!
Hawatakaa waelewe hawa ndugu zetu. Kila mtu na Mungu wake.
Kumbuka huyo Ni mwislamu siyo mkristo,kwao imehalalishwa Lakini ajabu waliokubali kuolewa naye wawili walikuwa Wakristo hawakukubali kuolewa na mume mmoja mkristo wakamfuata mwislamu.
@@damariszuckschwert9489 mbona hao wenye ndoa1 ndio wanaoongoza kwa kuwa na nyumba ndogo..? Halafu wanaishi miaka tele mpaka watoto wanazaa. Kwasababu ya ugumu wa ndoa zao. Je ni vizuri kuendekeza zinaa.. Halafu hujiulizi kwann wanawake ni wengi kuliko wanaume. Kila mwanaume akioa m1 wengine waende wapi...? Au ndio wawe nyumba ndogo..? Naturally kabisa mwanaume hawezi kutosheka na mwanamke m1
Lilian super presenter
Thumb kwa dr mwaka
Sawa Dr shughulika mwaya
Oyooooh my favorite show all the time
Ahsante Dr mwaka nimekuelewa
Kumbe dk upande huu unaakili sana nimekwelewa sana
Kumbe ndoa yake ilikua taam Hadi jamaa kafungua matawi mikoani 😂😂😂😂
Dr mwaka is one in a million.ove you for free from kenya
i wish dr mwaka angewafunda wanaume wasiojielewa woteeee.hahaha
Like Alikiba diamond and others
Fantastic answers
Nice dct
Wanaume kama hawa wamekwisha wengi now Wanataka kufanyiwa wakat Ni moja ya mapenzi sio kama hatujui majukumu yetu just do it for love sio kama mtumwa au Ile kauli yenu sijui libwatwa😏
Cheko la Dr mwaka
Yaaaani!! Duh!
afu dr kama we umependa kuoa wanawake wengi,oa mwenyew...usitangaze kwamba ambaye hafanyi anaenda tofaut na asili yake....
Hahahaaa yan duu, naangalia huku naumia
Huyu anaonekana tu mpenda wanawake! I'la anajaribu km excuse kuwa ni nature
😂 😂 😂 bora umesema mi ananikwaza kweli na hyo kauli
Mimi sioni kama kuna shida kwa sababu hata mim ukweli siwez kutosheka na mwanamke mmoja
@@kirobotonzuusi3246 hujapatafuta wakukutosha tuuu
Mashalaah mungu upamoja nawe
Ila DR. Uko vizuri umesema umeolea tamaa sio upendo ina maana upendo uliishia kwa mke wa kwanza, hawa wafuatao ni tamaa zako tu. Hapo nimekuelews kuwa moyo humpenda 1 wengine ni tamaa tu.
Hongereni kumtuletea Dr mwaka 😍😘
Jamani wanawake shida yao pesaaa hamna kingine angekuwa hana hela huyo asingeowa na asingependwa na mtu yeyote ukweli ndio huo
Yaan najifunza mengi asante dr mwakq
Nimependa Sana hiki kipindi nimeelewa na kuelimika sana
Mwasha mwasha Lilian kipindi Kiko Juu kileleni asikwwmbie mtu nakwambia mko vizuri zaidii,..Lilian kwakusifia wanaume Mpaka nakuogopa vile#Womenmatters#SnS•√
Good questions lilian mwasha
umeongea madini sana lakini kuhusu hiyo ya mwanaume kutoridhika na mwanamke mmoja sio kweli mkuu,walevi wanawezapia kusingizia binadamu naturaly ni mlevi,mwanaume ni mfano wa Mungu na Mungu ametoa utaratibu wa kiasili wa kuishi,makosa sio nature kila mtu haijalishi jinsia akiamua umalaya ni umalaya tu,wapo wanawake bila wanaume 3 hawaridhiki hiyo sio nature mkuu fanya research vizuri
Wow wow wow amazing man
Dr mwaaaaaaa! Wake zake naombeni mnisamehe imekua ngumu kumeza
Wanawake yanawaingia jamani mmmmmpooooo. Hapo hela inasumbuwa
Dr Mwaka hata ukiwa na wake 10,unasitahili.unakipaji kikubwa hadi nimependa kipindi.
Dr mwaka majibu yako swadactar
Nakupenda my Liliy
kumbe wanaume wenye hekima wangariki ongera baba nime kupenda bure
Nawapenda sana Mungu awabariki🙏🙏
Perfect
Nilichokigundua mimi kuna tofauti ya ndoa ya madokta na waalimu au askari ukisema dokta tayari ndo ishatulia kama anamtuliza mgonjwa atamshindwa mkewe?
Kabisaaa sio pesa,,, jamani ukipata mwanaume anaye kufanya ujisikie ww nimwanamke ndokitu chamsingi sana ,,ilawanaume siwapendi mno Mungu anisaidie
Hlw
Hlw
Wewe ndo kama mimi siwapend wana rangi za kubadilika badilika
Lilian wewe ni zawadi ya wanawake wote, kipindi chako ni kiboko..
OMG!!!! He is losing me.Yaaanii kicheko chake kimetawalaaa hii show too much. To compare the other guests.
He is smart Yes! He will be so on point without this too haaaa... hhhhaa.. huh none stop laughing during the others talk or ask him serious questions. You sound jokes and smart at the same time bro. Kipindii ni bomba. Lkn kicheko choko dah!
Kiisalamu Serious matter hii ni muhimu kuilezea hasa kwa wanaume wanojitwika hiyo choice. Wapatee umakini ya matamu na mzitoo yakuwa na mke zaidi ya mmoja Majukumu yakupitia na kuwaweka wake wote furahani siku zote. Km unty Sadaka akusemavyo Kaka Mwaka. Ni mfano wa kuigwa."" Ikiwa ni kweli sio funika kombe mwanaharamu apite"".
Yes you happy Man understood. I am losing the sweet ..Juiceeeee of this Good show this time within your hard laugh I'm so sorry. We need you bro. Ili nipate utamu wa topic yako No joke punguza kicheko on yr come back episode. Please and Thank you in advance.
By the way Lillian you are Super Women. SO proud of you and All guests to have these Women Matter show! Wakes Up Man and women all over the World Special my Tanzanians. Who like reality to be hidden. It is Great I love it. You are my TZ Superwoman Keep up Dear bring vigogo brainers wetu waliofichikana ktk Nchii kutupa Chakachua za kutuelewesha elimu reality za kijamii za, Maendeleo ya Mahusiano.
Ahsante dada. (U.S.A) TZ we love you Lillian.
Docta mwaka naomba kuwa wa nne karibu burundi
Waswahili wakiona kipato kinaongezeka na wake wanaongezeka
Sadan Vitte 🤣🤣🤣🤣😂
Bila shaka wewe sadan huna hofu ya Allah n pia hujui kua wanaume kusu kuongea mke n amri ya Allah., but pia nikupe elimu ndogo kabisa mtume wetu Muhammed amesema kua kila unapo ao na kipato chako chaongezeka
HASALI MEDIA mmh jamani, oa uone hiyo mia uikate mara2 huhu
@@sjfamily8121 naam sahihi lkn muwe waadilifu kwa wake zenu hapo dr. Mwaka anafaidi Zaid kwa wawili yule wa mwanzo nadhan mapenzi yamepungua japo mke mkubwa aonesha hana kinyongo na mumewe na mm nataka lkn bi mkubwa ana maneno mpaka anitisha yaan
Sio hivyo wanawake wako wengii wanaume ni kidogo
Hatatosheka hata na hao 4
Good
Hichi kipindi kiitwe wana ndoa, coz watu wengi wana ki by pass kwasababu wanafikiri kinahusu women kumbe men also.
good suggestions
kweli aisee on point 👌
Dr mwaka naomba niwe mke wa nne please,ongea na mkeo mnifikirie😜
Mim ndio mkewe nishakubari karibu sana😊😊😊😆😆😜😜
Ivi ni kweli mwanaume anayejishughulisha na anayetafuta pesa ni kweli apendi stress
Nawapenda sana 💛💛💛💛💛💛💛💦💦💦💦💦
Unajuwa kuchagua. Wanawake watulivu
Nimefurai kukuona Lilian nimekuwa nikikusikiliza kwenye redio
Mm uwaga nayafanya hayo yote nasiyafanyi eti namsaidia mke la nimajukumu yetu sote mana n mwili mmoja mke anaweza amka akakuta nyumba safi jiko safi mpaka jirani zake wanamwambie eti awapeleke kwa uyo mganga alieniendea mm ila hilo kuongeza mke wapili kiukweli bdo halipo akilini mwangu nampenda mke nanaona bdo sijamtosheleza mpaka niongeze wapili
Maisha ya kufikirika ila kuna cha kujifunza
Acha uongo we mwakaa, mngeumbwa ivyo basi Mungu angemuumba Adam Na hawa wengi, Angetoa mbavu 4 ili wanawake wawe wengi.. Acheni umalayaaa nyie mfyuuu
Yani mm hadi ananitia kichefuchefu
🤣🤣🤣🤣
Kuwa na adabu
wanafanya umalaya kwa kisingizio cha tamaa na dini. umalaya ni umalaya tu, hata mkiupamba
Fact
Dk Mwaka andaa darasa Kwa hawa wanaume wasiojielewa
MaashaaAllah
That's true the man is not Handsam treating is the issue for women
DR. MWAKA KWA MAMBO HAYO, NA KUJIELEWA HIVYO OA HATA 10 BABA TUTAKUBALI TU.
Mmmmh ngumu kumeza
Umeongea vizuri ila kwenye wake watatu du nipo njia panda dcta
Angekuwa na mke mmoja usemi wa kutendeana ningemkubari ila hiyo kutendeana na wake 3 hauwezekani utakuwa utumwa. Umalaya huu hata Mungu hapendezwi