Salama Na Baraka Ep 21 | FAHARI TOKA ITETE Part 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • #YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast
    SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
    Listen our Podcast on
    Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
    ‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
    GooglePodcast Link bit.ly/GoogleP...
    Audiomack Link bit.ly/YahSton...
    ‪TH-cam Link bit.ly/TH-camS...
    Mimi ni kama wewe tu juu ya ufahamu wa huyu mtu ambaye ameibeba Itete iliyopo kata ya Isuto tarafa ya Isangati, wilaya ya Mbeya vijijini mkoani Mbeya na Tanzania kwa ujumla, jina ni Baraka Adson Mpenja.
    Wengi humuita sauti ya radi, utamshi wake wa maneno na majina ya wachezaji na viongozi ni wa namna ya kipekee haswa, na bila ya shaka hiyo ndo tofauti kuuubwa kabisa kati yake yeye na watangazaji wengine wa kabumbu ikiwa pamoja na mimi hapa Tanzania. Ni kijana na ni maridadi na pia hajasahau wapi ametoka na ndoto zake ndo hizi ananoziishi sasa kwa mujibu wa maongezi yetu haya.
    Umaarufu wake si wa kulazimisha wala si wa skendo, kazi yake maridadi aifanyayo kwa ustadi wa hali ya juu ndo imemtambulisha kwetu hapa nyumbani na kanda nyengine za Afrika ambapo king’amuzi cha Azam kinafika. Burudani ambayo anaitoa huku akipeperusha umaarufu wa ligi kuu ya Tanzania bara na mashindano ya kimataifa ni ya mfano wa kuufuata hasa. Yangu hakika katika sajili bora ambazo AzamTV walishawahi kufanya basi ya Baraka Adson Mpenja inaweza ikawa ya kuokota dodo chini ya Mvinje.
    Basi umaridadi wake huo ndo ulotusukuma haswa sisi kumuita kwenye meza yetu, na akaja bila ya kusita. Tuliongea kuhusu chimbuko lake, ndoto zake jinsi anavyojifunza kila siku kutoka kwa wazoefu walomzunguka, masomo, ndoa, maisha kwa ujumla na mapenzi yake kwa mpira wa miguu. Ilikua matani na ung’amuzi mwingi wakati naongea naye na yangu matumaini uta enjoy.
    Love,
    Salama.
    Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
    Follow:
    Twitter: / yahstonetown
    Instagram: / yahstonetown
    Facebook: / yahstonetown

ความคิดเห็น • 78

  • @ramadhaniabdi9530
    @ramadhaniabdi9530 4 ปีที่แล้ว +11

    Baraka ni hodar sana na nimependa jinsi ambavyo anazungumza uhalisia wake Mungu atazd kkufungulia zaid

  • @fravoredstunner5
    @fravoredstunner5 4 ปีที่แล้ว +13

    5 mins into the interview and I already like this guy.

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 10 หลายเดือนก่อน

    Very humble guy interview bora unacheka mda wote na kujifunza mambo mengi

  • @flackomasterbaddest4155
    @flackomasterbaddest4155 4 ปีที่แล้ว +5

    watu wenye majina ya BARAKA always ni unique in their own way n always stand out

  • @johanesjofrey1687
    @johanesjofrey1687 10 หลายเดือนก่อน

    Baraka mpenja,nje ya utanzaji ukifanya standup commed,utashika mioyo ya wengi.Hii kitu iko ndani yako niamini mimi

  • @napendamuzikiilovemusic5840
    @napendamuzikiilovemusic5840 4 ปีที่แล้ว +4

    Wakati wa Mungu ukifika, hakuna mlango utakao zuia 👏👏

  • @adambaraguma6635
    @adambaraguma6635 4 ปีที่แล้ว +2

    Nimeipenda sana, na imenigusi kama Mutangazaji wa michezo nchini Burundi. Big Up Salama Jabir na Baraka.

  • @jobarick
    @jobarick ปีที่แล้ว

    Hii ni nzuri, kila kitu ni pure' na cream ideas zimesemwa kutoka kwa baraka.

  • @sabrinamustafa8554
    @sabrinamustafa8554 4 ปีที่แล้ว +9

    Wow!! I love everything about this interview 💥💥💥

  • @makamefaki9513
    @makamefaki9513 4 ปีที่แล้ว +9

    Baraka ni hodar sn mung amkuzi vzr ili wabaya wasije kumuona

  • @Mjomba_Side
    @Mjomba_Side 4 ปีที่แล้ว +5

    Naruhusiwa kuangalia 😂😂😂😂😂 jamaa kanichekesha mpaka nimejamba

  • @latriciah01augustino67
    @latriciah01augustino67 4 ปีที่แล้ว +5

    Mpenjaa🤣🤣🤣 nampenda sana huyu mtu.... Cheupe tuletee mzee wa mambo 10 Ali kamwe

  • @napendamuzikiilovemusic5840
    @napendamuzikiilovemusic5840 4 ปีที่แล้ว +1

    I’m sure your dad is Very happy listening to his son in the Radio 📻. Hongera sana Baraka

  • @ingabireritha3740
    @ingabireritha3740 4 ปีที่แล้ว +7

    Oooh my God they guys is very funny and very intelligent nimepanda iyo interview !good job again sister love you

  • @slayingtee6044
    @slayingtee6044 4 ปีที่แล้ว +7

    Baraka you are so funny. ila ndo nimekujua leo 😂😂😂

  • @princemujuni9803
    @princemujuni9803 4 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂 Baraka utaniua mbavu zangu bana hata mm Jessica huwa namuangalia sana

  • @ahmedaziz7853
    @ahmedaziz7853 4 ปีที่แล้ว +5

    Hii interview ni tamu bhana dah natamani isiishe

  • @swahiliwithZita
    @swahiliwithZita 4 ปีที่แล้ว +4

    yani leo mnifurahisha mno even though sipendi mpira wala sisikilizagi. dimples za Baraka sasa hadi raha

  • @mariamshaban8216
    @mariamshaban8216 4 ปีที่แล้ว +2

    Ya kibabe sana hii
    Hongereni watu Wang salama na baraka😘

  • @mwalimabrahmanmohamed8245
    @mwalimabrahmanmohamed8245 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyu jamaa kanifanya nicheke sanaaaa dah kwa mahojiano haya mda mdogoo😂😂😂

  • @abbysonmlawa3539
    @abbysonmlawa3539 4 ปีที่แล้ว +1

    Very humble guy! Keep it up Sauti ya radi

  • @simphoslyvia2570
    @simphoslyvia2570 4 ปีที่แล้ว +1

    Big up my dear,ww ndio mtangazaji pekee pekee ambaye sichoki kukutazama unapohoji watu ,be blessed Kwa kazi yako nzuri.

  • @flooseikitchen2476
    @flooseikitchen2476 4 ปีที่แล้ว +8

    😅😅😅 kama unatokea Mbeya Fanya ku like tujuane😅

  • @mwasakafyukasamson
    @mwasakafyukasamson 4 ปีที่แล้ว

    Salama unafanya vyema kabisa , uko kwenye uboira wa juu sana sana .

  • @elnabilbentaleb7008
    @elnabilbentaleb7008 3 ปีที่แล้ว

    Best in His Own Way BIG UP MPENJA ✊🔥

  • @Ali_Manzu
    @Ali_Manzu 4 ปีที่แล้ว +10

    Mgeni wa leo moto! Asanteni.

  • @fadhilmnyamwezi5037
    @fadhilmnyamwezi5037 3 ปีที่แล้ว +1

    Uko pw

  • @ayubustanley9069
    @ayubustanley9069 4 ปีที่แล้ว

    Salama +Baraka big up sana

  • @gthirty
    @gthirty 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera salama naona ushauri wa nikki mbishi unaufanyia kazi... Kwa nn jamaa nae usifanye nae kipindi

  • @itNeza
    @itNeza 4 ปีที่แล้ว +8

    Baraka is Amazing 🤣😂🤣🤣😂😂

  • @aberdimmanuely555
    @aberdimmanuely555 3 ปีที่แล้ว

    Anajua uyo

  • @saidymunga2507
    @saidymunga2507 4 ปีที่แล้ว +3

    Huyo baba lao sauti ya radi

  • @oyay2821
    @oyay2821 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @faisalyahya7186
    @faisalyahya7186 3 ปีที่แล้ว

    marhaba alhabib

  • @queenwinnie256
    @queenwinnie256 4 ปีที่แล้ว

    Kwa Baraka hapa Salama umepata mgeni Baraka anaongea toka shule, ila hongera sasa amekua naona kaacha kunata hongera sana,

  • @lucasmacdonald2196
    @lucasmacdonald2196 4 ปีที่แล้ว

    Jamaa Yuko vizur Sana

  • @innogx
    @innogx 4 ปีที่แล้ว +3

    wow the guy is really funny

  • @Sedecbuilders
    @Sedecbuilders 4 ปีที่แล้ว +1

    Jesica salimia mpeja bana🤣🤣🤣

  • @husseinlali2137
    @husseinlali2137 4 ปีที่แล้ว

    safi xna mpenja

  • @maurusmchilo9381
    @maurusmchilo9381 4 ปีที่แล้ว

    Nimecheka sana leo

  • @hassanali4838
    @hassanali4838 4 ปีที่แล้ว +1

    Sauti ya radi baraka mpencha

  • @alicethobias932
    @alicethobias932 4 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @mimihuyo8239
    @mimihuyo8239 4 ปีที่แล้ว +1

    Mpenja 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @najmasoudnaj8211
    @najmasoudnaj8211 4 ปีที่แล้ว +1

    Nice 🔥💯

  • @sikudhanigivengilbreth9361
    @sikudhanigivengilbreth9361 4 ปีที่แล้ว +3

    Asee we kaka unatokea kwetu kabisa

    • @queenwinnie256
      @queenwinnie256 4 ปีที่แล้ว

      Kwenu wapi ndugu mm wa Isuto pale kabisa kata,

  • @christophermeori6688
    @christophermeori6688 4 ปีที่แล้ว

    Tumewanyonyoa nyonyo bro nakukubali

  • @rahyanadam8328
    @rahyanadam8328 4 ปีที่แล้ว

    Dope

  • @epifaniamponda2443
    @epifaniamponda2443 4 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂 you made may day baraka

  • @hawaynatimam982
    @hawaynatimam982 4 ปีที่แล้ว

    Hadi raha

  • @saidishebuge4796
    @saidishebuge4796 3 ปีที่แล้ว

    Namkubal Sana jamaa

  • @happytemba6147
    @happytemba6147 4 ปีที่แล้ว +1

    Naenjoy😁😁😁😁😁

  • @Winstonfying
    @Winstonfying 4 ปีที่แล้ว

    Daah salama!

  • @nzikunivard
    @nzikunivard 4 ปีที่แล้ว

    Nice 💪

  • @paulmgoli4853
    @paulmgoli4853 4 ปีที่แล้ว +1

    Jesca tusalimiane vp hali ako mama 😂😂

  • @shikanenoshikaneno841
    @shikanenoshikaneno841 4 ปีที่แล้ว

    Daaah mpenja matataa Sana daah,😀😀

  • @juliachozi425
    @juliachozi425 4 ปีที่แล้ว

    Wa kumwituu

  • @vincentmasalu8922
    @vincentmasalu8922 4 ปีที่แล้ว +1

    19:11 😃🤣🤣

  • @famorsn9834
    @famorsn9834 4 ปีที่แล้ว

    Asee mtuletee dudu baya.. tunahitaji madini yake

  • @hubertanthony7846
    @hubertanthony7846 4 ปีที่แล้ว +5

    Japo sifahamu Kiswahili ila napenda sana kufatilia kipindi chako Salama

    • @asiajuma8330
      @asiajuma8330 4 ปีที่แล้ว +3

      Eboo nani kakuandikia comment 😜😃

    • @aminasaid7657
      @aminasaid7657 4 ปีที่แล้ว +2

      Wacha kutu zenguwa wewe kuandika wajuwa lakini ujuwi kiswahili weeee

    • @slayingtee6044
      @slayingtee6044 4 ปีที่แล้ว +1

      Uliandikaje kama hujui

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 4 ปีที่แล้ว

      @@asiajuma8330 🤣🤣🤣🤣🙌

    • @ibrahimuturuku8072
      @ibrahimuturuku8072 4 ปีที่แล้ว

      Apo kaandika kichina🤣

  • @a.856
    @a.856 4 ปีที่แล้ว +1

    👍👍👍

  • @ishakafaki3501
    @ishakafaki3501 4 ปีที่แล้ว

    Yaapp Ukweli hii interv mbaya kwasabb yaathari ya anae fanyiwa interv anaongea Sana nahatupi madinii anayotakiwa kutupa.
    Ushauri wangu endapo atakuja m2 mwenye maneno mengi na falsafa basi agongwe maswali magumu ili atupee anachotakiwaa kutupaa 🙏

    • @queenwinnie256
      @queenwinnie256 4 ปีที่แล้ว

      Huyu anaongea hatari tumesoma secondary moja na utangazaji ndio panamfaaa,

  • @fei3668
    @fei3668 4 ปีที่แล้ว

    😆😆😆

  • @Kibitiyetu1
    @Kibitiyetu1 4 ปีที่แล้ว +2

    Salama Nakuomba Uni Unblock Insta @eliasakitasa