Yaani rais wetu ukiwa hueleweki kwenye kazi yako tu haangalii kuw ww ni nani kwake hata kam ni mwanae yeye anatumbua ndio tujue kuw tumejaaliw rais asokuw na ubaguz angekuw mtu mwingine hatumbui anakaa kimya ili anaekula ale tu jmn tuna rais walah Allah atulindie
Huwezi kusonga na mtu anayekuvuta shati dawa ni kumpa tahadhari mapema kwamba tunasonga pamoja ila ukizingua njiani nakuacha na hiyo imekaa vzr maana ushapewa tahadhari tena hadharani tena mapema kabla ya safari haijaanza. JPM anamuamini Majaliwa tena sana ila hapo ni kumkumbusha kuwa mzigo walioubeba hasa mhula huu wa pili ni mzito kwaiyo ni lazima achape kazi vinginevyo atatupwa nje ya ulingo. Nikuibie siri Majaliwa anaandaliwa kuwa Rais ajaye na hilo liweke akilini
JPM hawezi kukaa na kitu moyoni yy anaongea tu kilichoko moyoni ucheke unune yy keshaongea.... nilipokuwa naangalia live nilikuwa naogopa utadhani mie ndio Kassim Majaliwa 🤣
Jpm Wwe noma Sana hatutozulumiwa Haki zetu mungu akulinde MA shallah
Ni ngumu sana wengi wetu kukuelewa, chapa kazi kiongozi wetu, Allah akuongoze vyema kwenye majukum yako ya kila siku.
HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
th-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/w-d-xo.html
NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥
Yaani rais wetu ukiwa hueleweki kwenye kazi yako tu haangalii kuw ww ni nani kwake hata kam ni mwanae yeye anatumbua ndio tujue kuw tumejaaliw rais asokuw na ubaguz angekuw mtu mwingine hatumbui anakaa kimya ili anaekula ale tu jmn tuna rais walah Allah atulindie
Hongera Magufuli kwa kuwa muwazi juu ya mawaziri na Waziri Mķuu ili wasijisahau
Duh uyu mzee basi tu,continue to rest in peace great son of africa. We miss you dearly
Tunaotamani majaliwa aendelee kuwa waziri mkuu like tujuane
Tuko pamoj
Tanzania president is for the people, not corrupt like many in his position.
HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
th-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/w-d-xo.html
NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥
Wanao mchukia Magufuri Basi hao ni wachawi tu sio bule watanzania inabidi tumshukuru Mungu kwa kutupa huyu raisi ni raisi muwazi na mkweli
HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
th-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/w-d-xo.html
NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥
Really sarcastic words
HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
th-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/w-d-xo.html
NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥
Ninachompendea huyu baba anasemagaukweli haogopi chochote ukinuna au ucheke utajua mwenyewe
Umeliona eeh😂😂😂😂😀
@@hamedabashir9 kabisa😁
Kweli kabisa mtu mkweli ni mapenzi wa Mungu
@@andulilemwakihabha2048 sanaa
Magufuli hazoeleki ukiteteleka tu anakutupilia mbali!!!!!!!!!!!!!!
Hapo ndo ujue magufuli yuko pekee yake hana guarantee pia
HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
th-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/w-d-xo.html
NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥
Kabisa na ndio maana Majaliwa alipoteuliwa alisema sikutarajia
@@ibel4lf kweli kabisa
HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
th-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/w-d-xo.html
NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥
mcheki magufuli hapa
Songen pa1 Mzee
Huwezi kusonga na mtu anayekuvuta shati dawa ni kumpa tahadhari mapema kwamba tunasonga pamoja ila ukizingua njiani nakuacha na hiyo imekaa vzr maana ushapewa tahadhari tena hadharani tena mapema kabla ya safari haijaanza. JPM anamuamini Majaliwa tena sana ila hapo ni kumkumbusha kuwa mzigo walioubeba hasa mhula huu wa pili ni mzito kwaiyo ni lazima achape kazi vinginevyo atatupwa nje ya ulingo. Nikuibie siri Majaliwa anaandaliwa kuwa Rais ajaye na hilo liweke akilini
Naona majariwa arikuwa tumbojoto arijuwa anatumburiwa
JPM 🤣🤣🤣🤣
Bora nikae jobless kiliko kuteuliwa na huyu mzee 😂
Yaani,,,,,,,,amezidi mno kutishana!!!
@@jumakapilima5674 hawatishi ila anawambia ukweli
@@andulilemwakihabha2048 hamna kitu!!
HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
th-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/w-d-xo.html
NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥
😂nimecheka kwa saut
😭😭😭
VPN
Huko sasa ni kutishana, kiuongozi sio nzuri!!!
Hahaha. Chaguo letu wenyeweee. Acha tuisome namba
Kwenye kazi sio kwa kuchekeana uo ni ukweli sio kutishana mana binaadam tunajisahau so lazima kuzingatia majukum walio pewa
@@andulilemwakihabha2048 huko ni kutishana bwana!!!
sasa usitishwe ili ufanye mambo ya hovyo magufuli sio kwamba anamtisha bali anamwambia ukweli ili awe makini katika kazi zake
@@yessecharles3155 kaka huko ni kutishana, hamna namna nyingine unavyoweza kusema
Mkapanishiwe kule. Wapi
😎
Mshaanza kulana wenyewe baada ya kuua wazanzibar mungu yupo
U
Usihukumu usije kuhukumiwa
Ni ukweli polisi waliua watu Nani kawatuma JPM jilo tutawaambia Tu
Wananchi mumewakopa sio wamekukopa , na hivyo ni wajibu wenu kurudisha deni sasa
HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
th-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/w-d-xo.html
NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥
Utenda kazi wenu utawasimamia ongezeni bidii
HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
th-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/w-d-xo.html
NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥
🔥
Wajina kaza wanakusini tunakuombea
HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
th-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/w-d-xo.html
NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥
Mungu anawaon washenzi wakubwa
😡😡
Msuya alikua anarudiarudia
HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
th-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/w-d-xo.html
NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥
A

Mwinyi ameelew mmeiba kura ndo maan hashangilii hata mara mmoja
Toka hapa pimbi wee
Wew mgonjwa
Sio mchezo
Wakurungezi na maafisa wa usalama walipiga kazi mno na tume ya uchaguzi
Hahahaa,,,,,!!!