HATARI HUYU NDIYE KIBOKO YA KISHKI FEKI PART 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 229

  • @MawelaKatimka-t3w
    @MawelaKatimka-t3w หลายเดือนก่อน +1

    Masha Allah watu waendelee kufanyiwa dua wenye chuki wanazidi hangaika mpaka weseeeme yani baaaado hawajasema mawahaabi na watasema tuu sheikh wetu firdaus Allah akuzidishe msamaha na afiyah na karama YANIII MPAKA WASEMEEEE!

    • @IssaNasir-v2e
      @IssaNasir-v2e หลายเดือนก่อน +2

      Endeleeni kutapeliwa mazuzu

    • @dragon4397
      @dragon4397 หลายเดือนก่อน

      upumbavu na kili Zero. yani mnachafuwa dini mnaacha dini ya ki Islamu watu waiione kama dini ya kiuganga. Allah wasemeh na warudishe kwenye Islam ya ukweli abayo prophet Mohammed PBUH katuleteya.

    • @issaibrahim8796
      @issaibrahim8796 หลายเดือนก่อน

      Wajinga ndio waliwao

    • @MaisaraIbrahim-i9b
      @MaisaraIbrahim-i9b หลายเดือนก่อน

      Wapumbavu na wajinga ni bab zenu na Mama zenu walioshindwa kuwalea na kuwapeleka kwa masheikh sahibi mkaenda kusoma uwahabi wajinga na wachawi wakubwa ni nyie

    • @MaisaraIbrahim-i9b
      @MaisaraIbrahim-i9b หลายเดือนก่อน

      ​@@dragon4397aliyenza kichafua dini ni baba Yako aliyekuzaa nje ya ndoa na kushindwa kukulea ukaishia kuwa mfuasi wa wahabi

  • @AbdulkarimBeda
    @AbdulkarimBeda หลายเดือนก่อน +21

    Kiukwel mm nimesilimu katika kusoma kwangu koote nmegundua 90% ya masufi waganga na wachawi isipokuw Allah alio warehemu

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 หลายเดือนก่อน +1

      Kama yupi ulomuona

    • @assadyabdull5146
      @assadyabdull5146 หลายเดือนก่อน +1

      Kumbe umesilimu Sasa funga mdomo wako kasome kwanza kichwa chako Kipo tupu

    • @AyubuIkaku
      @AyubuIkaku หลายเดือนก่อน

      ​@@assadyabdull5146 Hayo sio majibu ya kumwambia mtu aliyesilimu. Muelekeze kwa hekma na dalili

    • @salmaanfaqiih
      @salmaanfaqiih หลายเดือนก่อน

      Ndugu yangu kwa ufupi Swuufiy ni ambae anafuata Mwenendo wa Mtume, na sio kila anaejiita Swuufiy anamfuata Mtume kweli, kwahiyo ukiona Mtu hamfuati Mtume basi ujue sio Swuufiy wa kweli huyo.

    • @warshysaid8564
      @warshysaid8564 หลายเดือนก่อน +2

      Ùķo saw

  • @BABYRAMAMINA-rj4vy
    @BABYRAMAMINA-rj4vy 25 วันที่ผ่านมา

    Allahuma swali wasalim alaih

  • @UmmaryLikinge
    @UmmaryLikinge หลายเดือนก่อน +8

    Allah akupe nguvu sharifu .. shekhe wa mkoa AMESEMA mtu atake we sharifu asitake wesharifu ... MUIMU SAANA TUZIDIDHE MAOMBI WACHAWI NIWENGI

    • @woah.africa99
      @woah.africa99 หลายเดือนก่อน +1

      Na we mzungu au mana sharif jona lipo sio kujinadibisha na kuzidisha hajakatzwa kuombea watu ila kujiona ww ndio bora na sharif na ww kila kitu unweza ni dhambi

    • @iFly-t9b
      @iFly-t9b หลายเดือนก่อน

      Kwa hio Sheikh wa Mkoa ndio nani na ana darja gani Kwa Allah?? au upo kidunia zaidi?.. kijana una feli

    • @AmoIslamicTv
      @AmoIslamicTv หลายเดือนก่อน

      @@UmmaryLikinge Hata baba Yako pia muite sharifu tuu, nyie wezi mnashida kweli kweli fanyeni KAZI acheni kupora wajinga wasoelewaaa

    • @AmoIslamicTv
      @AmoIslamicTv หลายเดือนก่อน +1

      @@UmmaryLikinge weweee acha ujinga uliambiwa hii dini ni ya Sheikh wa Mkoa?? Yaoneee Matapeli wakongweeeee bwanaa mnasapotiana ujinga tuuuuu

    • @IbraFareed
      @IbraFareed หลายเดือนก่อน

      @@iFly-t9b jambo likija litatafsiriwa kwa lugha na mapatano ya wanazuoni
      Ndo mana sheikh akasema utake usitake huyu sharif
      Mbona haya yanafundishwa ktk vitabu vya watoto kabisa

  • @MaisaraIbrahim-i9b
    @MaisaraIbrahim-i9b หลายเดือนก่อน

    Maashallah wachawi wenye kufuga ndevu na kukata kanzu wataumwa roho sana wafe tu kwa chuki zao wanajidai wana elimu wakati elimu yao ni kukata kanzu na kufuga ndevu na kuchukia waislam wenzao. Sharif endelea kumtaja Mwenyezi Mungu ili kusaidia waislamu wenzao

    • @maymunamakungu6265
      @maymunamakungu6265 27 วันที่ผ่านมา

      Hapo huyo firdaus anatetewa eti kwa kisingizio cha uwahabi. Huyo ni mganga wa kishirikina msiwachanganye watu,huyo ni sharifu fekiiii

  • @AsnatyMshamu
    @AsnatyMshamu หลายเดือนก่อน +1

    Nyinyi wana waadama wacheni kucoment ndy au hapana kitu kama ukielewi elewi au unaelimu nacho sema tuh allahu aghala usitukane mashekher wakti elimu yako duni apa uwenda shekher kishk yupo sahihi au uwenda awa mashekher nao wapo sahihi au uwenda shekher kishk mengne kasema yakweli mengne hapn na uenda awa mashekher wengne wanayoongea yapo ya kweli na yasiokuwa hii elimu ni pana ndug zang ety kun mtu kaishia alifu kusoma kwake kweny mitandao nd anawatia watu zambi astakaful llah na inna lillah nying munasahau kuwa jaji wetu sisi ni Allah kitu kusem ujui sema Allahu aghala na endlea kujufunza maan mushaanza kuwashusha hadhi baadhi ya mashekher wet kwa kusem mashushu kafili ,afai sio njia izo ndugu zangu

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 หลายเดือนก่อน +4

    Wanawake tuwe makini sana, kwenye sehemu nyingi za kupoteza ndo cc tumejaza viwanja.

    • @AmoIslamicTv
      @AmoIslamicTv หลายเดือนก่อน

      @@myunaniniahmad6463 Waambie kweli japo itawauma. Fikisha ujumbe Japo Aya Moja

    • @d15355
      @d15355 หลายเดือนก่อน

      kelele dajjal mkubwa wewe ndio unajitokeza sasa hivi? ulikuwa wapi wakati mwamposa anawaritadisha wenzako kule kawe?sasa kajitokeza muislam kuzuia na kutibu tatizo la mwamposa mnaanza kumsengenya aache ili mwamposa afanye kazi yake bila upinzani, dini hii inaharibiwa na mawahabi na mafundisho yenu ya kidajjal

    • @adamkamaze9888
      @adamkamaze9888 หลายเดือนก่อน

      ​@@d15355masufi mnapenda uganga na kupiga ramli

  • @rahmahasan32
    @rahmahasan32 หลายเดือนก่อน +1

    Namuona Zuewena Masha Allah asikilize vipuri Masha Allah ❤

  • @saidikambi9597
    @saidikambi9597 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah mtihani sana.

  • @UmmaryLikinge
    @UmmaryLikinge หลายเดือนก่อน +1

    Maashaallah..Mimi niseme jambo kubwa hili mawahabi muende kwenye Chanel yenu mutuache na kheri zenu ..nyinyi MASHINDANO ya qur aan SISI Dua kheri zetu sote

    • @sharfumbarouk6168
      @sharfumbarouk6168 หลายเดือนก่อน

      Mubaki Nyinyi wenyewe washirikina hamtaki mawaidha ya kuwaepusha na Moto mkali kwa kufanya uchawi hadharani hakina asiyejua -pumzi inawadanganya mnamaliza mda wenu wa kuishi vibaya

  • @MaulidFakiKhamis
    @MaulidFakiKhamis หลายเดือนก่อน +1

    Wewe washangaza sana

  • @RamaKushinda
    @RamaKushinda หลายเดือนก่อน +3

    Nyie waganga tu mnaharibi DINI kwatamaa zenu zadunia

    • @allyhemed6380
      @allyhemed6380 26 วันที่ผ่านมา

      Toa zako na jamii ikajua

  • @uwezahalisidominick4215
    @uwezahalisidominick4215 หลายเดือนก่อน

    Kijana unatmia nguv zing kuaminisha watu

  • @AmoIslamicTv
    @AmoIslamicTv หลายเดือนก่อน +4

    Huya nae tunamueshimu sana na yeye eti anamsapoti Sharifu Feki, inalillahi waina ilayhi rajiuun

    • @d15355
      @d15355 หลายเดือนก่อน

      kwani sharifu orijino ni yupi lofa wewe? kama ukiwa mjukuu wa mtume ndio sharifu lete dalili basi
      inaposema kuwa sayyid ali au mtume aliitw sharifu kama cheo chake?

    • @AmoIslamicTv
      @AmoIslamicTv หลายเดือนก่อน

      @@d15355 wewee kibaraka wa sharifu feki, na sisi haturudi nyuma tutawabomoa hivihivi mpaka Mwisho wenuuuu, Elimu ya dini hamna wajanja wajanja tuuuu, yaani tena huyo Mtoto wenu akiendelea kutapeli Watu mtaona Mwisho wake Muda sio Mrefu, msiungane kutapeli Watu kwa kutumika kivuli Cha dini yetu nyani nyieee

    • @haridyhillaryndembo1946
      @haridyhillaryndembo1946 หลายเดือนก่อน

      Acheni chuki dini si ya baba zenu kila mtu ana nafasi ya kuendesha gurudumu la dini kwa juhudi zake, Mungu ndiye anayemjua mchamungu miongoni mwetu tusibeze wengine na mwisho wetu hatuujui kama ni mwema au mbaya
      Wala tazzakhu anfusahum, na wala msizitukuze nafsi zenu Allah ndiye anayejua mchamungu ni nani kati yenu

    • @AmoIslamicTv
      @AmoIslamicTv หลายเดือนก่อน +1

      @haridyhillaryndembo1946 Hata yeye huyo mtoto Sharifu dini hii sio ya BABA ake ndo maana hatukubali aichafue. Akalime shamba huko asikae Mjini kuishi kisaniiii hatutamuacha!

    • @allyslim7774
      @allyslim7774 หลายเดือนก่อน

      ​@@d15355lofa wewe mjinga wewe

  • @OmarSongoro-bp9pn
    @OmarSongoro-bp9pn หลายเดือนก่อน

    Tp mazembeee

  • @RaimamomedSaide
    @RaimamomedSaide 8 วันที่ผ่านมา

    Shekhe hapo unaunga mkono mambo shirki,hakuna alokataza pasitajwe jina la Allah au kumswalia mtume (s,a,w)popote ulipo ispokua chooni tu na kwa vovote uwezavo we mtaje tu lakin hio yakuanika wanawake nakuwavua nguo mitandaoni kwanza ametoka nje ya maadil yakislma,na hilo lakutoa mashetan au mabomu sehemu yaliozikwa hakuna ktk uislam mambo hayo,unamfukuza shetan kwa kisomo nasio kuchimbua sehem kutoa uchawi,sina ubaguzi wa mashekhe lakin hapo siungi mkono kuwa huyo anafanya haki 😢😢😢Allahu alaam.

  • @mohamedmanga8391
    @mohamedmanga8391 หลายเดือนก่อน

    Tanzania usanii umewaharibu dini mwaifanya kiusanii Allah awaondoe kwenye hili awaongoze kwenye mema awaepushe na matapeli hawa.

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 หลายเดือนก่อน

    Duaatu min abwaabi Jahannam

  • @sheeqassim6274
    @sheeqassim6274 หลายเดือนก่อน +3

    Nyie mawahabi wacheni kuwashwa nendeni kwa channel zenu

    • @AmoIslamicTv
      @AmoIslamicTv หลายเดือนก่อน

      @@sheeqassim6274 Nyie ni majambazi mnaojificha kwenye kivuli Cha Dini na hatutamuacha mtu anayetapeli waumini wa kiislam

    • @AbasHabimana
      @AbasHabimana หลายเดือนก่อน

      Masufi acheni vurugu kwenye dini huyo sharife feki ni mshirikina hana lolote na wale wote ambao wanamsapoti wataumbuka tu

  • @MaulidAbdullah-nw9wu
    @MaulidAbdullah-nw9wu หลายเดือนก่อน

    Wedogo acha kiburi na dharau za kudharau mashekh utadhalilika vibaya sana utatesekasana

    • @d15355
      @d15355 หลายเดือนก่อน

      huyo sheikh nani jahl wewe ?kishki mvutaa bhangh?tena wahabi ,huyo anaeongea hapo ndio sharifu hasa kinasaba toka kwa mtume kishk sio sharifu tuna mashaka sabab zamani kila mtu alikuwa anajiita sharifu ili atukuzwe nahisi wazee wake kishk wako kundi hili haiwezekani ukawa sharifu halafu ukawa wahabi tena yeye na kakake ina maana hawana wazee wao hadi sasa kuwaonya?
      hii inathibitisha kuwa kishki sio sharifu bali ni mjukuu wa mussailama al kadhaba

  • @YussuphIsmail-qh2gg
    @YussuphIsmail-qh2gg หลายเดือนก่อน

    Umemtuza kidogo mwengeze ila akusifie

  • @husseinmtima6106
    @husseinmtima6106 หลายเดือนก่อน

    Mbona hadhira yake wengi ni wanawake tuu !Wanawake Huwa wanapenda sana kusikiliza kuliko kufuatilia mambo Kwa undani!

    • @d15355
      @d15355 หลายเดือนก่อน

      mwamposa hujamuona alipowaritadisha dada zetu siobadala yake mnamwona muislam mwenzenu anae jitahidi wanafiki wakubwa nyie

    • @husseinmtima6106
      @husseinmtima6106 หลายเดือนก่อน

      @d15355 Hujielewi Wala hujaelewa unadandia tuu elewa kwanza mpuuzi wewe!

    • @IbraFareed
      @IbraFareed หลายเดือนก่อน

      @@husseinmtima6106 kuwepo wanawake ndio hoja 😂😂

    • @husseinmtima6106
      @husseinmtima6106 หลายเดือนก่อน

      @@IbraFareed Hujanielewa unadandia tuu !

  • @mussamtupa
    @mussamtupa หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mwamba kiboko ya shekh Kishik. Kila unapo una ww unajua kumbuka wapo wanao jua zaidi yako

    • @AmoIslamicTv
      @AmoIslamicTv หลายเดือนก่อน

      @@mussamtupa kwa ugangaa tuu sio kingineee

    • @IbraFareed
      @IbraFareed หลายเดือนก่อน

      @@AmoIslamicTv kwani uganga ni zambi sheikh
      😅😅😅
      Ukijibu hapa nakuletea vitabu vya wanazuoni waloeka vitabu vyao mambo hayo
      Soma sheikh

  • @MusaSeahope
    @MusaSeahope หลายเดือนก่อน +5

    Ndunguzangu katika Imani mtu anae chukia watu wakisomewa Dua huyo mwanga tu na wanga wengine utawaona madevu makubwa vilemba kanzukubwa ila mwanga makubwa kama alivyo sema Allah katika surat Munafikun

    • @yusufulukamata7152
      @yusufulukamata7152 หลายเดือนก่อน +2

      Muislam wa kwel awez akatlkwa na pofu kiasi Iko kwaiyo mtu akikosea asiambiwe au ww umetumwa useme ayo maneno

    • @woah.africa99
      @woah.africa99 หลายเดือนก่อน +3

      Mjinga hi dini kuna mashekh lazima waheshimiwr ikiwa wameoma makosa kama huna kosa walikuambia uje utusome hizo aya mbona kakataa na hao ni mashekh kuna kusomewa lakini sio kw stile ya firdous hamna kuna mmoja yulo romaniya shekh mkubwa anawasomea watu hamna stile ya firdaus na kujita sharif wa kinasaba jite sharif jina sio kinasaba hiyo ni kibri

    • @khalidwaid8021
      @khalidwaid8021 หลายเดือนก่อน +3

      Huyu dogo hafanyi Dua ni mganga wa kienyeji

    • @Niget-us1np
      @Niget-us1np หลายเดือนก่อน +1

      Alafu itakuwa hajaerewa anamiemk huyo iko hiv hajazzuiwa duwa wala hjazuiwa kutoa maji lkn sio njian anayo tumia yeye Chua video zak na zamwapos Sawa saw tofaut Ni yule anasem wajina la yesb huy la mung bc lkn wanawake kujidhalilish nguo kuwa tok wanawake anakaa uchi ndo nini hioo Hao water Ni wale mashekh wenye rooh mbaya kisa kishki anaanda mashindano makubwa hawapend yanawauma ndomn wapo upand wa huy mganga

    • @SalumMasengwa-b9s
      @SalumMasengwa-b9s หลายเดือนก่อน

      Kufanya duwa ktk uislam hakukatazwi shida inakuja hapa
      Ktk mambo 7 yenye kuangamiza Moja wapo ikiwa ni SHIRKI Sasa je huku kuzua vinu kutoa mizukule kuwaweka kinamama uchi hivi ktk uislam vimeruhusiwa
      Kama vimeruhusiwa sawa nakama havikuruhusiwa manaa yake ni Haram tuwacheni ushabiki tuangalieni haki Iko wapi

  • @MwamvuaHussein-s5i
    @MwamvuaHussein-s5i หลายเดือนก่อน

    First to comment

  • @AmoIslamicTv
    @AmoIslamicTv หลายเดือนก่อน +3

    Dogo anatumia nguvu nyingi sana ili aonekane mkweli! Lakini mtu mkweli huwa hatumii nguvu ili kuaminika. Subhana Allah. Acheni unafiki nyie baadhi ya Masheikh acheni utapeli muogooeni Allah, na sisi hatuwaachi tutazidi kusema juu ya utapeli wenu fanyeni kazi acheni kuwaza mifuko ya watuuuuuuu

    • @d15355
      @d15355 หลายเดือนก่อน

      utaenda kuibu hili kwa allah unaoushahidi kuwa ulimuona akimtapeli mtu?

    • @AmoIslamicTv
      @AmoIslamicTv หลายเดือนก่อน

      @d15355 Weweeeee acha ujahil wako. Fanyeni KAZI acheni kupora wajinga wasoelewaaa. Nyie Matapeli wakongweeeee

    • @d15355
      @d15355 หลายเดือนก่อน

      @@AmoIslamicTv unasemaje wewe jahili wa elmu dunia na akhera hivi hujui kiduni dunia utapeli ni kosa la jinai? lini ulisikia firdaus kashtakiwa kwa kuwatapeli watu? mlitaka hao kina mama waende wapi ? waokoke kwa mwamposa kufuata maji na mafuta? hujui kuwa kupora pia ni kesi ya jinai na pia ni dhambi nipe kesi moja aliyoshtakiwa kutapeli watu, ingekuwa hao watu hawaponi wasingeenda kwake kwani sio wajinga hivyo, kabla hajaja walikuwepo wengine wenye ilinge kina shafi,diwani mliona wakijaza kina mama kama hivi? hawakuwa na karama jahili wee funga bakuli lako

  • @SANDEMANGUNYA
    @SANDEMANGUNYA หลายเดือนก่อน

    hawa majamaa wahongo sana

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj หลายเดือนก่อน

      Ww mkweli

  • @mamuamtoto
    @mamuamtoto หลายเดือนก่อน

    Sharifu mapete

  • @HashimSalim-qj7zn
    @HashimSalim-qj7zn หลายเดือนก่อน +1

    WAGANGA NA WACHAWI WANAJUANA KWA VILEMBA NA WAKO TAYARI HATA KUPIGANA KUTEYEA UGANGA WAO UNAO WAPATIA KULA

  • @dragon4397
    @dragon4397 หลายเดือนก่อน

    fast forward mpaka 18:37 utajua kwamba hawa watu ni mafisadi. yanini kwfanya kemera inase kwa mschana kama sio mashitaani wote pamoja na kamera man wenu.

  • @HadinanKimimbi
    @HadinanKimimbi หลายเดือนก่อน

    Ukitaka kujua Akuna Anayekufatilia Subir Uzeeke Kila Mtu Afanye Yake Mungu wa Kwanza

  • @sophiajuma6798
    @sophiajuma6798 หลายเดือนก่อน

    Mtihani mkubwa huu muogopeni Mungu acheni shirk mnapotosha watu haya yote juu ya pesa jiulizeni ni wangapi walikuwa na pesa na sahii wako wapi? Allah atupe mwisho mwema.

  • @AmanMahaliya
    @AmanMahaliya หลายเดือนก่อน

    wenimesengetu hunajipya towa njaa zako hapa

  • @SANDEMANGUNYA
    @SANDEMANGUNYA หลายเดือนก่อน

    we sharifu tafuta kazi yakufanya

  • @BofuMlanzi
    @BofuMlanzi หลายเดือนก่อน

    Mtihani mkubwa! Yote hayo ni kwa ajili ya kumtukuza binadamu mpotoshaji sababu kubwa ni dini kuifanyia vyama.

  • @MazagaMbogo
    @MazagaMbogo หลายเดือนก่อน

    Allah ametuonyesha wahuni ishaallah hili jambo siilahitlafu maji yaupako namafuta yaupako huyuhuyu alitabiri mechi yasimba nayanga akasema ameangalia ameona simba atafungwa mbona mnajisahaulisha

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj หลายเดือนก่อน

      Yy asema sio maji ya upako kasome hata ww waeza yabiri ukasema huyu atashinda na akashinda na yale maji ni kama kombe la zafarani na miski na kusomewa na yatibu watu soma wacha kuropokwa

  • @dragon4397
    @dragon4397 หลายเดือนก่อน

    matapeli mnachafuwa dini

  • @AbasHabimana
    @AbasHabimana หลายเดือนก่อน

    Huyu Shaikh nae anamsapoti Sharifu Sharifu fek unataka kujiumbua bure Watu wa Twarika acheni mshirikina muna zalilisha uislam

  • @dragon4397
    @dragon4397 หลายเดือนก่อน

    mavazi imekaa kiuganga uganga tuu.

  • @OmaryBakariOmary-ts3mf
    @OmaryBakariOmary-ts3mf หลายเดือนก่อน

    Wew unaokoment kuhusu ndevu na kanzu unaelewa unachosema kanzu fupi au ndevu ,utakua unamtukana mtume

  • @AmanMahaliya
    @AmanMahaliya หลายเดือนก่อน

    acheni kudanganya watu nyinyi

  • @MishiPapalan
    @MishiPapalan หลายเดือนก่อน

    Wanawake logeni waumezenu

    • @AishaIssa-ld8lw
      @AishaIssa-ld8lw หลายเดือนก่อน

      Kama kawaida, WEWE acha kumloga abebwe na wenzio shiiii, mloge mume wako kimapenz sio kiuchawiiiii hiiiii

  • @YusufDaudi-v5f
    @YusufDaudi-v5f หลายเดือนก่อน

    Haki hitabaki kuwa haki wote mrongo

  • @AllyHozza
    @AllyHozza หลายเดือนก่อน

    subhana llah waganga wamekutana , Pete peke yake zaidi ya kilo moja😂

    • @Qur-an
      @Qur-an หลายเดือนก่อน

      Mganga mkuu n ww ibilisi

    • @IbraFareed
      @IbraFareed หลายเดือนก่อน

      Jiepushe na dhana

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv หลายเดือนก่อน

    Sheikh atmi mshauri kijana awache kuwa jibu masheikh wakubwa kielemu na kiumri ili kuepusha malumbano ndani ya dini

  • @KhamisAli-r1w
    @KhamisAli-r1w หลายเดือนก่อน +1

    Nikiona milemba mikubwaaa, mi tasbihi mikubwaaa, mijoho ya kijani mikubwaaa, na mibendera mikubwaaa naogopaga mie!!.

    • @AmoIslamicTv
      @AmoIslamicTv หลายเดือนก่อน

      @@KhamisAli-r1w Usiogope Majahil tuu haoo

    • @d15355
      @d15355 หลายเดือนก่อน

      anzisha dini yako jahili wewe

    • @IbraFareed
      @IbraFareed หลายเดือนก่อน

      @@AmoIslamicTv huyo ndo mwanafunzi wake alimfundisha nahau sheikh wenu bachu 😀😀
      Na sheikh na sheikh wenu au mwenyekiti wa sheikh wenu alosema
      ‎قد يكذب الصدوق😂😂😂

  • @zedyabdulrwabilingo9042
    @zedyabdulrwabilingo9042 หลายเดือนก่อน

    Aaaa msenge kweli we dogo yaan hujatosha kuihalibu dini yetu bado unawachafua hadi wenye kukutaka uwe katika msingi ulio bora aaaa kumanyoko unafirwa we msenge

    • @IbraFareed
      @IbraFareed หลายเดือนก่อน

      لَيْسَ الْمُؤْمِنُ بِالطَّعَّانِ وَلاَ اللَّعَّانِ وَلاَ الْفَاحِشِ وَلاَ الْبَذِيءِ

    • @MaisaraIbrahim-i9b
      @MaisaraIbrahim-i9b หลายเดือนก่อน

      Una dini wewe Zedyabdulwabilingo mwehu unayegeuzwa na wanaume wenzio wewe ndio unafirwa Hadi akili zimekuruka nenda katibiwe kwanza ndio uje kucoment

  • @AmiriUshanga
    @AmiriUshanga หลายเดือนก่อน +1

    Shekh khaatimi nakuheshimu ila kwa hawaa hebu tupumzishe hao niwaganga njaa na wengi wao hata kuswali hawaswali usipokua makini utajikuta watumika bila kujua malengo yako siyao

    • @woah.africa99
      @woah.africa99 หลายเดือนก่อน +1

      Huyo khateem muongo muingine sikio moja liko nje analisikilixia kumtaja mmungu la pili hataki kulisikia la mmungu huyo hatari

  • @ZariaAbdullah-r5t
    @ZariaAbdullah-r5t หลายเดือนก่อน

    Hii kutowa mapembe mulisoma kwanani

  • @Al-hikmaFoundation
    @Al-hikmaFoundation หลายเดือนก่อน

    Huyo shekh alhatimiy siyo levo ya shekh kishk hata kidogo msijidhime data watoto wenzake ndo waliomgaragaza hatimy kipindi hicho kamkosoa shekh kishk mwenyewe alhatimy alifunga mdomo

    • @d15355
      @d15355 หลายเดือนก่อน

      kishki wahabi wewe hawezi kushindana na sayyid khatimy sharifu wa ukweli toka mambrui,kishkinasikia alishawahi kuvuta bhangi ndio zinazompelekesha hata sasa

    • @IbraFareed
      @IbraFareed หลายเดือนก่อน +1

      Alifundishwa sheikh kishki
      Alikosea mambo kibao kwenye majibu yake kuhusu wasilatu shafii
      Kama ni uongo rudisha zile audio skiliza upya

  • @UmmaryLikinge
    @UmmaryLikinge หลายเดือนก่อน +1

    Mimi niseme alie azisha kakimbia wamebaki vidampa wasio kitu kazi kufuata mkumbo na kutumwa kuja kukomenti

    • @AmoIslamicTv
      @AmoIslamicTv หลายเดือนก่อน

      @@UmmaryLikinge vitampa Sharifu wako feki huyo, Fanya kazi acha utapeli wapuuzi nyie

  • @azizisulay6005
    @azizisulay6005 หลายเดือนก่อน

    Nashangaa watu kumtetea huyu dogo mchawi, wakati kwenye interview moja aliwahi kusema anaweza kumkaanga kishki kwa kuchanganya sindano 60

  • @OmarySalehe-u3y
    @OmarySalehe-u3y หลายเดือนก่อน +2

    Huyo ahatimiy ndio mweupe kabisa kwanza amejulikana baada ya kumkosoa kishk alikuwa hamtujui ametumia umaarufu wa kishk ili ajulikana yeye halafu hiyo video ya zaman mnatapatA tu

  • @AmanMahaliya
    @AmanMahaliya หลายเดือนก่อน

    tafuteni KAZI yakufanya acheni utapari

  • @MbanoMrage
    @MbanoMrage หลายเดือนก่อน

    Wanaume hamtupat apo

  • @muktarkassim6647
    @muktarkassim6647 หลายเดือนก่อน

    Hili jina la mganga linatafsiriwa kwa njia nyengine ambayo haieleweki

  • @AbbasSaid-fp5rg
    @AbbasSaid-fp5rg หลายเดือนก่อน +1

    Huyu dogo ni tapeli na ni mchawi hebu angalia alivyo jaza mapete ya kila rangi kwenye mavidole mpaka yanamuelemea

    • @IbraFareed
      @IbraFareed หลายเดือนก่อน

      Sasa pete ndo utapeli
      Sheikh acha uchizi huu uislam
      Unataka dalili 😂😂

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 หลายเดือนก่อน

    Ukwel hauhtaj nguvu kubwa kueneza ila uongo wenu upo dhahiri. Endeleen ila muislamu mwenye akili timamu hawez waelewa. Badiliken nyie watu

  • @sabriabdalla9562
    @sabriabdalla9562 หลายเดือนก่อน

    Huyu kijana kaletwa mtihani mzito... ajab utakuta sheikh mwenye heshima anaunga mkono upuuzi wake hal kweli hawaoni kama huyu kijana kapotoka?

  • @shabanihugo8332
    @shabanihugo8332 หลายเดือนก่อน

    Wasufi ndo wanaharibu uislamu

    • @IbraFareed
      @IbraFareed หลายเดือนก่อน

      Tupe kitabu ulotoa maneno haya

  • @ShehaHaji-k8t
    @ShehaHaji-k8t หลายเดือนก่อน

    Njia ya muongo ni fupi cc tupo tnaangalia uyo sharif firdausi munae munaemtetea bdo sna,, na ww elimu kubwa mapete km sultan suielman tnakjua

  • @jumayusuphuTV
    @jumayusuphuTV หลายเดือนก่อน

    Mtume mwenyew hakuwai kuniita mwenye kalama vp huyu sharifu mbn anafanya liya kwenye matangazo yake

  • @ZariaAbdullah-r5t
    @ZariaAbdullah-r5t หลายเดือนก่อน

    Kiboko ya kishki endelezeni shirkitu na njaazenu

    • @IbraFareed
      @IbraFareed หลายเดือนก่อน

      لَيْسَ الْمُؤْمِنُ بِالطَّعَّانِ وَلاَ اللَّعَّانِ وَلاَ الْفَاحِشِ وَلاَ الْبَذِيءِ

  • @allymtito8117
    @allymtito8117 หลายเดือนก่อน +1

    Jmn aya mapete wanavaaga awa matapeli katika dini ya uganga au!!!!?

    • @Qur-an
      @Qur-an หลายเดือนก่อน

      Na ww nauyahudi wako huuwoni ibilisi mkubwa ww

    • @khalidwaid8021
      @khalidwaid8021 หลายเดือนก่อน

      Hawa ni matapeli na hizo ni Pete za majini wakiganga Yani apo ni uchawi tu

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 หลายเดือนก่อน

    Wapumbavu kwa wapumbavu wamekutana. Ndio maana imaam Shafy alisema mtu akiingia katika usufi asbuhi haitofika adhuhuri atakuwa mpumbavu.

  • @RashidRashid-u2r
    @RashidRashid-u2r หลายเดือนก่อน +1

    Eti huyu MSHIA ni kiboko, kiboko ya nani huyu mwehu mpotoshaji!!!.....sasa muislam wa sasa anaejielewa utamdandanya na ushia wako
    { وَإِنَّ ٱلظَّـٰلِمِینَ بَعۡضُهُمۡ أَوۡلِیَاۤءُ بَعۡضࣲۖ وَٱللَّهُ وَلِیُّ ٱلۡمُتَّقِینَ }
    [Suratul-Jaathiyah: 19]
    "Na kwahakika wenye kudhulumu ni marafiki wao kwa wao, na Allah na rafiki wa wachamungu"

  • @HoseniTembo-u7y
    @HoseniTembo-u7y หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah kwa ukumbusho ila mkumbusheni pia huyo kijana aache kuingiza na ushirikina allah amesema tumtaje kwa ajili yake je? hili la kukamata wachawi misukule je? nalo allah kasema? au mtume kasema? tupeni aya au hadithi basi mbona mashekhe wote mnao kuja hapo kituoni hamyaoni hayo? muogopeni allah kwaku zuiya shirki inayo endelea sio kupambatu kwa maneno mengine mnawapoteza wasio kuwa na elimu na tuku mbuke allah anasema usidhulumu wala usikubali kudhulumiwa vp mnawadhulumu watu kwa kuwapamba na maneno ya allah huku mnawaongiza kwenye shirki tumuogopeni allah jamani hakika ya dunia ni Hadaa na kabuli ndio tunaloliendea

  • @Al-hikmaFoundation
    @Al-hikmaFoundation หลายเดือนก่อน

    Mimi niwaambieni tu mashekh wa kisufi shirking kwao jambo la kawaida kwa sababu hawasomi tauhiid wao wanasoma lugha hivyo msimshangae huyo alhatimy kutokugusia shirk kwa sababu hajasoma tauhiidi hajui maana ya shirk

    • @IbraFareed
      @IbraFareed หลายเดือนก่อน

      Unajua hukumu ya kumjaaria mtu ni mshirikina na akawa sio mshirikina

    • @sharfumbarouk6168
      @sharfumbarouk6168 หลายเดือนก่อน

      ​@@IbraFareedYale matangazo kwenye bango Ni ya kushirikiana alikua akataze mbona anasifu tu

    • @IbraFareed
      @IbraFareed หลายเดือนก่อน

      @@sharfumbarouk6168 wewe umeelewa uloongea maana sijakuelewa
      Labda unielekeze una maanisha nini?

  • @FarahJey
    @FarahJey หลายเดือนก่อน

    Kwa hivyo wakubali kuwa Allah ataondosha pazia ili watu wamuona walio muamini siku yakiyama?
    Mbona mwapinga nyinyi sufi kumuona Allah siku yakiama

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 หลายเดือนก่อน

    Huyu fala wa malindi ilikuwa namkubali kumbe na yeye ni tapeli 😂

    • @IbraFareed
      @IbraFareed หลายเดือนก่อน

      لَيْسَ الْمُؤْمِنُ بِالطَّعَّانِ وَلاَ اللَّعَّانِ وَلاَ الْفَاحِشِ وَلاَ الْبَذِيءِ

  • @khamxongedzo7067
    @khamxongedzo7067 หลายเดือนก่อน

    Ona wanavyopotosha watu. Wasingizia kumtaja Allah. Kweli kumtaja Allah ni dini na ibada, lakini afaa atajwe vile alivyofanya mtume na maswahaba zake. Je mtume aliwakusanya watu namna hii na kuwafanyia dua ya makundi na kuwauzia maji na mafuta? Acheni kufanya biashara zenu na kujidaisha ni dini.

  • @jumayusuphuTV
    @jumayusuphuTV หลายเดือนก่อน

    Jamani Mtu akiwa anafanya ya Mungu ata akiongea tu unamjua anajawa na hekma saana, jmn huyu sharfu hyo sifa anayo mbn mm namuona kma mropokaji?

  • @jifunzedini3326
    @jifunzedini3326 หลายเดือนก่อน

    HIZI NI VIDEO ZA ZAMANI ZA MASHEIKH MBALIMBALI WALIOFIKA KITUONI KWAKE, ANAZITUMA ILI KUWAAMINISHA WATU KUWA MASHEIKH HAWA WOTE WAPO PAMOJA NAYE KATIKA KILE ANACHOKIFANYA SASA. (ANAZIRUDIA KUZIPOST).
    DINI NI NASAHA ILA BIN ADAM WENGI HUWA HATUPENDI KUNASIHIWA BALI KUPAMBWA.

  • @abuabdirahman114
    @abuabdirahman114 หลายเดือนก่อน

    Kwani huyo si ndo alimkimbia kishiki wacha kupotosha nakisha baadaye yeye akaenda kwa kishiki nakuomba msamaha wewe wacha mambo yako kijana wewe siyo wakwanza kufanya hivo unamakosa mengi sana kumbuka ipo siku utakutana na Mola wako kubali unacho nasihiwa wacha kibr nakudanganya watu unatumia nguvu nyingi kuwepo kwa watu fulani ili wakusaidie hilo siyo jambo zuri

  • @Al-hikmaFoundation
    @Al-hikmaFoundation หลายเดือนก่อน

    Au mmesahau watoto wenzake walivyo mjibu huyu hawezi kujibiwa na shekh kishk ndio maana hakumjibu hivyo ni kiboko ya shekh kishki kwa lipi?

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 หลายเดือนก่อน

    Ngoja niwambie huyu sharifu feki anachukuwaga video zakitambo anaziweka kugombanisha watu juzi kaweka ya ustadhi shafi kisha kasema shafi amkaanga kishki kumbe kinafiki ustadhi shifi kaiona kasema huyo dogo hajielewi anataka kunigombanisha na Sheikhe kishki akasema video ni ya mwaka juzi pindi hajaanza kukengeuka alienda kwenye alikuwa anaombea watu dua sasa msione mashekhe wanongea mkadhani wanamsema kishki.kishki yuko juu yuko na elimu kubwa acha hawa matapeli waongee ila ukweli wameambiwa muache ushirikina na utapeli

  • @HussainMaula-f9b
    @HussainMaula-f9b หลายเดือนก่อน

    Washirikina hamna lolote

    • @IbraFareed
      @IbraFareed หลายเดือนก่อน

      لَيْسَ الْمُؤْمِنُ بِالطَّعَّانِ وَلاَ اللَّعَّانِ وَلاَ الْفَاحِشِ وَلاَ الْبَذِيءِ

  • @Oman-n2v3t
    @Oman-n2v3t หลายเดือนก่อน

    Watu hawachukii kusoma hiyo kutangaza uchawi na kuchimba chini ya miti kutoa mahilizi kitabu gn kilichofundisha hivyo ktk qur ani

  • @karimreldalaal1387
    @karimreldalaal1387 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni mwizi tena tapeli na huna elimu ya dini....kumbavu wewe....mwanaharamu....eti sharif..

  • @abdallahhamza9689
    @abdallahhamza9689 หลายเดือนก่อน

    mtanitoa ktk dini hii kwan nini sinimeikuta tu kwa wazazi kumbe ni dini ya kushadaia mashetani tu ujinga mwingi bora niende usabato

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 หลายเดือนก่อน

      Unafuata ya Watu/Wazazi wsko au unatakiwa Ufute ya Allah Kwa Kupitia Mafundisho ya Mtume Muhammad SAW na Qura'an?!

    • @sharfumbarouk6168
      @sharfumbarouk6168 หลายเดือนก่อน

      Ukifa na dini hiyo utakua umekua kafiri motoni milele

  • @hajihabibumaguno2982
    @hajihabibumaguno2982 หลายเดือนก่อน

    Sharifu kafeli pakubwa fanya toba ya kweli

  • @jumaciza461
    @jumaciza461 หลายเดือนก่อน

    Sharifu mwenyewe mbona hasemi kuhusu madai yake

  • @d15355
    @d15355 หลายเดือนก่อน

    tusidanganyane mtu yeyete anaweza akaitwa sharifu,kuhusu masharifu wa nasaba ya damu wako wengi hacha hawa wanaojulikana, wengine ni weusi kabisa lakini wala hawajioneshi wala kujisifu,sisi babu zetu walikuwa wafalme wa huko yemen ya kaskazini walikuwa masharifu wajukuu wa hassan aleh salaam, lakini ukiniona unadhani utanijua? ila huwezi kuwa sharifu kama mtume hakujui,mtume anawajua wajukuu zake wote hata kama yeye mwenyewe hajijui utaona tu dalili,mtume anakufuatilia,sasa kishki anakuja hapa kutisha tisha watu aache upuuzi huo,aende kuslimisha watu sio uleta migongano itakayo uharibu uislam alishindwa nini kishki kumwita kistaarabu na kuongea nae kuelekezana badala ya kumtukana mwenzake hadharani narudia tena kishki sio sharifu na kama mnabisha chunguzeni tena nasaba yake mtaniambia

    • @PeterAdam-nw7lf
      @PeterAdam-nw7lf หลายเดือนก่อน

      W nae ujielew

    • @sharfumbarouk6168
      @sharfumbarouk6168 หลายเดือนก่อน

      Na ww Ni mshirikina inaonyesha usie kuwa na elimu hata chembe

    • @d15355
      @d15355 หลายเดือนก่อน

      @@sharfumbarouk6168 funga bakuli lako wewe Wahabi adui mkuu wa uislam

    • @d15355
      @d15355 หลายเดือนก่อน

      @@PeterAdam-nw7lf wewe unateamini sayansi na kukataa karama na miujiza nhivi na WEWE unajielewa kweli? Uwahabi ni kuamini sayansi sio spiritual jahil wee

  • @woah.africa99
    @woah.africa99 หลายเดือนก่อน +1

    Mapete kibao eti mtoto ataliwa mwezi huu yani yy anajua kilicho fichwa mmungu ajuae watoto wote aliwaona oh wachawi wanawataka sawa ila aombe dua mbona kakata mbele ya mashekh

  • @SwabraHabibuOmar
    @SwabraHabibuOmar หลายเดือนก่อน

    Huyo sheikhe wa malindi kenya ni mshia

    • @Qur-an
      @Qur-an หลายเดือนก่อน

      Na ww ni myahudi

    • @madrasatunnajmizzaahiral-i2478
      @madrasatunnajmizzaahiral-i2478 หลายเดือนก่อน

      Watu wooooote,ni shia.Ila tu,twatofautiana nishia wanani.

    • @SwabraHabibuOmar
      @SwabraHabibuOmar หลายเดือนก่อน

      @@Qur-an na ww ni mnaswara sio

    • @Qur-an
      @Qur-an หลายเดือนก่อน

      @SwabraHabibuOmar ww sii nimkatoliki mlio gawanya tauhidi wakatoliki wakubwa nyie

  • @dhidhasalim267
    @dhidhasalim267 หลายเดือนก่อน

    Waimbaji,na watu wa kughani mashairi wengi wao wako kwenye maulidi na watu wa uganga.mushajiuliza kwanini?

  • @allyslim7774
    @allyslim7774 หลายเดือนก่อน

    Iyo clip ya mda sana ndio anaitoa sasa wewe mnafk tu una lolote

  • @AbbMotors-pc4rx
    @AbbMotors-pc4rx หลายเดือนก่อน

    Yani hata aibu hawana mashekh ukwaju hayo mawaidha mnawatolea wanawake tu ndio rahisi kuwadanganya tafuteni vidume muone

  • @woah.africa99
    @woah.africa99 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu ndio fake ukiona mtu anafunga kilemba kiajabu ujue fake sikio moja liko ndani moja liko nje mana yuko kusikiza ukweli ila ukweli unageuzwa uongo

  • @jefwabaya2637
    @jefwabaya2637 หลายเดือนก่อน

    Huku tunako elekea siko waislam, kama utachukua vidio iliopita zaid ya mwezi unaichukua una rad mwengine. Nawaombeni iiishe hii vita jaman

    • @sheikhfirdaus6491
      @sheikhfirdaus6491  หลายเดือนก่อน

      Mtoto kautaka

    • @ashasalum4467
      @ashasalum4467 หลายเดือนก่อน

      piga kazi sheikh.....​@@sheikhfirdaus6491

    • @UmmaryLikinge
      @UmmaryLikinge หลายเดือนก่อน

      Kwani alioongea mwezi iliopita na huu mwezi Kuna qur aani nyingine wewe acha ujinga

  • @Mariam-ke4og
    @Mariam-ke4og หลายเดือนก่อน

    Wewe shekh wa wapi umeona wanachokifanya huyo sharifu feki, uislam unatoa UCHAWI hebu angalia clip zao za kutoa UCHAWI kwenye mibuyu kwa kutumia dini, KISHKI NI MKWELI NA AMEKEMEA UOVU WA KUINGIZA DINI NA UCHAWI KOSA LAKE NINI? HAJAKATAZA DUA HEBU MUWE WAELEWA KWANI KISHKI HAJUI DUA HEBU ACHENI HAYO MAMBO

    • @faisaloaljabry6400
      @faisaloaljabry6400 หลายเดือนก่อน

      Hawana hoja ndivo walivyo hao ukiwaambia hiki kisomo cha barzanji ni upotevu wanakwambia kwani kumswalia Mtume ni uovu? Wacheni nyinyi msimswalie sisi tunamswalia. Hivo hivo Kishki anawaambia huo ni ushirikina acheni kuwafanyia watu upuuzi huu tayari wamesha badilisha wanaseme anakataza dua anadhalilisha watu ana wivu lakini wajue Allah anawasikia wote na atawahukum akipenda hapahapa na kwa wakati anaoutaka au atawahukumu siku ya hesabu. Ni vizuri mkileta Tawba kwa yote ushirikina na kusingizia watu uongo kama kuzuia swalat ala Nabi na Kuombeana Du'a.

  • @woah.africa99
    @woah.africa99 หลายเดือนก่อน +1

    Ww shehe sikio nje mulize mipte ya nn huyo firdaus

    • @IbraFareed
      @IbraFareed หลายเดือนก่อน

      Sheikh embu soma kwanza napata shida sanah kukuelezea wakati elimu ndogo
      Sasa hukumu ya kuvaa pete kwenye uislam ni nini?

  • @KasimuKiduba
    @KasimuKiduba หลายเดือนก่อน

    Masuf wengi wanafundisha watu uganga

    • @IbraFareed
      @IbraFareed หลายเดือนก่อน

      Una ushahidi wa kitabu au akili zako 😂😂

  • @HoseniTembo-u7y
    @HoseniTembo-u7y หลายเดือนก่อน

    Vip mtu unakufa alafu klip zako zinabaki hai ukikamata misukule pembeni unasema lailahaillallah upondan ya tumbo la ardhi nduguyang hujakatazwa kufanya dua ilafanya kama allah alivyo amlisha na mtume s.w alivyo fundisha hii nikwajiliyako usije ukasema allah mimi sikuambiwa kama nakosea tumekufikishia allah nishahidi kilalakheri nduguyang katika iiiman