Yani sheikh yuko vizuri anatoa maneno na aya za quru'an na wala hatungi mashallah Allah akuhifadhi sheikh kishik tuko pamoja nawe na Allah atakuelekeza amiin
Haya Dua nzito ikowapi hapa kama nyinyi pia siwalewale wanao elezewa acheni uongo kwani mtu ukiongea ukwel utapata hasara gani,allah akuhifadhi akulinde na maadui sheikh wetu tunakupenda kwaajili ya allah ❤
@fongokhalfan1002 apana nimejibu hicho kichwa cha habari aliposema et sheikh kishk amesoma Dua kwa masharifu nikajua nidua labda amemshtakia allah kwa wanacho kifanya
Tunakupend Sheikh wetu Sheikh Nurdin kishk kwa ajili ya Allah na tupo sambamba na ww ktk kutetea haqq, Allah azid kukupamb afya na sifa njema na azid kumpa nguvu na life ndefu uzid kusimama na kutetea haqq
Ilaa kishki haongeii ispokua ni point kubwa na yenye mazingatioo kama waulamaa ndy warithinwa manabiii basii alhamdulillah yeye akiwemoo haongeagii ujingaa wala hanaga kuuza maupakooo Wengineee njaa kalii kama mwamposaaa daaaahhjh tuwaombeee kwa Allah awaongozeee mpakaaa maaana hali mbaya kujiita masharifuu😢😢
Shekhe letu Allah akubariki sana umezungumza maneno mazito saana, Allah ajaalie nyoyo za ndugu zetu walokosea wajirekebishe na siku ya kiyama tuwe nao peponi
Watimue wapige vita hao wajiita mashekh ni njaa tupu hmn lolote wadanganuifu na wanadhulumu watu kazi zao ni kujisifu kuzuga mitandaoni wizi mijambazi na Allah atawaona atawadhalilisha na atasimama na wewe daima Ameen
Profesa mazinge hapo vipi? Unazunguka kila sehemu kutafuta watu kuwasilimisha kumbe hata jihad nafsi yako binafsi inakushinda unajiingiza kwa masharifu tapeli? Chunga sana tamaa ya pesa itakutenga na Mola wako
"The hottest 🔥 place in the hell are peserved for the people who, during the moral crisis it maintained, they are still neutrality" Pindi nikiwa bado mvulana,nilibahatika kukutana na hii jumbe katika baazi ya vitabu ambavyo nilikuwa napendelea sana kusoma, ilinigusa mnoo kutokana na namna binadam tunavyoishi na hii DUNIA ambayo sisi tumeikuta na tutaiacha, Shukrani kwakusikiliza hii clip leo naona kama Moyo wangu umeshusha mzigo hivi...
Shk wapeukweli hao niwashirikinatu wengine ati wanasema ati wamepewa vipaji mm nasema vipaji vya ushirikina na ubabaishaji wasilamu dua nyingi kwa shk wetu kishki Allah ampe wepesi kila penye uzito
MHE WEWE NI SHEIKH WA UKWELI KABISA ENDELEA KUONGEA UKWELI NA FANYA UMPANGO UENDE MAKUNDUCHI UKAWAOMBEE MASHEKH WA MAKUNDUCHI KWANI WALIKUWA NA MSIMAMO KAMA WA KWAKO SHUKRAN SANA NAKUPENDA SHEIKH PAMBANA NA MATAPELI
Ujue watu wanashindwa kutofautisha kuna mtu kua na elmu ya dini na kuna kujua dawa sasa hivi mashekhe wengi hawataki tuwafundishe dawa kwa kua wao mashekhe wana elmu ya dini basi wanaona wanajua kila kitu mwishoni wanadondokea kwenye utapeli.
SEMA UKWELI NAKUUNGA MKONO WATU HAO WANAJIPATIA PESA KWA UDANGANYIFU WAAMBIE AKINA MWAMPOSA NA MASHARIFU WA UONGO WANAWAPANGA WATU MWISHO WASIKU WATU WANAPOTEA KATIKA IMAN
Kishki ni mmoja,huyu ndie SHEIKH, huyu ndio sheikh.mazinge tafuta kanisa alafu unaijuwa biblia kule utapata pesa,huku kwa watu wanaojitambua utapata matusi
❤❤❤sawa kiongozi wetu Lakin ikiwa hamja aanza kutupa dawa yakusimamisha uw'islam wakweli kwa upanga bado hamja Sema maana haowenye kusoma visomo kwawagonjwa wengi ni deal tu hamna kitu Lakin utawafanya Nini? Ikiwa Tz ni nchi ya democracy hukum niya sheitwan utasema utachoka hebu tupe daawa yaupanga Kwanza Afghanistan Hakuna masharifu na Dr wanamnahio😂😂
Kamq huelewi anacho kisema bora utulie n anasema kwa sababu kila mmoja atakuwa masuhulia siku yakiama ukisikia sikia ukiyqfata yafate ukiona hayakufai acha lkn yy amemaliza yake bado mm na ww Afghanistan wana vita vyao sio dini soma vizuri dini
@kadijaa7771 unawazimu ww inaamana ww umesoma Dini kuliko WA Afghanistan wote?? Unaonekana umechanganikiwa ata hio Iyo Afghanistan unayo ongelea utakuwa na habalizake huna Kwanza Afghanistan hakuna vita
Wacha kuongea upuuzi wako hapa mshenzi mmoja wewe, hivi sheikh Sudeis alikuwa si mtanzania na alikuwa akisoma quran na waislamu wote duniani walimpenda na alifariki na sifa zake mpaka sahi,kwahiyo kama Kishki ni myemen ndio hafai kukemea upuuzi kama huo wako na wenzako kina shariff na mazinge nyote sufuria yenu ni moja tu,mutapikwa mukiwa pamoja,Siku nyengine kama hauna majibu ya kuongea,basi nenda ukakojoe ulale
@@CoudraAbdulAsante kwa swali lako,sababu kuna watu akili zao kuna bolt au nati moja iko luz,na hao ndio wale wazazi ambao hawapendi watoto wao wakatazwe na jirani kufanya matendo mabaya,mtoto amekosea lakini awachwe sababu jirani hakubeba mimba,na huyo mtoto sisi pia tunamtegemea awe kiongozi wa kesho na kama leo awachwe akifanya machafu,,kama wazazi wote wakiwa hivyo kwa watoto wao, je kesho tutakuwa na viongozi wangapi wazuri ?
Ulimi n sehemu ndogo ya mwili ila itawapoteza wengi...so umaarufu wa firdaus n kujifanya ety anatoa vinu vya uchawi akijifanya kusoma Laila haila Allah
Soo anyamaze dini yetu ichafuliwe au?imefikia kiwango mpaka kuyaendea makazi yawatu kufukua kusema mambo ya uchawi,ivi dini yetu ndio inavyo tufundisha ivi?au amuoni anae jiita sharifi anakosea nakuja na mfumo huo wakujitegemeza kidini ya kiislam.ingekuwa vizur asijitegemeze kidini aseme tu yeye ni mganga,wala usingeona masheikh wanamuongelea.
@@eddymaphy :mola akusameh kwa kauli zako Mimi nakuambia Kishki kakosea sana na anatafuta umaarufu uliompotea kwa mda mrefu baada ya kukufurisha masheikh , sharif ni jina na kujipamba kwa majina mazuri ni jambo jema pia hakujakatazwa kumuombea mtu Dua pia njia aliyoitumia kishki sio sahihi Kaa ana makosa huyo sharif Kwa Nini asimfuate au hiyo dini unayosema yenu ndio inavyoelekeza hivyo kwasababu uislamu hauelekezi hivyo
@@Mealiim6:Mimi siwezi kulisemea Hilo ila aiku nikilishuhudia nifamfuata kama ninaelimu nalo na kujua ubaya wake na athari zake na njia Bora za kufanya ila SI huu utaratibu anaoutumia kishki
Kishki umepata wanayeku fuata hawajuwi lolote wakusikiliza tu na kuku sifu . Mtume aliulizwa kwamba tunayeza tumiya roqya ilipita kabla yako alisema ndio ila isikuwé na ushirikina . Mbona wa danganya watu apo
@@khitamcaptainveca5045 Aya Hy inaelezea kwa wale waliokufuru Allah atawapa adhabu Kali lakin jarib kusoma Aya ya 8 Hadi 13 (Baqra ) Ndo utajua Kama Kuna watu wanacheza na iman za watu ili kuwadanganya na kuwatapeli.
Yani sheikh yuko vizuri anatoa maneno na aya za quru'an na wala hatungi mashallah Allah akuhifadhi sheikh kishik tuko pamoja nawe na Allah atakuelekeza amiin
Mpenda hakh pasua ukweli Allah yupo na wewe..Mashkh njaa matapeli na majisifu wa mitandaoni Allah atawaona na atawadhalilisha daima Ameen
AllAH akujaarie mwisho mwema Akupe Afya njema na maisha marefu yenye utulivu na hakika mimi nimelia sana kwahutuba yako nzuri MashaAllah MashaAllah😊
Haya Dua nzito ikowapi hapa kama nyinyi pia siwalewale wanao elezewa acheni uongo kwani mtu ukiongea ukwel utapata hasara gani,allah akuhifadhi akulinde na maadui sheikh wetu tunakupenda kwaajili ya allah ❤
Surat Al Iqras mara tatu----- unajipuliza
Surat Naas mara tatu--- unajipulizia
Surat fath mara tatu ---- unajipulizia
Hio ndio dua kubwa mtume alikuwa anaitumia
@fongokhalfan1002 apana nimejibu hicho kichwa cha habari aliposema et sheikh kishk amesoma Dua kwa masharifu nikajua nidua labda amemshtakia allah kwa wanacho kifanya
Wanaboa kuleta vichwa vya habari vya uongo kisa tu kitafuta viewers @@Rahmaismail-y9u
MASHAALLAH MashaAllah Allah atunusulu sisis wote Allah wakati ni gumu sana tufanyie wepesi Allah
Yaani khutba imeniliza saraah mungu akuhifadhi shekh wetu kwa kila shar na kila hasad Ameen❤
ALLAH AKUPE UMRI MREFU WENY UCHAMUNGU NA KHER NA BARKA TEREEE NAKUPENDA KWAAJIR YA ALLAH
Allah akubariki zaidii na insha'Allah watashindwa wanaopotosha watu katika hii dunia
Shekhe kishki Leo nimekuelewa sana kuliko siku zote Allah akulipe kheri inshallah
Subhanaallah allah akubar shekh wetu
Allah akupe kila la heri shehe wangu . Mwenyezi Mungu akulipe heri nyingi sana
Tunakupend Sheikh wetu Sheikh Nurdin kishk kwa ajili ya Allah na tupo sambamba na ww ktk kutetea haqq, Allah azid kukupamb afya na sifa njema na azid kumpa nguvu na life ndefu uzid kusimama na kutetea haqq
Allah akupe afya shekh wetu uzidi kutupa mwanga wa dini ytu..
Allah akulinde na akupe afy njem amiin
Mashaallah Shekh Mungu akulipe kwa kaz unayoifanye❤❤❤❤❤❤❤
MashaAllah shkh be blessed Ameen
Allah akujaalie kila hitaji lako sheikh kishki na akulipe kwenye Hili insha'Allah
Ktoka 🇲🇿🇲🇿 Mozambique
Mansha ALLAH kwa hakika mungu yupo ns
MAY ALLAH BLESS YOU INSHAALLAH♥️♥️♥️
جزاك الله خيرا
shekhe kishiki wewe ndio shekhe wangu namba moja duniani Allah, akupe umli mlefu Innshaallah, uzidi kutetea uwislam.
allah akulinde nashari kipenzi chetu shekhe nurdini kishk
Sawa Shekh wetu pambana kwa ajili ya allah M/Mungu akupe umri mrefu
Ilaa kishki haongeii ispokua ni point kubwa na yenye mazingatioo kama waulamaa ndy warithinwa manabiii basii alhamdulillah yeye akiwemoo haongeagii ujingaa wala hanaga kuuza maupakooo
Wengineee njaa kalii kama mwamposaaa daaaahhjh tuwaombeee kwa Allah awaongozeee mpakaaa maaana hali mbaya kujiita masharifuu😢😢
Polen mnaoumizwa na ukweli huu jambo km cyi sshihi na lazma lisemwe Allah akulioe na akuhifadhi sheikh kishk wetu
Mashaalla Allh hakuhifadh fil duniya Wal akhera
Shekhe letu Allah akubariki sana umezungumza maneno mazito saana, Allah ajaalie nyoyo za ndugu zetu walokosea wajirekebishe na siku ya kiyama tuwe nao peponi
Allah akuifadhi sheikh
Allah akuhifadh akhii kishik
Kweli shekh nakupenda kwa ajili ya ALLAH
Watimue wapige vita hao wajiita mashekh ni njaa tupu hmn lolote wadanganuifu na wanadhulumu watu kazi zao ni kujisifu kuzuga mitandaoni wizi mijambazi na Allah atawaona atawadhalilisha na atasimama na wewe daima Ameen
Profesa mazinge hapo vipi? Unazunguka kila sehemu kutafuta watu kuwasilimisha kumbe hata jihad nafsi yako binafsi inakushinda unajiingiza kwa masharifu tapeli? Chunga sana tamaa ya pesa itakutenga na Mola wako
Achananao wakusemetu shekhe wetu Allah atakulipa fiidunia wal-akheratu"
Wallah sheikh unaongea ukweli mtupu .M'mungu na akupe kheri.
Amiin
Kwa kweli naitaka sana namba ya Shaykh Kishk lakini bado cjaipata.
Alhamdulillah ❤🎉🎉🎉
From Kenya 🇰🇪 ❤❤❤
Alhamdulillah allah akupe jannah ya firdaus sheikh wetu unaongea haki mpaka wanafunzi wako tunaskia rahaaa wallah haki tamu jmnn 😂😂🤲🌹🌹🥀🥰❣️❣️
"The hottest 🔥 place in the hell are peserved for the people who, during the moral crisis it maintained, they are still neutrality"
Pindi nikiwa bado mvulana,nilibahatika kukutana na hii jumbe katika baazi ya vitabu ambavyo nilikuwa napendelea sana kusoma, ilinigusa mnoo kutokana na namna binadam tunavyoishi na hii DUNIA ambayo sisi tumeikuta na tutaiacha,
Shukrani kwakusikiliza hii clip leo naona kama Moyo wangu umeshusha mzigo hivi...
Shekha wetu mungu akuhifadhi na kila shar huyu mwamba wetu alhamdulilah. Natafakhar kuwa na shekha kishki tz
Allah akuhifadhi
Shekhe kishishki utaendelea kuwa juu Allha akuhifadhi by ustadhi ismail Ahmada kutoka mwanza
Alhamdulilah, shekh umepiga kwenye mshono
Nakuelewa_sana_Allah_akulipe
Shk wapeukweli hao niwashirikinatu wengine ati wanasema ati wamepewa vipaji mm nasema vipaji vya ushirikina na ubabaishaji wasilamu dua nyingi kwa shk wetu kishki Allah ampe wepesi kila penye uzito
Wambiye awo shekhe amekuwa manyaunyau anatowa mpaka vyungu uyo bwana ni mganga wakienyeji shekhe krishe waelimishe usichoke mungu akutiye nguvu
Allah akupe afya njema na kuwaangamiza hao mafisadi
Allah akuhifadhi fiddunia Wal akhera
Mazinge acha utapeli na kijana wako uliyemtengeneza anajiita sharif firdaus.
MHE WEWE NI SHEIKH WA UKWELI KABISA ENDELEA KUONGEA UKWELI NA FANYA UMPANGO UENDE MAKUNDUCHI UKAWAOMBEE MASHEKH WA MAKUNDUCHI KWANI WALIKUWA NA MSIMAMO KAMA WA KWAKO SHUKRAN SANA NAKUPENDA SHEIKH PAMBANA NA MATAPELI
Alhamdulillahi shekhe wetu kwa kuwazindua waislam wasio jua
Shukran
Ishallah hakhi yenye kubak batri inapita
Sheikh mungu akutie nguvu uzidi kuwafichua
Hizi ni dalili zakiama. Allah akupe mwisho mwema
Yaarab ilinde din yahak namupe umr mlefu shekh wetu kishik
Mtu yeyote anaejisifu na kujitangaza sana mitandaoni eti yye ni hivi na vile ujue ni muongo tapeli huyo!!mana kizuri chajiuza kibaya chajitembeza..
Uko sawa shehe
Hata mie maamuma naunga haq mungu akupe afya
Yah simama usiku lia kwa mungu kuomba dua
Masha Allah
Allah akuhifadh
Ujue watu wanashindwa kutofautisha kuna mtu kua na elmu ya dini na kuna kujua dawa sasa hivi mashekhe wengi hawataki tuwafundishe dawa kwa kua wao mashekhe wana elmu ya dini basi wanaona wanajua kila kitu mwishoni wanadondokea kwenye utapeli.
Kwa kweli huyu ni Mwanawachuoni wa Kweli lakin sio wale wengine Washirikina
Swadakta ustaz
Bismillah Rahman Raheem
Shkh Kishk kiboko ya wadanganyifu na walafi!!! sio Mashkh ni ma shehena njaa tupu…
Wanao mpinga sheikh kishki njaa zina wasumbua
❤❤❤❤❤✋✋✋✋✋
Sheikh amesimamia ukweli. Allah amkinge na shari za wanaouchafua Uislam Tanzania.
Aamiyn
Pia aendelee kuwafichua na kuwagonga wale Washirikina na wafuga maj😮ni na kuwatumia
SEMA UKWELI NAKUUNGA MKONO WATU HAO WANAJIPATIA PESA KWA UDANGANYIFU WAAMBIE AKINA MWAMPOSA NA MASHARIFU WA UONGO WANAWAPANGA WATU MWISHO WASIKU WATU WANAPOTEA KATIKA IMAN
Shetwani yupo kazini lkn watu hawana habari hatuoni kabisa...haki ndio yenye kupingwa
Maashaalla
Kwanini waislam wanapenda sana utapeli wa Congo uzinzi ushilikiana kwanini
Mashaalah
Shehe kweri kabisa yanimata pilihao nakwenda kwenye Dua etianambia nimpe lakinne
Nyote nyinyi ni matapeli wanafiq, mbona ukusema kitu wakati mashehe wengine kama Yusuf Diwani anaeuza maji, mafuta na PIPI za kutibu magonjwa yote 🤔🤔🤔
Khutba ya Ijumaa hiyo au ni Mjadala kama anavyosema mwenyewe jamani?
Kama mazinge hana uwezo wa kiilim ila anaendekeza njaa sana
Huyu sharif niwa mchongo tu na huenda akawa mganga wa kienyeji tu maana anatoa vitu vya uchawi vijijini
Kishki ni mmoja,huyu ndie SHEIKH, huyu ndio sheikh.mazinge tafuta kanisa alafu unaijuwa biblia kule utapata pesa,huku kwa watu wanaojitambua utapata matusi
Kaza buti ktk ukweli
waambie hao wadanganyifu wakubwa hawana haya.
Kikubwa Sheikh nyie wote ni wa Islam mnawapa faida upande mwengine. Kikubwa mngeitana mkafanya kikao mkayajadiliyaneni
❤❤
😂😂😂 rang ya ubuyu katika maji ya upako.. duuuuuuu😢
Huyu hatibu watu bali ni jizi tapeli mshilikina
❤❤❤sawa kiongozi wetu Lakin ikiwa hamja aanza kutupa dawa yakusimamisha uw'islam wakweli kwa upanga bado hamja Sema maana haowenye kusoma visomo kwawagonjwa wengi ni deal tu hamna kitu Lakin utawafanya Nini? Ikiwa Tz ni nchi ya democracy hukum niya sheitwan utasema utachoka hebu tupe daawa yaupanga Kwanza Afghanistan Hakuna masharifu na Dr wanamnahio😂😂
Kamq huelewi anacho kisema bora utulie n anasema kwa sababu kila mmoja atakuwa masuhulia siku yakiama ukisikia sikia ukiyqfata yafate ukiona hayakufai acha lkn yy amemaliza yake bado mm na ww Afghanistan wana vita vyao sio dini soma vizuri dini
@kadijaa7771 unawazimu ww inaamana ww umesoma Dini kuliko WA Afghanistan wote?? Unaonekana umechanganikiwa ata hio Iyo Afghanistan unayo ongelea utakuwa na habalizake huna Kwanza Afghanistan hakuna vita
👋👋🌹🌹
Sasa hiyo ni Khutba ya Ijumaa au majibu kwa wanaokuacha na yako.
Maana ya mawaidha kwani nigani?mimi ninavyo elewa nikukumbushana mema na kukatazana maovu.sheikh yuko sahihii kabisa
Acha uongo,dua ipi aloiomba japo?
Acha unafiki ww hujui fani ya tiba wewe
Kishki ni myemen na masharifu ni watanzania,sasa lake nini hapa .Aende kukhutubia huko kwenyi wakula mirungi aache kelele.
Wacha kuongea upuuzi wako hapa mshenzi mmoja wewe, hivi sheikh Sudeis alikuwa si mtanzania na alikuwa akisoma quran na waislamu wote duniani walimpenda na alifariki na sifa zake mpaka sahi,kwahiyo kama Kishki ni myemen ndio hafai kukemea upuuzi kama huo wako na wenzako kina shariff na mazinge nyote sufuria yenu ni moja tu,mutapikwa mukiwa pamoja,Siku nyengine kama hauna majibu ya kuongea,basi nenda ukakojoe ulale
Ndugu yangu kwanini maneno mazito haya.
@@CoudraAbdulAsante kwa swali lako,sababu kuna watu akili zao kuna bolt au nati moja iko luz,na hao ndio wale wazazi ambao hawapendi watoto wao wakatazwe na jirani kufanya matendo mabaya,mtoto amekosea lakini awachwe sababu jirani hakubeba mimba,na huyo mtoto sisi pia tunamtegemea awe kiongozi wa kesho na kama leo awachwe akifanya machafu,,kama wazazi wote wakiwa hivyo kwa watoto wao, je kesho tutakuwa na viongozi wangapi wazuri ?
Hizi ndio akili za wafuasi wa huyo anae jiita sharifu.feki wa kuwatapeli watu.!!
Punguani wewe
huyu kishki kaona umaarufu wake unapungua anatafuta umaarufu
Saleh wewe ni wale wale tu washenzi kama kina mazinge,kwahiyo nenda ukakojoe ulale,usikoment upuuzi kama huu,,
Ulimi n sehemu ndogo ya mwili ila itawapoteza wengi...so umaarufu wa firdaus n kujifanya ety anatoa vinu vya uchawi akijifanya kusoma Laila haila Allah
Soo anyamaze dini yetu ichafuliwe au?imefikia kiwango mpaka kuyaendea makazi yawatu kufukua kusema mambo ya uchawi,ivi dini yetu ndio inavyo tufundisha ivi?au amuoni anae jiita sharifi anakosea nakuja na mfumo huo wakujitegemeza kidini ya kiislam.ingekuwa vizur asijitegemeze kidini aseme tu yeye ni mganga,wala usingeona masheikh wanamuongelea.
@@eddymaphy :mola akusameh kwa kauli zako Mimi nakuambia Kishki kakosea sana na anatafuta umaarufu uliompotea kwa mda mrefu baada ya kukufurisha masheikh , sharif ni jina na kujipamba kwa majina mazuri ni jambo jema pia hakujakatazwa kumuombea mtu Dua pia njia aliyoitumia kishki sio sahihi Kaa ana makosa huyo sharif Kwa Nini asimfuate au hiyo dini unayosema yenu ndio inavyoelekeza hivyo kwasababu uislamu hauelekezi hivyo
@@Mealiim6:Mimi siwezi kulisemea Hilo ila aiku nikilishuhudia nifamfuata kama ninaelimu nalo na kujua ubaya wake na athari zake na njia Bora za kufanya ila SI huu utaratibu anaoutumia kishki
Kishki umepata wanayeku fuata hawajuwi lolote wakusikiliza tu na kuku sifu .
Mtume aliulizwa kwamba tunayeza tumiya roqya ilipita kabla yako alisema ndio ila isikuwé na ushirikina .
Mbona wa danganya watu apo
Ukwel uko wap tuambie wew
@omarysalim6272 Khatama Allahu AAala quloobihim waAAala samAAihim waAAala absarihim ghishawatun walahum AAathabun AAatheem (surah Baqarah: 7

@@khitamcaptainveca5045
Aya Hy inaelezea kwa wale waliokufuru Allah atawapa adhabu Kali lakin jarib kusoma Aya ya 8 Hadi 13 (Baqra ) Ndo utajua Kama Kuna watu wanacheza na iman za watu ili kuwadanganya na kuwatapeli.
Allah akuhifadhi
❤❤❤
❤❤❤
❤❤