BACHU AANZISHA MSIKITI WA FITNA LAMU VISIWANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ค. 2024
  • Mtoaji mada ustadh muhsin bute Mtetezi wa Vijana wa kitwariqa
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 221

  • @abbakariathumani9141
    @abbakariathumani9141 16 วันที่ผ่านมา +5

    Mohammadi bachu Mungu ampe nguvu kubwa katika. Daawa

  • @salehrashid-fx9rq
    @salehrashid-fx9rq 6 วันที่ผ่านมา

    Allwah amlinde sheikh Muhammad na wanafiki kama hawa wasiojielewa.

  • @ABDULLAOALI
    @ABDULLAOALI 17 วันที่ผ่านมา +6

    Eti msikiti wa kitwarika! Subhana Allah, Allah anasema! انالمساجدلله فللاتدع مع الله احدا Masheikh Muogopeni Allah hii dunia ni njia tu tunaenda mbele ya Allah yatawekwa wazi yote kwa Allah!

    • @abuualiyalbahsany8740
      @abuualiyalbahsany8740 17 วันที่ผ่านมา +1

      Shukran kwa ukumbusho
      Lakini unapoandika aya za Quran hakiki vzr uwandishi wa maneno ya Allah.
      Allah akubariki

    • @AbdulMohamed-ox6id
      @AbdulMohamed-ox6id 16 วันที่ผ่านมา

      Watu wa Shanga maisha yao wanaishi kwa udugu na amani, lakini s
      asa fitna ishaingia, inshaAllAH mungu atawastiri ndugu zetu wa shanga
      A

    • @HilalAlhabsi786
      @HilalAlhabsi786 16 วันที่ผ่านมา

      عربى - التفسير الميسر : وأن المساجد لعبادة الله وحده، فلا تعبدوا فيها غيره، وأخلصوا له الدعاء والعبادة فيها؛ فإن المساجد لم تُبْنَ إلا ليُعبَدَ اللهُ وحده فيها، دون من سواه، وفي هذا وجوب تنزيه المساجد من كل ما يشوب الإخلاص لله، ومتابعة رسوله محمد صلى الله عليه وسلم.

    • @HilalAlhabsi786
      @HilalAlhabsi786 16 วันที่ผ่านมา

      Hio aya inaanza kusema. MSIKITI NI WA ALLAH SW WALA USIOMBE MUNGU MWENGINE PAMOJA NA ALLAH SW. AU ULIFKIRI INAKQTAZWA KUOMBA MTU HAPO?. MAWAHABI VILAZA 😂😂😂

    • @user-xb6tr5vq4b
      @user-xb6tr5vq4b 13 วันที่ผ่านมา

      Asalam aleykum warahmatullah wabarakatuh haomuwe munaangalia uwongowao

  • @AbdulwahidAli-md6re
    @AbdulwahidAli-md6re 15 วันที่ผ่านมา +1

    Hiyo Aya waitumia kumkufurisha muislam mwenzio na Hali iyo Aya yawazungumzia wanafiki huoni kuwa umeitumia mahala sipo mm naona kuna mambo mumeyaficha kwenye vifua vyenu na Allah amekwisha sema katika aya zake " Na yakakusanywa yaliomo vifuani". Ikumbukeni sana hii siku msije mkajuta

  • @hakeemprince6868
    @hakeemprince6868 17 วันที่ผ่านมา +2

    Waislamu ni ndugu ummah mmoja ni kama mwili mmoja kwahivyo tupendane tuhurumiane tuwe sote pamoja

  • @mohammedyusuf8031
    @mohammedyusuf8031 17 วันที่ผ่านมา +3

    InshaAllah kupitia huo mskiti Allah ataleta nuru ya sunna na hizo shirki zenu zitaondoka

    • @ShamsaMohammad-v1b
      @ShamsaMohammad-v1b 17 วันที่ผ่านมา +1

      Kabisaaa

    • @RamyGichero
      @RamyGichero 16 วันที่ผ่านมา

      Hamna hekma ya eneza Imani yenu mnavuruga jamii na kuleta chuki mawahabi

  • @HappyBlackKitten-nt2lp
    @HappyBlackKitten-nt2lp 16 วันที่ผ่านมา +3

    Bacho songa mbele

  • @AmirathumaniSori
    @AmirathumaniSori 6 วันที่ผ่านมา +1

    Jama😅 mashekhe wengn ni mutihan 2 mbele ya mungu mutakuja kuzalilika san

  • @MohamediNdwata
    @MohamediNdwata 6 วันที่ผ่านมา

    Unajenga unabomoa shikamana na waislam katika njia ya Allah

  • @WakaliFashionTz
    @WakaliFashionTz 14 วันที่ผ่านมา +1

    Hii inaonyesha dawa imewaingia vzr sana

  • @NurudinYazid
    @NurudinYazid 16 วันที่ผ่านมา

    Mashaa Allah kwa nasaha nzur yaa ustadhy zid ya fitna zinazo endelea kwa ulimwengu wa sas

  • @thamani5842
    @thamani5842 17 วันที่ผ่านมา +1

    Jazakalkahu lkheir Sheikh

  • @JumaSalimin
    @JumaSalimin 16 วันที่ผ่านมา

    Pole sana sheikh wangu, wenye msikiti wao hawataki dawa nihio tu kuepusha shari. Kujenga msikiti mwengine MASHALLAH.

  • @user-xb6tr5vq4b
    @user-xb6tr5vq4b 13 วันที่ผ่านมา

    Shekhe bachu hawawatuwamaneno utawaweza kwasababu aya walahadidhî hawajui

  • @user-lp3gi5wd4e
    @user-lp3gi5wd4e 16 วันที่ผ่านมา

    Kazi mnayo!
    Kama mlikua mnaswali eid moja siku moja mjue sasa mtaswali eid siku mbili tofauti.

  • @MohammedSalim-lz3bv
    @MohammedSalim-lz3bv 12 วันที่ผ่านมา

    Ustadh huna hoja ya msingi, mlikuwa msimzuwie kutowa dawa, sasa Acha dawa ije kwa njia nyengine, huwezi kuzuwia maneno ya Mungu....

  • @ShabaniKibwana-z7d
    @ShabaniKibwana-z7d 13 วันที่ผ่านมา +1

    Subhanallah

  • @SeifSimba-qq8rk
    @SeifSimba-qq8rk 6 วันที่ผ่านมา

    Em shekh toa kufru sita zinazofanywa katika miskiti ya masalafi

  • @IsmailIbrahim-go3dy
    @IsmailIbrahim-go3dy 15 วันที่ผ่านมา

    Na je walio mfukuza sheikh Mohammed bachu wame Jenga ule wa kwao na kumfukuza sheikh asifanye da'awah ni msikiti aina gani brother, Tena eti huyu sheikh ni mtu wa Sunnah subhana Allah

  • @saidjuma4547
    @saidjuma4547 15 วันที่ผ่านมา

    shekh Muhammad bachu usirudi nyuma hawa watu wa twarika hawawezi izima nguvu ya Allah

  • @ExcitedChefHat-ef5jt
    @ExcitedChefHat-ef5jt 15 วันที่ผ่านมา

    Wewe ustadh nenda kalale tafadhali , fundisha ilmu ya matwari na kupiga zumari msikitini maulidi na hitima na kupiga ramli na . Wacha chuki zako mbovu za kikafiri kwa mwalimu wetu na shekhe wetu Muhammad Nassor bachu Allah amuhifadh.

    • @abdallahassan2080
      @abdallahassan2080 10 วันที่ผ่านมา

      Si ajabu ukisema ni mwanafunzi wake sababu mwafanana

  • @WakaliFashionTz
    @WakaliFashionTz 14 วันที่ผ่านมา

    Masheikh wa kisuf akili ndo tatizo mnamisimamo ya kitetea matamanio ya nafsi zao

  • @husseinibrahim5470
    @husseinibrahim5470 15 วันที่ผ่านมา

    Bado hamuwezi tafautisha kati ya chumvi na sukari hata kwa macho au kuonja. Haki na batil kawmwe havifanani. M Bachu Allah akuhifadhi.

  • @husseinibrahim5470
    @husseinibrahim5470 15 วันที่ผ่านมา

    Bachu anaelimu mbembelezi afunze sunna ya RasulAllah

  • @OfficialAbdulrashedalhilaly
    @OfficialAbdulrashedalhilaly 15 วันที่ผ่านมา

    ALHAMDULILLAAAH WATU WATWARIKA HAWAFAI KUWA HATA WAFANYA USAFI MSIKITINI
    UKIPATA UWEZO WA KUMTOA MTWARIQA KTK UIMAMU NI KHERI KUBWA IMEFANYA WEWE
    SABABU HAO NI WAPOTOSHAJI SIO WAONGOZAJI
    HONGERA SH BACHU LAMU SASA YAENDA PATA MSIKITI YA SUNNA ALHAMDULILLAAAH RABIL ALAMIIN

  • @mikekhalifaali7510
    @mikekhalifaali7510 16 วันที่ผ่านมา

    Bi Idhin Allah msikiti wa Sunna utajengwa na watu wa Maulid mtadhalilika hapa duniani na kesho akhera

  • @hajikomora703
    @hajikomora703 17 วันที่ผ่านมา +1

    Swali. Je ni ipi hukmu y mwnye kuswali kwenye huo msikiti w Ustadh. Bachu?

  • @farishfarish258
    @farishfarish258 12 วันที่ผ่านมา

    Bachu Allah akulipe khery

  • @swahabahusein23
    @swahabahusein23 17 วันที่ผ่านมา

    Masha Allah wazushi mko na shida sana

  • @OsmanAli-zb3tu
    @OsmanAli-zb3tu 17 วันที่ผ่านมา

    Hata mtumepiaalimbuwa agawanya watu haikuanza kwa sheikh muhammad bachu Allah amuhifadhi

  • @shuaibabdullahi7544
    @shuaibabdullahi7544 2 วันที่ผ่านมา

    Huyu shaikh ni mkuweli

  • @farishfarish258
    @farishfarish258 12 วันที่ผ่านมา

    We xhekh ni mchochezi huna elimu unamponda bachu yupo kwenye haki

  • @FahadMasoud-io4mb
    @FahadMasoud-io4mb 17 วันที่ผ่านมา

    Yaani masheikh wote hawajui wao ndio wajuzi,ukijikweza mungu atakushusha

  • @sulehassanshall6140
    @sulehassanshall6140 17 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi nitatoka ushahidi mbele ya Allah yakua Watu wakiwahabi niwatu wafitna...nishawahi kuwaona mawahabi wawasaliti waislam wenzao kwaserikali ili waislam Hao wafungwe ..mawahabi niwatu wafitna Shetani Amewaingia kwanafci zao kufitinisha waislam.....

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 11 วันที่ผ่านมา

      Kumbe ishu ilikua nin au umeichukua habari jujuu kama mafadiqi hebu niambie tatizo la wao kupelekana mahakamani kufungwa

    • @drmahwa8166
      @drmahwa8166 8 วันที่ผ่านมา

      Muogope Allaah achana na unafiqi.bidah ni mrango wa moto​@@saidimkwinzu9106

  • @MohammedSalim-lz3bv
    @MohammedSalim-lz3bv 12 วันที่ผ่านมา

    Kazi kuabudu makaburi, lazima muambie ukweli...

  • @SuolFat
    @SuolFat 16 วันที่ผ่านมา

    Hongera sheikhe umesema ukweli

  • @AbdillahSOthman
    @AbdillahSOthman 11 วันที่ผ่านมา

    Mtu akimaliza kuujenga msikiti huo sio mskiti wake bali ni Nyumba ya Allah. Na waislam hupaswa kuutumia kwa ibada. Sasa mwenye chuki na hasad za kuwa alijenga fulani kwa kuwa yeye ana msimamo fulani hao watajipoteza. Kauli ni kumuabudu mola mpka mauti mmoja wenu yamkute huku ibada hakuziacha.

  • @AbuuKhalid-h1i
    @AbuuKhalid-h1i 14 วันที่ผ่านมา

    Ndugu anglia unacho kihadharisha utaenda kulipwa kwa kuzuia kuenea haki chuki zutakuingiza katika ghadhab za Allah kuwa makin ndugu yangu.

  • @IsmailGavara-y3t
    @IsmailGavara-y3t 16 วันที่ผ่านมา

    Pigeni kelele tu mkiti utanengwa huu ni utangulizi tu zitajengwa misikiti zaki sunni kweli kweli inshallah

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 17 วันที่ผ่านมา +3

    Bachu ni mfitinishaji sanaa

    • @MohammedSaid-tf5qc
      @MohammedSaid-tf5qc 17 วันที่ผ่านมา

      Nyinyi watu wakenya mnamlea huyo huku Tanzania huyo kazuiliwa kusema walakutoa mawaidha yake ya kufitinisha watu mzuilieni huto

    • @hajikhatib9560
      @hajikhatib9560 17 วันที่ผ่านมา

      Bidakweli

    • @hajikhatib9560
      @hajikhatib9560 17 วันที่ผ่านมา

      ​nenda ww kazuwiye

    • @hajikhatib9560
      @hajikhatib9560 17 วันที่ผ่านมา

      Hayoni yakwenu

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 11 วันที่ผ่านมา

      Kama wewe ulivokua fitna

  • @TheMousser
    @TheMousser 16 วันที่ผ่านมา

    kwa hio bachu anajenga mskiti wa makafiri, ndio mtume alivyo tufundisha

  • @saidjuma4547
    @saidjuma4547 15 วันที่ผ่านมา

    hujasema kweli ww mtowa posti hii umefeli unatafuta kujibiwa ili upate kiki

  • @YahyaYahya-vp2pp
    @YahyaYahya-vp2pp 16 วันที่ผ่านมา

    Vip wengelimruhusu akafanya hiyo dawaa msikitini je muhammad angejenga huo msikiti mwengine lkn wameyanzaa wao kuwagawa waislam kwa kuwazuia kuinga ktk msikiti acha watu wajengee mwengine ambao watafanya harakat zao za dawa

  • @user-qv9ep6wq1t
    @user-qv9ep6wq1t 14 วันที่ผ่านมา

    Mawahabi wamekua kama wakiristo kwamba kila mtaa wenye msikiti kuwe na kanisa sasa wao moja ya mikakati yao ni kila penye msikiti wa Ahlu sunna kuwe na masjidu dhiraar

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 18 วันที่ผ่านมา +1

    Ata bado kazi kumuandama kijana ambae ameamuamua kusema kwanza leteni ushahidi wapi wanyama walipeana tarifa ndipo mje na fitina

    • @twaibumikidadi7377
      @twaibumikidadi7377 18 วันที่ผ่านมา

      😅😅 yeah
      kwanza wajibu majib
      1- wapi wanyama waliongea
      2- wapi kuimba ktk micbaa

  • @user-ib7kx9dc5m
    @user-ib7kx9dc5m 17 วันที่ผ่านมา

    Kweli huyo ni mfitinishaji ana wagawa waisilam Kwa msilahi ya wakatorck mpuuzi sana

  • @user-xb6tr5vq4b
    @user-xb6tr5vq4b 13 วันที่ผ่านมา

    Na ulichokifundisha hakieleweki ilatu nichuki apo ndoo umeeleweka

  • @salehrashid-fx9rq
    @salehrashid-fx9rq 6 วันที่ผ่านมา

    Ukiongea ongea kama mwanamme, usilegeze sauti

  • @abedkarume9088
    @abedkarume9088 17 วันที่ผ่านมา

    Mashekh nanyie kama wasanii siku hizo tangu muwe mitandao hamna makongamano ya pamoja kuchanuwana na kukosoan nyingi kwa waislam muje na lengo moja

  • @user-iu3me2sm2h
    @user-iu3me2sm2h 17 วันที่ผ่านมา +1

    Kwani jmani msikiti ni kanisa,?

  • @nelson-cd7fr
    @nelson-cd7fr 17 วันที่ผ่านมา

    Jamani muogopeni Allah acha kugawa waislamu

  • @mohamedswalehe4442
    @mohamedswalehe4442 12 วันที่ผ่านมา

    Bachu hajielewi kama anajielewa angepambana barabara namjadala na Sheikh Said

  • @SeifSimba-qq8rk
    @SeifSimba-qq8rk 6 วันที่ผ่านมา

    Nyinyi ndio mwawagawanya watu kwasababu hanpendi haki isitumie aya kupotoa watu

  • @saidimkwinzu9106
    @saidimkwinzu9106 11 วันที่ผ่านมา

    Kichwa cha habari tu kinaonesha upumbavu wenu na akili ndogo kuna msikiti wa fitna dunian??? Kichwani hauko sawa

  • @YahyaYahya-vp2pp
    @YahyaYahya-vp2pp 16 วันที่ผ่านมา +1

    Haahaa cheki hili jinga

  • @abdulkhalfan8586
    @abdulkhalfan8586 17 วันที่ผ่านมา

    MASHAALLAH

  • @IsmailGavara-y3t
    @IsmailGavara-y3t 16 วันที่ผ่านมา

    Masufi ni makafiri tu kama makafiri wengine sio jipya

  • @saidjuma4547
    @saidjuma4547 15 วันที่ผ่านมา

    watu wa twarika kazi munayo munazuia dini ya Allah isitangazwe

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 17 วันที่ผ่านมา

    Watu bachu wot ni wapuuzi sanaa

  • @Dr-ubaida965
    @Dr-ubaida965 15 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah

  • @salfatinvestments909
    @salfatinvestments909 17 วันที่ผ่านมา

    acheni dhihaka na maneno ya Allah (Quran) chuki za kibinafsi zisipelekee uchochezi wa kuwafitini watu kwa kiwango hiki, tumcheni Allah (S.W). Kwa wenye akili wataelewa fitna ilipo, Allah atuongoze kwenye haki na kuifwata sunnah ya mtume wake (S.A.W)

  • @user-xb6tr5vq4b
    @user-xb6tr5vq4b 13 วันที่ผ่านมา

    Wewe mtuwakitwarika kwakuzungumza bila aya walahadidhi ndomnajua Nahao manenoyako bilahadidhi wala aya hayatusumbuisisi

  • @imamually1926
    @imamually1926 15 วันที่ผ่านมา

    Kwani sheikh haki na batir vinakaa pamoja siku zote? Watu wengi huswali ktk miskiti yenu kwa shida ikiwa hakuna mskiti wa kisunna karibu ndio twaswali ktk misikiti ya kibidaa

  • @ShamsaMohammad-v1b
    @ShamsaMohammad-v1b 17 วันที่ผ่านมา

    Munadhihirisha aibu zenu jisitirini madheikh wa shanga

  • @abdishivo6764
    @abdishivo6764 14 วันที่ผ่านมา

    we sheikh acha fitina na choyo sjui hata waongea nini hapo

  • @AshrafBunu
    @AshrafBunu 18 วันที่ผ่านมา +1

    Please tusitafute view kwa kutumia dini msikiti niwamungu uwe niwamwatwari au uwe siwanwatwari please view zitafutwe kwa njia nyingine

    • @ramiyawetutv
      @ramiyawetutv  18 วันที่ผ่านมา +1

      Sikiliza video upate ufahamu

    • @warshysaid8564
      @warshysaid8564 16 วันที่ผ่านมา

      ​@@ramiyawetutvkitu gan chenye faida hapo Ata kisikilizwe

  • @BizimanaYahya-y4o
    @BizimanaYahya-y4o 18 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe unasema yakwako hausemi yawana zuoni

  • @SharrifCharo-mi1bn
    @SharrifCharo-mi1bn 14 วันที่ผ่านมา

    Watu maulidi wanakazi

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 12 วันที่ผ่านมา

    Kwani mushampa Uraia wa Kenya huyo Bachu huko?

  • @BilaliIloko
    @BilaliIloko 15 วันที่ผ่านมา

    Hahaaa watu wa bidaaa mnna kazi sana,hamna hojja mtaenndelea hivyoo hivyoo hhuku dawwa ikiendelea kupamba

  • @al-aminbaruan6167
    @al-aminbaruan6167 16 วันที่ผ่านมา

    KWELI UJINGA NI MZIGO.
    NGUVU NYINGI PUMBA TUPU.

  • @yunusramadhan2546
    @yunusramadhan2546 16 วันที่ผ่านมา

    Tukaneni sana lakini mjue sku moja mtaulizwa kuhusu hizo kauli zenu

  • @HalimaSalym-jl2ui
    @HalimaSalym-jl2ui 17 วันที่ผ่านมา

    Mungu Mmoja
    Dini Moja
    Mtume Mmoja
    Kitabu kimoja
    Kwanini madhehebi?

  • @SeifSimba-qq8rk
    @SeifSimba-qq8rk 6 วันที่ผ่านมา

    Hakuna miskiti ya kuyagawa wa2

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 12 วันที่ผ่านมา

    Nyinyi wa Kenya subirini kidoogo baada ya miaka kadhaa mutakuja kumfahamu huyo Muhammed Bachu ni nani maana hamujamjua bado.
    Fitna na migogoro ndio kazi anayolipwa kwayo hiyokamahamujuwi.

  • @SharrifCharo-mi1bn
    @SharrifCharo-mi1bn 14 วันที่ผ่านมา

    Unaogopa waumini hawato ingia kwa misikitu ya maulidi

  • @AliAwadh-qc8wk
    @AliAwadh-qc8wk 17 วันที่ผ่านมา

    Nyote waislamu kaeni muelewane

  • @axmedhussein5721
    @axmedhussein5721 17 วันที่ผ่านมา

    Sasa inacho kuchoma ni kujenguwa miskiti

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 17 วันที่ผ่านมา

    Bora uwitwe madjid faraun bachu

  • @user-ib7kx9dc5m
    @user-ib7kx9dc5m 17 วันที่ผ่านมา

    Hao mawa habi hupita na kusema watu wasi some vitabu vilivyo andikwa Tanga na lamu haya nime yasikia Kwa masikio yangu baada ya swala ya magharibi tuna hupita vijijini wakijuwa ufaham wao ni mdago huku wakigawa nyama baxawadi mbali

  • @BilaliIloko
    @BilaliIloko 15 วันที่ผ่านมา

    Wee kaendelee kusomma maulidi,suala la elimu achia wenginne,

  • @TheMousser
    @TheMousser 16 วันที่ผ่านมา

    msikiti suna kisimani hauvunjwi hilo lifahamu

  • @TheMousser
    @TheMousser 16 วันที่ผ่านมา

    ilikua sawa matwarika kusoma kwa mashia

  • @ahmedmalau1791
    @ahmedmalau1791 6 วันที่ผ่านมา

    Kiufupi hamutaki sunnah mwataka uzushi😅😅waabudu makaburi wana shida sana😂

  • @sulehassanshall6140
    @sulehassanshall6140 17 วันที่ผ่านมา

    Bachu nimtu wafitna Atadhaliloka nafitna zake

  • @TheMousser
    @TheMousser 16 วันที่ผ่านมา

    masajid za sunna hazina bid'a

  • @HassanTifai
    @HassanTifai 16 วันที่ผ่านมา

    Ukweli wa buchu unauma
    Sasa wanamtengenezea
    Ajali
    We wa shekh wa

  • @JabuUssi
    @JabuUssi 16 วันที่ผ่านมา

    Inaonekana Bado huna ilmu

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 18 วันที่ผ่านมา

    Leohukuanza na Aya
    maana umegundua umetafsr kwa uelewa wako
    b Ndio maasuf mlivyooo ,
    Wavivu kusoma!

    • @user-qm4qd8yk2x
      @user-qm4qd8yk2x 17 วันที่ผ่านมา

      kweli kabisa masufi ni wavivu wakusoma hata Iko clip ya Sufi mwenzao shekh mziwanda kutoka tz akiwasisitiza masufi wenzake wasome dini wapunguze kuimba
      nahatakama watasema wamesoma lakini hawawezi fanana na watu wa Sunnah ASLI mia kubwa ya usomi wao ni mashairi marefu. Dua nyingi ambazo hazikuthibiti kaswida nyingi trics/Hila nyingi katika SoMo la nahwi. visa vingi vya urongo kama vile makarama kutishatisha watu na majini kuwafata matajiri mbalimbali husun WA Jami ya ki Asia eti kuwaombea biashara zao na kula sanaaaa bas. hakuna tawheed. hakuna Sunnah hakuna kuhifadhi Kur an. huu utafiti wangu nasema aslimia kubwa tena kubwa sana sikusema wote WALLAHU A ALAM

  • @AnwarAli-vs9mp
    @AnwarAli-vs9mp 16 วันที่ผ่านมา

    Lol kila kizazi kina uzushi😅😅😅😅😅

  • @ShamsaMohammad-v1b
    @ShamsaMohammad-v1b 17 วันที่ผ่านมา

    Mulimdhania vibaya yy angejenga akaenda sio mkaazi wahapo kwenu

  • @sulehassanshall6140
    @sulehassanshall6140 17 วันที่ผ่านมา

    Tanzania nzima wamejaa washirikina endeni huko mukawaongoze Hao waislam washirikina Watu wamekita kwaushirikina ..huko siu Kuna mashekhe nawacha amungu kuanzia zamani

  • @hassanabdalla9688
    @hassanabdalla9688 17 วันที่ผ่านมา

    Masjdid thwirar.msikiti wa madhara.ipo eleweni Quraan.

  • @abdallahhamad8808
    @abdallahhamad8808 16 วันที่ผ่านมา

    Nd maana yake kulekeza spika kule kule ili muwache kupotosha w2

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 17 วันที่ผ่านมา

    Bachu anajenga misikiti ya kuinuwa Tawhidi Juu nakuondoa ushirikina na wasio kuekewa neno la tawhidi

  • @user-it3ee7zq2y
    @user-it3ee7zq2y 17 วันที่ผ่านมา

    Swalihina msikitini wenu
    Uko Karibu Sanna
    Na msikiti Wa mashia mbona
    Hukuutaja ama nyinyi Na mashia niwamoja

  • @YahyaYahya-vp2pp
    @YahyaYahya-vp2pp 16 วันที่ผ่านมา

    Umepanik baba na msikiti utajengwa

  • @bafaaabuu
    @bafaaabuu 17 วันที่ผ่านมา

    Acheni fitina nyie duh hii hatari sana Allah anawaona

  • @SoudShuraim
    @SoudShuraim 15 วันที่ผ่านมา

    Jenga Bachu,wewe hawakuwezi wanakuogopa,wacha wapige kelele piga kazi

  • @FahadMasoud-io4mb
    @FahadMasoud-io4mb 17 วันที่ผ่านมา

    Hana adabu wao ndio watu wa sunna wengine hawana sunna,anadanganya watu wasiojielewa