SAKATA LA SHARIFU FEKI BAADHI YA WAHADHIRI WAONYESHA CHUKI ZAO JUU YA SHEIKH KISHKI MAZITO YAIBUKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @mohammedabdullah5895
    @mohammedabdullah5895 29 วันที่ผ่านมา +1

    Asante sheh weka sawa uislam

  • @DjumaAsha
    @DjumaAsha หลายเดือนก่อน +9

    Aaaamina ya Rabby 🤲 Kwa niaba ya Shekh Kishki
    Allah akuhifadhi kaka Mhadhiri

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 หลายเดือนก่อน +12

    Swadakta!! Allah amemuonyesha Shekhe Kishki maadui zake , mahasidi, wanafiki. Yani akae nao kwa makini.

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 หลายเดือนก่อน +5

    Mash Shaa Allah Shekhe Nurdin Kishki Allah akuweke Wallah nakupenda sanaa . Maadui zako wote nawaombea Dua mbaya.

  • @zuenajumashf3105
    @zuenajumashf3105 หลายเดือนก่อน +2

    Maa Shaa Allah....umeongea vizuri ... Jazaka Allah khairan Akhuya

  • @OmanOman-st3kg
    @OmanOman-st3kg หลายเดือนก่อน +4

    Swadakta !!Allah akuongoze ktk kutetea hali na kuipinga batwir

  • @Fatma-n8z5c
    @Fatma-n8z5c หลายเดือนก่อน +1

    Mashaa Allah tabarak Allah 😢😢😢. Jazakallah khair.

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib หลายเดือนก่อน +4

    SUBHANALLAAH
    SHEIKH KISHKI AMEWAGUSA MANYAO MANYAO WOTE

  • @mariamdjuma-d9y
    @mariamdjuma-d9y หลายเดือนก่อน

    Allahumma ameen

  • @amadeomarsaide5023
    @amadeomarsaide5023 หลายเดือนก่อน +4

    Ndugu yangu Allah akuhifadhi. Hawo wanao mtetea Firdaus wote wanajulikana ya kwamba ni kwa ajili ya vijisenti anavyo wapatia.

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 หลายเดือนก่อน +1

      Ni Wafuasi wa Masih Dadjjal wapo Kazini Zama zao hizi zimmeshhawadia

  • @BuiKishkOnlineTv
    @BuiKishkOnlineTv หลายเดือนก่อน +3

    Ddah kumbe Shk upo vzr unafuatilia mambo Maashaa Allah 2017

  • @SalhaAlly-x8q
    @SalhaAlly-x8q หลายเดือนก่อน

    Kishk Allaah Amuhifadhi dunia na Akhera

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 หลายเดือนก่อน

    Shukrani Shekhe wetu umedadavua vizuri na kuwaanika hawa madhwalimu. Allah atakulipa In shaa Allah.

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 หลายเดือนก่อน +3

    Nimefwatilia huu mtahanange wote wanao jiita Mashekhe na wamempinga Shekhe Kishki hawana elimu na wengi wao ni wapigaji. Allah awaongoze wao na sisi.

    • @ShamimMsofe
      @ShamimMsofe หลายเดือนก่อน

      Amina .

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah akuhifadhi sheikh wg Allah amuhifadhi sheikh Nurdini Kishki

  • @SadaAli-g8f
    @SadaAli-g8f 27 วันที่ผ่านมา

    Alla amuhifadhi shehe na mahasidi

  • @IssaBacar-i2i
    @IssaBacar-i2i หลายเดือนก่อน

    Mashallah Allah akuifadhi na waongo wote wanazalilika

  • @spartachize122
    @spartachize122 หลายเดือนก่อน +1

    Mash Allah!! Mi nilichokuja kugundua kuhusu hawa wapinzani wa team Kishki wote ukiwachunguza ni waganga wanaopigania mlo wao tu😢😢wala hawana chochote

    • @MarimSali
      @MarimSali หลายเดือนก่อน

      Akuna mwenye njaa katika kundi la kishki kasome dini ww mjinga kama ao wajinga wanao chafua dini

    • @spartachize122
      @spartachize122 หลายเดือนก่อน +1

      @MarimSali jifunze kuelewa kilichoandikwa nimekwambia wapinzani wa team kishki.... Si ni Kiswahili kabisa hicho dadangu

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 หลายเดือนก่อน

      Nashawishika Kudhani, Kusema na Kuamini huyu Mkongo Man ni Chuki na Hisadi ndo zimemjaa /Mcheza ​Ndomboro/Mayenu kajivika Usheikh kajificha ktk Uislamu.@@MarimSali

    • @MariamHaroon-pu3lx
      @MariamHaroon-pu3lx หลายเดือนก่อน

      Tena maubwa kabisa yanajaa karii

  • @buheroKozi
    @buheroKozi หลายเดือนก่อน

    Allhmdllh kwakweli nimejifunza mengi sana kutoka kwa huyu sheikh Allahaa akulipe kila la kher..watu wamevamia Dini halafu hawataki kusoma someni Dini na maelekizo ya Allah acheni njaa mnauza Dini hiyo ni dhambi kubwa tusomeni jamani,,

  • @mariamdjuma-d9y
    @mariamdjuma-d9y หลายเดือนก่อน

    Wote hao ni wapiga byashara nandio maana wanateteana katika ujinga wao subhannallah

  • @AshuraKhamis-qv3ld
    @AshuraKhamis-qv3ld หลายเดือนก่อน

    Masha Allah tabarakallah ❤️❤️ ni husda tu anayoo yani kamkashifu shaikh ngo atakufa kifo chamende subhanallah 😢😢😢😢😢

  • @ShamimMsofe
    @ShamimMsofe หลายเดือนก่อน

    Shehe Allah akulinde na hao mahasidi

  • @buheroKozi
    @buheroKozi หลายเดือนก่อน

    Njaaa hizo zinawasumbuwa masikini Allah atuongoze

  • @tashwakotaii3632
    @tashwakotaii3632 หลายเดือนก่อน +1

    Bega kwa bega hadi hawa matapeli waganga waumbuke🙏

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr หลายเดือนก่อน +2

    Asa shekh hapo kwenye kigoma na dar umeweka uchawa, but Allah kawaleta nyie kupitia yeye kishk kaanzisha mada na kapata wakumuunga mkono juu ya ushirikina wao, Allah atupe mwisho mwema InshaAllah

  • @noot-oe2mw
    @noot-oe2mw หลายเดือนก่อน

    Mashaallah Mashaallah 🙏🙏🙏

  • @MariamHaroon-pu3lx
    @MariamHaroon-pu3lx หลายเดือนก่อน +1

    Hadi sura zao zimekuwa baya kwer kabisa 😢

  • @AishHassan-p8l
    @AishHassan-p8l หลายเดือนก่อน

    Namuomba Allah akuzidishie hekma kk uzidi kuwanaduh na kuwafuchua wale wote wenye chuki na sheikh kishki na wengine kila mnapozidi kusema ukweli ishallah uongo utajulikana tu wanachuku tu hao

  • @tashwakotaii3632
    @tashwakotaii3632 หลายเดือนก่อน

    Kutaja tu jina la Mwenyezi MUNGU mwingi wa rehma hawezi

  • @AllyHozza
    @AllyHozza หลายเดือนก่อน +1

    Allah akuongoze usimame na haki ivyo ivyo

  • @bibahhadith
    @bibahhadith หลายเดือนก่อน

    MaashaaAllah huyu sheikh anaongea Km masawe

  • @MussaBakil
    @MussaBakil หลายเดือนก่อน +1

    Watu kama Hawa da inauma sana ana posha umati wamuhamadi nabi wangu

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 หลายเดือนก่อน

      Anajipotwza Mwenyewe na WA mfano wake Kwa Maslahi yao ya Dunia tu 🙌
      Ipo Siku ya Hukmu/Siku ya Kiyama (Saa).

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib หลายเดือนก่อน +2

    TAKBEEEEER

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib หลายเดือนก่อน +2

    SHEIKH KISHKI HATUJAWAHI KUSIKIA KUA ANA MADUDU.
    KAMA ANAYO NI YEYE NA MOLA WAKE. ALLAH AMUHUFADHI

    • @Ummunajma-i2c
      @Ummunajma-i2c หลายเดือนก่อน +1

      SHEKH SEMA KWELI HATA KM MAKUFARI ,WANAFIQ NA MUSHIRIKINA .NA MAHASIDI WOOTE WATACHUKIA.
      UMEONGEA VIZURI SANA.
      WATAJUTIA SANA ,NJAA ZAO ZILIZOKO VICHWANI. SIKU YA MALIPO.

  • @mariamdjuma-d9y
    @mariamdjuma-d9y หลายเดือนก่อน

    Naaam apo umeongea kweli kabisa .ALLAH hua hamfichi mnafki leo hii wamejifichua kwa kutetea ujinga

  • @RezekH
    @RezekH หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤swadakta shekhe😅😅😅

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 หลายเดือนก่อน

    Hehehe hizi video za Mr Mkongo zimenichekesha😅😅😅. Allah anisamehe kwa kucheka huku.

  • @abdallahhuseinkabale7534
    @abdallahhuseinkabale7534 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa ajikaze ...😅😅😅

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib หลายเดือนก่อน

    WALLAHI HUSDA MBAYA SANA

  • @AishaHamad-j9t
    @AishaHamad-j9t หลายเดือนก่อน +1

    Nyinyi mashehe nyote mwapuuzi hiyo sio busara ya mtume hem someni somo la hekma na tawhid

  • @alhadajjmohammedsmith9042
    @alhadajjmohammedsmith9042 หลายเดือนก่อน

    Ukimuona Mbwa yupo Juu ya Mti usiulize/usishangae Mbwa kapandaje Juu ya Mti bali Shangaa na Uliza nani Kampandisha/aliyempsndisha Mbwa Juu ya Mti?!
    ShidaTstizo Kubwa BAKWATA Wanadhima kubwa mbele ya Allah Subhanallah juu ya Kuchafuliwa Uislamu na Waislamu ktk Kivuli Cha Uganga/Utabibu, Usheikh/Ushariff wa Kiislamu.

  • @Catherine-mh8sw
    @Catherine-mh8sw หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @salumsheshe1264
    @salumsheshe1264 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo anatakiwa ajulikane kwa watu wote kua ni MUONGO na hizo dawa zake nazo za UONGO UWONGA ndio maana anazipa majina ya dhahabu wewe utakae nunua dawa za huyu murongo ujue Allah hawi na wanaofanya ghushi nasema usinunue dawa hizo

  • @bibahhadith
    @bibahhadith หลายเดือนก่อน

    Innalillahi wainna ilaihi raajiun

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 หลายเดือนก่อน +1

    Shariff feki hajajua kuisoma kuruanii huyo ni tapeli tu kama matapeli wengine

  • @SultanSuleiman-qf7cx
    @SultanSuleiman-qf7cx หลายเดือนก่อน

    Hili litafikwa na makuu ya kumfunza mzushi Mungu amlaani Kwa kumuhujumu Kishki

  • @balkissMuhammad-sk1ic
    @balkissMuhammad-sk1ic หลายเดือนก่อน

    Bismillah astghafirullah

  • @AdamChogo
    @AdamChogo 28 วันที่ผ่านมา

    Dah ukfatilia waislam tulivyo hv ss hutaujua uislamu

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 หลายเดือนก่อน

    Safi shekh umeongea maneno mazuri na yaukwely shekh kishki alitoa challenge ww ndie umegonga msumari kichwani ayaa ya kubadilisha sihri waah aje atusomee

  • @اللهلاالهالاهوالحيالقيوم-س7ج
    @اللهلاالهالاهوالحيالقيوم-س7ج 8 วันที่ผ่านมา

    Wote wanaomtetea huyo jama Allah anawaona tuuuuuu sis tunajua masharifu feki

  • @Mariam-ke4og
    @Mariam-ke4og หลายเดือนก่อน +1

    Ninachokielewa mimi ni huyu Sharifu Fekiii anajipendekeza kwa Mashekh ili aonekane muungwana na ndiyo maana anakuwa na kibri hivi haonekani anachokifanya leo mnamuona KISHKI mbaya jamani acheni zambi KISHKI ni mkweli na nijasiri na anasema ukweli hamfichi mtu akikosea kwenye imani shida iko wapi hapo? Shekh waambie ukweli

  • @abdallahhuseinkabale7534
    @abdallahhuseinkabale7534 หลายเดือนก่อน +1

    Kajawa chuki hasadi ..ndio wachawi wenyewe hao

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo kunkuti nae ajiita Shekhe kuna video yake anacheza bolingo😅😅. Yani Allah anawaumbuwa wote.

  • @ChampioniMjelumani
    @ChampioniMjelumani หลายเดือนก่อน

    Uislam Ni Dini lakini waislam wengi Ni wanafiki matapeli washilikina wezi wanafiki matapeli ndiyo maana wanagombana

  • @saidmohamed6543
    @saidmohamed6543 หลายเดือนก่อน +2

    Hawa masufi wanachuki sana hawataki kuambiwa ukweli

  • @SultanSuleiman-qf7cx
    @SultanSuleiman-qf7cx หลายเดือนก่อน

    Njaa na hasad zawasumbua Mikongomani

  • @ShamimMsofe
    @ShamimMsofe หลายเดือนก่อน +1

    Mueleze huyo . Amejiunga na wanafiki

  • @charlesmgonja8689
    @charlesmgonja8689 หลายเดือนก่อน +1

    Ala !! kumbe wasioweza kusoma quran hawastahili kuitwa masheikh. Basi waende madrasa wakasome.

    • @MaMa-gp1pw
      @MaMa-gp1pw 14 วันที่ผ่านมา

      Utakua aje mwalimu kama haukijui kisomo

  • @SheikhHassanMussa
    @SheikhHassanMussa หลายเดือนก่อน

    Allah Awadhalikishe Hao

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib หลายเดือนก่อน +1

    MKONGO MANI SIO SHEIKHE NI MUHUNI TU. SIMNAMUONA ANAVYO FANANA NA Koffi Olomide😅😅😅

    • @DjumaAsha
      @DjumaAsha หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @shabanihugo8332
    @shabanihugo8332 หลายเดือนก่อน +1

    Hao akina Ibrahim mkongo ndo hao hao wanadanganya Watu

  • @adamhashim3352
    @adamhashim3352 หลายเดือนก่อน

    Tutaona mengi mwaka huu😊😊 watakuja mashekhe hadi wa jaruo

  • @OmariKaya
    @OmariKaya หลายเดือนก่อน

    WATU WANAUMBUKA UJUE😅😂😂😂😂😂

  • @MussaBakil
    @MussaBakil หลายเดือนก่อน

    Lemba kubwa kiumbe mnafgi mkubwa mongu ana kuona eti mtoto wangu anasoma shule zakiklisto mkongo subli atima yangu unachificha kwenye usilam

  • @MwinyiJuma-n4i
    @MwinyiJuma-n4i หลายเดือนก่อน

    Kaka kwamimi ambae sina elimu na umaamuma wangu lakini huyu mkongo sijui nimuweke kundi gani!! Lazime tuwe na mashaka na huyu mkongo sio muislam kapandikizwa kuja kutuhalibia uislam achunguzwe anapotosha shelia za kiislam zifuatwe kama ni kutoa dawa afungiwe kwa lugha nyepesi hiyu hayupo timamu kama hajatumwa

  • @KhamisiKisunzu-w1z
    @KhamisiKisunzu-w1z หลายเดือนก่อน

    Lakin pia masharifu feki mw mungu atawadhalilisha

  • @khalidally3588
    @khalidally3588 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanza huyu ni mkongo wa kalemi huko

  • @abunajreenELSESANY
    @abunajreenELSESANY หลายเดือนก่อน +1

    Hao akina IBRAHIM MKONGO ni WAHUNI, tunawajua, wazinzi, watu wa MIZIKI

  • @zedyabdulrwabilingo9042
    @zedyabdulrwabilingo9042 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mkongo kama shoga

  • @SalumMusafiri
    @SalumMusafiri หลายเดือนก่อน +1

    Na huyo sheikh maulana naye iko na wivu

  • @buheroKozi
    @buheroKozi หลายเดือนก่อน

    Sheikh umesema ukweli sana

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 หลายเดือนก่อน +1

    MMungu hao matapeli atawaonesha atawadhalilisha wataishia kuiba lkn hawashibi Laana tupu hizo

  • @abubakarayubu-x2o
    @abubakarayubu-x2o หลายเดือนก่อน

    Minashauri muwaite pamoja na huyo anaye jita sharifu ilimuwahoji naikibidi muawaambie watafute jina ligine

  • @mussamnndewa1783
    @mussamnndewa1783 หลายเดือนก่อน +1

    Mkongo alikuwa anakata viunu kwenye bend
    mazinge ndio aliyemtoa kwenye mauno

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😊

  • @AliOmar-bx2oz
    @AliOmar-bx2oz หลายเดือนก่อน

    adhabu ya kumsingizia uwongo mwislam mwezio ni kali

  • @abdulkarimmahmoud8499
    @abdulkarimmahmoud8499 หลายเดือนก่อน

    Mashekh wote siwaamini sio Kishki wala Sharifu wote hao hao... Kikubwa ni kusoma kumjua Mungu anataka nini tufanye basi inatosha habar za mashekh piga chini.

    • @SADAMUHARUBU
      @SADAMUHARUBU หลายเดือนก่อน

      Soma ujue unachokiongea kijna

    • @SADAMUHARUBU
      @SADAMUHARUBU หลายเดือนก่อน +1

      Laa hautaki kusoma basi sikiliza maneno ya msomi huyo apo utamuelewa t

    • @mussakantumba9914
      @mussakantumba9914 23 วันที่ผ่านมา

      Huna akili mjinga wewe

  • @mtutulaclassic6207
    @mtutulaclassic6207 หลายเดือนก่อน +1

    Mkongo ni mwehu

  • @SultanSuleiman-qf7cx
    @SultanSuleiman-qf7cx หลายเดือนก่อน +1

    SHEIKH ongea ukweli husiogope .mijitu kama hii mipbavu lzma waambiwe

  • @AliOmar-bx2oz
    @AliOmar-bx2oz หลายเดือนก่อน

    tujitahidi kuitetea dini yetu, wanaiharibu dini

  • @khadijaiddi9422
    @khadijaiddi9422 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂Huu mwaka mpaka kumalizika .watazalilika watu sule hana pesa ya kumlipia mtoto ada

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib หลายเดือนก่อน

    KWENYE SAKATA HILI
    SHEIKH KISHKI NI MSHINDI KWANI YUPO KWENYE HAKI
    WENGINIE WOTE NI WAHUNI WAZEE WA MAFUTA YA UPAKO

    • @mussakantumba9914
      @mussakantumba9914 23 วันที่ผ่านมา

      Na hao wa mafuta wa upako ni makafiri hata kama watajiita Waislamu.

  • @nabahanishela7447
    @nabahanishela7447 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu ni Malaya tu kama Malaya wengine hakuna sheikh anaitwa mkongo

  • @AllyHozza
    @AllyHozza หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mkongo Bora anyamaze tu Siri zake uku manzese tunazijua vizuri asikimbilie kutaja aibu za wenzie

  • @KhamisiKisunzu-w1z
    @KhamisiKisunzu-w1z หลายเดือนก่อน +1

    Watu wa kigoma tunamkubar shk kishik usituchafue kupitia mkongo

  • @MwanahawaBakari-h6p
    @MwanahawaBakari-h6p หลายเดือนก่อน

    Kwani asha wahi andaa mashindano akakatazwa?

  • @saumu702
    @saumu702 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu poa wagonge aomasharfuwauwongo

  • @fundijumakimbaru7622
    @fundijumakimbaru7622 หลายเดือนก่อน

    Shee ongera kwa kumjurisha na kumwambia ukweri aache unafiki nakuwafata wanawake ukimchunguza Sana inaeezekana anatakakufanya biashara dini apate pesa

  • @mtutulaclassic6207
    @mtutulaclassic6207 หลายเดือนก่อน +1

    Mwaipopo sio shekhe ni shehe

  • @ashurairadukunda8905
    @ashurairadukunda8905 หลายเดือนก่อน

    Sheikh mkongomani amuombe kishki msamah kamzushiya uongo

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 หลายเดือนก่อน

      SEMA MSANII MKONGOMANI SHEIKH

  • @MaisaraIbrahim-i9b
    @MaisaraIbrahim-i9b หลายเดือนก่อน

    Huyu chawa wa Kishki, anza kwanza kutupa uhalali wa Kishiki kuandaa mashindano ya quran wapi Mtume alisoma mashindano ya quran, mwehu kweli wewe kujua quraan ndio uchamungu? Mwenyezi Mungu ameshasema mbora kati yenu ni mcha mungu kwa hiyo wewe unapingana na Mwenyezi Mungu tuletee aya kwamba mbora kati yenu ni yule anayekua kusoma quran

  • @SultanSuleiman-qf7cx
    @SultanSuleiman-qf7cx หลายเดือนก่อน

    Huyu hafai autia wiislamu aibu

  • @MwanahawaBakari-h6p
    @MwanahawaBakari-h6p หลายเดือนก่อน

    Sasa yeye anaongea akiwa wapi? Aseme anacho kitaka hatujaona sababu happy wivu tu

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 หลายเดือนก่อน +1

    Mwanzo apo

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 หลายเดือนก่อน

    Kwanza aya umeikosea kuisoma

  • @jumaomari285
    @jumaomari285 หลายเดือนก่อน

    Watu wamwogope Allah full stop. Sheikh kishki sio mtu wa mchezo na dini au maslah, na kama amepinpoint tatizo kwa jamii kwa dini wajitafakari. Mwisho kila mtu au Sheikh achunguze masomo yake binafsi inampita Sheikh kishki? Kama umempita kimasomo au mnalingana simama naye lakini kama sivyo shauri zako na kesho mbele ya Allah utajibia pekee yako.

  • @Ommywhity7
    @Ommywhity7 หลายเดือนก่อน

    Asanta sanaa mufti Quran yake anaisoma mbio ili apoteze watu ufahamu wasizikikie aya anavyozitamkaa uyu sijui mkongo ana maneno ya chukii na ww mazinge wewe mazinge Mungu atuongoze sote

  • @buheroKozi
    @buheroKozi หลายเดือนก่อน

    Sheikh basi inatosha

  • @FariOfficial142
    @FariOfficial142 หลายเดือนก่อน

    17:03 wewe naye unazingua
    Mwisho wa rail na Darussalam
    Manake nini ?
    Mbona mimi na wafwata nikiwa Congo

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 หลายเดือนก่อน

    Matapeli Matapeli mashkh njaa yamebobea Tznia!!watu wanaibiwa Shkh Kishk Kiboko ya mijambazi mishehena hiyo njaa zenu kafanyeni kazi sio mupate vya halali…..

  • @abdulismail6072
    @abdulismail6072 หลายเดือนก่อน

    Shekhe uko sawa ila unateleza kidogo kutaja mkoa

    • @mpondamedia2416
      @mpondamedia2416 หลายเดือนก่อน

      NI KWELI HAPO NIMEKOSEA NAOMBA MNISAMEHE WATU WA KIGOMA