WACHAMUNGU WA LEO HAKUNA MWENYE ELIMU KAMA (IBILISI ) PIA ALIFANYA SANA IBADA NA ALIFUNDISHA MALAIKA,,,LAKINI AMEPATA LAANA SABABU YA KUJIONA BORA KULIKO BABA YETU ADAMU,,,A.S...ALLAAH HATAKI KUDHARAU WATU UNAEMDHARAU ANAWEZA KUWA BORA KULIKO WEWE UNAJITAZAMA KWENYE KIOYOO,,,YA RABBI TUONGOZE Aamiin.
We mwenyewe msukule mshirikina acha ujinga wewe na nyinyi kina mazinge mnaomshabikia huyu dogo hajielewi mutaenda kuwa masul keaho mbele ya Allah
Njaa zitawaponza
WACHAMUNGU WA LEO HAKUNA MWENYE ELIMU KAMA (IBILISI ) PIA ALIFANYA SANA IBADA NA ALIFUNDISHA MALAIKA,,,LAKINI AMEPATA LAANA SABABU YA KUJIONA BORA KULIKO BABA YETU ADAMU,,,A.S...ALLAAH HATAKI KUDHARAU WATU UNAEMDHARAU ANAWEZA KUWA BORA KULIKO WEWE UNAJITAZAMA KWENYE KIOYOO,,,YA RABBI TUONGOZE Aamiin.
bado unataka kumchafuwa kishki ama
Bana eer kila mtu atakula Kwa uwezo wa kamba yake mbn mwamposa hamsemi acheni watu wasaidien watu , we mwenyew ni mgonjwa wa kesho
Hov! Waislam Mmepatwa na nn!? Mbona mmekua Watu wa kupinga pinha tu
Mazinge mpumbavu wewe na huyo tapeli mwenzio Firdausi.
Tumcheni Allah nyie