PART2:HATIMAE PROPHET IPM AKUTANA NA SHEHE DR SULLE,AJIBU KWANINI ALITOKA KWENYE UISLAM!KIKAO KIZITO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @nurusatinuran2527
    @nurusatinuran2527 2 หลายเดือนก่อน +11

    Maasha Allh❤shekhe sule Allah akuhifadhi

  • @ayubumasudi8380
    @ayubumasudi8380 8 หลายเดือนก่อน +15

    Maashallah❤ sheikh wetu tumejifunza mengivnakufaidika alieskia kaskia ALLAHakulipe kila lakheiri pia akuhifadhi na sote tunae kufata amiin yarraby

  • @EmanuelelisaGidion
    @EmanuelelisaGidion 2 หลายเดือนก่อน +29

    Uislamu ndio maaana unapigwa vita maaana umeenyooka hautaki ushenz

    • @UpendoBarnoth
      @UpendoBarnoth หลายเดือนก่อน

      Acha roho ya udini fahamu kweli ikuweke huru

  • @AllyDunia-lo8gq
    @AllyDunia-lo8gq 8 หลายเดือนก่อน +14

    Allah akulinde kwa kila kitu. Akupe umli mrefu uzid kutupa Iman wallah your professional wa kiislam❤

    • @bellasi349
      @bellasi349 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 siku izi allah anatoa umri wa kuishi😂😂 n'a uyo allah uo umri anautoa wapi ili akupe wewe uishi miaka mingi

    • @HopeChriss
      @HopeChriss 2 หลายเดือนก่อน

      Siyo ilo lipete lake😅😅😅😅

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 8 หลายเดือนก่อน +8

    Shukran sana shekhe wetu Allah akuzidishie yalo mema ishaallah ❤❤❤❤❤

  • @abdulnasuma9729
    @abdulnasuma9729 8 หลายเดือนก่อน +30

    Dr sule mungu akuweke waislam nanavimba sana na wewe

    • @aminaabdulghanim8256
      @aminaabdulghanim8256 3 หลายเดือนก่อน

      Dr Suleiman kazi yake ni kuongoza watu kwa dini ya kweli nasio mambo na ubishi.

  • @harunaabu3083
    @harunaabu3083 8 หลายเดือนก่อน +34

    Shekhe wangu nakupenda sana kwa ajili ya Allah sulle Doctor sulle Allah akupe umlimlefu sana Shekhe

    • @TwarirambwamboMbwambo
      @TwarirambwamboMbwambo 2 หลายเดือนก่อน

      Shekhe upo vizuri ila sio sana Bado unahitajika kujifunza zaidi elimu ya biblia haipo kirahisi hivyo wasabato kamwe hawajawahi kuwa waprotestant. Hawajawahi kuwa wakatoliki soma kitabu Cha ufunuo na danieli

  • @SelinaNenda
    @SelinaNenda 6 หลายเดือนก่อน +13

    Doctor Sule Leo nime kusikia.Hulicho hongea mengi ni kweli.

  • @Wi.Music24
    @Wi.Music24 2 หลายเดือนก่อน +15

    Namuona Mchungaji ajae 😂 BWANA YESU ASIFIWE 🙏

    • @ISSAKIGEZI
      @ISSAKIGEZI 2 หลายเดือนก่อน

      Mungu akujalie nawew uje kuwa mnyeyekevu wa moyo kama yesu

  • @salimdiabyonlinetv4873
    @salimdiabyonlinetv4873 5 หลายเดือนก่อน +5

    Unajua kweli Dr Sule ❤, Allah (s.w) Akuhifadhi iko siku Watakuelewa, MAKAFIRI.

  • @ebenezernnko8251
    @ebenezernnko8251 8 หลายเดือนก่อน +49

    Safi sana mm mkiristu lkn nimekuelewa sana

    • @yunusabeid74
      @yunusabeid74 8 หลายเดือนก่อน

      Hongera sana ndugu

    • @danielmatemu9698
      @danielmatemu9698 8 หลายเดือนก่อน

      Umeelewa nn?
      YESU ALISEMA hivi ÷÷ ASIYE NA DHAMBI NA AWE WA KWANZA KUTUPA JIWE÷÷
      Unadhani Yesu alimaanisha nini???

    • @assadmajaliwa2524
      @assadmajaliwa2524 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@danielmatemu9698
      Ko yy alikuwa ana dhambi ndio maan hakumgusa
      Au sheria alishusha akijua nani anaefaaa kuitekeleza?

    • @amransaid6018
      @amransaid6018 3 หลายเดือนก่อน

      Tunakukaribisha ktk uwislamu😊

    • @yakobomkristo872
      @yakobomkristo872 2 หลายเดือนก่อน

      Hakuna Mkristo Duniani Anayejifunza Biblia Kwa Mwislam

  • @SumahiyaRamadhani
    @SumahiyaRamadhani 3 หลายเดือนก่อน +9

    Masha allah docta sule

  • @swafiirbulbul819
    @swafiirbulbul819 8 หลายเดือนก่อน +10

    Maashaa Allah..
    Dr. Sule tumejifunza mengi kwako ..

  • @AbasHabimana
    @AbasHabimana 5 หลายเดือนก่อน +5

    Docter Sule namuomba Allah akuifazi

  • @AhmediKilingamoyo
    @AhmediKilingamoyo 2 หลายเดือนก่อน +3

    Allaah akuongoze Allaah akupe amaani akupe umrimrefu wenyekheri

  • @HadadHazarah
    @HadadHazarah 2 หลายเดือนก่อน +4

    The doctor.. the best of all... Proffer Suleiman

  • @KhajiRashid-lk6fi
    @KhajiRashid-lk6fi 8 หลายเดือนก่อน +9

    Mashaallah mungu azid kkuweka sanaaa

  • @MauNgush
    @MauNgush 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mashaallsh mungu akuweke sheh

  • @mbwanamtops4936
    @mbwanamtops4936 3 หลายเดือนก่อน +4

    Allah akuhifadh na akupe umri mrefu .ameen !

  • @MaryamHAMISI-ei9fq
    @MaryamHAMISI-ei9fq 8 หลายเดือนก่อน +4

    ❤❤ mashallah mashallah ❤alhamdull lah mafunzomazuli Allah akulinde insha'Allah

  • @muzzoonlinetv7446
    @muzzoonlinetv7446 8 หลายเดือนก่อน +9

    ALLAH AKUPE UMRI MREFU SHEKH

  • @MustafaMvulla-fv8eh
    @MustafaMvulla-fv8eh 4 หลายเดือนก่อน +7

    Sheikh mungu akusimamie

  • @MaryamAbubakar-c2d
    @MaryamAbubakar-c2d 8 หลายเดือนก่อน +13

    Asante kwa kutuelimisha

  • @faisalshaban3948
    @faisalshaban3948 2 หลายเดือนก่อน +5

    Dr. Sule yupo vizuri amenyooka kujibu maswali, Allah amlipe

    • @IbrahimRaphael-n7v
      @IbrahimRaphael-n7v 6 วันที่ผ่านมา

      Wewe nawe huyu ana maswali gani sasa hapa aje nimponde nondo hapa mtu mwenyewe huyu anauyeuliza maswali anakuna kichwa

  • @ramadhangerezamdoe6401
    @ramadhangerezamdoe6401 21 วันที่ผ่านมา

    Mashallah doctor unaeleza kwa utaratibu hakika tunakuelewa sana Allah akulinde inshallah

  • @rahema1992
    @rahema1992 8 หลายเดือนก่อน +16

    Amesema anayetaka kuweka mjadala nae amfuate sasa longolongo za nn mara tapeli mara miongo weka makala nae uone kama hujakimbia mwenyewe tusomen tuacheni ubishi

    • @Yasssin-zp6im
      @Yasssin-zp6im 8 หลายเดือนก่อน +4

      Ndg yang huyo ipm ukristo kaingia jana tu sisi tushaanxa kuhubir neno la mungu ndacha kazaliwa kwenye ukristo na kasoma lkn kwa dk sulle kagonga mwamba atakua huyo ipm

    • @NajimaJuma
      @NajimaJuma 5 หลายเดือนก่อน +1

      Mbioo nyingi Sanaa 😂😂😂😂

  • @uwesumuhammadi6292
    @uwesumuhammadi6292 2 หลายเดือนก่อน +3

    Inakua ni mara chache sana kupata vitu adimu kama hivi ndani ya muongo mmoja allah tutunzie shekhe wetu wapo wachache sana !!

    • @NelsonBaraka-eo3bs
      @NelsonBaraka-eo3bs หลายเดือนก่อน

      Kwan shekh anaongea kuhusu nin , Kwan yesu alikuja na dini Gani, yaan alitaja dini ipi ndio sahihi??? Kwa nin shekh asihimize katika Imani na kuaminisha waislam katika njia ya mtume Muhammad,, na kazi ya pastor iwe kuhimiza njia ya kristo yesu( mpakwa mafuta

  • @SuperkarimBenzema-o1h
    @SuperkarimBenzema-o1h หลายเดือนก่อน

    Allah akupe umri mrefu wenye manufaa na uufaeee uislam.jazaakallah kheir

  • @hafifayusuph3781
    @hafifayusuph3781 2 หลายเดือนก่อน

    Takbiiiir... Allahu akbar mashekh wamesoma bwana

  • @RashidKilagwa
    @RashidKilagwa หลายเดือนก่อน

    Maashallah mungu akulinde dhidi ya fitna za makafir

  • @Leo-xc1nh
    @Leo-xc1nh 8 หลายเดือนก่อน +6

    Mashallah sure ni mwarimu kbx

  • @UbdeBillows
    @UbdeBillows 8 หลายเดือนก่อน +5

    MUNGU AWAUONGOZE MANDUGU WAKRISTO WAJUWE DINI YA HAKI NA UKWELI INSHALLAH

    • @faza4023
      @faza4023 8 หลายเดือนก่อน

      Haki kuua?😅 fungua macho

  • @NassibUkasha
    @NassibUkasha 2 หลายเดือนก่อน +1

    Allah awalinde masheikh wote awape afya NGUVU insha'Allah panapo majaliwa yake MOLA kujeni Kenya, kilifi inapatikana eneo la mkoa wa pwani

  • @lifezest6274
    @lifezest6274 8 หลายเดือนก่อน +4

    DR SULLE inabidi akutanishwe na OMARY MNYESHANI. Ndio level yake kwa elimu za dini hizi mbili.

  • @HerriThabiti-qd5rr
    @HerriThabiti-qd5rr 8 หลายเดือนก่อน +12

    Kweli uongo wawakristo sasa umefika mwisho

  • @HassaniRuhomwa
    @HassaniRuhomwa หลายเดือนก่อน

    Allah akulipe yaliomema shekh wangu

  • @AbdulhamidBawazir
    @AbdulhamidBawazir 8 วันที่ผ่านมา +1

    Kaka Sule usimkere IPM kwani atawaleta wengi kwenye Uislamu, anaitagaza QURAAN na kumsifu MTUME MOHAMAD hili wewe na udokta wako hujaweza kufanya kwahivyo tulia,njoo Masjid utufundise mambo mengi hatujasikia na hatujui. Wacha kujigamba huko n'nje. ILMU BAHAR

  • @MariamFred
    @MariamFred 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akujalie umr mrefu inshaallah

  • @abdulwahabkhamis1033
    @abdulwahabkhamis1033 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nakubal shekhe

  • @mwinyihamisi3369
    @mwinyihamisi3369 3 หลายเดือนก่อน +8

    JAZAKALLAH khaira

  • @Jeanjuma-y2o
    @Jeanjuma-y2o 8 วันที่ผ่านมา

    Dr sule Asante ni mekuskiya na ninaelewa sasa japokuwa Mimi siyo meislamu nivixuri kuskiya pande zote 2 nilipomsilikiza ipm nilikuwa na maamuzi mengine saa hii na namaliza kuskiya ufafanuzi wako nimepata faida

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 8 หลายเดือนก่อน +9

    Alie andika jitieni Nila yangu ni yohana yohana kasema YESU alisurubiwa kipofu akimuongoza mwingine watapotea haya Muhammad hajui atakalofanywa walawafuasi wake

    • @Naw89
      @Naw89 8 หลายเดือนก่อน +4

      Ushindani tu Someni kitabu chenu vizur mtaangamia kwa ujinga
      Mtu katahiriwa na bado awe mwana wa Mungu au awe Mungu hata akili ya kuzaliwa pia hamtumii

    • @AminaJuma-r4v
      @AminaJuma-r4v 8 หลายเดือนก่อน +1

      Mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah
      mashaa 🎉🎉🎉🎉🎉
      Shekh sule uko vizur

    • @huseniyahya9121
      @huseniyahya9121 8 หลายเดือนก่อน

      Tatizo mna somewa kutoa sadaka 2 bible niyenu lkn hamyasomi na hamuulizi maswali wachungaji wenu ndo maana hamuelewi 4:23

    • @jesusislord9190
      @jesusislord9190 8 หลายเดือนก่อน

      @@huseniyahya9121 wewe biblia huijui unasubiri wakina sule wakusomee ndio ukatafute palipo andikwa Jiyieni Nila yangu jifunzeni kwangu haya tupe mafundisho ya YESU kwenye uislam tupe mafundisho nje ya Muhammad kwenye uislam

    • @SalehSaleh-uf2og
      @SalehSaleh-uf2og 8 หลายเดือนก่อน

      YOHANA kasema ktk aya gan?,tujulishe tuelimike.

  • @engisack9610
    @engisack9610 7 หลายเดือนก่อน +4

    Hata sisi hatujawa Wakristo by chance but tumekua Wakristo by Choice

  • @mubaarakhassani5746
    @mubaarakhassani5746 3 หลายเดือนก่อน +1

    JazakaLLAHU HAIRA

  • @AllyIbrahim-ql6ms
    @AllyIbrahim-ql6ms 7 หลายเดือนก่อน +11

    Yan nipo na note ayo maandiko maana kuna group zang za uislam na ukristo so napelek moto😂😂

    • @bellasi349
      @bellasi349 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @AbdullahHassan-e7d
      @AbdullahHassan-e7d 2 หลายเดือนก่อน

      Kaka naomba uniunge kwenye Hilo group

    • @SudyKamonongo
      @SudyKamonongo 2 หลายเดือนก่อน

      Naomba uniunge kwenye group

    • @romanshirima5883
      @romanshirima5883 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @AhmadSalim-dm4uk
      @AhmadSalim-dm4uk 6 วันที่ผ่านมา

      Unashambulia kwa kasi? 😅😅😅

  • @UbdeBillows
    @UbdeBillows 8 หลายเดือนก่อน +2

    DR SULE U'R IN A MILLION MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU UWAPE ULEMI YA HAKI NA UKWELI

  • @MethodchijaYahaya
    @MethodchijaYahaya 10 วันที่ผ่านมา

    Yesu kuukausha mti, haimanishi hakujua msimu wake. Alijua sana tu, Ila alikua anatoa fundisho kwa wanafunzi wake.
    Pia hakuna hekalu limejengwa na majini kitabu cha nyakat hakuna majin yaliotajwa wala historia yake haisemi majin yamejenga hekalu

  • @chalodavid4537
    @chalodavid4537 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mathayo 15:13.

  • @jombilozoo
    @jombilozoo 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kila mtu ana haki ya kusikilizwa 😅. Hii nchi ya katiba na sheria.

  • @ukwelinauwazi2713
    @ukwelinauwazi2713 16 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi naomba mjadala na Shekhe Dr. Dule.

    • @IbrahimRaphael-n7v
      @IbrahimRaphael-n7v 6 วันที่ผ่านมา

      Hata mimi nataka mjadala na huyu jamaa tena nataka sana nasisitiza nataka sana

  • @patrickmaina5459
    @patrickmaina5459 8 หลายเดือนก่อน +6

    Soma Maadiko 📖 yote kama wewe ni Mkweli
    Yohana 3:36
    Asiye Mwamini Mwana wa MUNGU hana Uzima wa Milele.....
    Yohana 3:16
    Kwa maana jinsi hii Mungu Aliupenda Ulimwengu hata Akamtoa Mwanawe wa pekee (Yesu kristo) ili kila Amwaminiye Asipote bali awe na Uzima wa Milele.

    • @pilotclassic4468
      @pilotclassic4468 8 หลายเดือนก่อน +2

      Sisi waislam tunamuamini, Alhamdulillah hatutapotea. Lkn wao wanaomzidishia sifa za uungu ndio waliopotea

    • @patrickmaina5459
      @patrickmaina5459 8 หลายเดือนก่อน

      @@pilotclassic4468 wafilipi 2:5-8 📖

    • @rahema1992
      @rahema1992 8 หลายเดือนก่อน +2

      Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa na wala hafanani na kitu chochote uctupatishe madhambi hapa

    • @patrickmaina5459
      @patrickmaina5459 8 หลายเดือนก่อน

      @@rahema1992 Baki hapo tu ukisena Mungu hazai Kwa maana Unafananisha Mungu na Mwanadamu, Mungu Anaza Kwa NENO 📖 Ukimwamini Mwana wa MUNGU (YESU) Tu Umezaliwa Upya.

    • @salumobed5980
      @salumobed5980 8 หลายเดือนก่อน

      Bora wewe umekiribkuwa Yesi ni mwana wa mungu

  • @SaidiNyenje-r4t
    @SaidiNyenje-r4t 2 หลายเดือนก่อน

    MWENYE MASIKIO AMESIKIA inatosha sheikh mungu akulipe kwa hii elimu unayotupatia,

  • @mkutaruissa3611
    @mkutaruissa3611 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah elimu kubwa hii allah atudumishe kwenye dini ya haki

  • @AshaAshim-gy6jm
    @AshaAshim-gy6jm 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mollah wetu akupe umri mlefu xhekh wetu, sulle,,

  • @bakarimbonde1544
    @bakarimbonde1544 2 หลายเดือนก่อน

    Mdgo mdgo watakubali tuu kwa uwezo wa Allah kupitia kwa mtume wetu Muhammed S W

  • @RamadhaniHassani-c2z
    @RamadhaniHassani-c2z 2 หลายเดือนก่อน +2

    Allah akupe nguvu na unti mrefu

    • @SarahSudi-jx6pr
      @SarahSudi-jx6pr 2 หลายเดือนก่อน +1

      Allah Akbar alhamdulillah kwakunifany muislam ya Rabby

  • @swalehsalim5576
    @swalehsalim5576 8 หลายเดือนก่อน +4

    Kwenda zako Sule mchawi una Pete za majini uislamu wenyewe uchawi tu ‼️😃😃😃

    • @SwahibuAthuman-yv2mn
      @SwahibuAthuman-yv2mn 5 หลายเดือนก่อน

      Jibu hoja

    • @HamidharunaMapunda
      @HamidharunaMapunda 2 หลายเดือนก่อน +1

      Umelaaniwa wewe kama wewe sio mwanga umejuaje sheikh ni mchawi

    • @ashrafally144
      @ashrafally144 2 หลายเดือนก่อน

      Uzuri n kua hilo jambo la kua Waislam n wachawi ameshalijibu,,

  • @NursinKabora
    @NursinKabora 12 วันที่ผ่านมา

    Hawasomi mm nashaur anaempinga Sulley aombe mechi tu.

  • @AssumaniKibiriti
    @AssumaniKibiriti 8 หลายเดือนก่อน +6

    Nyie wa kristo acheni ubishi semeni myaka 29 yesu alikuwa wapi ao alikuwa anafanya nini toweni majibu

    • @denisharris2889
      @denisharris2889 8 หลายเดือนก่อน

      Nawe ujiulize kwanza maisha ya Yesu yako wapi ndanj ya quran? Ila Bibilia imesema. Na mbona ukubwa Kurani ni Robo ya Bibilia nzima? Kipi mmeandika kuhusu maisha ya mitume waliopita?. Toa boriti ndipo utoe kibanzi..
      Ukweli ni huu..Kwa taarifa yako, Mungu wa quran sio Mungu wa Bibilia. Vivohivyo isa wa quran sio Yesu wa bibilia.
      Kwa habari ya miaka 29 ya Yesu.. Bibilia inasema...
      Yohana 20:30-31
      Basi kuna ishara nyingine nyingi alizozifanya Yesu mbele ya wanafunzi wake, zisizoandikwa katika kitabu hiki.
      Lakini hizi zimeandikwa ili mpate kuamini ya kwamba Yesu ndiye Kristo, Mwana wa Mungu; na kwa kuamini mwe na uzima kwa jina lake.
      John 21:25
      Kuna na mambo mengi aliyoyafanya Yesu; ambayo yakiandikwa moja moja, nadhani hata ulimwengu usingetosha kwa vile vitabu vitakavyoandikwa.

    • @jafarinauma6798
      @jafarinauma6798 8 หลายเดือนก่อน

      Watoe majibu😅

    • @denisharris2889
      @denisharris2889 8 หลายเดือนก่อน +1

      Quran imekuja miaka 700 AD. Imekubaliana na Bibilia na mikutano ya kanisa ilioandikwa miaka 300s AD. Kwamba ni kitabu cha Mungu kwa wakristo. Yeye porojo zake anatolea wapi? Kitu pekee qurani inasisitiza kukataa ni kua Utatu mtakatifu wenye kumjumuisha Baba, Yesu na Bikira Maria. Na ndio aina ya utatu ambao wakristo wa konstatino hawaufahamu hadi hii leo. Bibilia inataja utatu wa Baba, Mwana na Roho mtakatifu, Unataka majibu gani tena, kama sio common sense?Tafakari.

    • @profesakiongozi3930
      @profesakiongozi3930 2 หลายเดือนก่อน

      Hujajibu swali​@@denisharris2889

  • @tchidfreeman8838
    @tchidfreeman8838 หลายเดือนก่อน +1

    Angejibu ayo maswali ya yesu kama kweli anajua. Hajui ndo maana hakujibu.
    Nyinyi ni waafrika rudini kwa mababu zenu acheni kupigania dini za warabu na wazungu.

  • @kassimMbarushimana
    @kassimMbarushimana 3 หลายเดือนก่อน +3

    Fact

  • @Havijawajaha
    @Havijawajaha 8 หลายเดือนก่อน

    Allah akulipe she he wetu tunajifunza mengi ishaallah

  • @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm
    @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu sule ni muhuni tu sio shehe

  • @mwinyiswaleh8388
    @mwinyiswaleh8388 10 วันที่ผ่านมา

    IPM nimuongo hajasoma uislam.Dunia nzima hakuna musomi wa Kiislam aliebadili Dini akawa Mkristo.

  • @musalumbi8490
    @musalumbi8490 2 หลายเดือนก่อน

    Hapa safi sana Dr. Sule

  • @MwafaliDello
    @MwafaliDello 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaalaaa

  • @MwanaJumaali-q8n
    @MwanaJumaali-q8n 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mashaallah

  • @saidbakari3124
    @saidbakari3124 8 หลายเดือนก่อน +1

    2:53 anaehoji alisikia joto akafungua zipu

    • @MiishHassan-qm1et
      @MiishHassan-qm1et 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂akili huna😂😂

  • @YusraKondo
    @YusraKondo 2 หลายเดือนก่อน

    Tunajivunia waisla kuwa na doctor sulle mazinge na kishk na wengine mungu awape umli mlefu wa kusambaza dini akuna anae waweza allha atuongoe wote

  • @allyhalfani1592
    @allyhalfani1592 หลายเดือนก่อน

    Kwani doctor sulle katoka wapi? He is giant!

  • @SalimuMabadi
    @SalimuMabadi 14 วันที่ผ่านมา

    Nime kuerewa sana mkuu wangu

  • @williamlugwisha420
    @williamlugwisha420 4 หลายเดือนก่อน +1

    18:39 18:41 18:41

  • @miltonmsamba285
    @miltonmsamba285 3 หลายเดือนก่อน +1

    Inawezekana shekhe haujasoma vitabu vizuri au unajisahaulisha tu bt jiulize uislamu ulianza lini?ni baada Yesu kufa na miaka mingi kupita ndio kur an ikashushwa kupitia mtume thn ukumbuke ukristo ulianza baada ya Yesu tena ni wanafunzi wa Yesu ndio walioutangaza ndio maana tunaitwa wakristo means wafuasi wa Kristo ambae ni Yesu..

  • @AbdalahMpingi
    @AbdalahMpingi 2 หลายเดือนก่อน

    Takbir

  • @kingjames-v4r
    @kingjames-v4r 2 หลายเดือนก่อน

    Nikweli

  • @FurahaMwanyaluke
    @FurahaMwanyaluke 2 หลายเดือนก่อน

    masha allah

  • @georgeurembo4553
    @georgeurembo4553 3 วันที่ผ่านมา

    Wkt yesu yupo duniani uislam haukuwepo na kilaza muddy ambaye ndo mwanzilishi na mmiliki wa dini ya kiislam hakiwepo, ukielewa hili tu huwez kubishana na vilaza waislam

  • @SamuelEdmundOguda
    @SamuelEdmundOguda 8 วันที่ผ่านมา

    We ni mbishi tu😅😂

  • @yakobomkristo872
    @yakobomkristo872 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dr Sure Nimekusikia Ukinukuu Andiko Linalosema Kwamba Yesu Wakati Anaomba Alilia Machozi Na Akasikilizwa, Swali Kwako, Wanaosali Huku Wanalia Kama Yesu Ni Wakristo Au Waislam?

  • @officialkinghimself2637
    @officialkinghimself2637 8 หลายเดือนก่อน +7

    Ajikwezae hushushwa

  • @shaniisack1153
    @shaniisack1153 8 หลายเดือนก่อน

    Mashallah Dk wape ukweli ao wabishi

  • @CollinceFrances
    @CollinceFrances 6 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu ariwambia wanafunzi wake wasitoke Yerusarem mpaka hatakapowajiria Roho Mtakatifu na Roho Mtakatifu aripowajiria ndipo kanisa lilipoanza

    • @assadmajaliwa2524
      @assadmajaliwa2524 3 หลายเดือนก่อน

      Waliotoka Nan alianzisha kanisah sas kati ya hao 12?

  • @DotoFulgence
    @DotoFulgence 3 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu sule ayupo sahii muhamadi akwenda mbinguni anasema niendapo sipajui na sijui nitafanywa nn

  • @MbwanaBakari-gz9dp
    @MbwanaBakari-gz9dp 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli doctor

  • @IdrisaIsihaka
    @IdrisaIsihaka หลายเดือนก่อน

    Najivunia sana uwepo wako Dr sure

  • @abdallahyusuph8715
    @abdallahyusuph8715 2 หลายเดือนก่อน

    Big up doctor sulle

  • @samrysamry9812
    @samrysamry9812 8 หลายเดือนก่อน +9

    Ukweli unaumaa jmn tatizo wakristo hawasomi bibilia wangesoma bibilia wange ujua ukweli tatizo hawasomi kasomeni acheni ushabiki

    • @denisharris2889
      @denisharris2889 8 หลายเดือนก่อน +2

      Mnateseka mkiamini mungu wa Quran ni Mungu wa Bibilia. Mungu wa wakristo hatamtambui Mohammad wala nabii Isa wala allah.
      Msifosi tufanane...

    • @SaudaA.QassimSauda.A.Qassim
      @SaudaA.QassimSauda.A.Qassim 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@denisharris2889someni biblia nyie biblia sio kitabu cha mungu ni mkusanyiko wa vitabu walio kusanya Paulo na wenzie yesu alikuwa ni Israel ndio mnatakiwa kwenda Israel mtafute vitabu alivyoacha yesu kama nyinyi wasema kweli

    • @SaudaA.QassimSauda.A.Qassim
      @SaudaA.QassimSauda.A.Qassim 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@denisharris2889karibu katika uislam uislam raha

    • @YOUSUFHUGUGU
      @YOUSUFHUGUGU 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@denisharris2889hatuna haja Wala hatuitaji tufanane na makafiri mliopotea elimu hamna kazi yenu kusomewa t bibilia someni bibilia nyie matahira

  • @engisack9610
    @engisack9610 7 หลายเดือนก่อน +1

    Yaaani hata kama unaongozwa na dola ya kiisilamu ndio uchinjwe?
    Mungu gani anaruhusu mtu kumuua mtu mwingine kisa karitadi?
    Ni wakristo wangapi wameuwa na waisilamu huko uarabuni na kwingineko kote kwa sababu wao ni wakristo?
    Dini gani inaadhabu za kidikteta?
    Bibilia inasema Mungu ndio huua na kuweka hai kwanini umuue mwenzako kwasababu ya dini?
    Kwahiyo dola zao watu wakiritadi wanakatwa shingo" je hao waisilamu hawatembei katika dola za wakristo na huko hawana msikitini yao huko waonakatwa vichwa na nani kwa sababu ya kueneza uislamu wao?

  • @SaidiMbezi
    @SaidiMbezi 2 หลายเดือนก่อน +3

    Waitishe mdahalo na IPM

    • @mjumbe360
      @mjumbe360 2 หลายเดือนก่อน

      IPM hajafikifia kuchallange Dr Sule

    • @miltonadam6901
      @miltonadam6901 2 หลายเดือนก่อน

      Imeandikwa msifanye jambo lolote kwa mashindanilo. Ndomana huwez kuona mkristo anayeingozwa na Roho kwenda kushindana. Kwasababu neno lilikuja kwa uwezo wa Roho Mtakatifu na Roho Mtakatifu hawez kujipinga. Jambo lolote lenye mashindano lina hasara nyingi kuliko kuujenga ufalme wa Mungu. Yesu hakufanya jambo lolote pasipokuongozwa na Roho. Tukimfata Yesu lazima tuzungatie hilo neno. Hivyo anayosema Shegh ni sahihi kwa mtazamo wa kibinadamu lakini Bwana wetu Yesu akristo hakutuambia tufate ya Dunia bali tumfate Yesu kama Yesu alivyomfata Baba. Baada ya Yesu kuondoka alimuomba Baba atuagizie Roho Mtakatifu ambaye atatuongoza mpaka mwisho.
      Roho ni neno Roho hawezi jipinga. Ndomana huwez kukuta Mkristo anayeingozwa na Roho kwenye mashindano ya Biblia mdaharo n.k vilishapingwa ktk maandiko Matakatifu.

  • @MusinHamad
    @MusinHamad 3 หลายเดือนก่อน

    Sule umenena kweli mash Allah

  • @uwesumuhammadi6292
    @uwesumuhammadi6292 2 หลายเดือนก่อน

    Shekhe uko vzr kwenda mbele na hoja ukakumbuka kurud nyuma ni ngumu sana ukifanya masihara unaweza ukasahau ulipoanzia !!

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 8 หลายเดือนก่อน +1

    Sasaivi dini zote biashara mungu ndio anajuwa nani mkwe nani muongo kwanza sisi waislmu ndio tatizo

  • @piusrweyemamu3900
    @piusrweyemamu3900 28 วันที่ผ่านมา

    Huyu hana point anaoneka ana point kwa kuwa upande wa Mkristo hakuna anaeuliza maswali nyeti mfano 1Kama unaotambua Biblia basi Yohan 14:6 n.k,
    Yesu ndie njia kweli na uzima mtu haji kwa baba ila....

  • @kulwangasegwa
    @kulwangasegwa 8 หลายเดือนก่อน +11

    Ivi usinge kuwepo dr sule ii elimu tungeipata kwa nani hakika unafundisha haswa asiye elewa huyo ni mshabiki ktk dini naludia huyo ni mshabiki wa dini hataki kujua ukweli yeye anashabikia tu,

    • @salimdiabyonlinetv4873
      @salimdiabyonlinetv4873 5 หลายเดือนก่อน +1

      Wallahi Allah (s.w) Amuhifadhi Dr Sule, na Ampe Umri Mrefu.

  • @aminaabdulghanim8256
    @aminaabdulghanim8256 3 หลายเดือนก่อน +2

  • @allychunda
    @allychunda 2 หลายเดือนก่อน +1

    Majibu bila kupepesa maneno ni dalili ya ukweli

  • @albertpike6208
    @albertpike6208 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ni Waebrania 5:7 sio 3:1

  • @AbdiBanda-p9z
    @AbdiBanda-p9z หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @IdrissajumaLihonge
    @IdrissajumaLihonge 2 หลายเดือนก่อน

    Shehe baraka zaallah ziwe pamoja nawe

  • @abdallahally842
    @abdallahally842 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mbonaa mmeyakatisha mahojiano sehemu muhimu ya paulo tatizo nn sasa