Huyo mzee mohamed said namkubali sana na nindie mzee pekeee aliyebakia mwenye uwezo wa kuielezea vizuri historia ya Nyerere Hata nchi yetu kwasasa wengine ni wababaishaji tu. Sijui kama hata Makongoro ataweza kuielezea Historia ya babayake kwa ustadi namna hii. Namkubali sana huyu Mzee saidi. Makala zake Nyingi Nimezifuatilia.
Msikilize Mohamed Said...alaf msikilize huyu mtoto anaezungumza kwenye makumbusho ya taifa yaan mbingu na ardhi...mtoto uwezo mdogo sn....dah huruma sn....
Hapa makumbusho mbona kuna gari tu za mwingereza yan kabla ya uhuru uyo nyerere aliruhusika vp kutumia gari hizo? je mbona hakuna gari ile ya Dossa Aziz TZK 570 Mandolin iliyotumika kumchukua nyerere pugu na minak siku za ijumaa mchana kumleta kariakoo kwenye harakati na kurudisha pugu jumapili jioni kabla haajacha kaz ya ualimi......
Lengo sio kuficha... Ukweli huwezi kusimulia kila kitu ktk historia, vilivyo muhimu zaidi ndio vimechukuliwa, vinginevyo vitabu vyote Duniani vingekua vinaelezea historia tu. Cha muhimu vingine vinapatikana Kwa waliokuwepo kama hivi...
Yoh man, I love this.
Huna neno kubwa la kumuita huyu mzee ndo legend kwanza anaipenda historia ya Tanzania 🇹🇿
Vitu hiv uvipati popote zaid kwa Mohamed Said😭...wenye mji wetu...dah huruma sn....
Wanazuoni wanatakiwa wakaae na huyo mzee ili waweze aandika historia nzuri sana ya Mwalimu na mwanzo wa nchi yetu.
Kwa kweli Wema hauozi
Allah(s.w) anaona wala hasahau.
Mzee Mohammed Said na historia nzuri ya harakati za uhuru na wazee adhimu hawatajwi kwenye vitabu vingi
Huyo mzee mohamed said namkubali sana na nindie mzee pekeee aliyebakia mwenye uwezo wa kuielezea vizuri historia ya Nyerere Hata nchi yetu kwasasa wengine ni wababaishaji tu. Sijui kama hata Makongoro ataweza kuielezea Historia ya babayake kwa ustadi namna hii. Namkubali sana huyu Mzee saidi. Makala zake Nyingi Nimezifuatilia.
Anatogulou, Tewa Said Tewa, Sikukuu street, Joseph Kasela Bantu and Sykees, Mwapachu, Mwenyevua and Julius K, aaa
Tuandike historia ya kweli
mohammed said hapa siyo yule nayemjua ktk presentation zake nyingine...hapa anaongea kumsifia sifia nyerere
✌👊
ramani ingeongeza uzuri wa documentary hii na ingedumu na kutumika na vizazi vijavyo
We tamka vizuri we mtu WA makumbusho si Nyerele...😅
Msikilize Mohamed Said...alaf msikilize huyu mtoto anaezungumza kwenye makumbusho ya taifa yaan mbingu na ardhi...mtoto uwezo mdogo sn....dah huruma sn....
Hapa makumbusho mbona kuna gari tu za mwingereza yan kabla ya uhuru uyo nyerere aliruhusika vp kutumia gari hizo? je mbona hakuna gari ile ya Dossa Aziz TZK 570 Mandolin iliyotumika kumchukua nyerere pugu na minak siku za ijumaa mchana kumleta kariakoo kwenye harakati na kurudisha pugu jumapili jioni kabla haajacha kaz ya ualimi......
Azam TV owned by Bakhresa Sunni Muslim
missing map data
History nyingi imefichwa
Lengo sio kuficha... Ukweli huwezi kusimulia kila kitu ktk historia, vilivyo muhimu zaidi ndio vimechukuliwa, vinginevyo vitabu vyote Duniani vingekua vinaelezea historia tu.
Cha muhimu vingine vinapatikana Kwa waliokuwepo kama hivi...