Madaraka Nyerere Hajasema KWELI - Mohammed Said

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 145

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mashallah sheikh Mohammad naneno yako mazuri na ya ukweli kabisa❤❤❤❤

  • @harounmaarufu3241
    @harounmaarufu3241 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Mzee mohammed nakuelewa sana .andika kitabu cha historia halisi kuhusu jambo hili.tunaongopewa

    • @Mkonkotolyo
      @Mkonkotolyo 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kitabu alikwisha andika siku nyingi na kipo madukani,tafuta kitabu kinaitwa "MAISHA YA ABDULWAHID SYKES,utapata histroria yoote.

  • @JohnMabustar
    @JohnMabustar 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Barikiwa mzee Mohammed Niko upande wako historia ya nchi yako haitakusahau na ukweli siku zote haupotei 😂😂 na mdundo uliouweka ndo unaniliza mzalendo 😂😂

  • @djumakonki1964
    @djumakonki1964 วันที่ผ่านมา +5

    Mheshimiwa Bwana Mohammed Said Ongera sana.
    MwenyeziMungu anazo sababu za kukuweka hai mpaka leo kwa hakika tunamshukuru.
    Kama siyo kitabu chako hii Leo tungedanganywa sana kuhusu historia ya kweli kuhusu tanganyika na sasa tanzania.wote wanaopotosha historia hii adhim ukweli wanaujua !
    Familia ya Mheshimiwa Bwana Abdulwahid Sykes ndiyo kinara wa mapambano ya kupigania uhuru wa tanganyika huo ndiyo ukweli wapende wasipende ukweli huo haufutiki.
    Siku zote uongo hauna mrefu na wazee walisema (Ukweli ukidhihiri uongo ujitenga ) Kwa hiyo Bwana Mohammed Said tuanakupongeza sana kwa kutuandikia historia ya kweli.
    Aksante sana.
    Na kingine wanachosahau wapotoshaji nikwamba WAJUKUU WA WALIOPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA BADO WAPO.
    SHUKRAN.

  • @abubakarismail6365
    @abubakarismail6365 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Allah akulipe kila heri mzee wetu

  • @OpenUniversityManyaraReg-ot6lk
    @OpenUniversityManyaraReg-ot6lk วันที่ผ่านมา +6

    Sema mzee kabla hujaondoka kwenye uso wa dunia historia ya kweli tujue

  • @mtambogeof5648
    @mtambogeof5648 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Yote unayosema ni kweli kabisa, ni kweli kabisa kabisa lakin imetokea nyerere akaonekana

  • @xlmapunda7371
    @xlmapunda7371 วันที่ผ่านมา +5

    Huyu bb nampenda sana anavyoelezea historia ya nchi yetu napenda kumsikiliza hachoshi

    • @comsmkemwa2671
      @comsmkemwa2671 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Historia ni sawa lakini udini unatoka wapi? Kama yanga haikuhusika si aseme tu, sasa kulalamikia kuwa uislamu hautajwi kwani ukristo umetajwa wapi kuwa ndio umehusika?

  • @sskondopoleani9616
    @sskondopoleani9616 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Madaraka kweli UNAIPENDA YANGA POKEA🎉🎉🎉 YAKO KUPOTOSHA. DUUUUH

  • @jacksonmsendo3478
    @jacksonmsendo3478 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nyerere ndo baba yetu watanzania na kiongozi mashuhuri si tu Africa bali duniani wote sisi wakristo na waislamu tanzania tunaishi kindugu nyerere ndo baba wa Taifa hili imeshaandikwa

  • @SwaleheLiyoba
    @SwaleheLiyoba 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Nyerere Ali ondowa istori ya kweli kila mahala alijiweka yeye mwenyewe

  • @chieflowasa7320
    @chieflowasa7320 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Waambie ukweli mzee , waongo sana hawa hakuna alilolifanya zaidi ya dhuluma ya wazazi wetu na mwenzie kawawa

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Huyu mtoto wa Nyerere Madaraka simuamini sana maana kama aliweza kukubali kuwa Sanamu la Baba wa Taifa MJK Nyerere liliojengwa ETHIOPIA kuwa sura ya mzee wake kbs wakati SI kweli halinanii kbs🙄🤔

    • @CC-yo4oq
      @CC-yo4oq ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Umuamini, usimuamini, yeye anatoka jikoni na anajuwa ukweli. Mohammed ni mwanaharakati. Siku zote huandika anayotaka yaaminike kuwa kweli. Yeye msimamo wake ni wa kidini na kila chochote kinachosemwa huandikwa tofauti. Hii misimamo yake ameisambaza kwenye mitandao mingi iliyo hai na iliyokufwa. Yeye ni wale wa itikadi kali wanaotaka kupindua historia ili isomeke wanavyotaka.

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mohamed yuko sawa shida iubwa waliondika historia ya uhuru wanamuonyesha Mwal Peke yake,haya ni makosa makubwa sana,hakuwa peke yake na pia ina onyesha uelewa mdogo sana

  • @mohayussuf2057
    @mohayussuf2057 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hii nchi Ina shida sana history inapotoahwa

  • @hajilanga8181
    @hajilanga8181 วันที่ผ่านมา +2

    Allah akupe Umri Mrefu na haya yote unayosema Allah akujaalie uyaweke katika maandishi

  • @haidarimfinanga9755
    @haidarimfinanga9755 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Siku Zote uongo hauwezi kushinda. Iko siku ukweli utaibuka hadharani.

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hata Dini iko hivyo hivyo Vitabu vime andikwa lakini kuna Madheebu. Hizo ni Porojo za Saigon Club hizo una tuletea

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 24 นาทีที่ผ่านมา

    Mzee mtukome nyerere

  • @richardmakafu4791
    @richardmakafu4791 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Story teller Blessed

  • @salame05-zc2wg
    @salame05-zc2wg 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Allah akulipe kheri mzee wetu

  • @harounmaarufu3241
    @harounmaarufu3241 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Huyu madaraka sijawahi kumuelewa.kumbe yanga waongo sana

    • @gweahshoo5120
      @gweahshoo5120 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sasa waongo yanga au historia tuliyosimuliwa ndio waongo?

    • @AmirMbuyu
      @AmirMbuyu ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@gweaukihshoo5120 ukisha kuwa mshabiki wa Yanga, ujue kuna tatizo

  • @AllyKondoKimeza
    @AllyKondoKimeza 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hayo yote ni ya kweli kabisa lakini amemsahau kaka yangu Saadani Abdu Kandoro aliyekua katibu mwenezi wa TAA sijamsikia kumtaja na wala kukitaja kitabu chake kiitwacho Wito au Mwito wa UHURU

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tumuombe Mama Samai uandike kitabu cha historia ya nchi hii kitumike shule za msingi italeta maana zaidi hadi secondary wajifunze,ndio njia sahihi ya kufuta kuto elewa huku

  • @mussai.sillas3796
    @mussai.sillas3796 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Historia ya kwetu hapa inaonyesha tu kuwa Mkoloni(mwingereza) hawakuacha chochote,walikuwa wakatili,wanyonyaji na wauwaji tu. Kumbe waliacha shule za maana,barabara za lami mijini,walijenga majengo.

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa8728 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    MZEE WANGU HESHIMA YAKO KWANZA:
    WALA USIHOFU JISTORIA YAKO YA UKWELI ITAKUJA KUSANYWA TU NA ITAKUWA WAZI ILIMRADI HAYO UMEYAANDIKA ASANTE SAAAANA KWA UKWELI HUO.

  • @shafiijaribuni9844
    @shafiijaribuni9844 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    HAMIS MFARANYAKI HAKUA NYUMA

  • @OmaryBarua
    @OmaryBarua 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hata viongozi wenyewe hawajui kwa undani historia ya mwalimu na vugu vugu la uhuru

    • @MrKhatibu
      @MrKhatibu 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kwasababu asilimia kubwa ya hao viongozi hawaijui history ya uhuru kwakuwa wazazi wao hawakuona harakari za uhuru kwani walikuwa vijijini, na vijiji vya kipindi cha mkoloni vilikuwa vipo ki primitive.

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Haya mambo basi tu.

  • @HafidhKhamis-ph8qg
    @HafidhKhamis-ph8qg 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hao ndo wakina lukuvi na samweli sita waliogpa na jukhofisha watu kuhusu wazanzibar .sabab uislam.et watu million 46 ,waogopa wazanzibar million moja. Woga au chuki ya uislam?

  • @nashnene6326
    @nashnene6326 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Masikini Mzee Mohammed Said, hadi namhurumia anavyowapambania kina Sykes 😂😂

  • @athumanmapunda
    @athumanmapunda 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Huyu bwana Mohammed ni msomi lakini ni kolo mengine yupo sawa lakini ni kolo

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Acha kubadili upepo wa historia kwa kutumbukiza habari za Deportivo de Utopolo. Wapigania uhuru wote walikuwa Simba ali Sykes Abbas Sykes na kaka yao wote hao simba sports Club achana na madaraka Nyerere na Deportivo deUtopolo yake..!😅😅😅

    • @w4058
      @w4058 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@hassanmfaume4522achana nao huyo kolo yeye mwenyewe

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    tuletee historia ya Cecil Matola hatumjui kabisa

  • @mussai.sillas3796
    @mussai.sillas3796 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Halafu swala la kimsaidia Uhuru na Nyerere,waliofanya hawakufanya kutokana na uislamu wao. Walifanya kama watanganyika wakaaji wa Pwani ambao wengi walikuwa waislam. Hawakukaa msikitini wakawaitisha waislam wajitokeze kusaidia uhuru.

  • @1961nungwi
    @1961nungwi 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Inawezekana akifanya yote: Yaani kwenye mikusanyiko ya mpira na pia kwa kina Sykes. Kuna mikutano ya hadhara na ya siri, ya ndani.

  • @simbillamachiyya
    @simbillamachiyya 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tuseme tu Kuwa, Qur'an imesema, "Lakini Watu wengi hawana shukrani," watu hawapendi ukweli, hata uwape kitu gani?

  • @Omarjumanne-zm9zh
    @Omarjumanne-zm9zh 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hajui kitu madaraka

  • @erasmuskwayu5643
    @erasmuskwayu5643 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kwani wakitajwa Waislam ndo itakuwaje...kwamba Nyerere hatakuwa Rais wa Kwanza wa Tanganyika ... nonsense

  • @simbillamachiyya
    @simbillamachiyya 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mshume Kiate wanamjua hao?

  • @kayumbamafish7
    @kayumbamafish7 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Inshu sio udini tunata historia ya kweli ya tanganyika

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Historia Afrika % kubwa ni mkusanyiko wa masimulizi na pia tusisahau binadamu ana hulka ya "biased" upendeleo upande fulani. Tunaposimuliwa jambo tuwe makini . Mwamba ngoma ngozi huvutia kwake. Hakuna binadamu 2 watakaofanana ktk masimulizi 100%. .

    • @MuuYascohy-oc7os
      @MuuYascohy-oc7os 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ww sasa ndo unatakataa historia ya kweli na fuvu lako limejaa udini basi yaan apo kichwa chako kinakutuma mzee anasema ukweli anavutia upande wa waislam ndo ulichonacho ktk kichwa chako hakuna lingine mzee hajavutia kwake mzee anaelezea bila kupendelea kokote anasema ilivyokuwepo sahihi na siyo kudanganya danganya watu

  • @bahiyalumelezy3016
    @bahiyalumelezy3016 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hapa kinatakiwa historia ya kweli ya nchi si udini

  • @mussai.sillas3796
    @mussai.sillas3796 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wazo la TANU lilitolewa na mtu mmoja wa Tosamaganga,likabebwa na waliokuwa na watu waliokuwa na ushawishi,likawa wazo lao

  • @Thwahasopayiikaji
    @Thwahasopayiikaji 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hivi huyo madaraka anaficha nini kuhusu history yatanganyika mimi naamini hajui history kamili

  • @danielevangelismtv3795
    @danielevangelismtv3795 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Acha udini mjinga mmoja tuu.

    • @MuuYascohy-oc7os
      @MuuYascohy-oc7os 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ww ndo fuvu lako limejaa udini kenge ww!! yaan Nyerere akakae vikao na wachezaji wa Yanga ndo kutafuta uhuru acha upuuz

    • @danielevangelismtv3795
      @danielevangelismtv3795 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@MuuYascohy-oc7os Usikurupuke,Yanga ni waume zako wewe na unawajua wewe. Tunapokuja kwenye swala la nchi mimi sidhani kama tumapaswa kuwe habari za Uislam na ukristo ama yanga na simba. Af naona kama hujielewi Mke wa kenge wewe.

    • @danielevangelismtv3795
      @danielevangelismtv3795 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Madaraka aliyezungumuzia yanga, na Huyo Mjinga anaezungumza habari ya u-shetani wa kiarabu pamoja na wewe mke wa kenge mnapashwa kuzungumza reel story bila kuweka itikadi zenu za kipumbavu wajinga ninyi

    • @MuuYascohy-oc7os
      @MuuYascohy-oc7os 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@danielevangelismtv3795 kuma la mamaako ujielewi ww na wazee wako kuma ww

    • @MuuYascohy-oc7os
      @MuuYascohy-oc7os 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@danielevangelismtv3795 Evangelism matako sana ww endelea kumtumikia Paulo alafu uendelee kuleta usenge wako apa matako bar ww na ukijibu tena kwa matusi shuhuli unayo choko wa Paulo ww

  • @MohamedBlanker-jw9qy
    @MohamedBlanker-jw9qy 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Alikuwa anafunga swaumu na waislam

  • @mussai.sillas3796
    @mussai.sillas3796 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lakini Mz Mohamed,ukiandika historia ukafunga kitabu,siyo kweli kuwa hakuna jambo ambalo wewe lililokupita na hukuliandika. Sasa usiwashangae wanaofahamu usichokifahamu wewe

  • @geofreylusungu805
    @geofreylusungu805 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hii timu ya Yanga ilkuwainacheza na timu zipi mbona manasema Yanga tuu ilikuwa inacheza pekee yake?

  • @kandorohussein6890
    @kandorohussein6890 วันที่ผ่านมา +1

    Ukweli Historia nyingi sana hapa nchini zimepotoshwa kwa makusudi mazima ya kuwapamba wasiosyahili na kuwafunika waliostahili .Kuanzia Mapambano yabkuleta Uhuru,Mapunduzi ya Zanzibar,Vita vya Kagera n.k.Ni wakati muafaka sasa watu wanaojua Historia hizi kujitokeza kusema ukweli ili kuinusuru Historia halisi

    • @nevermind4789
      @nevermind4789 วันที่ผ่านมา

      Sio nchini sema duniani kwa sababu historia huandikwa na walioshika madaraka hata historia ya Hitler haina usahihi 100% pia

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@nevermind4789hususan kuhusu mwisho wake wanasema alijiuwa ila mm naamini Hitler yu hai ujerumani anakula kuku kwani wajerumani wanampenda sana ila mayahudi na wafuasi wao ndio hawampendi..!

  • @focusmasunga1584
    @focusmasunga1584 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Uto watapinga na hili

  • @IssaQuimeza
    @IssaQuimeza วันที่ผ่านมา +3

    Miziki,ya nn, ?

    • @mwemezirashid2858
      @mwemezirashid2858 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Asee hata mm inanishisha akili ya kusikiliza

  • @abbiecox1
    @abbiecox1 วันที่ผ่านมา +11

    HOFU YA PILI YA MWALIM NI KUFUTWA KTK HISTORIA HALISI YA MAPAMBANO YA TANZANIA! KUNA WATU WALIFUTWA NA KUSIMAMISHWA JINA LAKE! MWALIM ATAPOTEA MRADI WATU WANAOIJUA BADO WAPO NA WAMEAMUA KUFUNGUKA JUU YA HISTORIA YA TANGANYIKA! NA BAADAYE TANZANIA. MWALIM ANAYO YA KUMPONGEZA ILA SI KILA KITU

    • @edwardmkwelele
      @edwardmkwelele วันที่ผ่านมา +1

      Kwani HISTORIA anaandlka Nyerere

    • @nevermind4789
      @nevermind4789 วันที่ผ่านมา

      @@edwardmkweleleHistory is written by the winner

    • @RamadhaniChakapu-f6x
      @RamadhaniChakapu-f6x วันที่ผ่านมา +2

      Shindikizo la mamlaka unalijua? Msikilize vzur profesa Asad aliyekuwa mkaguzi mkuu ndo utajua mamlaka inanguvu kiasi gani kubadili ukweli na kiandikwe watakacho wenye mamlaka

    • @comsmkemwa2671
      @comsmkemwa2671 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwani unaosema wamefutwa je wangetajwa. Wangerudisha ukoloni?, hoja za kijinga kabisa,

    • @AyubuKikoti-gu5mb
      @AyubuKikoti-gu5mb 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mzee HUNA hoja,sio Kila kitu kingeandikwa kwenye historia,kuna muda ulifika wakagundua mahala wanapofanyia vikao wakaanza kuwawinda,ndio maana Kwa umahiri wa mwl na wenzake wakaamua kuanzisha vilabu Hivyo Ili kufanyia harakati zao huko,unabisha nn Mzee,?

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mwalimu alikuwa hataki ujinga wa mpira. Mpira umetawala akiri za viongozi na watanzania mpaka tumekuwa kama wajinga. Umemusahau baba ya Mbowe 😅

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wanaficha ukweli

  • @DamianCyprian
    @DamianCyprian 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sawa

  • @Kijana-wa-Tanzania
    @Kijana-wa-Tanzania 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hivi leo Tanganyika tunagombana kujua ni kina nani wa dini gani walishiriki kutafuta uhuru?
    Nilidhani wote walikuwa Watanganyika.
    Tukimaliza kuangalia udini si tutaulizana makabila?
    Tukimaliza makabila tutarudi katika koo!
    Kubwa tuache kupotosha kuwa Nyerere alikuwa kila kitu katika kutafuta uhuru. Kazi ya kuongoza harakati hizo haikufanywa na Nyerere hata kwa robo ya namna inavyotafsiriwa ama tunavyoaminishwa sasa.

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    I meant Mhe,Dr Mama Samia aruhusu iandikwe upya, mvurugano wa historia ya nchi yetu inaonyesha hatupo organized.

  • @JuliusMugyabuso
    @JuliusMugyabuso 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Madaraka mbona hapingi Hilo,maana yake kati ya sehemu ya hayo walikuwa wanaendesha mikutano hata club za starehe.ni kama campaign Haifanyiki sehemu Moja.

  • @asherymwakilasi9863
    @asherymwakilasi9863 วันที่ผ่านมา

    Waislam watanzania lakin mzee said,waislam kama watanzania mi naona sawa iwekwe sawa tu hatuna haja ya kubishana jaman

  • @HalyaMohamed
    @HalyaMohamed 48 นาทีที่ผ่านมา

    Mbona inssemekana watu wa simba wao ndo wakwanza kuwa kwenye taa inkuwaje kwenye tanu wansenguliwaaaa?

  • @Jayhood28
    @Jayhood28 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kusoma na kuelewa ni changamoto sana hasa kama mwandishi au msikilizaji amekumbwa na "Bias".

  • @MurunguwetoshaDeheaven
    @MurunguwetoshaDeheaven 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Miziki ya maombolezo niyanini

    • @MuuYascohy-oc7os
      @MuuYascohy-oc7os 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Fuvu lako akili zimeondoka na nguruwe udini umekujaa mtu anaelezea historia ya kale ww umebaki na ujinga wako wa Paulo tu

  • @edwardmkwelele
    @edwardmkwelele วันที่ผ่านมา +1

    Kumbe issue ni uislam

  • @partnersah8802
    @partnersah8802 วันที่ผ่านมา

    Kama mitandao inavyo Sema Sema mambo ya mashoga hamyazuii ila ndo manayachochea tu. Mikemeo huwa inakemewa kwa Neno la Mungu nje ya hapo ni kuchochea tu

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 วันที่ผ่านมา

    huyu madaraka hajui chochote kuhusu historia ya wapigania uhuru wa tanganyika!!

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Anajua ila anafanya kusudi tu kwani unafikiri hajuwi uongo uongo huu wamezoea wazanaki kuwaongopea watanganyika

  • @ericrukamba6802
    @ericrukamba6802 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nafikili hujamuelewa vizuli Madaraka, yeye kaongerea Mwalimu kuipenda yanga,iliyokea Timu ya Yanga ilihusika katika mapambano ya kupigania uhuru, wa,Tanganyika ,hayo yakwako ni mengine,wala hamna mtu anakupinga,hapa Madaraka kaongerea Yanga si vinginevyo😂inaonekana wewe ni Simba ndo maana unapinga😂😂

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 วันที่ผ่านมา

    huwezi kuwadanganya watu,tena watu wote na kwa wakati wote?!utadanganya watu fulani tena kwa wakati fulani tu!!kisha ukweli utajulikana!!

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 วันที่ผ่านมา +1

    Naamini vyote vinaukweli haikuwa rahisi kufanya mikutano yote sehemu moja. Ni kweli yawezekana mikutano ya mwanzo ilifanyika nyumbani kwa Sykes. Lakini haiingii akilini kuwa mikutano yote ifanyike sehemu moja ilhali wakoloni hawakufurahia mikutano hiyo. Tunaambiwa kuwa hata waliokuwa waajiriwa katika serikali ya wakoloni walikuwa wakionywa na kufuatiliwa hivyo kufanya mikutano kwa siri ikiwemo katika mechi za mpira haswa za Yanga na katika burudani za Taarabu ilikuwa ni njia muafaka ya kukwepa wakoloni na pia kutunza siri.

    • @123A-t7q
      @123A-t7q 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hilo unalosema halina ushahidi na analosema muhammed said linalo ushahidi hadi wa nyaraka sasa ili tuamini nadharia yako tuletee ushahidi hata wa kufoji ili tuamini sisi hatutaki kupinga historia sisi tunataka kuwapa haki wale wakombozi wa nchi hizi
      Kwaivo jengea ushahidi kwa unachokisema ili tukuamini

    • @MuuYascohy-oc7os
      @MuuYascohy-oc7os 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yanga alikuwa anacheza na nani ad Nyerere aje kufanya mikutano ?? acha upumbavu unalishwa matango pori kwa manufaa ya watu wengine fuvu lako linashindwa kutafakari

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Musilete udini. Tanzania kama nchi haina dini, na kila mtanzania Ana dini yake. Uislaam ama ukristo sio utanzania. Hizi ni dini na kila mtanzania ana imani yake. Nyerere alikuwa hana udini. Alishirikiana na wote, waislamu na wakristo. Acheni propaganda za udini. Haijarishi ni nani kaanzisha Tanu. Muislaam ama mkristo bora wote hawa ni watanzania

    • @zahormohammed4476
      @zahormohammed4476 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ishu sio udini ishu ni waislamu kuchukua Nyerere wakampa madaraka ili afahamike ila baada ya kupata Uhuru akawageuka wote na hakutaka hata watajwe tena

  • @zully756
    @zully756 วันที่ผ่านมา

    Mzee usiondoke mpaka ukweli ujulikane.

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mwambie asiachie hapo hapo maana kuna watu wanataka kuipandisha Utopolo waione ni Club ya wananchi kweli kumbe wakwezi tu wa minazi ..😅😅😅

  • @tanzania2559
    @tanzania2559 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mzee wewe ni mwelevu ila ni kipande tu cha mtoto wa Nyerere , ila ukweli ni kwamba baadhi ya nikutano ilifanyika Yanga na pia huko nyumbani kwa wazee wetu wakina sykes

  • @Bob-ev2fi
    @Bob-ev2fi 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    How about the revolution in Zanzibar, inaonekana kama trend, like there was John Okello and no one ever talk about him, like it said who writes history, mmmmm the conqueror

  • @efraimjohn4956
    @efraimjohn4956 วันที่ผ่านมา +3

    Tayari una udini, nchi hii ilipiganiwa na watu wate ambao ni watanganyika lkn sio dini ilipigania

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂😂😂hujui

    • @efraimjohn4956
      @efraimjohn4956 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@SabihaibrahimRajabu kwahiyo ukiitaja Dini ndo raha yenu. Basi nyinyi pk yenu mlipigania Uhuru. Sasa ilikuwaje mwalimu akawa Rais?

    • @bahiyalumelezy3016
      @bahiyalumelezy3016 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kunyamaza pia ni akili kuliko kupinga usoyajuwa,

    • @bahiyalumelezy3016
      @bahiyalumelezy3016 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kalagabaho,watu wanaeleza mambo ya kweli na ya maana kwa nchi wewe unalazimisha uongopewe?

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@efraimjohn4956Soma historia wewe, ilikua lazima awe nyerere, mkoloni alitaka mtu mwenye sifa alizotaka yeye ndio awe rais uhuru ukipatikana.

  • @abbiecox1
    @abbiecox1 วันที่ผ่านมา

    YANGA PIA WAONGO MAANA KAMA MADARAKA KAONGOPA KISHA WAMEKAA KIMYA BASI WAO PIA WANAINGIA KWENYE KUNDI LA WADANGANYIFU! NATHIBITISHA UONGO WA YANGA! PELE NA SANTOSI WAGENI WA YANGA JE WALIKUJA!

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Pili sasa hivi kaingia muongo mwengine yanga pale anaitwa haji manara huyu anaongopa mpaka sheitani anacheka😅😅😅

  • @edwardmkwelele
    @edwardmkwelele วันที่ผ่านมา

    kwani issue ni uislam?

  • @erasmusaloyce4398
    @erasmusaloyce4398 วันที่ผ่านมา

    Ijapokuwa waislamu walihusika kupigania uhuru, lakini si kweli na si busara Mzee unavowapendelea waislamu peke Yao katika kupigania uhuru, mana sijaona kwenye rekodi zako muislamu alieenda UNO ku argue about our case kama Nyerere na kama unavyojua Uhuru wetu umekuja kupitia UNO

    • @mr.performance2533
      @mr.performance2533 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hujaskia akiwataja wakristo wakina John rupia,kasela bantu, na Steve mhando au unajizima data

    • @bahiyalumelezy3016
      @bahiyalumelezy3016 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Walimchangia nauli na wakambariki aende yeye,sasa ulitaka nchi nzima waende huko?

    • @erasmusaloyce4398
      @erasmusaloyce4398 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@bahiyalumelezy3016 hiyo inajulikana Kwa Kila mmoja, na kwenye vitabu vya history imeandikwa, Sasa huyo Mzee anacholalamika nini na sio yeye pekee, hiyo hoja nimeisikia Kwa watu wengi hasa waislamu.

    • @MuuYascohy-oc7os
      @MuuYascohy-oc7os 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      We ulitaka waende wote jopo zima ?? wakachanga nauli na wakamsomea dua Bagamoyo kisha wakamwambia nenda utarud na uhuru na kweli alivyoenda wazungu wakawa wanamuogopa kwa dua alizofanyiwa

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 วันที่ผ่านมา +1

    Chuki za dini zimewajaa watu vifuani!!
    na dharau kwa waislam!!

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sio anayelalamika kuchukiwa ndiye mwenyewe chuki?

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@GodfreyOswardMuislamu imani yake haimfunzi chuki, Historia ya Uislamu ukiifuatilia ndio waliopata madhila kwa kuamini Uislamu tu. Shida ipo kwenu mtu akiwa Muislamu mnataka hata akose mkate wa siku.

    • @halimaJumanne-jn4ks
      @halimaJumanne-jn4ks 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sawa walivyo hao 3:33 ​@@Sheba4651

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@Sheba4651Shetani anakunyemelea ndugu. Wewe utafiti huo kwamba binadamu wa Imani nyingine hataki update chakula umeufanyaje?. Mtaani watu tunaishi kama watanzania. Itikadi wakati mwingine ujenga chuki tu. Sunni na Shia hua hawaelewani mpaka vita. Huyu mzee aandike Yale anayo yakumbuka ila ana nafasi ya udini hapa. Pia nawe pambbana kupata maendeleo yako kwa akili yako yote uwanja uko wazi, hakuna anayezuwiwa kwa dini yake. Mitano tz ni mingi tu tuna watu wamefanikiwa kiongozi, kibiashara na kijamii. Historia ya hivi karibuni inaonyesha watu kutaka madaraka kwa kutumia itikadi za kiimani. Kote huko kumeacha maafa.

  • @bazilkisibo5811
    @bazilkisibo5811 วันที่ผ่านมา

    Mzee naye Ana wivu hataki watu waseme. Kama Abdul saksi alikuwa na wivu naye ataongea hivyohivyo. Historia ya kweli inatokana na wakweli siyo walioona au sikia wakati wana labia za uongo

    • @zully756
      @zully756 วันที่ผ่านมา

      Fanatism, unaangalia nani msemaji huangalii kilichosemwa.

  • @FBandBey
    @FBandBey 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mohammed Said amechanganya na kupotosha mada. Nikipata muda nitajibu. - Madaraka

    • @w4058
      @w4058 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mpotoshaji wewe hapo huna unalolijua mpumbavu mmoja unifirigiswa bongo lako hasidi mmoja

    • @w4058
      @w4058 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mshazowea kudanganywa ukweli hamuutaki

    • @w4058
      @w4058 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hajachanganya chochote unajidanganya mwenyewe

    • @w4058
      @w4058 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Huna utalojibu hata moja ukaaminiwa labda chawa wenzako huna ujuzi wala ubavu wa kumjibu ila kama kawaida yenu nyie mizimwi wa CCM kupinga pinga

    • @kalamuMedia
      @kalamuMedia  6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ukiwa tayari tunaomba tukukutanishe na Mwalimu Mohammed Said,mbadilishane notes Juu ya unachokijua kuhusu TANU na yeye anachokijua kuhusu TANU,nasi tutashare izo NOTES na Public ili watanzania wanufaike.

  • @mfumwamangara
    @mfumwamangara 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ni kweli waislam ndio walipigania huru

  • @comsmkemwa2671
    @comsmkemwa2671 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Dah wewe mzee unaonekana una udini sana, kwa watu waneshwahi kuhoji dini gani ilipigania uhuru? Huwa wanatajwa watu na sio dini, suji nani kishasema kuwa wakristo ndio wamepigania uhuru? Nilikuwa nakusiliza lkn nimeshakutoa maana, hayq tusemle waislamu ndio wameoigania uhuru, lkn kwa n8n8 ha2atajwi

    • @khalfanothuman9988
      @khalfanothuman9988 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Maana ya udini ni ukitajwa uislamu tu siyo

    • @zahormohammed4476
      @zahormohammed4476 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wakati waislamu wakijitoa muhanga kupigania Uhuru wakristo walisema hawachanganyi dini na siasa wakawa wanabaki makanisani kufundishana neno la bwana wakati wenzao msikitini wanahamasishana kwamba Tanu ni lazima kwa muislamu kama ilivyo swala tano

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wengine wanasema Nyerere alikuwa baba yawo wa ubatizo. Wengine wanaosema baba zawo walikuwa matajiri walimusaidia Nyerere kupigania uhuru . Utafikiri wawo walikuwa sio watanganyika, walimusaidia tu Nyerere, kupata uhuru. Uwongo mwingi kila kona. Watanzania wanaabudu mpira, mpaka tumekuwa wajinga. Uwongo mtupu wa Mbowe. Tumekuwa wajinga wa mipira. Yuko wapi Mbowe? Asikie historia ya kweli?