LIVE: AMKA ANZA NA BWANA // MAOMBI YA ASUBUHI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ก.พ. 2024
  • Zaburi 5:3
    BWANA, asubuhi utaisikia sauti yangu, Asubuhi nitakupangia dua yangu na kutazamia.
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

ความคิดเห็น • 318

  • @ElizabethAlbert-y3t
    @ElizabethAlbert-y3t 32 นาทีที่ผ่านมา

    Ahsante Mungu mwenyezi kwa siku mpya ya Leo kwa unaenda kutembea nami sema nami niongoze baba yangu maana peke yangu siwezi nakuanini nakutegemea Baba yangu basi akuna liendelo kukwambia mbele zako ameen.

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Asante yesu kwa neema ulionitendea, asante kwa siku hii mpya uliyonipa bwana naomba ufanye mapya cku hii ya leo naomba unipe baraka yako bwana sku hii yaleo iwe ni cku ya neema kwangu cku hii ya leo iwe ni cku ya furaha kwangu cku hii ya leo iwe ni cku yakupokea ushuda kwangu. Cku hii ya leo iwe ni cku ya furaha kwangu cku hii ya leo iwe ni cku ya kicheko kwangu cku hii ya leo iwe ni cku ya kufunguliwa kwangu cku hii ya leo iwe ni cku ya kupokea kwangu yote iwe kwa jina la yesu kristu amen.

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 16 วันที่ผ่านมา +1

    Bwana yesu ninasema asante kwa asbh hii mpya bwana. Ninasema asante kwa kibali cha uzima, najikabidhi mikononi mwako bwana. Mm pamoja na watt wangu patroclin na elvira na rogathe. Asante kwa kuwapa uzima wanangu. Asante kwaajili ya pumzi. Asante kwa maisha niliyonayo bwana. Yote nikwajina lake yesu kristu amen.

  • @joycenose2356
    @joycenose2356 5 วันที่ผ่านมา

    Neema yako Bwana iwe nasi zadi kuturinda Bwana yesu mponyaji watu usinipite Bwana Mungu wa wote tunaria mbelezo tupoke Baba muumbaji watu Amen

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu naomba nilete mahitaji yangu asubuhi hii mikononi mwako. Nipe kibali yako bwana. Najikabizi mikononi mwako bwana. Pale palipo kuwa pagumu ukafanye uwepesi bwana. Naomba ukamrudishe enjo mapema bwana yesu. Hakuna kisicho wezekana kwako bwana. Naamini utanipa kibali chakumrudisha enjo na kunipa baraka zako bwana. Nashukuru kwa neema yako bwana niktk jina ya yesu kritu amen.

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu nipe cku mpya cku ya furaha cku ya kufunguliwa cku ya rehema cku ya miujiza cku ya kupata maganikio zaidi na nilivyo dhani. Amen

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 24 วันที่ผ่านมา

    Bwana yesu kwa neema ya kuamka na kusali pamoja na ww, asante kwa pumzi , asante kwa afya njema, mungu naomba ukani tee cku hii iwe ni cku njema cku hii iwe ni cku ya baraka cku hii iwe ni cku ya mafanikio iwe ni cku ya furaha iwe ni cku ya aman iwe ni cku ya mafanikio bwana. Amen.

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 29 วันที่ผ่านมา

    Bwana yesu naomba kesho nifanikiwe kwenda kwenye vipimo arusha,, bwana naamini kwa kibali chako yote ninayo omba nintafanikiwa nikwajina ya yesu kristu amen.

  • @frankstarstz470
    @frankstarstz470 3 หลายเดือนก่อน +5

    MWENYEZ MUNGU akubariki sana mtumishi.. bwana akupe maisha malefu na neema ya kumtumikia kwauwaminifu fathiri zake ziwe kwako daima n a zile shauku zilizoko moyoni mwako ziwe kweli na ziwe kweli yake...

  • @ElizabethAlbert-y3t
    @ElizabethAlbert-y3t 9 วันที่ผ่านมา

    Mwenyezi Mungu ahsante kwa siku nyingine tena kuniamsha salama mimi na watu wa nyumbani kwangu tunaomba utupatie maitaji ya mioyo yetu utupe kukujua wewe muweza wa yote utujalie amani na upendo wako mkuu. Ahsante kwa asubuhi ya njema ya leo nakushukuru baba yangu Mungu mwenyezi mwenye huruma ukatuhurumie sisi zote wenye dhambi ukatuinulie mkono wako wa msamahaa uturehemu na utupe uzima tele ameen.

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 7 วันที่ผ่านมา

    Mungu asante kwa asubuhi hii njema ulionipa. Asamte lea uhai, asante kwa pumzi, asante kwa neema na kwa watoto. Wape Nuru watoto wangu wapate kuku jua na kukupenda bwana yesu. Nipe nuru sku ya Leo iwe ni cku ya shuhuda kwangu nipe kibali yako bwana yesu.

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 11 วันที่ผ่านมา

    Asubuhi ninaomba na kusubiri, bwana yesu asante kwakuwa umenipa kibali cha uzima, asante kwa pumzi, asante kwa rehema, asante kwa watoto. Asante kwa hekima, asante kwa neema, asante kwa baraka zako ee bwana mungu, asante kwa cku mpya ulionipa bwana yesu. Amen.

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Siku hii mpya bwana naomba ukanipe kibali cha kuziba mapengo yangu niliyonayo bwana. Nisiku yafaraja bwana yesu, nisiku ya baraka kwangu bwana yesu. Ni siku ya furaha kwangu bwana yesu. Ni siku ya neema kwangu bwana yesu ni siku ya kihistiria nzr kwangu bwana yesu, nipe kibali yako bwana. Uwe pamoja nami bwana. Waokoe watoto wangu wapate neema yako bwana yesu.asante bwana yesu kwakibali cha siku yaleo bwana yesu .

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Bwana nashukuru kwa watoto uliyo nipa, asante kwa wafanyakazi uliyonipa, asante kwa biashara ulionipa, asante kwa afya njema ya roho na mwili, asante kwa afya njema. Asante kwa kuwanipo pamoja na ww asbuhi hii njema, tote ni kwa neema yako bwana Yesu. Amen.

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu ni siku mpya umenipa Leo tena nikawe pamoja nawe, ninasema bwana asante kwa pumzi ulionipa, asante pia uzima, mungu asante kwa kibali cha asubuhi hii ya Leo. Asante kwaajili ya watoto ulionipa, wape neema yako watoto wangu uwape kibali wakawe pamoja nawewe katika shughuli zao. Uwape uzima uwape baraka na maisha mema siku zote za maisha yao amen.

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Mungu asante kwa kuwa umenisaidia, asante kwaajili ya pumzi, asante kwaajili yaafya njema,asante kwaajili ya watt ulionipa, asante kwaajili ya neema yako. Asante kwaajili biashara ulionipa, asante kwa yote mwenyezi mungu, asante kwa cku mpya ya Leo, yote nikwa jina lako bwana yesu amen.

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Sante mungu kwa cku hii mpya ulionipa, bwana yesu ninasema asante kwa pumzi ulionipa wako ambao walihitaji kuiona lakini hawakuiona, sante kwa uhai ulionipa bwana yote ni kwa nema yako tu.asante kaajili ya watoto ulionipa asante kwaajili ya biashara ulionipa asante kwaanili ya nyumba ulionipa. Asante pia kwa yote ulio nipa bwana yesu, wako wanao hitaji maisha km hii yangu bwana lakini hawafiki bwana. Sifa na utukufu nikurudishie ktk jila la yesu kristu amen.

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 18 วันที่ผ่านมา

    Asante mungu kwa pumzi ulionipa, Santa pia kwa asbuhi hii njema bwana, asante kwa uzima masiku mpya ya Leo bwana, asante kwa neema unayo nipa bwana, bwana ona majaribu yanayo ni songa bwana ona hata mafuta yako ya upako ninayotumiwa inaptea ktk mazingira isiyojulikana nyoosha mapito yangu bwana, nisaidie mungu wangu, niepushe na maadui wanayo nizunguka bwana, nipenguvu na rehema zako bwana.pale ninapoenda kinyume na matakwa yako bwana nisamehe bwana yesu. Naomba neema ya utakaso bwana. Ktk jina la yesu kristu amen.

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu niasubuhi njema ulionipa wewe kuwa karibu na wewe tena. Nashukuru kwa kunipa kibali nyingine tena yakuona siku mpya. Bwana ni kwa neema yako. Tazama nitafanya kitu kipya nayo litakuwa njema. Naamini bwana siku hii ya leo utakuwa nami popote pale. Naomba bwana rehema yako, nakabidhi maisha yangu mikononi mwako bwana. Nashukuru kwa uzima na pumzi uliyo nipa bwana. Asante kwa kibali na uzima uliyonipa bwana.

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu nashukuru kwa asbuhi hii njema bwana uliye nipa ya kuwa na ww bwana. Bwana Yesu nashukuru kunipa pumzi cku hii bwana wako walio hitaji kuona lakini hahakuweza bwana. Nashukuru kwa zawadi ya watoto uliyonipa. Nashukuru kwa maisha ulionipa bwana, wako wanayotaman kuwa km mm lakini hawafiki hvi bwana. Asante kwa biashara uliyonipa mungu. Asante kwa wafanyakazi ulionipa Yesu.

  • @aminarajab1045
    @aminarajab1045 หลายเดือนก่อน

    Bwana asifiwe sana nimepata neema ya kutembea na kibali asubuhi yaleo namchana na jion nahata kesho navunia kibalichako naenda kupokea mema kutoka kwako kwajina layeau kristo Ameen

  • @wahidakisingo3588
    @wahidakisingo3588 4 หลายเดือนก่อน +4

    Neema yako Mungu yatosha kwenye Maisha yangu🙏💝🙏💝🙏💝💞 ninakushukuru Mungu kwa Neema na Rehma na fadhili zako ambazo ni mpya kila iitwapo asubuhi ❤

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu naomba kibali cha kumpata msicha sahihi wa kazi, atakaye nisaidia kwenye biashara yangu naomba mungu ndani ya sku hii 3, niwe nimempata. Naipe jambo jipya cku hii ya Leo. Bwana yesu umesema usiogope nipo pamoja nami. Ninasema asante kwa kibali yako ninapo anza cku hii ya leo ninaamini nitapata kibali chako amen.

  • @user-cs6mk3ry5h
    @user-cs6mk3ry5h หลายเดือนก่อน +1

    Asante yesu naona mwanzo mpya kwanzia sasa na dakika hiz naona jambo jipya kwenye maisha yangu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 26 วันที่ผ่านมา

    ❤❤Asante Yesu najungamnisha na hii mazamahu Muñgu siwezi naomba unisamehe naomba uniponye Mimi na familia yangu yote ninayoyapitiaunajua naomba rehema Mtushi naomba uniombee Mimi na familia yangu Muñgu awe nawe

  • @JoyceHongoli
    @JoyceHongoli 29 วันที่ผ่านมา

    Bwana Yesu ninaomba nipate kibali chako, nipate kazi ya maana, watoto wangu wagunguliwe wapate kibali mbele za Mungu, uwalinde na maadui, nipone bawasili inayonitesa kwa Muda mrefu

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 7 วันที่ผ่านมา

    Bwana yesu ona navyo teseka kwa madeni niliyo sababishiwa na watesi baba naomba ukaseme nao ukatoa jgumj uliopo juu yao wanilipe pesa yangu kirahisi.

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน +1

    Asubuhi hii njema naomba uwe nami pamoja na family. Na watoto wangu wewe ni kimbilio yetu hakuna kama wewe bwana tazama ntafanya jambo jipya nalo litachupua, hii ndiyo cku yangu ulionipa bwana kwa ukomboz . wako

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 29 วันที่ผ่านมา

    Mungu asante kwa kuniamsha salama asubuhi hii njema. Ni siku mpya bwana umenipa punzi, asante kwa uhai asante kwaajili ya pumzi, asante kwa baraka na neema unayo endelea kunipa bwana, bwana yesu nimeona mkono wako nashukuru kwa kupata kibali chako, cha mafanikio uliyo nipa bwana naamini yote ni kwa neema yako bwana.

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba ukampe modesti uwepesi akanunue nyumba yangu kiwepesi, mungu naomba nikauze shamba yangu kiwepesi, mungu naonda tenda miujiza ya mm kupata kufunguliwa kiwepesi, nungu naomba nipe kibali ya kuuza nymba yangu, nipe furaha na amani cku ya leo mungu wangu.

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Bwana asante kwa asubuhi hii njema kwa uzima ulionipa, asante kwa pumzi uliyonipa,asante kwa kututengenezea njia ht kwenye maji, bila ww mungu mm sintaweza, nashukuru kwa asubuhi hii njema maana bwana bila ww mm sintaweza ninasema asante maana wewe ni mwanzo na mwisho amen.

  • @doricejoel7228
    @doricejoel7228 5 หลายเดือนก่อน +14

    Naomba neema Jehova ya kuamka na kusali naomba neema Baba ondoa kila uzito ndani yangu niteteee Bwana nakuamini wewe

    • @SesiliaStephano
      @SesiliaStephano 4 หลายเดือนก่อน +2

      Anza nami bwana Sikh ya Leo Akili yangu imefika.mwisho kwa habari ya uchumi ,madeni , shule watoto , nk. Naomba amani bwana

    • @emmanuelybruno3021
      @emmanuelybruno3021 3 หลายเดือนก่อน

      Anza nami bwa unipe Nguvu ya maombi haha ya kufunga na kuomba rehema kawa Ajili ya wazazi wangu

    • @user-ij1nx8yb9v
      @user-ij1nx8yb9v 3 หลายเดือนก่อน

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉⁰p ​@@SesiliaStephano

    • @FausterLawrence
      @FausterLawrence 15 วันที่ผ่านมา

      Asante Yesu kwa wema wako wewe unaweza SITAOGOPA.

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 26 วันที่ผ่านมา

    Mungu asante kwaajili ya uzima. Asante kwaajili ya pumzi, asante kwaajili ya biashara, asante kwaajili ya kunionesha mambo niliyokuwa siyajui asante kwaajili ya watoto, asante kwaajili ya upendo, mungu najikabidhi mikononi mwako, yasikie maombi yangu, amen.

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Niepushe na maadui wanayenirudisha nyuma bwana. Nawasamehe wote walionikosea bwana yesu nami naomba wanisamehe. Nipe rehema zako bwana yesu. Naamini mungu cku moja neema yako itatawala nyumbani kwangu, naamin nami nintashudia km wenzangu bwana.

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 27 วันที่ผ่านมา

    Jina la bwana wetu yesu lihimiliwe. Asante bwana kwa mema uliyonitendea. Sante kwa uhai uliyo nipa cku hii mpya. Sante kwa pumzi, sante kwa neema yako bwana yesu. Tengeneza njia ht ktkt ya maji, naamini mungu ww ni mwema kwa kila moja. Wabariki watoto wangu. Wape neema yako bwana. Naomba uponyaji nipone magonjwa yote inanyonisumbua, mungu naomba nipe msichana sahihi wa kazi. Nisaidie mungu wangu, ona maadui wanavyo nicheka. Ila wewe mungu hujanicheka. Asante kwakuwa umenipa kibali yakusimama tena mbele zako.❤

  • @ananiamwampulo
    @ananiamwampulo 5 วันที่ผ่านมา

    Asantee mungu Kwa akili ya upendo wako umenilinda usiku mzima na nakuniamsha nikiwa Salam niwengi walitani waione siku Kam ya Leo lakin hawapo tena , 😭, naomba ulinzi tena Kwa siku ya Leo tawala kwenye kazi zangu nanikanyagapo ameni🙌🙌🙏

  • @Julieth-nk3ib
    @Julieth-nk3ib 2 หลายเดือนก่อน +3

    Baba katika jina la yesu.mtakatifu uketie mahari pajuu palipo tukuka najisogeza mbele zako nikushukru kwa ulinzi wako umenilinda na kunihifadhi usku kucha.natazma nisku nyingine umenipa neema na kibali kuiona siku hii.naomba ipate kuwa siku njema yenye neema na baraka zako,unitangulie katika mapambano yangu ya sku nzima.na kuziongoza hatua zangu.ahsante jevoha kwa kuwa umwema.Amen

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba uniondolee moyo wa chuki Nile moyo wa nyama. Niondolee moyo wa niwe nipe moyo wa nyama. Niondolee moyo mgumu nipe moyo wa huruma.

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru kwa asubuhi hii mungu pamoja na familia yangu, asante kwa pumzi uliyoninalia asante kwa afya njema pamoja na familia yangu , asante kwaajili ya maisha hii uliyonipa, wako watu wanatamani maisha yangu lakini hawana bwana, mungu wewe ni mwema kwangu. Asante kwa uponyaji ulionipa mungu. Jina lako libarikiwe.wewe ni mwanzo na mwisho, hakuna km ww bwana.

  • @BeatriceMathew-qy5lw
    @BeatriceMathew-qy5lw 7 วันที่ผ่านมา

    Eeh mungu wa wote hapa duniani ninaomba baraka zako kwangu kuoitia kinywa changu maana ulisema ombeni nanyi mtapewa amina

  • @JuliaJuma-my3wq
    @JuliaJuma-my3wq 2 หลายเดือนก่อน

    Asante YESU kwa kunilinda ucku kucha na kuiyona siku ya Leo siyo kwa uwezo wangu Bali ni huruma yako tuu BWANA

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Mungu asubuhi nianjema najikabidhi mikonon mwako nawakabidhi na watoto wangu. Nawakabidhi wajukuu wangu. Tunaomba baraka zako mungu.

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba ukatende kitu jipya siku hii ya Leo ndni ya maisha yangu, siku hii ya Leo iwe ni siku ya kihistoria, Sikh hii ya Leo ikawe ni siku ya shuhuda, siku hii ya Leo ikawe ni siku ya furaha, Sikh hii ya Leo ikawe ni siku ambayo haijawahi kutokea ktk maisha yangu nikapokee pesa ambayo sijawahi kushuka.

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Asante mungu kwa cku mpya ya leo ukatende mambo mpya kwenye maisha yangu kwa watoto wangu kwenye biashara yangu kwenye shamba yangu kwenye kuku wangu, kwenye afya yangu

  • @user-cm7np5up3t
    @user-cm7np5up3t 13 วันที่ผ่านมา

    Bwana nashukuru mimi na familia yangu tumeamka salama naachilia damu ya yesu ktk nyumban hii mfunike Emanuel kwa damu ya yesu naomba roho mtakatifi kutana na Emanuel kusekwa

  • @BonithaBonitha
    @BonithaBonitha หลายเดือนก่อน

    Eee Bwana yesu nakukabidhi maisha yangu ,na asubuhi hiii ikawe ya Baraka ktk maisha yangu

  • @nikitalucas2323
    @nikitalucas2323 26 วันที่ผ่านมา

    Asante Yesu kristo kwa kuniamsha salama jina lako litukuzwe 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🥰

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Nipe afya njema ya mwili na roho bwana. Niache kuwaota watu walio kufa mungu wangu. Nipe jozi njema na neema yako mungu

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu siku hii ya leo ikawe ni siku ya kufunguliwa kwangu cku hii ya leo ikawe nicku yakupata mtaji mkubwa wa biashara, cku hii yaleo ikawe ni cku yafuraha kwangu.

  • @TeresiaWabuko
    @TeresiaWabuko 5 หลายเดือนก่อน +2

    Asante yesu kwauzimaolio ipa familia yangu nmeamini mtoto wangu Angie atapata kazi

  • @stevenmfumbilwa2109
    @stevenmfumbilwa2109 หลายเดือนก่อน

    Nakushukuru BWANA YESU kwa ajili ya familia nzima KWAMBA imefunguliwa na kuponywa toka ktk vifungo vya Yule Adui

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Ee mungu najikabidhi mikononi mwako siku hii ya Leo mm na watoto wangu, kilajambo likafanyike kwa sifa na utukufu wako.

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 27 วันที่ผ่านมา

    Bwana yesu nipo namaadui naomba yote wanayofa ya juu yangu iwarudi wao wenyewe. Bwana yesu naomba kenny alete hela ya marejesho haraka bwana naomba ukaseme naye, nipe pesa haraka

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Mungu toa kibali ya kuuza shamba langu, mungu nipe kibali ninunue TV ya nyumban mungu nipe kibali cha kununua TV dukani.

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Cku hii ya leo iwe ni cku yakupokes kwangu na kupata miujiza na kushangaza watu jinsi ninavyopata baraka zako bwana yesu.

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Asante mungu kwa kunilipa ucku kucha na familia yangu, asante kwakuwa umenipa zawadi ya uhai, asante kwa kuwalinda watoto wangu nakuwapa zawadi ya uhai

  • @ErickaM-md8yk
    @ErickaM-md8yk 4 หลายเดือนก่อน +3

    Asante Mungu kwa uzima na afya, asante Mungu wa kuilinzi kwenye familia yangu, asante Mungu kwa kuniamsha salama.

  • @JoabBatohana
    @JoabBatohana หลายเดือนก่อน

    Ahsante kwa pumzi,ahsante kwa ndoa,ahsante kwa watoto,ahsante kwa kazi ya mikono yangu,ahsante Mungu wangu

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu asante kwa cku hii mpya cku mpya sante mungu kwa uhaii asante ehema sante kwa kibali ulionipa kuoma cku ya leo, naomba bwana ufanye jambo mpya mwangu siku hii ya leo. Naomba afya njema ya roho na ya mwili bwana. Mm ni mwenye dhambi bwana nao.bs nisamehe dhambj zangu zote , naomba rehema kwa watoto wangu naomba rehema kwa wajukuu wangu nipe kibali chako bwana siku hii ya leo. Nashukuru kwa kipaji ulicho nipa bwana, naomba niomoe bwana, nitoe mwenye matatizo hii nilio nayo bwana. Bwana yesu bila ww mm sintaweza.ninaamini kuwa msaada wangu u ktk ww bwana amen.

    • @user-ch3fl4tr9j
      @user-ch3fl4tr9j 28 วันที่ผ่านมา

      Mungu wewe ni kila kitu kwangu nipe haja ya moyo wangu nikutumikie ñijidhabihu
      Mikononi mwako Baba umeniponya kwaajili yako nitie nguvu ya kutumika mikononi mwako Baba

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 11 วันที่ผ่านมา

    Nipe kibali yako bwana nipate msichana sahihi wa kazi bwana km ni hiyo aliopo bwana mbariki adumu km cyo mungu naomba basi mungu nioneshe na nipate kirahisi bwana. Nimechoka na mateso haya bwana.

  • @dominicaishengoma2291
    @dominicaishengoma2291 15 วันที่ผ่านมา

    M ungu baba wa mbinguni nakushukuru kwa mwema yote unayonitendea, na nazidi kuomba familia yangu izidi kusonga mbele kwa kwa mahitaji yangu

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi bwana yesu aside tuko pamoja na wewe kupata upako huu siku hii mpya ya Leo.

  • @NeemaMeshaki-qm4ew
    @NeemaMeshaki-qm4ew 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Mtumishi wa Mungu kwa huduma hii Mungu alioweka ndani yako kwani imekuwa ni ya baraka sana kwetu inatutoa hatua Moja kwenda nyingine MAOMBI YANGU kwako NEEMA YA MUNGU IWE PAMOJA NAWE KILA IITWAPO LEO

  • @BibianaMwemfula
    @BibianaMwemfula วันที่ผ่านมา

    Asante Mungu kwa ajili ya neema nakubali hiki

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 18 วันที่ผ่านมา

    Asante kwakuwa umenipa kibali ili ni sogee tena mbele zako. Asante kwa watoto. Asante kwaajili ya biashara. Asante kwaajili ya kijana wa kazi. Naomba bwana nipe msichana sahihi kwangu wa kazi, amen.

  • @kapamevenas79
    @kapamevenas79 4 หลายเดือนก่อน +1

    Na sema asante Mungu kwa pumzi. Amen !

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru mungu kwa kujiungamanisha asbuhi njema najikabidhi mikononi mwako mm na watoto wangu.

  • @theonestinakaizilege9974
    @theonestinakaizilege9974 หลายเดือนก่อน

    Naomba Leo nipate wateja wakanizidie amina mwanangu Lillian apate mume sahihi pia uchumi wangu ukaongezeke

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Naomba nisamehe mm na watoto wangu madhambi yetu yote. Tunashukuru kwa pumzi na uzima. Nashukuru kwa afya njema.

  • @user-xp4ch2hl6h
    @user-xp4ch2hl6h หลายเดือนก่อน

    Asente bwana wangu kwa neema yako umenilinda usiku mzima ubarikiwe bwana naomba utukifu wako uje naomba unilinde kwa damu yako emeen

  • @NeemaMeshaki-qm4ew
    @NeemaMeshaki-qm4ew 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba unikumbushe kuanza na wewe kabla ya jambo lolote maana umesema siwezi jambo lolote bila wewe

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Asante mungu kwa ajili ya biashara asante kwaajili ya nyumba na mshamba ulionipa, asante kwa afya njema ya roho naya mwili.

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Nipe kibali mungu nimiliki gari nzr yakutembelea kwa neema yako. Pale palipo fungwa mungu ww ndyo unajua ukafungue unipe uwepesi nifa ikishe bwana..

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Naamini siku ya Leo naenda kupokea. Asante kwa hiki ulichoni patia. Asante kwa neema unayonipa. Asante kwa asubuhi ya Leo, asante kwa watoto ulionipa. Asante kwaajili ya pumzi.

  • @theonestinakaizilege9974
    @theonestinakaizilege9974 หลายเดือนก่อน

    Asaante mungu wangu kuniamsha salama asante kwa uzao wangu naomba kufunguliwa kupata neema

  • @EusebiaMatambi
    @EusebiaMatambi 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu wa mbinguni ww ni mkuu sana hakuna kama wewe naomba asubuhi hii ukaseme na familia yangu kamsimamie kaka yangu Filipo katika kesi yake ambayo inayomkabiri

  • @user-ix6xr1kw2k
    @user-ix6xr1kw2k 3 หลายเดือนก่อน

    Amen.niwezeshe kuacha Aina zote za mapambo.nywele bandia.piko.hereni.bangili.makeup.suruali.kisukia uzi.kusuka mabutu.kuvaaa nguo fupi

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Mungu asante kwaajili ya pumzi ulionipa mm na watoto wangu.

  • @kapamevenas79
    @kapamevenas79 4 หลายเดือนก่อน +1

    Baba Mungu naomba siku y'a Leo weye siku y'a baraka na mafanyikio. Nina amini.

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Asante mungu kwa kuona cku hii ya leo, asante kwa pumzi, asante kwa kufanya jipya siku hii ya Leo.

  • @aminarajab1045
    @aminarajab1045 2 หลายเดือนก่อน

    Asante bwana kwasikuyaleo naenda kupokea baraka zako napokea mema asubuhi mchana usiku natembea na mema ya utajili kutoka kwako Ameee

  • @user-ix6xr1kw2k
    @user-ix6xr1kw2k 3 หลายเดือนก่อน

    Amen mtumishi wa Mungu wa isaca.Mungu wa Ibrahim na Yakobo.ubarikiwe sana

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Naomba bwana uniponye maumivu na maradhi inayo ni sumbua ndni ya kizazi changu, kwenye mwili wangu wote, naomba uponyaji wako bwana

  • @user-cq1dp6yy3u
    @user-cq1dp6yy3u 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Mungu kwa pumzi na uhai barikiwa mtumishi wa Mungu

  • @ChekaSaidi
    @ChekaSaidi 3 หลายเดือนก่อน

    ASANTE mungu hulie hai nashukulu ubarikiwe Mtumishi Hasubuihi ya leo

  • @judithmutio-mp6sn
    @judithmutio-mp6sn 3 หลายเดือนก่อน

    Anza nami asubuhi hii ya leo mungu wangu nimeteseka sana 🤲🤲

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Haujani amsha kwa bahati mbaya mungu, niko pamoja nawe bwana.

  • @ELIYAMWANA
    @ELIYAMWANA 20 วันที่ผ่านมา

    Zaburi 5: 3 asante mungu kwaneema Yako yaleo❤

  • @graceboke4346
    @graceboke4346 4 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu kwa. asubui ya Leo enda nami roho mtakatifu

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa watoto asante kwaajili ya biashara, asante kwaajili ya afya njema. Asante kwa upendo unayonipa

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa ulinzi wa ucku pamoja nafamilia yangu watoto wangu

  • @user-fn6hf6pf4b
    @user-fn6hf6pf4b 2 หลายเดือนก่อน

    Asante YESUkwa kuniokoa kwenye dimbwi la dhambi nililokuwa nikizama

  • @daynessmapunda5931
    @daynessmapunda5931 2 หลายเดือนก่อน

    Ninakila.sababu ya kumwambia Mungu asante kwa ajili ya watt wangu endelea kuwabariki

  • @annaymakala4508
    @annaymakala4508 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa ajili ya pumzi uhai ndoa watoto kazi yote ni neema yako

  • @doricejoel7228
    @doricejoel7228 5 หลายเดือนก่อน +1

    Niko hapa Baba kupitia madhabahu yako takatifu nafuta kila agano la giza lililofanyika usiku huu kupitia ndoto niliyoota ya shule na kula vyakula nabatilisha kwa damu ya Yesu nafuta kwa damu ya agano jipya mimi ni uzao mteule mimi ni mtu wa milki ya Mungu aliyehai shetani hana mamlaka na maisha yangu

  • @doricejoel7228
    @doricejoel7228 5 หลายเดือนก่อน +1

    Baba yangu na Mungu wangu naomba neema ya kuamka saa nane usiku kukushukuru na kukuomba Baba nisaidie ondoa kila uzito ndani yangu

  • @user-fn6hf6pf4b
    @user-fn6hf6pf4b 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba niaze siku yangu ya Leo kwa Neema yako bariki kazi ya mikono yangu nakutumain wewe peke yako tu

  • @johariomari-le5zc
    @johariomari-le5zc 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Mungu nakushukuru kwa neema hii unayo hiachia kwetu pia Asante kwa kuniamsha

  • @joyceshirima207
    @joyceshirima207 หลายเดือนก่อน

    Asant Mungu kwa kuniamsha salama nakukabidhi siku yangu ya leo mikonon mwako na ukaibarik kazi ya mikon yangu

  • @ErickMahese-wm4yp
    @ErickMahese-wm4yp หลายเดือนก่อน

    Asante mungu kwakuniitikiya tena nione siku yaleo ninakuchukuru baba