| VOL. 3 | MWL TENGWA [Vitu 6 vilivyo nyuma ya uso wa Mungu]
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 29 ต.ค. 2023
- BWANA YESU ASIFIWE!
NI WAKATI WA MABADILIKO YA MSIMU MPYA WA MATENGENEZO YA KIROHO NDANI YA KITABU CHA INJILI YA UAMSHO.
NILICHOPEWA NA BWANA YESU TANGU MWAKA 2014.
SASA BWANA AMEYARUHUSU MANENO HAYO KUSIKIKA KWA MARA YA KWANZA TAREHE 8/10/2023 PALE SUMA JKT MWENGE DAR ES SALAAM TULIPOKUWA KATIKA KONGAMANO LA MAOMBI YA KULIOMBEA TAIFA.
NA SASA NI MWENDELEZO NA MFULIZO WA MANENO HAYO YALIOMO NDANI YA HICHO KITABU KUANZIA MWAKA HUU 2023 HADI 2030
KATIKA MTIRIRIKO WA VOLUME 1 HADI 40
FUATANA NAMI KATIKA MSIMU HUU MPYA WA MATENGENEZO YA KIROHO NDANI YA KANISA LA MUNGU.
#MUNGU AKUBARIKI SANA
Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kufanikisha Makongamano:
LIPA KWA SIMU
M-PESA: 5143575
TIGO PESA: 6749284
JINA: UMOJA WA MAOMBI YA KITAIFA
BANK
NMB: 23210038745
JINA: MAOMBI TOBA KITAIFA
BANK ACCOUNT
CRDB: 015 232 628 6200
NMB: 2461 0015 434
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA
UMOJA WA MAOMBI NA TOBA YA KITAIFA
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA
+255 769 515 808, +255 629 304 931
#HudumayaUamshoNaMatengenezoYaKanisa #Mwl.Tengwa #MaombinaUshauri #0658901901
#0752001840
#0658901901 RUDI_MWANZONI _ MWL. TENGWA
Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kwetu:
M-PESA: 0752 001 840
TIGO PESA: 0678 304 931
AIRTEL MONEY: 0694 331 055
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA
AU KUPITIA BANK ACCOUNT
CRDB: 015 232 628 6200
NMB: 2461 0015 434
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA
#HudumayaUamshowaKanisa #Mwl.Tengwa #MaombinaUshauri #0658901901
#0752001840
Glory be to God. Ubarikiwe mtumishi wa Mungu aliye hai.
Namshukuru Mungu sana sana kwa Ujumbe huu nahitaji kumjua Mungu.Sifa, Utukufu,ni kwa Bwana.
Mungu wewe ni Mungu mkuu Mungu mkuu Mungu mkuu
Amina mwl. Tengwa, tunakuelewa
Haleluya, nabarikiwa sana! na Mtumishi wa BWANA.
Ee Mungu usiwasikikize wanaopinga maneno haya ya mwl Tengwa,uliyoyaweka ktk moyo wake..
Ameen balikiwa kwa ujumbe mzur
Ubarikiwe sana baba ni magumu sana,lakini yanatuponya kabisa ninapokea sana nguvu zake na mabadiliko
Amina
Jina la Bwana litukuzwe na mataifa yote ulimwenguni kupitia kazi hiibKubwa inayoifanya kwa uaminifu mkubwa...Mungu akutunze ,nasi tuwe upande wa Mungu na upande wako mtumishi.. Barikiwa sana .. Emmanuel Mtaita toka Arusha 🙏😥
EE MWENYEZI MUNGU TUSAIDIE TUUMALIZE MWENDO SALAMA ILI YESU ATAPORUD KUNYAKUA KANISA ASITUACHE MAANA JEHANAM INATISHA
Kwainjilii hii lazima nipokee nguvu ya Roho mtakatifu.
Mungu azidi kukuinua na kukutumia ktk kazi yake,mimi naomba kujua kanisa lako liko wapi,barikiwa
Asante mtumishi wa Mungu aliye hai katika jina la Yesu Kristo. Tunaomba neema na rehema zake Mungu ili tuyashike yote hayo katika jina la Yesu Kristo
Niliisubiria sana asante Mungu akubariki
Amen mtumishi wa Mungu tunazidi kupokea kutoka kwa Bwana
Utukufu nikwa BABA YETU YESU KRISTO,nimejazwa tena nguvu za Bwana mtumishi wa Mungu hakika ukinyenyekea katika Roho Yesu Kristo anakutengeneza upya.
Amen amen!! MUNGU akubariki sana mtumishi wa MUNGU
Huu kweli ni Muda wa kutambua Kanisa halisi ni lipi na majira yaliyoamliwa,injili hili ni ya moto.
Ninamshukuru Mungu kwa mafundisho haya.
Mungu akutunze mtumishi wa Mungu. Wewe ni mwalimu mzuri.
Bwana anza nami upya .Nitengeneze Bwana
Asante mtumishi,Mungu atuponye
Ameeeeen ameeeen ameeeen ameeeen ameeen ameeeen na ameeeen.Hakika chakula ni kitamu
Kwakweli tukilijua hili na kuchukua hatua tutapata raha,nisaidie Bwana Yesu nakuhitaji.
Asante mtumishi Tengwa tunakupata,
Amen Mtumishi wa Mungu
Amen MTUMISHI WA MUNGU.
Ni kweli kabisa Mtumishi mi Niko kigamboni kisarawe 11 Baada ya Mambo haya tuliunga kikundi Cha maombi tunakitaka kila siku jion na Tunamuona Mungu Sana Mungu anafunua mambo makubwa Maji yatakavyoua watu lakini Anatuambia tuombe Sana Toba na Rehema
Ee Mungu nisaidie nisikwamie kwenye utisjo
Wafunulie yaliyo fichwa ambayo hajawah kuyaskia hata wanaokpinga baadae watasema kwel ww umetumwa na mung mana ukwel hujitenga na uongo.
Amen!
ASANTE BABA YETU MUUMBA MBINGU NA NCHI KWA KUMWINUA MTUMISHI WAKO KWA NYAKATI HIZI ZA MWISHO AMBAZO DUNIA ILEWALEWA KAMA MLEVI
Amém
Amen
Ameeeeen
Ameeen
Haleluya
Ameeeen
Nauliza vyombo vyauzur nini?kwenye ile kutoka uliposoma.
Vyombo vya uzuri ni mapambo wa kujipamba!
B