Part2_Nilishuhudia hukumu ya Mungu inavyotolewa Mbinguni(Kigezo kikuu)|USHUHUDA WA MICHAEL SAMBO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.ย. 2023
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
    M-pesa Lipa Namba.5634017
    AirtelMoney Lipa No.3878783
    Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
    Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1l...
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
    #ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

ความคิดเห็น • 27

  • @user-dk8uu3be5h
    @user-dk8uu3be5h 25 วันที่ผ่านมา +1

    Ee Mungu,niumbie moyo safi katika jina la Yesu krito.amen

  • @sarahkeivaly3351
    @sarahkeivaly3351 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kristo Yesu atusaidie kuishi ktk njia yake ya haki na utakatifu

  • @jameskotte-endtimegospel
    @jameskotte-endtimegospel 10 หลายเดือนก่อน +4

    Shukuran Kwa hyo ndungu Kwa ajili ya hili shuuda ...na shukuran kuu Kwa mungu wetu Yesu Kristo Kwa upendo wake wa milele kwetu na kutuonya kila mara na pia jacktan Kwa kazi njema ubarikiwe sana

  • @judyokumu8439
    @judyokumu8439 9 หลายเดือนก่อน +3

    Amen 🤲🇰🇪

  • @serahmatiru3741
    @serahmatiru3741 10 หลายเดือนก่อน +4

    REMINDS ME OF A SWAHILI:
    Old Swahili song that says :: EE MWANANDAMU !! LIPI AMBALO.. LINALONIPASA KUWATENDEA.. AMBALO SIKUUWATENDENI HATA LIKANIPASA MSALABA!!!! YESU ALIA MSALABANI ASKITIKA NUU YA DHAMBI ZETU. TUSAIDIE YESU , TUONGEZEE IMANI ILI TUWEZA KUKUPENDA KWA ROHO YETU YOTE , NGUVU YETU YOTE NA FIKIRA YETU YOTE KATIKA JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETH AMEEEN!! BARIKIWA SANA MTUMISHI WA BWANA JACTAN

  • @christophershiganza8184
    @christophershiganza8184 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amina Mungu akubariki

  • @gloriaakyoo2079
    @gloriaakyoo2079 10 หลายเดือนก่อน +2

    Amen Bwana Yesu utusaidie tuweze kuishinda duniani na kukurudia ww uliyetuumba tusije angamia kwenye ule moto

  • @user-uq4wg1hm3t
    @user-uq4wg1hm3t 10 หลายเดือนก่อน +2

    God protect this media because it is a center for me to learn many things,,,, ameni

  • @maryandason1815
    @maryandason1815 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amen blessed promover tv pmja na kaka jacktan na kaka Audax...nna wote walihakikisha testimony znatufikiaa blessed.JESUS CHRIST..coming soon😢

  • @jumaeliyah683
    @jumaeliyah683 10 หลายเดือนก่อน +3

    Asante Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu tunafunguliwa kwa hali ya mbinguni kupitia shuhuda

    • @mujasa2562
      @mujasa2562 10 หลายเดือนก่อน

      And

  • @sarabura8933
    @sarabura8933 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @christophershiganza8184
    @christophershiganza8184 2 หลายเดือนก่อน +1

    Faraja kwako

  • @njockjanes3897
    @njockjanes3897 10 หลายเดือนก่อน +2

    Amina

  • @user-od5vg2hg1n
    @user-od5vg2hg1n 10 หลายเดือนก่อน +1

    Samahan mtumishi wa mungu hiv n kwann Wakilisto ndo wameibuka kushuhudia Ku pita kias mbon waisilam sijasikiya kushuhudia kam wanavyoshuhudia wakiristo au mung wetu ni tofaut kat ya mkiristo na muislam

    • @angelndawi7899
      @angelndawi7899 10 หลายเดือนก่อน

      Shuhuda zipo ila ni mtu ambaye alikuwa Muslim kisha ameokoka, wapo wengi walioshuhudia.
      But kwamantiki hiyo lipo la kujifunza hapo kubwa tuu, kaa chini na utafakari

    • @pinieliedward5992
      @pinieliedward5992 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@angelndawi7899Ndio kabisa umejijibu Vyema Mungu wetu na wenu ni tofauti BW Yesu alikufa kwa ajili yako na kwajili yetu Na amefufuka, nalipopaa alisema na enda kwa Baba kuandaa makao ilinilipo na Mtumishi wangu awepo,Akasema Tena nipo pamoja nanyi Hadi Ukamilfu wa dahari ,Akiamanisha Yuko hai ndo unaona watu wanapata neema kuonanae ata wewe ukiomba unaweza kupata neema maana Mungu wa kweli ni waote ukizingatia Kila mtu ataukumiwa kivyake.

  • @endtimes9850
    @endtimes9850 10 หลายเดือนก่อน +1

    Great Testimony

  • @WilliamNamende-pc9ku
    @WilliamNamende-pc9ku 10 หลายเดือนก่อน +1

    BWANA nisaidie na mimi nijue mapenzi yako nisikie na kifanya bidii katika kukujua

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeeen YESU KRISTO apewe sifa Amina

  • @salomekemunto1373
    @salomekemunto1373 10 หลายเดือนก่อน +1

    AMINA AMINA AMI.....INA.

  • @zeyzey5439
    @zeyzey5439 10 หลายเดือนก่อน +1

    🙏🙏🙏

  • @lucasarlindomakwaty8655
    @lucasarlindomakwaty8655 10 หลายเดือนก่อน

    Deus vos abencoe

  • @jeremiavedasto9806
    @jeremiavedasto9806 10 หลายเดือนก่อน +2

    Amen

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 10 หลายเดือนก่อน +2

    Amina

    • @pharesgervas3141
      @pharesgervas3141 10 หลายเดือนก่อน

      Mungu atuokoe sisi watoto wake.