ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Turehemu tupe mwelekeo MUNGU wa utukufu.Twaomba kwa Imani.Ameen
Amen ubarikiwe san mtumishi kwa somo hili limenindisha be blessed
Mwanamke na nyoka........ Ubarikiwe mchungaji kwa neno nzuri... mm leo nimecheka kweli kweli..... furaha kweli kweli
Amen
Amina Bwana Yesu asante kwa neema yako kubwa utusaidie ee Bwana tuwe na mwelekeo wa pamoja katika nyakati hizi za hatari
Upewe sifa YESU ili mapenzi yako yatimizwe dunia unayumbayumba tusaidiane BWANA nchi yetu ya Kenya na Tanzania pamoja na mataifa nyingine duniani amen!
Mngu akutienguvu
Amen Amen 🙏 Mungu wa Mbinguni mapenzi yako yatimie
Jina la Bwana libarikiwe
Amen!
Mwalimu ss hatujapata hiyo vitabu tuta pataje tupo mikoani
Bwana tenda
Naombeni namba za mchungaji mm nakufa ndoto zangu si nzur jaman😢
Wauliwa na nini jameni na ndoto....???
Bwana Yesu asifiwe. tuma namba yako, majina na mahali upo kwenda namba hii 0629304931. Mwl. Tengwa atakufikia