| VOL. 4 | MWL. TENGWA | HATUA (3) ZA MTU KURUDI KWENYE MOYO WA MUNGU
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 พ.ย. 2023
- BWANA YESU ASIFIWE!
SHIRIKI AU NJOO, TUINUE BENDERA YA YESU JUU, NA TUSIMAMISHE NA KUOKOA TAIFA LETU LA TANZANIA KWA KUOMBA, KUFANYA TOBA NA KUMLINGANA MUNGU
Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kufanikisha Makongamano:
LIPA KWA SIMU
M-PESA: 5143575
TIGO PESA: 6749284
JINA: UMOJA WA MAOMBI YA KITAIFA
BANK
NMB: 23210038745
JINA: MAOMBI TOBA KITAIFA
BANK ACCOUNT
CRDB: 015 232 628 6200
NMB: 2461 0015 434
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA
UMOJA WA MAOMBI NA TOBA YA KITAIFA
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA
+255 769 515 808, +255 629 304 931
#HudumayaUamshoNaMatengenezoYaKanisa #Mwl.Tengwa #MaombinaUshauri #0658901901
#0752001840
#0658901901 RUDI_MWANZONI _ MWL. TENGWA
Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kwetu:
M-PESA: 0752 001 840
TIGO PESA: 0678 304 931
AIRTEL MONEY: 0694 331 055
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA
AU KUPITIA BANK ACCOUNT
CRDB: 015 232 628 6200
NMB: 2461 0015 434
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA
#HudumayaUamshowaKanisa #Mwl.Tengwa #MaombinaUshauri #0658901901
#0752001840
Bwana Yesu naomba nisamehe na turehemu Tanzania baba yesu usituangamize nakusihi
Bwana Yesu irehemu Tanzania na uiponye.
BABA MATAKATIFU MUNGU MKUU nakushukuru Kwa upendo wako kwetu kumtuma mtumishi wako TENGWA kutufungua fahamu na kutufundiaha elimu ya mbinguni ambayo hatukuwahi kuisikia BABA MATAKATIFU tunakusihi utupe neema Yako tuielewe elimu Yako na kujua Lugha Yako tumishi sawasawa na mapenzi Yako Kwa Utukufu wa jina la YESU KRISTO Amen.
Utukuzwe ee Bwana Yesu Kristo kwa matendo yako makuu
Bwana Yesu usinisahau.Nipe kurudi kwenye asili yangu
Jina la Bwana Yesu libarikiwe
Asante MUNGU kwa mafundisho mazuri kupitia mtumishi wako, sifa na utukufu ni kwako BWANA
Toka nimeanza kukufuatilia maisha yangu ya rohoni yamebadilika sana kiasi najikuta nimependwa na MUNGU
BWANA Yesu azidi kukutumia mtu wa MUNGU
Aminaaaaa eee BABA YETU utusaidie Mungu wetu.
Oooh! Tutapataje kupona tusipo jali injili tamu kama hii, Yesu tusaidie.
Mungu uliye hai tunakushukuru kwa ajili ya huduma hili hakika itawafungua wengi.
Asante mtumishi Kwa ujumbe mwema .
Ameen
Bwana nirudishe kwenye moyo wako
💯💯💯💯
Mchakato wa kwanza kurudi kwenye moyo wa mungu nimeandika
(1)Lazima ujue kutofautisha Dhambi na Haki(warumi 7:4-20).
Bwana Yesu Asante kwa kumtuma MTUMISHI wako.
Nakuja mbele kwa Imani Mtumishi wa Mungu, maana sikuweza kuja huko.
Asante Yesu kwa neno hili
Kutokujua ni vuguvugu
ASANTE MUNGU BABA MUNGU MWANA NA ROHO MTAKATIFU KWA KUMLETA MTUMISHI WAKO KATIKA NYAKATI HIZI ZA MWISHO KWA AJILI YA KULIANDAA KANISA LAKO TAKATIFU
Date game
Dirty game
Dirty game
Date printing error
Bwana Yesu naomba nisamehe na turehemu Tanzania baba yesu usituangamize nakusihi