KILIO KWA TAIFA NA KUADHIBIWA KWA KANISA LA MUNGU TANZANIA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 97

  • @MikaelJosef
    @MikaelJosef ปีที่แล้ว

    Mungu atusaidie mtumishi

  • @jescamwakipesile5339
    @jescamwakipesile5339 ปีที่แล้ว +2

    Watumishi wa Mungu wengi wameonyeshwa juu ya hali ya Tanzania ili TUTUBU k.mf. Askofu Lazaro, Mch. K. Mwasumbi wa Tanzania ITUBU. Mungu atusamehe amekuwa mvumilivu sana kwetu. Ole wetu. Na ashukuriwe Mungu tumaini lingalipo, nafasi ingalipo. TUTUBU tu. Tuwe na watu wa KUMCHA MUNGU.

  • @josephfkinyaghakinyagha7046
    @josephfkinyaghakinyagha7046 ปีที่แล้ว +1

    Hakika tusimame ,na MUNGU,Kwa uweza Kristi YESU,,aturehem,,,NEEEMA yako Bwana ituokoe Watanzania

  • @elpidiusezekiel2729
    @elpidiusezekiel2729 ปีที่แล้ว +1

    mimi napenda unavyoelezea unafafanua kwa hekima sana na ustarabu mwingi namtukuza akaaye ndani yako.

    • @malendejamakashi588
      @malendejamakashi588  ปีที่แล้ว

      Utukufu kwa Bwana Yesu alie tupa kazi hii ubalikie Sana

  • @patientlazaro6930
    @patientlazaro6930 ปีที่แล้ว

    Roho ya kiongozi huwa juu ya anaewaongoza. Mungu turehemu.
    Magufuli alituzoeza maombi alikuwa na hofu ya Mungu, ila kwa viongozi wa sasa hawaheshimu watumishi wa Mungu hawana hofu ya Mungu wala hawawasikilizi watumishi wa Mungu. Eee Mungu turehemu
    Wakristo tungane tumlilie Mungu uwenda akatusikia😢

  • @modestshikilana4610
    @modestshikilana4610 ปีที่แล้ว +1

    Ushuhuda huo na ufunuo huo unaweza kuwa na asilimia 97, kwani ni dhahiri hakuna litendekalo rohoni lisidhihirike mwilini. Tatizo watanzania tumeharibiwa na siasa, kila mmoja ni mjuaji. Hii ni mbinu ya shetani kutupiga upofu, kwani wsnaoifahamu kweli nao hawaaminiani, kila mmoja anajihesabia haki mahali anapoongoza. Migogoro ndani ya madhehebu imekuwa mingi mno. Mungu aturehemu sana, na tuutafute unyenyekevu.

  • @margaritoraphael3805
    @margaritoraphael3805 ปีที่แล้ว +2

    Nimeona maono yanayofanana kama haya siku ya, watu wa Mungu tuombe rehema na toba kwa nchi yetu

    • @malendejamakashi588
      @malendejamakashi588  ปีที่แล้ว +1

      Amen 🙏 mtumishi wa Bwana kweli kabisa watu waache mizaha kabla hatujalia tuomboleze kweli

  • @jescamwakipesile5339
    @jescamwakipesile5339 ปีที่แล้ว

    MUNGU BABA yetu UTUSAMEHE. Tumekutenda DHAMBI. UTUSAMEHE.

  • @rehemanyauli274
    @rehemanyauli274 ปีที่แล้ว +1

    Mungu turehemu Taifa la Tanzania. hii ni kweli kabisa nimeota ndoto za Gharika na majanga ya moto zaidi ya miaka 10 lkn sikuwa naelewa nn maana yake Sasa nimeelewa, Ee Mungu turehemu, jamani hasira ya ghadhabu Mungu ni Kali mno haitazamiki Kwa macho ya kawaida inatisha sana jaman tubuni Kuna hatari kubwa inakuja mbele yetu😭😭😭

    • @malendejamakashi588
      @malendejamakashi588  ปีที่แล้ว +1

      Amen mtumishi wa Bwana tena ni hatali sana mtumishi kama hatutaanguka kwa Bwana Yesu

  • @lillianmanyus6733
    @lillianmanyus6733 ปีที่แล้ว

    Mungu atusaidie sana kunamchungaji amekuja kutuambia huu jumbe kwa habar ya toba juu ya nchi ya Tanzania cha kushangaza wachungaji wamekataa kutubu na kuwambia waumini wasitubu kwani nimtumishi wa shetani Mungu atusaidie sana

  • @mpokimwakaje8178
    @mpokimwakaje8178 2 ปีที่แล้ว +7

    Kweli hiyo meseji ulio ipata nikweli kabisa sauti ya Mungu imesikika ndani yangu,Mara nyingi Mungu atusaidie ,

    • @malendejamakashi588
      @malendejamakashi588  2 ปีที่แล้ว +1

      Mtumishi tushilikianeni kuponya kanisa na taifa mtumishi nilio onyeshwa nimazito Sana hakuna mtu yeyote katika nchi hii atakae simama Wala kustahimili

  • @sporahmilimu9524
    @sporahmilimu9524 ปีที่แล้ว +2

    Mungu anataka watu wamrudie na kama bado hatusikii acha ya tukie.

  • @GgSaw-vi4mo
    @GgSaw-vi4mo ปีที่แล้ว

    Mimi kila siku napata neno hili hapa Yeremia 5: 15-19 na 30-31 kila mwenye biblia na asome jamani tusiwazarau Hawa watu, kiukweli wengi tunapewa ujumbe kama huu kuanzia mwaka jana. Mi mkatoriki lakini napata ujumbe huu!??! Jamani tutubu wapendwa!!??!!!!!!3

  • @josephinemapuga3515
    @josephinemapuga3515 2 ปีที่แล้ว +3

    Turehemu Yesu kupitia Damu yako watanzania,tuitafute iliyo kweli yako na tuyaishi yaliyo mapenzi yako.

  • @felistasabuni861
    @felistasabuni861 ปีที่แล้ว +1

    Nikweli kabisa mtumishi wa Mungu. Mungu aturehemu

  • @peterjohn8802
    @peterjohn8802 ปีที่แล้ว +2

    Makanisa tuungane tuombe na kutubu bwana yesu atuokoe

  • @mariamfaicalhassan2890
    @mariamfaicalhassan2890 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi tuambie tuombe tu Samia hajawekwa na Mungu Samia ni Argent wa shetani, lakini ni sawa tutaomba kiufupi aliyewekwa na Mungu ni JPM

  • @jerusalemhealingcenter6895
    @jerusalemhealingcenter6895 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu atusaidie kusikia ujumbe wake,natubu kwa ajili ya Nchi yangu Tanzania

    • @malendejamakashi588
      @malendejamakashi588  2 ปีที่แล้ว

      Hakika mtumishi Mungu amekusudia kama watu wa Mungu watapuza na hili nilifunulia mazito Sana Sana tuna paswa kukusanyika kila mahali tumulilie Mungu sana

  • @mpokimwakaje8178
    @mpokimwakaje8178 2 ปีที่แล้ว +5

    Mtumishi meseji hiyo namimi nimepewa miezi miwili iliyo pita na ikaniludia Mara tatu,
    Shida ipo kubwa mno,

    • @malendejamakashi588
      @malendejamakashi588  2 ปีที่แล้ว +3

      Sasa mtumishi tunafanya Nini mana kuna tatizo kubwa Sana Kama hatuta fanya Mungu anavyo taka wewe uko mkoa gani mtumishi

    • @malendejamakashi588
      @malendejamakashi588  2 ปีที่แล้ว

      Mungu anacho kitaka kwasasa juu ya Taifa hiili nikuomba Rehema Sana shida inakuja kwenye galama zinakua changa moto kubwa Sana kuandaa watu Ili waombe

  • @mwaiselamwaisela7262
    @mwaiselamwaisela7262 2 ปีที่แล้ว +2

    Shetani ametutenda jeuri, ameleta magonvi kwenye madhehebu ameleta tamaa ya fedha, ametugaw hovyo, kiasi kwamba hatuwezi kukaa kwa pamoja kuliombea Taifa hili kila mmoja hamwamini mwenzake dharau ndicho kinachoendelea. Tumebaki kushindania magari ya kifahari majumba ya kifahari huku tukiacha Taifa linaangmia. Eee Mungu turehemu watanzania.

  • @yusuphanyimike639
    @yusuphanyimike639 2 ปีที่แล้ว +2

    Balikiwa sana mtumishi wa Mungu
    Mungu Akutunze

  • @luganorwetaka7575
    @luganorwetaka7575 ปีที่แล้ว +2

    Turehemu eeh Yesu

  • @kokwendamukiza7558
    @kokwendamukiza7558 2 ปีที่แล้ว +2

    Wana wa Mungu ikiwa mmpewa ujumbe huu kwa kuaminiwa na Mungu tangent mbiu ya kufunga na kuomba kama alivyofanya Yona ujumbe huu ukinenewa kwenye mitandao tu inaweza isisaidie kwani si wote wanaotumia simu janja jambo hili liwe la kitaifa kwa kutumia majukwaa ya nje ( mikutono ya nje)

  • @glorymziray1915
    @glorymziray1915 2 ปีที่แล้ว +4

    Huwo wimbo Mtumishi wa Mungu unaoimba sehemu ya Kwanza na yapili unaitwaje najua TU ni Mtumishi wa Mungu Imanuel mgogo unaitwaje?

    • @malendejamakashi588
      @malendejamakashi588  2 ปีที่แล้ว +1

      Ndiyo ni Emanweli mgogo unaitwa moyo wangu ukichoka ukae name

    • @malendejamakashi588
      @malendejamakashi588  2 ปีที่แล้ว +1

      Moyo wangu ukichoka kaa nami

    • @barakaellaseko3791
      @barakaellaseko3791 ปีที่แล้ว

      Tumwabudu Mungu wetu...Bwana u.sehemu yangu...Lutheran Hyms

  • @urielamos1699
    @urielamos1699 2 ปีที่แล้ว +1

    Huu Ni muda wa kuombea Taifa Tanzania Mungu eepushie mbali

    • @malendejamakashi588
      @malendejamakashi588  2 ปีที่แล้ว

      Amen mtumishi hakika mtumishi mpaka Sasa tuko kwenye maandalizi ya kongamano la maombi kuanzia hapa Mwanza uwanja wa furahisha tuna omba tu mchango wako mtumishi

  • @denisjohn2015
    @denisjohn2015 ปีที่แล้ว +2

    Kweli Mungu anatupenda ila sisi hatupendeki

  • @denisjohn2015
    @denisjohn2015 ปีที่แล้ว +1

    Biblia inasama katika Isaya1:2
    Nimewalisha watoto na kuwalea ,Nao wameniasi
    3.Ngombe amjia Bwana wake na punda hukijua kibanda cha Bwana wake lakini watu wangu Israeli hawafikili

    • @malendejamakashi588
      @malendejamakashi588  ปีที่แล้ว

      Hakika mtumishi kwakweli Mungu atusaidie Sana mtumishi wa Bwana

  • @laurentalfledy8134
    @laurentalfledy8134 2 ปีที่แล้ว +2

    Tumuombe sana Mungu nishawahi kuota ndoto Tanzania tunalia sana watu wanakufa nikaona hadi watu waliokufa wamekuja wanahangaika

  • @brownmtofole
    @brownmtofole ปีที่แล้ว

    Mungu amelifanya kila jambo kuwa jema na pia liwe na makusidi maalum kwa wakati wake chini ya mbingu,..kuna wakati wa kuua na wakati wa kuhuisha,wakati wa kucheka na wakati wa kulia.Mhubiri.3:1-9

  • @marynyerere919
    @marynyerere919 ปีที่แล้ว +1

    Baba wa mbinguni turehemu sisi uiponye nchi yetu.

  • @mpokimwakaje8178
    @mpokimwakaje8178 2 ปีที่แล้ว +2

    Maono hayo nikweli kabisa meseji tunapata kutokana na watu wanchi hii tunashindwa maana hata waumini wenyewe tunafundisha neno nikama atufundishi,

    • @malendejamakashi588
      @malendejamakashi588  2 ปีที่แล้ว

      Nikweli mtumishi lakini walio wateule wake wapo wakisikiliza na kutangaziwa kukusanyika kwajili ya kuomboleza sauti zetu zita fika kwa Mungu kabisa mana ndicho alicho niambia Kama tutakwenda tuna kusanyika tunaomba tunaenda na pengine napo tunaomba atasikia

    • @malendejamakashi588
      @malendejamakashi588  2 ปีที่แล้ว

      Natamani kupata watumishi walio waminifu kwa Mungu hata kama niwachache tuta amusha nia za watanzania kuomboleza

  • @mpokimwakaje8178
    @mpokimwakaje8178 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu atusaidie

  • @mariamshaaban4507
    @mariamshaaban4507 2 ปีที่แล้ว +1

    Eeee mungu tusamehe watanzania tunamioyo migum

  • @rehemaabinelynyagawa2878
    @rehemaabinelynyagawa2878 2 ปีที่แล้ว +1

    Eeeh Mungu tuhurumie tumekutenda dhambi geuza mioyo yetu eeeh Yesu krisito tuhurumie 😭

    • @malendejamakashi588
      @malendejamakashi588  2 ปีที่แล้ว +1

      Ameni mtumishi hakika tuna itaji Rehema Sana Sana

    • @rehemaabinelynyagawa2878
      @rehemaabinelynyagawa2878 2 ปีที่แล้ว

      @@malendejamakashi588 endelea kumwambia Mungu atuhurumie na sisi tuko nyuma yako mtumishi 😪

  • @eskenesilomo7870
    @eskenesilomo7870 2 ปีที่แล้ว +1

    Bwana Yesu na aturahem
    Mungu akubariki sana

    • @malendejamakashi588
      @malendejamakashi588  2 ปีที่แล้ว

      Amen mtumishi hakika Mungu atusaidie Sana ubelikie Sana mtumishi

  • @edvenearpascal6485
    @edvenearpascal6485 2 ปีที่แล้ว +2

    Turehemu MUNGU wangu

  • @sabinakinunda3127
    @sabinakinunda3127 ปีที่แล้ว

    Sodoma na Gomora

  • @givenmsomba9358
    @givenmsomba9358 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu uturehemu Tanzania

  • @gilbertsamson1802
    @gilbertsamson1802 ปีที่แล้ว +1

    Inatisha, Mungu aturehemu.

  • @neemakusuhibwa347
    @neemakusuhibwa347 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu wangu na Baba yangu uturehemu utusamehe makosa.yetu

    • @malendejamakashi588
      @malendejamakashi588  2 ปีที่แล้ว

      Tuna hitaji Rehema Sana mtumishi yemekusudia mabaya mazito Sana nilio yaona kwa Mungu na ile saa ambayo iko juu ya Hilo geti mbinguni kwajili ya Tanzania

  • @timoteadriano776
    @timoteadriano776 2 ปีที่แล้ว +1

    Let your will be done

  • @alphachanneltz2668
    @alphachanneltz2668 ปีที่แล้ว

    Nashuhudia jambo hili nikweli tutubu jaman🧎‍♂️

  • @leahenockmrina5381
    @leahenockmrina5381 2 ปีที่แล้ว +1

    BWANA WETU YESU KRISTO UTUREHEMU SISI WATANZANIA

  • @miriamshayou8638
    @miriamshayou8638 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu haturehemu sana baba

    • @malendejamakashi588
      @malendejamakashi588  2 ปีที่แล้ว

      Yani wakati ambao tunapaswa kukusanyika kwajili ya kuomboleza ni Sasa mtumishi

    • @miriamshayou8638
      @miriamshayou8638 2 ปีที่แล้ว

      Nikweli baba

  • @flm1530
    @flm1530 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameen

    • @johnkasimbi317
      @johnkasimbi317 ปีที่แล้ว

      Huu ni unabii wa kweli, Kanisa litapita ktk wakati mgumu sana, na wengi watavunjika moyo na kuacha kusali. Tutubuni kwa kumaanisha, TANZANIA itapepetwa.

  • @annambezi6226
    @annambezi6226 ปีที่แล้ว

    Chanjo chanjo. Tz mbona hatutaki kumtafuta Mungu? Tumetafuta hekima ya wanadamu. Na kibali kwa wanadamu na si kwa Mungu.

  • @hassanit2177
    @hassanit2177 ปีที่แล้ว

    Kwa maono yako niwazi kabisa ariyo tendewa JPM ndio chanzo pia yure mtoto mchanga Arie msiii mama ndio Aya sasa

  • @boaziernest5921
    @boaziernest5921 ปีที่แล้ว

    Kumbe inatisha mungu tusamee

  • @boaziernest5921
    @boaziernest5921 ปีที่แล้ว

    Mtumish unatufumba

  • @gideonibatangaki1317
    @gideonibatangaki1317 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtoto wacku tatu sita aliyezaliwa kule mbea aliongea kuusu iloswala na mchungaji mmoja akasema msibeze maneno hayo kwenye 2 Kuna moja,Kama Sio kweli wazazi wanaujasili gani yakuongea hayo? Kama nikweli Rais ajitafakari kunanini mbele,tunaweza kuzalau mguu ukaota tende.

    • @malendejamakashi588
      @malendejamakashi588  2 ปีที่แล้ว

      Nilicho onyeshwa nimazito Sana mtumishi tunapaswa kuomba Sana mtumishi mana yanakuja wala si ya Rais tu mana kila mtu alioko kwenye nchi hii yatamupata Kama hatuta omboleza kabisa watumishi

    • @deborakada5355
      @deborakada5355 ปีที่แล้ว

      @@malendejamakashi588 ASANTE kwa ujumbe huu

  • @glorymziray1915
    @glorymziray1915 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi wa Mungu UBARIKIWE Sana Mungu airehemu nnchi yangu ya Tanzania pamoja na watu wake🙏

    • @malendejamakashi588
      @malendejamakashi588  2 ปีที่แล้ว

      Amen mtumishi hakika Mungu tuna muitaji Sana kuliko wakati wowote ule mtumishi

    • @pendomwalwiba6428
      @pendomwalwiba6428 2 ปีที่แล้ว

      Mungu wetu tunaomba utuhurumie Kwa ajili ya mtakatifu aliyeko chini ya jua anayekutumikia Kwa uamiminifu utuhurumie nchi yetu imelaaniwa maisha yamekuwa magumu tunaomb tuhurumie Mungu wa huruma.

  • @gsninetz5019
    @gsninetz5019 2 ปีที่แล้ว +1

    Ndomana Mungu Kila Siku Ananiomba Nimuimbia

  • @gladysvyagusa3185
    @gladysvyagusa3185 2 ปีที่แล้ว +1

    Eee Mungu wa mbinguni uturehemu watanzania usituadhibu kwa ghadhabu yako,fungua mioyo yetu ikurudie wewe.

    • @malendejamakashi588
      @malendejamakashi588  2 ปีที่แล้ว

      Hakika mtumishi tunaitaji Rehema za Mungu Sana Sana mtumishi

  • @Inukatena
    @Inukatena 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu aturehemu

  • @lightymarco851
    @lightymarco851 2 ปีที่แล้ว +3

    Eeeeh Mungu wangu uturehemu Tanzania nipo tayari kusimama kwa ajili ya taifa langu

  • @monicakashele86
    @monicakashele86 2 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU turehemu jehova

  • @nuswemwakasala8687
    @nuswemwakasala8687 2 ปีที่แล้ว +1

    Bwana Yesu aturehemu

  • @hossianamollel8726
    @hossianamollel8726 ปีที่แล้ว +1

    Ee mungu irehemu Tanzania... Mungu akubariki mtumishii .... Tumtafute bwana jamanii watanzania..tuombee rehema kwa pamojaa.....

  • @allymrimi2177
    @allymrimi2177 2 ปีที่แล้ว +1

    Taifa kama Taifa tumeacha kumtegemea (kumuomba) Mungu tumekuwa ombaomba kwa mataifa ambayo Mungu aliyaadhibu kwa ugonjwa wa Corona tunawakabidhi rasilimali za nchi kutokana na misaada wanayotupatia Mungu tuokoe/tusaidie tenda miujiza ili taifa letu Lisiangamie.

    • @malendejamakashi588
      @malendejamakashi588  2 ปีที่แล้ว +1

      Amen ubarkiwe mtumishi wa Mungu kwakweli tunaitaji msada wa Yesu kristo Sana taifa linaitaji msada wa Mungu

    • @wilbertbigilimanabasana2505
      @wilbertbigilimanabasana2505 ปีที่แล้ว

      TUTUBU na kuiamini INJILI. Ikiwa Bwana amenena atalitimiza ...ile wetu Tanzania...maana tumepiga kelele sana juu ya toba ya taifa hilo. Watanzania wana majivuno ya uzuri wao ambao utawaponza kama wasipotubu. Naona aibu kwa ajili ya watu wangu Tanzania. Tugeukie upesi muda umeisha.

    • @berthalwoga2501
      @berthalwoga2501 ปีที่แล้ว

      Ee Bwana Uturehemu kadiri ya Wingi wa Rehema zako tunakiri tumekukosea, tumekutenda dhambi nyingi tusamehe ee Bwana tuhurumie Mungu wetu , tunatubu tusaidie Bwana

  • @editarichard3590
    @editarichard3590 2 ปีที่แล้ว +1

    Tunageuka BWANA usituagamize