@@karimuabdala3234 Kila siku huwa naangalia hii midahalo kwa kweli Mashehe huwa wanakalia ubishi tuu. Yaani hata useme hoja iliyo wazi Mashehe kazi yao kubisha tuu.
Kunakazi kweli ww unafikili kutetea vitu vya uongo kazirahisi wewe mwenyewe unajua yesu sio mungu na mpakaleo unashangaa kusikia watu wakisema yesu nimungu maandiko mangapi kwenye bibilia ya muonyesha yesu akimuomba mungu Hadi kulilia mungu kwenda hadi kukesha na kuabudu usiku kucha katika kumuomba mungu iweje Leo ageuke nakua mungu ghafratu kama huosiuongo?? Nadhani Hilo swali unajiuliza majibu mpaka Leo hulijui😂😂😂 ubarikiwe sana assalamualaikum 🇹🇿🙏🇹🇿
Mwaipopo unaendekeza uchawi mpaka unampinga Yesu ili tu uabudu Majini yaendelee kukusaidia Uganga, Muogope Mungu mwaipopo tubu urudi kwa Yesu atakusamehe.
Mi sitaongelea kuhusu Hui mijadala Ila nataka Ni muambie wewe Na WAKRISTO wenzako yaani Ni lazima mutambue Sisi waislamu tunaamini mitume wote waliotumwa Hakuna muislamu anamoinga yesu Bali tunapinga Yale mnayomsingizia yesu Kua alisema au alifanya
Ujasiri Wa ndacha Ni Kwa ajili ya manufaa yake yeye mwenyewe Analipwa huyo ndacha Na kundi Fulani la watu Na Sio watu kutoka Africa Bali mataifa ya nje Na dhumini Lao Ni kiutaka kuuchafua uislamu Bali Hilo liliwashinda wengi watu waliokua hapo Zamani Na hakuna atakaeweza kuuchafua uislamu au kutoa makosa kwenye Qur'an kwasababu Qur'an imehifadhiwa Na alieihifadhi ndie Alie sema atailinda Qur'an Hadi mwisho Wa Dunia Naye Ni MUNGU
Dah. Huyu ndacha muhuni kweli eti mwaipopo kakubali ukristo dini😂 hapa kamfunika hadi mwandishi wa habar... Dah.... Ni kweli ukristo ni dini na dini ziko nyingi zaid na zaidi ila kuma ile sahihi ambayo mungu anaitambua
Mimi najiuliza....Kwa Nini Kila Mwalimu wa kiislamu anataka kufanya mdahalo na Mchungaji FRANCIS NDACHA? Napima ujuzi wa NDACHA katika maandiko yupo vizuri...anawashinda mashekhe Kila siku.
@@ernestbensonmwamengo1642 huna unacho kijua fatilia vizur ndacha ndio huwataka walimu wa kislam kufanya nao mdahalo na yeye hulipia kila kitu mpaka mdahalo unakamilika kisha huwalipa hao walimu wa kislam pesa ili kumkubalia kufanya nae mdahalo anajua kabisa kuwa hawawezi walimu wa kislam ndio mana malazote hushindwa na yeye hutafuta umaarufu pia anataka kujulikana kupitia hii midahalo ndacha hama elimu ndio mana anaruka ruka kama bisi kwenye hiyo midahalo
waislamu wanadai bibilia imebadilishwa ndiyo maana hawataki kuamini kama hivyo Quran ingesimama katika bibilia ambayo aijabadilishwa ningeamini uislamu ni dini ya mungu
Wakristo mnadai Yesu ni Mungu sasa Mungu gani kabatizwa uongo mtupu yesu siyo mnapenda sana kukufuru kesho mbele ya Mungu mtachomwa moto Mungu gani katairiwa
Na mimi utakata nikisema uislamu ni dini ya majini, heti maururein 72 peponi, ww una akili kweli?waamini aje kitabu ukisomewa unakuwa mwenda wazimu, na ndio maana wasema mtu akatwe kichwa na mapete msioacha nyuma wake kwa waume ya kishetani, huoni haya ukiogea ujinga huo kwenye comment si hata unaonyesa mlivyo waasi mkono wa kulia wa shetani
Kwanza Mnatakiwa Kujua Mungu ni Nani ? Je Kuna Mwanadamu Alie waiKumwona ? Soma Yohana 4 - 24 inasema Mungu ni Roho na Kweli Endelea , DINI yetu imetoka Katika Majina yake Aya Mawili Yesu Kristo , hebu Someni 1 Wakorintho 11 - 1 - 34 Anasema Kichwa Cha Kila Mwanaume ni Kristo na Kichwa Cha Mwanamke ni Mwanaume na Kichwa Cha Kristo ni MUNGU , Tunaomba Mtuambie kama Kuna Mtu Yoyote Duniani Aliye wai Kuiona Roho yake ?, hii Roho iko Ndani yake Kristo Yeye Anaijua Tena Ameiona , Yapo Maandiko Ndani ya Bible .
Kwanini, Kira munaona, kitu kisico eleweka ndani yakoroani ,munajisaidisha bibiriya? Bibiriya sikitabu cenu kamilisha dini yenu, kwa kitabu cenu, kwasabu koroani ni uongo ,lazima mujisaidie na bibliya. Bibliya ina sili yak na muongonzo wak,sio kama uongo wakoroani ilio peanwa na adui wajiblili alafu mukaimusingizia jiblili, mutok tumewangundua.
Shida ni kua bibilia maandiko yake yanajigonga gonga yako maneno yako Sawa na mengine hayako Sawa Yesu alipewa injili sio bibilia katika kuitafcri ndio maneno mengi yalipotoshwa
@@favoritebrayo Many Muslims are fools when it comes to bible so there no way u can rationally av meaningful conversation with them about bible, is baloney
UNA UELEWA MDOGO SANA. YAANI UNAAMIN QURAN NDIO YA KU CROSS CHECK BIBLE? Hutaki kujiuliza Muhammad ambaye hata hakuonana na Yesu amzungumzie Yesu zaidi ya Petro na Yohana wanafunzi wake
Kwani hujui kua yesu alisema kua yy ni mtume na alisema kua atakuja mtume baada yake ambae ni Muhammad? Quran 61:6-7 Isomeni Quran msiskize watu na wanafunzi WA yesu white Walikua waislamu pia
Hakuna dini inaitwa ukristo kwanza pengine kwa ili ajue io ni kung'oa na hapa ni simulizi mbele ni shaff au wale walopita heti illuminati, na yesu yuaja uku mkisema dini iliumbwa, have many to say but not to this absurdism
Quran 3:18-19 Quran 3:84-85 Quran 30:30-31 Uislamu ni umbile aliloumbiwa Kila binadamu na uislamu haukuletwa na mtume Muhammad Manabii wote kuanzia Adam paka Muhammad wote walikua waislamu na manabii wote ujumbe wao ulkua ni mmoja watu wote wamuabudu Allah pekeake bila kumshirikisha na kitu chochote Wala Allah Hana mwana wala hakuzaa wala hakuzaliwa na Allah ni mmoja pekeake wala Hana mfano
Hakuna nabii yoyote aliyempa sifa Allah ambazo Hana Allah hana mwana na hakuna nabii yoyote aliyesema kua Allah ana mwana na ikiwa Yuko nitajie Manabii wanafata Yale wanayofunuliwa kutoka Kwa Allah wao hawasemi ila waliyoteremshiwa
Mfano ikiwa sai wafanya KAZI kisha iwe washindwa kujipangia mambo yako je utaweza kujipangia ikiwa huna kazi? haiwezekani Ikiwa Adam ndio binadamu WA kwanza kuumbwa Hana Baba wala mama na alikua akiishi peponi kuna habari kua ushaskia akiitwa mwana WA mungu? Yesu sio binadamu WA kwanza kuumbwa na ana mama na alikua akiishi duniani iweje awe WA Mungu?
Mwana jeshi wa yesu ndacha Mungu akubariki
Mwanajeshi wa yesu afrika mashariki Francis Ndacha amefika tanzania
@@mwanafbii7 🙏
Mwalimu Francis Ndacha, Mungu akubariki tutembee kwenye dini ya Mungu Muumbaji
Tutakuombea mtumishi wa mungu ndacha na MUNGU wa mbinguni atakutetea kuonesha njia ya kweli na ya hakuna ambayo ni ukristo. Amen
Ndacha mweupe sana hana hoja
@@karimuabdala3234
Kila siku huwa naangalia hii midahalo kwa kweli Mashehe huwa wanakalia ubishi tuu. Yaani hata useme hoja iliyo wazi Mashehe kazi yao kubisha tuu.
Hapa kuna kazi mungu amjalie ndacha aweze kuonekana mungu wetu
Kunakazi kweli ww unafikili kutetea vitu vya uongo kazirahisi wewe mwenyewe unajua yesu sio mungu na mpakaleo unashangaa kusikia watu wakisema yesu nimungu maandiko mangapi kwenye bibilia ya muonyesha yesu akimuomba mungu Hadi kulilia mungu kwenda hadi kukesha na kuabudu usiku kucha katika kumuomba mungu iweje Leo ageuke nakua mungu ghafratu kama huosiuongo?? Nadhani Hilo swali unajiuliza majibu mpaka Leo hulijui😂😂😂 ubarikiwe sana assalamualaikum 🇹🇿🙏🇹🇿
Hii safi sana, mwaipopo kesho ataadhirika hakika😂😂😂
Sahau
Hiiii nzuriiii sana🎉🎉
😅😅 true
@@daudimichael7338 mwaipopo hamna kitu hapo
Umesema kweli jana hakuja huyu ni mkora hajui chochote akubali tuu ameshindwa
Mwaipopo unaendekeza uchawi mpaka unampinga Yesu ili tu uabudu Majini yaendelee kukusaidia Uganga, Muogope Mungu mwaipopo tubu urudi kwa Yesu atakusamehe.
Mi sitaongelea kuhusu Hui mijadala Ila nataka Ni muambie wewe Na WAKRISTO wenzako yaani Ni lazima mutambue
Sisi waislamu tunaamini mitume wote waliotumwa
Hakuna muislamu anamoinga yesu
Bali tunapinga Yale mnayomsingizia yesu Kua alisema au alifanya
Sasa utubu kwa yesu au kwa Mungu??
Soma biblia katika Yohana 10:30 utapata jibu lako
Mwalimu Ndacha wewe ni kamanda huna woga unawafuata Waislamu kutoka mbali bila woga
Uo ujasiri alonao amfundishe na yule murtad anaeichezea Qur-ani akuje huku sio anapiga kelele wkt amejifungia ndani
Ndacha debe tupu kelele tu isioeleweka.
sasa wewe wenzako maprofesa wamechemkaa wewe mwaipopo unatafuta kubatizwa
ndio maana yuko katika ukweli nayuko katika dini ya kweli!
Ujasiri Wa ndacha Ni Kwa ajili ya manufaa yake yeye mwenyewe
Analipwa huyo ndacha Na kundi Fulani la watu Na Sio watu kutoka Africa Bali mataifa ya nje
Na dhumini Lao Ni kiutaka kuuchafua uislamu Bali Hilo liliwashinda wengi watu waliokua hapo Zamani Na hakuna atakaeweza kuuchafua uislamu au kutoa makosa kwenye Qur'an kwasababu Qur'an imehifadhiwa Na alieihifadhi ndie Alie sema atailinda Qur'an Hadi mwisho Wa Dunia
Naye Ni MUNGU
Umeongea vzur Mwaipopo
Kwani huwa mnapatikana wapi nahaya mafundisho maana mchungaji ndacha huwa nakuerewa sana
Simulizi hebu siku moja ualike mwalimu kasina wa kenya,uone vile uislam itagaragazwa, huyo ni mkali sana kwa bibilia
Dah. Huyu ndacha muhuni kweli eti mwaipopo kakubali ukristo dini😂 hapa kamfunika hadi mwandishi wa habar... Dah.... Ni kweli ukristo ni dini na dini ziko nyingi zaid na zaidi ila kuma ile sahihi ambayo mungu anaitambua
Wewe Mwaipopo Qur'an 3:19 na 3;85 hizo Aya hasemi Mungu anasema walaga
WEWE!! QUR'AN YOTE NI MANENO YA ALLAH. HAKUNA NENO HATA MOJA LA BINADAMU. LAKINI KTK BIBLIA KUNA MANENO MENGI YA WATU
@@mohamedhajimsingino2172 Kwa hiyo na majini yaliyosema kwenye Quran 72:1-14 nayo ni Mungu?
Wanabatizwa makafili ili wakamilike ukafili wao
Mimi najiuliza....Kwa Nini Kila Mwalimu wa kiislamu anataka kufanya mdahalo na Mchungaji FRANCIS NDACHA? Napima ujuzi wa NDACHA katika maandiko yupo vizuri...anawashinda mashekhe Kila siku.
@@ernestbensonmwamengo1642 huna unacho kijua fatilia vizur ndacha ndio huwataka walimu wa kislam kufanya nao mdahalo na yeye hulipia kila kitu mpaka mdahalo unakamilika kisha huwalipa hao walimu wa kislam pesa ili kumkubalia kufanya nae mdahalo anajua kabisa kuwa hawawezi walimu wa kislam ndio mana malazote hushindwa na yeye hutafuta umaarufu pia anataka kujulikana kupitia hii midahalo ndacha hama elimu ndio mana anaruka ruka kama bisi kwenye hiyo midahalo
@@ernestbensonmwamengo1642 ndachs hujui kitu ni uluminati ndio maana anawapoteza
Kwasababu anaujua ukweli ila anapoteza watu kwaiyo wanafanya mjadala nae ili watu wazinduke wasimfuate waujue ukweli
Ndacha ni mwiba wenye sumu kali kwa waislamu hivyo wanajitahidi kujaribu kudhibiti hoja zake japo mpaka sasa wameshindwa
Kwani si ata uyo Ndacha mwenyewe nae anaomba midahalo na mashekh tofauti tofauti,au hujamsikia akisema anahamu na shehe Mwaipopo,mara yanyuma alimkamia shekh Shafy,mbona unajiuliza maswali mepesi ivo😅
waislamu wanadai bibilia imebadilishwa ndiyo maana hawataki kuamini kama hivyo Quran ingesimama katika bibilia ambayo aijabadilishwa ningeamini uislamu ni dini ya mungu
Qur'an imesimama badala ya Taurat, zaburi na injili...kwa hiyo Yale yaliyobadilishwa na kuondolewa Qur'an imekuja kuyabainisha
Kwa akili zenu, Kama Mungu alishindwa kuilinda taurat,zaburi Na injili Ni aje ataweza kuilinda quran??@@rajabumwinshehe557
Sio waislamu wanasema Bali Ni maandiko kwenye bibilia yenu ndio yanasrma hivo
Andiko gani linasema hivyo?@@alyzickohotestboy887
Usikimbilie yeremia 8:8 utaumbuka Vijaya mno!
Bhax mwaipopo huna akili unaendaa kufanyaje sasa kama ukubali mandiko
Wakristo mnadai Yesu ni Mungu sasa Mungu gani kabatizwa uongo mtupu yesu siyo mnapenda sana kukufuru kesho mbele ya Mungu mtachomwa moto Mungu gani katairiwa
Tafuta elimu
Hakuna aya inasema uisilam ni dini ya mungu
Umesoma
Umesoma
Jamani tarehe ngapi
@@pastorafande142 kesho
Wanasema kesho tar 10/1/2025
Mwaipopo elimu yake bado sana, na ana ulimi mzito sana.... 😂 sishauri afanye mdahalo na Ndacha mana ndacha maneno mengi 😢
@@bakarimakomola 😂
😅😅😅 muandishi amempa swali kabla ya mdahalo lkn ameshindwa kujibu ndacha bhn
Sheikh mwaipopo 🙏🙏
Wakristo ndacha ndio tegemeo lao akisilimu tu wameisha😅😅😅
Aje aabudu majin,hat mje na masheikh basi lijae bad hamumuwez ndacha waabudu majuni nyiny😮😮
Kuna wengi Kenya, kina kasina, mbidha, Hawa ni mwiba Kwa waislam
Ndacha ni shetani
😂Ramadhan ijayo Simulizi tunaswali nae tarawehe inshallah
Amin
Ndacha anafa kukatwa kichwa wallahi billahi
😂😂😂
Mkikata kichwa ndacha watainuka wengi zaidi
Na mimi utakata nikisema uislamu ni dini ya majini, heti maururein 72 peponi, ww una akili kweli?waamini aje kitabu ukisomewa unakuwa mwenda wazimu, na ndio maana wasema mtu akatwe kichwa na mapete msioacha nyuma wake kwa waume ya kishetani, huoni haya ukiogea ujinga huo kwenye comment si hata unaonyesa mlivyo waasi mkono wa kulia wa shetani
Kwa kosa gn
Wepesi kutoa hukumu ...
Uislamu ni maumbile ya mwanadamu, kuna mwanadamu amezaliwa akiwa ametahiriwa?
Kwanza Mnatakiwa Kujua Mungu ni Nani ? Je Kuna Mwanadamu Alie waiKumwona ? Soma Yohana 4 - 24 inasema Mungu ni Roho na Kweli Endelea , DINI yetu imetoka Katika Majina yake Aya Mawili Yesu Kristo , hebu Someni 1 Wakorintho 11 - 1 - 34 Anasema Kichwa Cha Kila Mwanaume ni Kristo na Kichwa Cha Mwanamke ni Mwanaume na Kichwa Cha Kristo ni MUNGU , Tunaomba Mtuambie kama Kuna Mtu Yoyote Duniani Aliye wai Kuiona Roho yake ?, hii Roho iko Ndani yake Kristo Yeye Anaijua Tena Ameiona , Yapo Maandiko Ndani ya Bible .
Kwanini, Kira munaona, kitu kisico eleweka ndani yakoroani ,munajisaidisha bibiriya? Bibiriya sikitabu cenu kamilisha dini yenu, kwa kitabu cenu, kwasabu koroani ni uongo ,lazima mujisaidie na bibliya. Bibliya ina sili yak na muongonzo wak,sio kama uongo wakoroani ilio peanwa na adui wajiblili alafu mukaimusingizia jiblili, mutok tumewangundua.
kbs umenena vizuri!
Akuna neno la Ukristo ndani ya Biblia. So Mungu atambui Dini inaitwa Ukristo.Wala Yesu hajui. Hio ni jina tu lakupanga na Wazungu.😚
Muhammad kashuka kutoka mbinguni aho vp?nakama hajashuka toka mbinguni katoka wapi?
Ni uelewa wako mdogo tu unaokufanya useme hivyo
Uhuru wa kutoa maoni umeutumia kwa kubananga vyote ! Lugha na maudhui.
Kwa sababu wakiristo hawasimi bible hwawezi kujibu
😅😅😅 ht wanao abudu miti wana dini pia lkn sio Mungu ndacha kazi unayo kesho
Paulo ninani ktk injili paulo kajipa utume mwenyewe wala yesu hajamtabiri
Na ni Paulo ndio ameanzisha hii dhambi walokuwa nayo wakristo kujipachika utume wenyewe
Wapi andiko yesu kasema aabudiwe ?
Wapi andiko wapi yesu kasema yeye mungu kwa kinywa chake ?
Na yesu alipokuwa akiabudu alikuwa akimuabudu nani
Warumi walimtumia Paul kuanzisha dini kwa masilahi yao
na Mohammed ni nani katumwa na shetani mwenyewe
@@favoritebrayo unamaanisha yule shetani mwenye kiti çhake kanisani au ?
Mwaipopi unasema watazamaji wawe DHAHIRI !? Mbona unapwaya mapema !?
Ndacha anataka tu kupoteza watu mwisho atasilimika bt the best way to do nikumukata kichwa
Mtume Hana dini 🤣🤣🤣
Dini ni ya Allah ila mtume anafikisha huo ujumbe alopewa
Quran: 61:7-9
Najiuliza swali MUNGU ana lugha gan kwanini ujipe uhakika kua dini flan ndio kweli halafu mbeya hakunaga hiyo dini
Kua mkiristo maana yake ni mfasi wa YESU swali uisilam nikua mfuasi wa mtume?
Huyu mwaipopo kuna clip ndacha alimwaibisha sana,huyu ni kitoweo kwa ndacha, ndacha atamwadhibu bila chuki
Shida ni kua bibilia maandiko yake yanajigonga gonga yako maneno yako Sawa na mengine hayako Sawa
Yesu alipewa injili sio bibilia katika kuitafcri ndio maneno mengi yalipotoshwa
lete moja sasa lenye limejingoga
@@favoritebrayo Many Muslims are fools when it comes to bible so there no way u can rationally av meaningful conversation with them about bible, is baloney
UNA UELEWA MDOGO SANA. YAANI UNAAMIN QURAN NDIO YA KU CROSS CHECK BIBLE? Hutaki kujiuliza Muhammad ambaye hata hakuonana na Yesu amzungumzie Yesu zaidi ya Petro na Yohana wanafunzi wake
Kwani hujui kua yesu alisema kua yy ni mtume na alisema kua atakuja mtume baada yake ambae ni Muhammad?
Quran 61:6-7
Isomeni Quran msiskize watu na wanafunzi WA yesu white Walikua waislamu pia
@@HashimMohamed-ku8mg alisema wapi ebu nionyeshe
chakushanga waislamu hudai biblia si kitabu cha Mungu ila kwenye mdahalo yao utumia biblia kwa nini wasitumie quran yao?
mwaipopo ana wake wangapi? alikuwa mchungaji wa dhehebu gani? la kikristo?
Hakuna dini inaitwa ukristo kwanza pengine kwa ili ajue io ni kung'oa na hapa ni simulizi mbele ni shaff au wale walopita heti illuminati, na yesu yuaja uku mkisema dini iliumbwa, have many to say but not to this absurdism
Eti hakuna maandiko yanayosema kua manabii wote walikua waislamu?ww hata hujaisoma Quran
ISLAM OR CHRISTIANITY
Neno ISLAM limo kwenye Qur'an. Neno UKIRISTO halimo kwenye Biblia.
bakia basi na majini wako
wewe ata hujui chochote
Dini ziko 2 tu upendo na chuki je wewe uko upande gani?
Huyu kweli kafiri
kafiri ww unasafiri kwenda kubusu jiwe jeusi maccah
Quran 3:18-19
Quran 3:84-85
Quran 30:30-31
Uislamu ni umbile aliloumbiwa Kila binadamu na uislamu haukuletwa na mtume Muhammad
Manabii wote kuanzia Adam paka Muhammad wote walikua waislamu na manabii wote ujumbe wao ulkua ni mmoja watu wote wamuabudu Allah pekeake bila kumshirikisha na kitu chochote
Wala Allah Hana mwana wala hakuzaa wala hakuzaliwa na Allah ni mmoja pekeake wala Hana mfano
hayo ni maneno ya mohamed bana si ya MUNGU
Kando na Mohammad Ni nabii yupi mwingine kasema kwamba Mungu Hana MWANA??
Hakuna nabii yoyote aliyempa sifa Allah ambazo Hana
Allah hana mwana na hakuna nabii yoyote aliyesema kua Allah ana mwana na ikiwa Yuko nitajie
Manabii wanafata Yale wanayofunuliwa kutoka Kwa Allah wao hawasemi ila waliyoteremshiwa
Mfano ikiwa sai wafanya KAZI kisha iwe washindwa kujipangia mambo yako je utaweza kujipangia ikiwa huna kazi? haiwezekani
Ikiwa Adam ndio binadamu WA kwanza kuumbwa Hana Baba wala mama na alikua akiishi peponi kuna habari kua ushaskia akiitwa mwana WA mungu?
Yesu sio binadamu WA kwanza kuumbwa na ana mama na alikua akiishi duniani iweje awe WA Mungu?