This Sheikh MAZINGE s Fantastic and Amazing! May Almighty Allah bless him. He is indeed blessed by the Lord of all mankind. Christians, please listen to him without bias. He will guide you, using the Quran, and Bible, to HEAVEN. His arguments make sense. Turn your intellectual cup the right side up so you can receive guidance. If your cup is upside down because of BIAS, you will not get any guidance. Listen to him. It is what your LORD wants. May God, ELAHA in Aramaic, ALLAH in Arabic, wants you to do. So you too can be SAVED! Thanks. RAY FROM CANADA
Mazinge nakuhurumia,ungemjua unae dadisi habari zake ni mfalme wawafalme ambae baada ya maisha haya ya duniani Utasimama MBELE ZAKE kutoa hesabu ya maneno ya kinywa chako,
Yani kusema wakiristo tunafuata wazungu Kama Ni hivo na ninyi mnafuata mkumbo wa waarabu ,Ila ukweli ipo siku ambayo mtakuja kujutia Sana NAFSI zenu na wakati huo rango la rehema litakuwa limefungwa
Hugo mazinge ajifurahisha Hugo kesho kutwa atatokewa na Yesu MWENYEWE na ataokoka kama Alijojo makanzu alivyookolewa mazinge silolote hiyo inakuja waisla mazinge ukweri anaujua
Muislamu hawez kishindwa kwacbb dini yake imekamilika na hakuna kisicho wazi kidalili nyinyi makafiri sio Kama hamuamini Ila tu munaukaidi na mishipa ya kiyahudi rudini kwa Allah na mtume Muhammad awe ni kiongozi wenu , njia munayo fata nyinyi ni yakwenda motoni hiyo Allah awaongoze in shaa Allah
Mbona mumekataa sauti ya mazinge kipindi kirudiwe ....ndo maana nashangaa ati ni swali gani mashiekh wameshindwa kujibu..Bali munakataa sauti huwa hamukubali kushindwa....
Dini ni lugha ya kiarabu inayomaanisha njia .....hapo wameshindwa kujibu ni kurukaruka tu because you are more antichrist and na kama mnaelewa yesu ni nani lazima muamini pia maneno yake maana yesu anasema Mimi ndimi njia ya kwenda Kwa baba hakuna haendae isipokua kupitia kwangu. Wapi kataja Mohamed...... bible has a hidden meaning to the antichrist they will never understand because they expect it to work with the world science not knowing God is above everything we are discovering and that's why He sent his son to prove that he has power over nature and science.
Very well Jesus said i am the way the true and the life no one comes to the father true way ... I dont know this kind of Prophet Muhammed... Yeyote aki amini kwamba Yesu ndie Bwana ataokoka
Mmekata sauti ya nini???Hamjielewiii kabisaaaa,wakati Wa kuuliza sauti IPO ila wakati Wa majibu sauti hamna??Sheikh Mazinge hakuwahi kushindwa na swalii
Waislam ndiyo walikata Sauti kwenye vyombo vyao vilivyokuwa vikirekodi Sauti. Wewe huoni mwisho mwenyekiti wa Waislam anampa mipasho Mazinge kwamba hakutumia muda vizuri anaeleza utumbo. Na Mara ya Pili hakurudi Tena ikabidi mwenyekiti atafite Mwalimu mwingine naye swali likamshinda
Anyooshe wapi Mada manabii wa kale ni wakristo na Quran imesema jadilianeni na Dini zilizo tangulia ambazo ni waislam na Wakristo sasa anabishana na kitabu chake mwenyewe si Chizi huyo mzee? Jibu ndio au hapana basi sasa yeye anaanza Ukristo sio Dini mara Wasabato sijui nini hapo hakuna blabla jibu kutokana na Quran ilivyo jieleza Kafiri mkubwa Mfuga Majini Mazinge.
I think NI Bora binadamu kujifunza kubalance Mambo,ukitaka kulijua Jambo jifunze kutoka kwa wanaolijua jambo lenyewe,ikiwa umejifunza kwa ambaye mwenyewe kafundishwa n'a ambaye hajui n'a wewe kuamini ndio ukweli unajidhulumu,nashauri mkristu akitaka kujua ukweli kuhusu uislamu aende madrasa n'a kama muislamu unataka kuujua ukweli wowote kuhusu ukristo basi n'a uende kwenye mafundisho yao ukajifunze kutoka kwao ili uupate ukweli wenyewe
Tunapenda kuomba radhi kwa kukatika Mawasiliano katika Video hii. Hii Ni sababu ya kiufundi ambayo haikuwa ndani ya uwezo na Wala siyo kwa Maksudio ya kuficha ujumbe weowote. Kuna Chanel zingine Tena za Kiislamu zili rekodi mdahalo huu. Hapa Ni link ya kipande hicho hicho Cha Mazinge kushindwa kujibu swali. th-cam.com/video/n7cm_rUtQaE/w-d-xo.html
Mazinge ni kujigamba na kujipiga kifua cha kiburi,utakula kiburi chako siku moja,nayo ni ya kiama utasimama mbele yake Yesu huyo mnaye msukuma kwenye ukuta. Uta juta ndugu, chaguo ni lako
Siku mutakapo fumba macho ndio mtajua kwanini mliku mnlipwa mshahara kwasbabu ya uongo nyie mnaojiita wasabato wafuas wa Helen g white, Hakika mmezitia nafsi zenu katika upumbavu,
Hizi dini zitawasaidia nn , amini nawambia yeyote asie amini na kukili kuwa yesu kristo ndio njia ya kweli na uzima na kumfuata yeye Kisha aka okoka , hato uona ufalme wa mbinguni.
@@mbwanarajab4756 mbona bado mnafuata inshala ya mwezi unapo andama ndipo mnafanya ramazani?? Je kufuata inshala ya mwezi sio kuabudu sanamu??? Je unafahama mtume Muhammad alipovunja sanamu zote pale makha mu na sanamu ya Allah nayo ilikua miongoni ??? Je unajua kabla ya kifo cha Muhammad alisema anaogopa kifo chake ju anajua baada ya kufa kwake wafuasi wake wanaweza kugeuka?? 1. Point of correction dini ilio tangulia ni ya wayahudi, na mwanzilishi ni Abraham sasa ni wapi Abraham aliabudu sanamu????? Ya pili ni ukristo na sio ukatoliki. 3. Ukatoliki sio ukristo bali ni upangani , (roman empire in religion) na izo misanamu ni viongozi wa roman empire wakafanya uongo na kujingiza katika ukristo lakini ki ualisia sio bali ni waongo na mashetani
Nyie Pimbi mmeandika heading mkijua kbs mkitumia jina la Mazinge watazamaji watakuwa wengi na mtapiga hela ya kutisha. Mi nilitaka kushangaa, swali Nyanya Kama Hilo Mazinge ashindwe!!!???
🤣🤣🤣wanashangaxa sana mbona mwatoa saiti kunanyengine pia walisema maxinge atangaxa kubatizwa🤭hawanajipya wataomba sana maxinge ashindwe kujibu swali Allah atakulinda maxinge🙏
This Sheikh MAZINGE s Fantastic and Amazing! May Almighty Allah bless him. He is indeed blessed by the Lord of all mankind. Christians, please listen to him without bias. He will guide you, using the Quran, and Bible, to HEAVEN. His arguments make sense. Turn your intellectual cup the right side up so you can receive guidance. If your cup is upside down because of BIAS, you will not get any guidance. Listen to him. It is what your LORD wants. May God, ELAHA in Aramaic, ALLAH in Arabic, wants you to do. So you too can be SAVED! Thanks. RAY FROM CANADA
What u have said it make sense.
May Allah grant us understanding.
Greetings from capetown Rsa.
Ikiwa utume wa Mohamed ni wizi wa aya za bibilia nabii alie umi bt Torati alio iba 18:18-20 Mohammed akakufa kudhihirisha ule wizi yan uongo
@@RodgersMaehahaha😅😅😅 pole sana ndgu
Asalm alaykum mbona sauti akuna masheikh wameshidwa kivp yani Imani yangu imani Yang inanituma kama wameweza masheikh wetu Allah awazidishie umri 🤲🤲🤲
Mungu alisaidie kanisa lake (SDA) kwa kazi nzuri
Penye ukweli uongo hujitenga asante
Sio mnyazi mungu bali mwenye enzi mungu msomaji wa kikristo mbona anakosea Mungu Heshima.
Kizuri umemkosoa maana yake
Mazinge Allahuma barik
Allah akupe umri mreefu sheikhe wangu ustadh Mazinge💯🔥
Wanapaswa wawaulize wakristo na mayahudi watapata kufunguliwe af mabishano yataisha amen
Mashallah Allah
Kidume akifika jukwaani, mnatoa sauti, si mgeacha tu myoroshwe tu😂😂
Assalam Aleikum, napenda nichangie kwa wanaoshuhulika na vipaza sauti maranyingi vinapoteza mawasiliano nayanaporudi huwa tumepitwa na mengi sana
Kichwa cha habari ni kibovu shehe wangu mazinge anakipaji kkubwa alichpewa na Allah mashaallah
Mazinge sio mchezo hili swali ni ndogo sana kwa mazinge
mbona sasa amechemka
Mazinge nakuhurumia,ungemjua unae dadisi habari zake ni mfalme wawafalme ambae baada ya maisha haya ya duniani Utasimama MBELE ZAKE kutoa hesabu ya maneno ya kinywa chako,
Kkkkk’ila wakristo mnaakili ndogo sana wazungu wanawadanganya sana tu na kuwatawala ndiyo maana hamuwezi kuelewa.
UFalme mnampa nyie ilihali amesha sema yeye simungu
Wazungu wanasilimu nakugeuza makanisa miskiti webado unaamini kitabu walicho kuandikia wazungu wakat yesu hakuwai ata kukanyaga ulaya
@@saidirajabu7863 ni wapi alisema yeye si Mungu
Yani kusema wakiristo tunafuata wazungu Kama Ni hivo na ninyi mnafuata mkumbo wa waarabu ,Ila ukweli ipo siku ambayo mtakuja kujutia Sana NAFSI zenu na wakati huo rango la rehema litakuwa limefungwa
Mazinge kawashinda siku nyingi tuu bona
Hugo mazinge ajifurahisha Hugo kesho kutwa atatokewa na Yesu MWENYEWE na ataokoka kama Alijojo makanzu alivyookolewa mazinge silolote hiyo inakuja waisla mazinge ukweri anaujua
Mwehu wewe huko ndo aliko toka kwa yesu
Jipe moyo wa kujidanganya
Mhm
Sas ss tunajuaje mazinge kashindwa swali hali yakua mmekata saut nyie vp ,,,,,,mazinge niswali gani alishindwa kujibu nandomana tukaangalia tujue kidume was Allah anashindwaje swali .. waislamu takbiiiiiirii🌟🌙
الله اكبر
Makafiki muko na shida mumeamua mukate sauti isiskike
Sasa ndio unasema. Mashekhe wameshindwa kujibu swali wakati sauti mafundi wenu sauti wametoa. Pumbavu Sana
Wanajifanya wajanja sna awa muhubri wao alivo ulza swli sauti imetoka vzri lkn wakat wa kuonge shekhe saut inaktshw katshw
🤣🤣🤣🤣
Hamna sauti wakat wa majib ya mazinge hahaha....
Nafikiri mashekhe upo sahihi
Muislamu hawez kishindwa kwacbb dini yake imekamilika na hakuna kisicho wazi kidalili nyinyi makafiri sio Kama hamuamini Ila tu munaukaidi na mishipa ya kiyahudi rudini kwa Allah na mtume Muhammad awe ni kiongozi wenu , njia munayo fata nyinyi ni yakwenda motoni hiyo Allah awaongoze in shaa Allah
Mazinge Allah akurehemu
Majibu ya mazige mnayakata alafu mnasema kashidwa
Hawana majibu hao
Bh
Mmemzimia mic Mazinge ili jibu lake lisisike.ujanja wa wakristo daima
Mbona mumekataa sauti ya mazinge kipindi kirudiwe ....ndo maana nashangaa ati ni swali gani mashiekh wameshindwa kujibu..Bali munakataa sauti huwa hamukubali kushindwa....
Fine
Allah Akbaru 🥰
Wainjilist mnaongozwa na kitabu gani mstari gani kubishana na wasioamini mbona mnapoteza muda.
Makafiri mnatabu sana,
Kafiri ndonin ndugu
Jesus Christ is the Son of God. he can save us. Acts 17:30
Kwaiyo yesu ni mtoto was mungu. Je Huyo mungu ni mwanamme au mwanamke.
Dini ni lugha ya kiarabu inayomaanisha njia .....hapo wameshindwa kujibu ni kurukaruka tu because you are more antichrist and na kama mnaelewa yesu ni nani lazima muamini pia maneno yake maana yesu anasema Mimi ndimi njia ya kwenda Kwa baba hakuna haendae isipokua kupitia kwangu. Wapi kataja Mohamed...... bible has a hidden meaning to the antichrist they will never understand because they expect it to work with the world science not knowing God is above everything we are discovering and that's why He sent his son to prove that he has power over nature and science.
UHUNII HUO KIDUME KINALETA MAJIBU NYIE MMEKATA SAUTI
IMEISHA HIYOO
Hapa nikupamban na iman yako tu jamn hayo yote mwachien tu mungu jamn yey do anajua
😀😀😀😂😁😂
Mnajaribu kuficha Haki wakati Haki Unadhihirika!!!! Kwani hamzingatii
Mnakazi ya kubishania dini tumnaboa
Sauti wameipoteza sio
UNAONA UJANJA WA WAKRISTO WAMEKATA SAUTI HALAFU WANASEMA WAMESHINDWA KUJIBU SWALI ACHENI LONGOLONGO
Wel
Wakristo wakiuliza swali nje ya mada na wakajibiwa sema mda wa Mazinge uliisha.
Always waislam ni Pasua kichwa hawajui lolote hukalia sana Ubishi na ujuaji feki
Toa hoja kwa vitabu sio kwa kichwa ndugu yangu😹😹😹😹
Hao wanaojiita wakristo mm naona wasaelewi wana akili gani kila wanavofahamishwa haki wao wanapinga na kutanga batili au ndio wanatetea vibarua vyao
Jamani nenda You tube tafuta Christian Prince mwanafunzi mahiri wa kitabu cha Allah atakutafsria kiarabu uelewe
Takbiiiiir
MBONA SAUTI YA MAZINGE HAISIKIKI
Wamezingua
Very well Jesus said i am the way the true and the life no one comes to the father true way ... I dont know this kind of Prophet Muhammed... Yeyote aki amini kwamba Yesu ndie Bwana ataokoka
all the prophet of god they are the way to father ,and if jesus is way to go to the father why you people you plaised him as father .
@@keddydonchedda1894 Every thing about the father is possible is the way and the life
Mtatendo ya mitume 11.25.26
Kweli akili zwnu sizo tutajua vpi kama swali limemshinda n hakuna tunachoskia zaid y salam .
Mambo ya fundi mitambo ka mute sound
Mungu akupe uml mlefu shehk wangu mazinge
hakuna suali gumu lisilo na jibu...
Mnabishana nini mkubalini Yesu muokoke msamehewe dhambi
Dini hazitawapeleka mbinguni ila Yesu ndo mwenye mbingu pekee
Mmekata sauti ya nini???Hamjielewiii kabisaaaa,wakati Wa kuuliza sauti IPO ila wakati Wa majibu sauti hamna??Sheikh Mazinge hakuwahi kushindwa na swalii
Waislam ndiyo walikata Sauti kwenye vyombo vyao vilivyokuwa vikirekodi Sauti. Wewe huoni mwisho mwenyekiti wa Waislam anampa mipasho Mazinge kwamba hakutumia muda vizuri anaeleza utumbo. Na Mara ya Pili hakurudi Tena ikabidi mwenyekiti atafite Mwalimu mwingine naye swali likamshinda
Mnakata sauti ya mazinge
Mazinge
Haiko full n maneno ya mazinge yamekatwa ili msifahamu huyo ni professor hashindwi na jibu Al Hajj Usthadh Professor mazinge
Professar wa Majini hana lolote zaidi yakulazimisha nyekundu kuwa kijani ingawa ukweli anaujua.
Atachomwa sana huyu Mzee Mshirikina
Eti Professor 😆😆😆😆😆😆😆😆😆🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kapewa na Nani huo uprofessor au mnapeana kwenye vigenge vyenu?🤣🤣🤣
Mazinge mjanja mjanja tu. Elimu hakuna 😄😄😄😄😄
Huu mjadala mzuri Sana nimeupenda
Majibu bila sauti tutayasikia vp
Jesus is God
Mbn mmetoa sauti😂ukorofi uwwoo
Hakika ni mafundisho ya mhimu Mungu abaliki watu wake
Kweli kakaa kama mchungaji wako kweli hujakosea au Nina wasisi yupo juu zaidi ya askofu wako.
Hata sauti yenyewe mmekata
Alaah barok
So malicious! Wamefunga sauti du!!!!
Biblia Isaka,Quran Ismail.Havitapatana milele msipoteze muda .MWANZO 17:15..........WAGALATIA 4:25......
Amini
Sauti mlinyakua
Naah hamn swaly gumu apo...hamjamuelew ndio shida🙌
No voice
watu wa injili ni watu wa Nabii Issa (yesu )ambae ni mtume wa Mungu..waislamu...
Wallahi ukweli wanauona wanafanya ubishi kwa kichwa
Naona wakristo mnakaza vichwa achen jeuri muaminini Allah
Mmekata sauti nyooo shekh mazinge angewanyoosha
Mazinge hana ubavu wa kuinyoosha Injili.
Maana injili ya Yesu imenyooka kama chuma cha pua
Anyooshe wapi Mada manabii wa kale ni wakristo na Quran imesema jadilianeni na Dini zilizo tangulia ambazo ni waislam na Wakristo sasa anabishana na kitabu chake mwenyewe si Chizi huyo mzee? Jibu ndio au hapana basi sasa yeye anaanza Ukristo sio Dini mara Wasabato sijui nini hapo hakuna blabla jibu kutokana na Quran ilivyo jieleza Kafiri mkubwa Mfuga Majini Mazinge.
Hahaha c kweli tulioiyo tunajua achen uwongo hii channel mwogopeni Allah bhna daah
Wakristo Hawana maswali yakuwashida Waisilam Hatasiku MOJA acheni kupotoa ktk Title
Swali safi hilo
Yesu Cristo ndie mungu kbsa 💯% mungu akijionysha ndani ya mwili
Nyie makaafiri mmeondoa sauti
Sauti wapi anko
Waisilamu lini mtaacha majivuno na kipri ilali ? Odoweki majivuno na kipri mpate kujuwa kweli
Ukweli Gani?
Ww ndo hujui ukwel
Sauti
Always mazinge jembe
Huyooooooo swali kashindwa
Ninyi nyote hamjui maana ya Imani. Imani huwa haina mjadala.
mbona sauti imekatwa ya Mazinge? tutajuaje kama Ustadh Mazinge kashindwa kujibu, Ndugu zetu wakristo acheni ujanja, swali mboga kabisa hilo, Mazinge haezi kushindwa kujibu swali hilo
Mazinge leo amelemewa mpka akapoteza sauti..Tumia sign language please
Sauti imekatwa kusudi tu ili kuendelea kuwadanganya wakiristo wakt dini yao sio ya Kweli kabisa
I think NI Bora binadamu kujifunza kubalance Mambo,ukitaka kulijua Jambo jifunze kutoka kwa wanaolijua jambo lenyewe,ikiwa umejifunza kwa ambaye mwenyewe kafundishwa n'a ambaye hajui n'a wewe kuamini ndio ukweli unajidhulumu,nashauri mkristu akitaka kujua ukweli kuhusu uislamu aende madrasa n'a kama muislamu unataka kuujua ukweli wowote kuhusu ukristo basi n'a uende kwenye mafundisho yao ukajifunze kutoka kwao ili uupate ukweli wenyewe
Be aware of false information is more dangerous than ignorance
nyinyi waislam acheni ubishi mkaokoke mfuate yesu huo ndiyo mipango wa mungu, acha ujanja dini haimpeleki MTU mbinguni.
Kama dini aimpeleki MTU mbinguni, kwanini wewe usie muislam? Mitume na dini ndio njia soma viziru
Maiki imefeli hapo yaonyesha.
KUNAWALI LAKUMSHIDA MAIGE MAZIGE HATAFUTI SWALI MAZIGE ANA JIBU KUTOKANA NA VITABU VYA DINI YAUKWELI SIYO WAKIRISTO KUBABAISHA
Tunapenda kuomba radhi kwa kukatika Mawasiliano katika Video hii. Hii Ni sababu ya kiufundi ambayo haikuwa ndani ya uwezo na Wala siyo kwa Maksudio ya kuficha ujumbe weowote.
Kuna Chanel zingine Tena za Kiislamu zili rekodi mdahalo huu.
Hapa Ni link ya kipande hicho hicho Cha Mazinge kushindwa kujibu swali.
th-cam.com/video/n7cm_rUtQaE/w-d-xo.html
Mazinge ni kujigamba na kujipiga kifua cha kiburi,utakula kiburi chako siku moja,nayo ni ya kiama utasimama mbele yake Yesu huyo mnaye msukuma kwenye ukuta. Uta juta ndugu, chaguo ni lako
Siku mutakapo fumba macho ndio mtajua kwanini mliku mnlipwa mshahara kwasbabu ya uongo nyie mnaojiita wasabato wafuas wa Helen g white, Hakika mmezitia nafsi zenu katika upumbavu,
Sasa mbona Mlikata sauti hiyo ni ishara ya kushindwa tusidanganyane. Tena hapa mmeshindwa kujibu.
Hakuna swali ngumu ambalo muislamu .msomi hawaeziiujibu ila ni aibu kwa wakristo hamna ukweli
Mungu Yuko upande wetu kina la bwana libalikiwe
Ukweli ndivyo ulivyo,huwezi ikalazimisha uongo uwe ni ukweli. Dini ya zamani inajulikana ,
Waislam ni wabishi achana nao
Hizi dini zitawasaidia nn , amini nawambia yeyote asie amini na kukili kuwa yesu kristo ndio njia ya kweli na uzima na kumfuata yeye Kisha aka okoka , hato uona ufalme wa mbinguni.
Dini zilizotangulia zilikua kwa wanaoamini na kuabudu MASANAMU kisha Mungu akatuma manabii waje kuwaonyesha ipi dini ya Mungu ambayo ameridhika nayo
@@mbwanarajab4756 mbona bado mnafuata inshala ya mwezi unapo andama ndipo mnafanya ramazani?? Je kufuata inshala ya mwezi sio kuabudu sanamu??? Je unafahama mtume Muhammad alipovunja sanamu zote pale makha mu na sanamu ya Allah nayo ilikua miongoni ??? Je unajua kabla ya kifo cha Muhammad alisema anaogopa kifo chake ju anajua baada ya kufa kwake wafuasi wake wanaweza kugeuka??
1. Point of correction dini ilio tangulia ni ya wayahudi, na mwanzilishi ni Abraham sasa ni wapi Abraham aliabudu sanamu????? Ya pili ni ukristo na sio ukatoliki.
3. Ukatoliki sio ukristo bali ni upangani , (roman empire in religion) na izo misanamu ni viongozi wa roman empire wakafanya uongo na kujingiza katika ukristo lakini ki ualisia sio bali ni waongo na mashetani
@@blueeyes5952 duu uromani ni upagani hivi maana ya upagani nini?
Mic haisemi lkn wanaongelea kwenye mic ,kujibu swali sasa wamezima kabisa mic ambayo mda wakuuliza na kutaka swali lirudiwe mic ziko vzr ,ujanja huo
Kumbe kuruani inasema inawatambua wakristo hao bana Wanashida
Hapo mbele kwa mazinge mbona sauti jameni hatuski😹😹😹😹😹.....
Sauti mmekata kabisa
Wakristo wamemfungia sauti Mazinge
MNAZIMA MAC ILI MSISIKIE MAPIGO KUTOKA KWA WAISLAM
Nyie Pimbi mmeandika heading mkijua kbs mkitumia jina la Mazinge watazamaji watakuwa wengi na mtapiga hela ya kutisha. Mi nilitaka kushangaa, swali Nyanya Kama Hilo Mazinge ashindwe!!!???
Mbona Mme poteza sauti ama tusipate ukweli ndio maanake subhana Allah
🤣🤣🤣wanashangaxa sana mbona mwatoa saiti kunanyengine pia walisema maxinge atangaxa kubatizwa🤭hawanajipya wataomba sana maxinge ashindwe kujibu swali Allah atakulinda maxinge🙏
Swali.Vipi mungu amuue mwanae wa pekee kwa ajili ya makosa ya shetani, badala ya kumuua shetani?