Alhamdulillah Namshukuru Allah Subhanna Huwataallah Kuzaliwa Ktk Uislam Mungu Hakuzaliwa Hakuzaa Hana Hana Alie Fanana Nae Wala Hana Mshirika Analotaka Liwe Linakuwa Jie Hy Mmeyapata Wapi
amen mungu huwainua watu wake kwa wakat aupendaoo hiv omar kuinuliw na mung ni mapnz ya mung wala s tamaa ya fedhaa achen visingziooo kwamba wakritoo t ndo wanapesaa waislam hawana .usiogp vitishoo huduma ya mungu isong mbeleeee
@@mastaplan ukisto ni dini ya Paul ilianza baada ya yesu kuondoka yesu alipewa injili na biblia ni mkusanyiko wa vitabu hakuna andika wala hakuna nabii aliye pewa biblia
Mungu Hakuzaa Wala Hakuzaliwa Na Wala Hana Mashirika Vipi Mnasema Yesu Mwana Wa Mungu Yesu Atakuja Kuhukumu Uma Jamani Wakristo Mnakufuru Semeni Astaghfirullah
Manabii wote n waislaamu ndiomaana mskiti wa Alaqsa uko Israel,mchungaji unajua kiaarabu,unajipamba na warabu wapo wakristo,ila wayahudi,c wKristo sinagogi n mskiti, mchungaji,chezea Mungu hata Mtume alipigwa na mjomba wake na YESSU aliteswa na pilato,unajifurahisha na lugha,ya kiaarabu,rejea, mtume MUHAMMAD alipigwa na mjomba Wake,kwahio hata warabu wapo makafiri
Viongozi wa dini ya kikrsto nawaombeni Sana msipoteze muda kubishana juu ya Yesu ,kwani Yesu anajitetea mwenyewe kwakuwa matendo yake yakiungu Ni dhahiri, kwahiyo mtu akatae akubari Yesu anabaki kuwa Mungu.
Tumuamini yesu aw wewe uloshiba maharage yesu mwenyewe kasema yeye mtu wewe unamwita mungu ni mungu gani huyo anaye tahiriwa mungu gani aliye kamatwa akasulubiwa mbona makafiri mnashindwa kusoma biblia yenu yenyewe mkaielewa
Tafuteni ufalme wa mungu Acheni kubishana Yesu hakuwa na dini bali alikuja kutufundisha habari njema ya ufalme wa mbinguni Hakufata waislamu wala wakrito alikuja kwa watu wote
Yesu hawezi kuwa na dini maana neno dini kwa lugha ya kiarabu ni njia ya kumuelekea Mwenyezi Mungu sasa Yesu mwenyewe ni njia anawezaje kua na dini John 14:6
1. Sinagogi ni nyumba ya ibada ya Wayahudi 2. Wayahudi si Waislamna hawajawahi kuwa Waislam 3. Yesu si Issa 4. Biblia ni kitabu tofauti na Quran 5. Yesu ndiye Njia, Kweli na Uzima. 6. Amwaminiye Yesu Kristo anaokolewa na kupewa Uzima wa milele. Asiyemwamini Yesu amekwishapotea - (Yohana 3:16-19). 7. Yesu ni Mwana wa Mungu, mwokozi wa ulimwenguni
Ivi itawezekanaje dunia nzima kuwe na dini moja au zehebu moja mungu jamani ni mmoja kila MTU naamuabudu anavyo muabudu,mambo ya midahalo ya kidini hayana maana yoyote jamani hayo mambo yamepitwa na wakati kila MTU akae na dini yake kwa imani Yake.
Haya mambo yana maana sana kwa sababu dini ni muongozo mzima wa maisha yako bila dini hakuna maisha watu watakuwa km wanyama dini inatufundisha kila kitu
Labda utueleze ikiwa Mungu ni mmoja vp dini ziwe nyingi?na suala la midahalo halipingiki maana Mitume yote yalifokisha ujumbe wa Mungu ili watu waokoke na Moto siku ya hesabu(yaani akhera)
Kwani mnapingania nini,hii nikama watoto wa mtu moja Wana mkimbili kila moja anadai kua yeye ndiye mzuri,,mambo mzuri,,wenzangu endelea kwa uzuri ,,amina
Yesu au mungu Hana Dini Bali yesu au mungu Dini yao ni Dini ya watakatifu akimaanisha kua ni mjumuiko WA wa2 wengi wenye kumcha mungu Kwa kuhurumia watu kutenda matendo mama ambayo yanampendeza mungu hio ndio Dini ya mungu
Acheni kushindana Jueni ya kwamba dini haziwezi kupeleka mtu mbinguni Utakatifu pekeake ndio utakaotupeleka mbinguni Bila utakatifu huezi kumuona baba acheni kubishana Mungu anaangalia uhusiano wako na yeye uko vipi
@@aliabdallah8456 wokovu kaka hauletwi na dini Ungekua wokovu unaletwa na dini basi kina abraham wasingeweza kuenda mbinguni kwasababu zamani hakukua na dini bro na watu waliokoka wakaenda mbinguni
@@aliabdallah8456 ukielewa maana ya dini utanielewa Sisemi dini ni mbaya ila haiezi kukupeleka mbinguni kama hujaokoka MUNGU anaangalia moyo wako haangalii dini elewa
Luke 4:29 soma hiyo Walitaka kumtupa chini ili afie huko lkn alipita katikati yao ,na mpaka sasa bado wanamtete ili habari zake zipotee kabisa lkn ushindi ulikuwepo ,upo na utakuwepo...zuia kile ulicho nacho usimpe nafasi shetani akakichukua
Uadilifu ni kumuamini Mungu mmoja asiye na mshirika ambaye hakuzaa wala hakuzaluwa na hakufanana na mtu au kitu chochote na wala hafikwi au kushindwa na jaribio lolote
Amani haiwezi kupatikana bila kumjuwa Mungu WA kweli na hili hata Yesu alilisemea hvii!(NA UZIMA WA MILELE NDIO HUU,WAKUJUWE WEWE MUNGU WA KWELI WA PEKEE NA YESU KRISTO ULIYEMTUMA)sasa hapa kama kuna mtu atasema Yesu ni Mungu huyo itabidi tukampime akili na Uadilifu yatakuwa nao
..Kabla haujajinyonga nenda kwanza kwenye ibada mshilikishe Mungu kwa Maombi then kumbuka kujinyonga au kitendo cha kuua ni dhambi kubwa sana 🔥 unamjua aliekuumba kwanini ujiue au umpoteze binadamu mwenzako wakati unaamini ukimwomba anakupatia..... TOKOMEZA SHETANI USIJIPOTEZE EWE NI SHUJAA WA MUNGU!....BALOZI MIRAJI TZ
Yesu hakuwa na dini Kama angekuwa na dini mngemtii kwakuwa angekuwa dini yenu,Cha ajabu hamtaki hata kumsikia tatizo ninini?Haya muislamu Basi tuamini msalaba.
Dini ya kweli Ni Mungu tu dini nyingine zote zipo kwaajili ya kumchelewesha mtu kumjua Mungu.Viumbe vyote ni kazi ya mikono ya Mungu kwa Mungu hakuna huyu ndugu yangu wala yule siyo ndugu yangu.KwavMungu haku a kafiri hayo yote unayapata kwenye dini na Sheri's zake.Sifa ya dini Ni ubaguzi na kujikweza
@@neemamzande8547 Nyie ndiyo mnaopoteza wenzetu,kwa sababu ukifuatilia huyo mnayemuita nabii Isa ni tofauti na huyu Yesu,kwani hata namna Isa alivyopatikana ni tofauti na Yesu alivyopatikana.Hivyo Isa ni Yesu bandia
Na suala la kuja Kwa Yesu hakuna Muislamu hata mmoja anapinga na kumkataa lkn hatuamini kama munavyoamini nyie kuwa yy ni Mungu au mtoto wa Mungu (yy ni Mtume wa Mungu na ni Mtume Kwa Wana wa Ezraeil)na haya ni maneno yake mwenyewe)Kwa Nagari mbaya Sana Wakristo wanamsemea asilolisema mwenyewe na pia hawafuati mafundisho yake pia
Kwani yy amesema"JITIENI NIRA YANGU,mujifunze kutoka KWANGU,kwani Mimi ni MPOLE na mnyenyekevu wa moyo.Sasa nakuulizeni nyie Wakristo nini maana ya "UNYENYEKEVU?
YOHANA 17:7-9 Imeandikwa; Sasa wamejuwa ya kuwa yote uliyonipa yatoka kwako,Kwa kuwa maneno uliyonipa nimewapa wao,nao wakayapokea,wakajuwa ndiwe uliyenituma" sasa haya ndiyo maneno ya Yesu mwenyewe vp Leo museme Yesu ni Mungu?akili au matope?
Tena angalieni MATHAYO 23:9-10 Imeandikwa: "Wala msimwite mtu Baba duniani,maana Baba yenu ni mmoja wa mbinguni.Wala musiitwe Viongozi,maana kiongozi wenu ni mmoja,Naye ndiye Kristo".kwanini hamuelewi Yesu jmniii?
@@sharifamgumiro-zs4ph usiongee.maneno.ya kasfa.hiyo dini ni.mali ya Mungu.yesu ndie anakufanya.uwepo hata kama.huamini hiyo.guaran.sio.ya dini yenu ni.kitabu cha Mungu.acha.kiburi.Mungu.anawapinga sana.wenye kiburi
@@claraelengabulunda6750 Yohana 6 26 Yesu akawajibu, akasema, Amin, amin, nawaambieni, Ninyi mnanitafuta, si kwa sababu mliona ishara, bali kwa sababu mlikula ile mikate mkashiba Yesu alikujua Zamani km ushashiba mkate
Eti YESU alikua dini gani...waislam mnayachunguza maandiko ili KUBISHANA NA WAKRISTO (UJINGA MTUPU). Hamtaki kujifunza MAANDIKO YA BIBLIA ILI YESU KRISTO AWAOKOE NA JEHANAM YA MOTO
Acha ushabiki soma kama bibilia ishasema sinakogi ni msigiti Sasa wewe nikipi unapinga enda ufute haya mandiko na hilohilo sinagogi ndipo yesu alipo fanya Ibadan zake
Hebu soma Galatia 3+1 halafu usome hiyo hiyo Galatia 6+5 halafu uludi usome yohana 8+21+22 hebu tutumie hata fikika dogo alie laniwa hua atakua vp akifika kwa mungu
Lakini wakilisto mmechanganukiwa kweli na mngekua nyinyi waumini mnajiuliza naswali kama hivi walimu wenu wanadai yesu ni mungu wanaludi Tena Wana SEMA ni mtoto wa mungu huku wanaminu kua ni mtoto wa maliamu ukisoma kitabu chataulati mungu ana SEMA fahamu sasas Mimi mungu nauwa Mimi na wiisha Mimi kama wakilisto mko sawa kiakili je mungu wenu yesu kafa mwenyewe au kauwawa Ili hiyo bibilia iyonekane kweli
Nyie Wenzetu Mkifanya Makosa Mnakwenda Kwa Mshungaji Kuomba Akusamehe Dhambi Ulizofanya Ss Waislam Tukikosea Tunamuomba Mungu Atusameh Hatumuombi Shekh Wala Ustadh Kwa Kuwa Na Yy Ni Binaadam
Mashallah ustadhi mazinge Allah akupe maisha marefu inshallah
Ameen Thummah Ameen
Alhamdulillah Namshukuru Allah Subhanna Huwataallah Kuzaliwa Ktk Uislam Mungu Hakuzaliwa Hakuzaa Hana Hana Alie Fanana Nae Wala Hana Mshirika Analotaka Liwe Linakuwa Jie Hy Mmeyapata Wapi
Tunashukuru kwa majib mazuri mtumishi wa mung
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
I'm
Bwana Yesu Asifiwe❤️❤️🙏🙏
Umepotea ndugu na kama upo hai badilika upo kwenye njia sio sahihi utakuja kujilaumu badae
Munapotea sana😢
Waallahkumu salamu warahamatullah wabaraqatu😊
Yesu ni bwana ukatae usipoaamini ni bwana...
Kwani nani alikuambia yesu mama?
Wewe ninani kama yesuni bwana
Hujaelewa hata firauni aliitwa bwana
Ni nani kondoo aliye tumwa kwa nyumba ya israeli
Ukitaka kunijua basi mimi ni mshambulizi wa bible na quran
Thanks kwa mjadala komavu, hauna hasira ya waislamu
Allah awajaalie kheri na masikilizano mema inshallah
Mungu nimwema sana Christ atukuzwe
Safi sana Mungu wazidishie nguvu sana Watumish waMunguu
amen mungu huwainua watu wake kwa wakat aupendaoo hiv omar kuinuliw na mung ni mapnz ya mung wala s tamaa ya fedhaa achen visingziooo kwamba wakritoo t ndo wanapesaa waislam hawana .usiogp vitishoo huduma ya mungu isong mbeleeee
Wahisiram wenyewe wanamuabubu mutumewao mupangani
Duuuh nashukuru kwa kuzaliwa muislam
Mashehe wetu mungu awazidishie muwape elimu
Maada ni nzuri inatuelimisha❤
Bwana YESU KRISTO asifiwe zihidi tena.
Ukristo ulianzia wapi?
Kwa lipi?
Amen
Tunashukuru sana kwa kutuekimisha huu muadhala ni mzr sana
@@mastaplan ukisto ni dini ya Paul ilianza baada ya yesu kuondoka yesu alipewa injili na biblia ni mkusanyiko wa vitabu hakuna andika wala hakuna nabii aliye pewa biblia
Amina mwenyezi mmungu awaited nguvu.
We yesu sio mungu mnakosea sana wakristo mungu awaongoze muijuwe dini yake kul huwa llahu ahad
Yesu ni Mungu kwa mujibu wa biblia Isaiah 9:6...
@@davidochiengbuoga7165Yani usirudie hi kauli ya yesu ni mungu wewe looooh yesu nabii kama wengine
@@saumbliz8983Mimi nairudia kwa nguvu YESU ni MUNGU.
Akuna mahali dini inatupeleka.mdau,,,waislamu wanaamini dini
Mungu akuzidishie shekhe mazinge
Great teaching
Mungu Hakuzaa Wala Hakuzaliwa Na Wala Hana Mashirika Vipi Mnasema Yesu Mwana Wa Mungu Yesu Atakuja Kuhukumu Uma Jamani Wakristo Mnakufuru Semeni Astaghfirullah
Watumishi wa Mungu hamkupaswa kuyatenda haya
Mungu awabariki watumishi
Allah awazidishie umri masheikh wetu
Mungu wenu hana nguvu twambie muujiza mmoja wa allah
Hao mashehe wanatakiwa waukubali wokovu wa Yesu kristo ndipo umri utakapoongezeka. na wewe umkunali yesu awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako
Mashekh wtu kwa kzi nzuri mnayofanya
Nimeipenda hii imeenda❤
Nyie waislam musijifanye mnamjua sana mungu mtuache na ukristo wetu
Ni jambo la kumshukuru Mungu kuwa Waislamu wanakiri kuwa Yesu kristo ndiye atakayehukumu ulimwengu
Nan kakwambia
Manabii wote n waislaamu ndiomaana mskiti wa Alaqsa uko Israel,mchungaji unajua kiaarabu,unajipamba na warabu wapo wakristo,ila wayahudi,c wKristo sinagogi n mskiti, mchungaji,chezea Mungu hata Mtume alipigwa na mjomba wake na YESSU aliteswa na pilato,unajifurahisha na lugha,ya kiaarabu,rejea, mtume MUHAMMAD alipigwa na mjomba Wake,kwahio hata warabu wapo makafiri
Utaenda kuona uko siku ya hukumu
❤❤❤
Hawa waislamu hawataki kabisa kukubali ukweli
Nashukuru sana jukwaa hili kwa kutufahamisha kila mmoja afahamu kwake
Yesu ni mungu sio wa dini yoyote.akuna watu wa dini wataenda mbinguni
Tuko pamoja 😊...tumfate yesu Christo aliye njia ya kweli.. hatuezi potea
Amina yesu ndo muweza
Viongozi wa dini ya kikrsto nawaombeni Sana msipoteze muda kubishana juu ya Yesu ,kwani Yesu anajitetea mwenyewe kwakuwa matendo yake yakiungu Ni dhahiri, kwahiyo mtu akatae akubari Yesu anabaki kuwa Mungu.
Ndio anajtetea mwenyewe,matendo yake mbona twayaona anae amn aamn asiyetaka asepe
Alikaa tumboni
Duh?kumbe yesu ni mungu inallilah wainallilah rajiun hakika pole yenu
Tumuamini yesu aw wewe uloshiba maharage yesu mwenyewe kasema yeye mtu wewe unamwita mungu ni mungu gani huyo anaye tahiriwa mungu gani aliye kamatwa akasulubiwa mbona makafiri mnashindwa kusoma biblia yenu yenyewe mkaielewa
@@abuuhassani497 through the holy spirit not intimate of sex*
Yesu ndiye njia nakweli amen
Usipo mkubali YESU utajutia maisha yy ndie atakae kuja twamgoja wewe endelea kumpinga utalia badae nakuhakikishia
Kwani yeah ndo MUNGU?
Njoo kwenye ukweli ndugu
Bora useme ndugu, waru sijui moaka wapigwe viboko mi wananikera
Yesu ni muislam
We endelea kumsubiri hivyo hivyo
Safi sana mtumishi yohana nakupendea hapotu ndiooo wakiwa hawaelewi nendeni naakili zao safiii iyo imeenda
Tafuteni ufalme wa mungu
Acheni kubishana
Yesu hakuwa na dini bali alikuja kutufundisha habari njema ya ufalme wa mbinguni
Hakufata waislamu wala wakrito alikuja kwa watu wote
That is true
Sasa kama Yesu haikuwa na dini kwann nyinyi munajinasibisha na dini?
Ww nadhani tayari umeukana Ukristo lkn hutaki kusema ukweli naamini utafahamu si muda mrefu jitahidi kufuatilia vitabu
Yesu hawezi kuwa na dini maana neno dini kwa lugha ya kiarabu ni njia ya kumuelekea Mwenyezi Mungu sasa Yesu mwenyewe ni njia anawezaje kua na dini John 14:6
allah wahifathi na awape mwesho mwema
Allah sio Mungu.
David Siku Hy Ya Qiyama Atasimama Mwenyeez Mungu Peke Yake Mnajidanganya Eti Yesu Ndie Atakae Hukumu Umma Semeni Astaghafi Mnamkosea Sn Mwenyeez Mungu
This is great,,facts and reading fighting,, knowledgeable persons of God.
Mtagombana mpaka lini neno ni moja tu! Mungu anajuwa tu
Gali
@@maulidimagohe1603---'-
Allah awahifadhi waislam wote dunia
Mungu awatie nguvu
Yesu ahitaji kutetewa wala kujadiliwa! Ni mzawa wa kwanza wa Mungu Mwenyezi, ndiye njia, ukweli na uzima. Amen.
you have good intentions of speaking good think ..but grammar is some how incorrect
1. Sinagogi ni nyumba ya ibada ya Wayahudi
2. Wayahudi si Waislamna hawajawahi kuwa Waislam
3. Yesu si Issa
4. Biblia ni kitabu tofauti na Quran
5. Yesu ndiye Njia, Kweli na Uzima.
6. Amwaminiye Yesu Kristo anaokolewa na kupewa Uzima wa milele. Asiyemwamini Yesu amekwishapotea - (Yohana 3:16-19).
7. Yesu ni Mwana wa Mungu, mwokozi wa ulimwenguni
Amen
Ukristo... Rahaa sanaa
Unaraha gani huo ukiristo ni hasara tupu
Jipe moyo
Nyinyi wakristo kwann mumuabudu binaadam mwezenu mutajibu nn mbele ya allah hata musemeje yesu sio mungu waislaam takbiiir
Yesu alikua tangu mwazo wa dunia kuwapo,kuzaliwa na mariam alifanyika mwili ili kutuokoa kutoka kwa dhambi ,
Allaahu Akbar
Ivi itawezekanaje dunia nzima kuwe na dini moja au zehebu moja mungu jamani ni mmoja kila MTU naamuabudu anavyo muabudu,mambo ya midahalo ya kidini hayana maana yoyote jamani hayo mambo yamepitwa na wakati kila MTU akae na dini yake kwa imani
Yake.
Haya mambo yana maana sana kwa sababu dini ni muongozo mzima wa maisha yako bila dini hakuna maisha watu watakuwa km wanyama dini inatufundisha kila kitu
Labda utueleze ikiwa Mungu ni mmoja vp dini ziwe nyingi?na suala la midahalo halipingiki maana Mitume yote yalifokisha ujumbe wa Mungu ili watu waokoke na Moto siku ya hesabu(yaani akhera)
Na hii ni amri yake Mungu na hata Yesu amesema"Lililo fichwa mvunguni litangazeni juu ya paa"
Kwani mnapingania nini,hii nikama watoto wa mtu moja Wana mkimbili kila moja anadai kua yeye ndiye mzuri,,mambo mzuri,,wenzangu endelea kwa uzuri ,,amina
Hebu vunjeni mhazara nendeni hapo hospital ya karibu, muwape chakula na pesa wagonjwa ndio Mungu anataka !
😂😂😂😂😂😂😂😂
Ukweli unauma tulia tuwaambie Ukweli
Yesu au mungu Hana Dini Bali yesu au mungu Dini yao ni Dini ya watakatifu akimaanisha kua ni mjumuiko WA wa2 wengi wenye kumcha mungu Kwa kuhurumia watu kutenda matendo mama ambayo yanampendeza mungu hio ndio Dini ya mungu
Acheni kushindana
Jueni ya kwamba dini haziwezi kupeleka mtu mbinguni
Utakatifu pekeake ndio utakaotupeleka mbinguni
Bila utakatifu huezi kumuona baba acheni kubishana
Mungu anaangalia uhusiano wako na yeye uko vipi
Nyinyi hamuamin kama yesu nimwana wamungu munasema mungu Hana mwana nawahurumia sana
Bila kuwa na DINI inangozaje huwezi kwenda kwa Mungu lazima uwe na DINI na tena hiyo dini hiwe ya kweli na ni ya MUNGU
@@aliabdallah8456 wokovu kaka hauletwi na dini
Ungekua wokovu unaletwa na dini basi kina abraham wasingeweza kuenda mbinguni kwasababu zamani hakukua na dini bro na watu waliokoka wakaenda mbinguni
@@aliabdallah8456 ukielewa maana ya dini utanielewa
Sisemi dini ni mbaya ila haiezi kukupeleka mbinguni kama hujaokoka
MUNGU anaangalia moyo wako haangalii dini elewa
Utakatifu upi bila ya dini?
Mnaobishana wote cjui mnataka kujua na kulazimisha nn yote kwa yote mungu ni moja
Hapa watu hawabishani wanafahamishana kuwa dini ni moja na Mungu ni mmoja Tu!
As'salamualeikum yesu ni muislam .
Kama ni Muislam mbona hamfuati mafundisho yake?..na hakuna mahali ambapo Yesu aliutaja Uislam kwenye injiri yake.. hacheni kuforce mambo
Muslim bas kama alikuwa mhisrama utoporo
Uongo
Mbona nyinyi sio wafuasi wake basi?
Bora ondoleo la dhambi,,jua hivyo,,tupuni mpate ondoleo la dhambi kupitia huyu Isaa ama yesu,huyu ndiye njia,anataka Kila mmja aokoke..
Mnakosea sana Mungu yaan mnachunguza dini ya kikristo ukiwa yenu haichunguzwi Mungu awasamehe sana
Huna uhakika na dini yako ndo maan huna amani unajua pana makubwa yatafichuliwa humo vitabu na ukwel utaonekana
Ukristo sio dini ww😂sema dini yako
Luke 4:29 soma hiyo
Walitaka kumtupa chini ili afie huko lkn alipita katikati yao ,na mpaka sasa bado wanamtete ili habari zake zipotee kabisa lkn ushindi ulikuwepo ,upo na utakuwepo...zuia kile ulicho nacho usimpe nafasi shetani akakichukua
@@abubakarymaulidy5681hata kutokee nini aliye na christo hatafadhaika maana yesu ndo njia....ila ikifika niupande wa dini ni sawa kuelimishana
Kuweni na amani na watu na zaidi utafuteni utakatifu maana bila huo hakuna atakayemwona Mungu.
Uadilifu ni kumuamini Mungu mmoja asiye na mshirika ambaye hakuzaa wala hakuzaluwa na hakufanana na mtu au kitu chochote na wala hafikwi au kushindwa na jaribio lolote
Amani haiwezi kupatikana bila kumjuwa Mungu WA kweli na hili hata Yesu alilisemea hvii!(NA UZIMA WA MILELE NDIO HUU,WAKUJUWE WEWE MUNGU WA KWELI WA PEKEE NA YESU KRISTO ULIYEMTUMA)sasa hapa kama kuna mtu atasema Yesu ni Mungu huyo itabidi tukampime akili na Uadilifu yatakuwa nao
@@AliSalim-yu4mo Mungu alizaa wapi nanyie ata Bible ijaandika Mungu kazaa wewe sema unachuki zako ndani uko utaenda popote
@@AliSalim-yu4mo huku kuzaa kwa Mungu umesoma katika Biblia gani utufahamishe pia???
@@joseprinceofficialKE mm nimesikia Kwa Wakristo wanasema Mungu Baba,Mungu mwana na Mungu roho Mtakatifu,sasa labda unifafanulie hapa nielewe vizuri
..Kabla haujajinyonga nenda kwanza kwenye ibada mshilikishe Mungu kwa Maombi then kumbuka kujinyonga au kitendo cha kuua ni dhambi kubwa sana 🔥 unamjua aliekuumba kwanini ujiue au umpoteze binadamu mwenzako wakati unaamini ukimwomba anakupatia..... TOKOMEZA SHETANI USIJIPOTEZE EWE NI SHUJAA WA MUNGU!....BALOZI MIRAJI TZ
Mubarikiwe nyote mulio wezesha mafundisho haya yatufikie,walimu wakristo ni wasomi,omary umemaliza mada walitaka kumpinga shehe mwenzao 😂
mubarikiwe namungu
Yesu hakuwa na dini Kama angekuwa na dini mngemtii kwakuwa angekuwa dini yenu,Cha ajabu hamtaki hata kumsikia tatizo ninini?Haya muislamu Basi tuamini msalaba.
Yesu tunamtiii kma mtume w mungu kwetu ni nabii isa na sio yesu ila nyinyi mnakwama mnasema yesu ni mungu na sio ivyo mnapotea wenzetu 😢😢😢
Dini ya kweli Ni Mungu tu dini nyingine zote zipo kwaajili ya kumchelewesha mtu kumjua Mungu.Viumbe vyote ni kazi ya mikono ya Mungu kwa Mungu hakuna huyu ndugu yangu wala yule siyo ndugu yangu.KwavMungu haku a kafiri hayo yote unayapata kwenye dini na Sheri's zake.Sifa ya dini Ni ubaguzi na kujikweza
@@neemamzande8547 Nyie ndiyo mnaopoteza wenzetu,kwa sababu ukifuatilia huyo mnayemuita nabii Isa ni tofauti na huyu Yesu,kwani hata namna Isa alivyopatikana ni tofauti na Yesu alivyopatikana.Hivyo Isa ni Yesu bandia
Yesu hakutumia msalaba kaka
Yesu ni Bwana
Tusiwe wabishi manake saa yaja ya Yesu kujitegemea
Ni kweli musiwe wabishi Kwa kumtegemea mtu aliyeshindwa kujiokoa msalabani na kumnungunikia Mungu wake asimuache
Na suala la kuja Kwa Yesu hakuna Muislamu hata mmoja anapinga na kumkataa lkn hatuamini kama munavyoamini nyie kuwa yy ni Mungu au mtoto wa Mungu (yy ni Mtume wa Mungu na ni Mtume Kwa Wana wa Ezraeil)na haya ni maneno yake mwenyewe)Kwa Nagari mbaya Sana Wakristo wanamsemea asilolisema mwenyewe na pia hawafuati mafundisho yake pia
Kwani yy amesema"JITIENI NIRA YANGU,mujifunze kutoka KWANGU,kwani Mimi ni MPOLE na mnyenyekevu wa moyo.Sasa nakuulizeni nyie Wakristo nini maana ya "UNYENYEKEVU?
YOHANA 17:7-9 Imeandikwa; Sasa wamejuwa ya kuwa yote uliyonipa yatoka kwako,Kwa kuwa maneno uliyonipa nimewapa wao,nao wakayapokea,wakajuwa ndiwe uliyenituma" sasa haya ndiyo maneno ya Yesu mwenyewe vp Leo museme Yesu ni Mungu?akili au matope?
Tena angalieni MATHAYO 23:9-10 Imeandikwa: "Wala msimwite mtu Baba duniani,maana Baba yenu ni mmoja wa mbinguni.Wala musiitwe Viongozi,maana kiongozi wenu ni mmoja,Naye ndiye Kristo".kwanini hamuelewi Yesu jmniii?
Yesu ni Bwana wetu.
Ila.mnapo.kwama.waislamu.hamuamin.kuwa.yesu.alikufa.na.kuchukua.dhambi.ya.ulimwengu.hapo
Hamn Kit kama hich acha kujtia uchz ww mlishasema kila mtu atabeba msalaba wakeeee😂😂😂😂😂😂😂mbon yy aliubeba wak mwnyw
@@sharifamgumiro-zs4ph usiongee.maneno.ya kasfa.hiyo dini ni.mali ya Mungu.yesu ndie anakufanya.uwepo hata kama.huamini hiyo.guaran.sio.ya dini yenu ni.kitabu cha Mungu.acha.kiburi.Mungu.anawapinga sana.wenye kiburi
Hiki kinachoendelea hapa ni ubatiri mtupu Manishano ya kipumbavu
Acha kutukana kama huelew unakaa kimya
So vizuri kutukana na hao wanaofanya mdaharo so kuwa hawana hakil
Kazi kwelikweli watu wangu wanspotea kwakuungaunga vijineno vidogovidogo
Mazinge kunasiku utarudi kwenye sabato tu ila sasa endelea kuyambayamba tu nakelele zako.
Utangoja kma yesu alidai atakuja
@@khuzeimaabdul4275 kumbe unajua kua Yesu anarudi vizur.
Mazinge hawezi kurudi kwa yesu kwa sababu kajua ipi njia sahihi ya kumpeleka peponi
Siku zote shetani ananguvu huyo kakubwa na pepo uyo mazinge kulud c lhs pepo ilo hakuna zambi kubwa kama kumkana yesu
Yesu alileta msamaha wa dhabi zetu hakua na ndini ndni zililetwa na shetani.bila msamaha hakuna kumuona Mungu Yesu ndie njia ya uzima
Najivunia kuzaliwa mwislam
😢
Mungu ni wawatu wote angekuwa ni WA ubaguz ange kuwa anaishinso
Kwani mosquée kwa lugha yakifaransa simsikiti ????
Kujua maandiko na kumcha Mungu ni vitu mbili tofauti, enyi wenzangu msiwe walimu wengi maana Kwa njia hiyo mnajiongezea maovu
Hata wao wanajua Yesu ndo atakae rudi kutoa hukumu
Sio.wanajua.yesu ni.wa.watu.wote
Hukumu anatowa mungu siku ya mwisho yesu atarudi kuja kuwakataa makafiri
Umejidangaya sana ndugu Yesu ndiye njiya ya kweli na uzima uwezi fika kwa Mungu bilakupitiya kwa Yesu
@@claraelengabulunda6750 Yohana 6
26 Yesu akawajibu, akasema,
Amin, amin, nawaambieni, Ninyi
mnanitafuta, si kwa sababu mliona
ishara, bali kwa sababu mlikula ile
mikate mkashiba
Yesu alikujua Zamani km ushashiba mkate
Ila kwa ugumu wa mio yao hawawezi kukubali
Allah akbar
Ole wake awapotezae njia
Wana wa Mungu moto wa jehanamu ni wake na wafua si wake
Eti YESU alikua dini gani...waislam mnayachunguza maandiko ili KUBISHANA NA WAKRISTO (UJINGA MTUPU). Hamtaki kujifunza MAANDIKO YA BIBLIA ILI YESU KRISTO AWAOKOE NA JEHANAM YA MOTO
Acha ushabiki soma kama bibilia ishasema sinakogi ni msigiti Sasa wewe nikipi unapinga enda ufute haya mandiko na hilohilo sinagogi ndipo yesu alipo fanya Ibadan zake
@@alufanimuhu12muhudi70 YESU, ALIKUJA KUMWOKOA MWANADAM NA DHAMBI ZAKE NDIO MAANA WALIMSULUBISHA MSALABANI
Kwani nikulize kuua nizambi au
Hebu soma Galatia 3+1 halafu usome hiyo hiyo Galatia 6+5 halafu uludi usome yohana 8+21+22 hebu tutumie hata fikika dogo alie laniwa hua atakua vp akifika kwa mungu
Lakini wakilisto mmechanganukiwa kweli na mngekua nyinyi waumini mnajiuliza naswali kama hivi walimu wenu wanadai yesu ni mungu wanaludi Tena Wana SEMA ni mtoto wa mungu huku wanaminu kua ni mtoto wa maliamu ukisoma kitabu chataulati mungu ana SEMA fahamu sasas Mimi mungu nauwa Mimi na wiisha Mimi kama wakilisto mko sawa kiakili je mungu wenu yesu kafa mwenyewe au kauwawa Ili hiyo bibilia iyonekane kweli
Yesu Kristo asifiwe sana
Sheria ya mfalme kila mtu asipo amini atakwenda jehenam Marko 9:42-47 waislamu wasome neno la mungu vizuri
Mathayo 25:41 kibirit iko tayari Kwa wasio Amini watakwenda jehenam mile namilele,waislamu mtakuwa kama Sodom nangomora
Vraiment intéressant
Yesu hakuja kwa ajili ya dini Jambo la maana sana yeyote atakaye tubu Dhambi abate kuokolewa
Yesu ndo kristo mwenyewe jmn Mungu atusaidie sana
Uislamu ndoo dini ya haki pekeyake
Unajua maana ya dini au unashabikia TU?
Baba Mungu akubariki kwazi munafanya😂😂😂❤❤
Wa sda mnapenda kujidai na dini sana mungu hapagui dini tunafaa kuombeana sisi kwa ss na kupendana
Shida wenzetu wanasema Only Islamic is the true Religion the other Religions are Useless
Sisi zote ni viumbe kutoka kwa mwenyezi mungu, tunastahili kuwa na upedo ule wa kwanza
Kabla ya kuhukumu jiulize kwanza Mungu anahitaj nn kwako ifuate Iman yako
Allah akbaru jalla waalaa
As,Salam alaikum-bwana yesu asifiwe yesu alikua ni mkristo haswaa
Mazinge aja soma , jibu nzuri kwa uyo mutumishi wa Mungu. Vipofu awa jama . Jibu Kali. Sinagogi siyo musikiti haaaaa.
Nyie Wenzetu Mkifanya Makosa Mnakwenda Kwa Mshungaji Kuomba Akusamehe Dhambi Ulizofanya Ss Waislam Tukikosea Tunamuomba Mungu Atusameh Hatumuombi Shekh Wala Ustadh Kwa Kuwa Na Yy Ni Binaadam
Hakuna mchungaji anayesamehee dhambi ila Yesu Kristo ndiyo anatusamehe
Nikweli batumishi bamungi mungu ababaliki yesu nikweli ni mungu tito2:23
Wanao mkana Yesu nawapeni pole
Ameen
Sema waislamu wana umimu niwachache wenye imani moyoni wasio na umimi wanasamini wenzio
Dini wanazo wanadamu Yesu ni mfalume wa wa falume,. Dini ni yameshee na masikofu, na wakuu wa mafarisao na masadukayo
Haw WAISLAMU WANAFIKI MARA TUNAMKUBARI YESU MARA YESU SI CHOCHOTE TOKENIMKAANGAMIE HUKO
Qu an 5:82 inasema wakristo wacha mungu anayesema wakristo makafiri uyo no mchongoma wa msikitini sio muisilam
Kumcha mungu ni chanzo Cha maarifa siio dino yeyeto
Watanzania ni watu wa mfano wa kuigwa kwa Amani bila ya kubaguanakwa dini wala kabila
Congratulation umenifundisha jambo
Eeee hii noma
Jamani mbona mnalumbana mnataka nn ukweli mbona upo wazi Kila Moja amuheshimu mwenzake na mpendane sote tumtumaini mungu
Haturumbani tunasaidiana Kiroho na kuelekezana njia ya Uzima!!! Pole kama umetuelewa vibaya
Yesu ndiye mwenye mamlaka kwa jina lake watu waponywa,mapepo yatoka hata shetani anamuelewa vizur tu😊😊
Yesu alizaliwa Uyahudi, Yeye ni Kristo (Masihi).