Kayus swahili
Kayus swahili
  • 78
  • 1 065 425
MAHAFALI YA WANAFUNZI KIHERE SECONDARY SCHOOL TANGA 2024 @Kayusswahili
Mgeni rasmi katika mahafali Haya ni Sheikh Huzaima Shukran I kwa katibu wa kihere secondary kwa kufanikisha mahafali Haya @Kayusswahili
มุมมอง: 124

วีดีโอ

NASHEED MPYA HAMARI ADHURI KAHANI MUNSHEED HARUB HAJI
มุมมอง 164ปีที่แล้ว
#HARUBHAJI Endelea kubakia nasi @Kayusswahili na kama huja subscribe ni wakati wako sasa ili umbatane nasi kwa mengi mazuri ya dunia yampendezayo ALLAH na ya akhera
Nasheed Mpya 2023 Munsheed Harub Haji
มุมมอง 257ปีที่แล้ว
@Kayusswahili Allah alete kheir ndani ya mwezi mzima Usisahau kusubscribe kulike kushare na kucomment Ahsanteh
Hili ndio Zafa la Shamshul Maarif Jijini Tanga @Kayusswahili
มุมมอง 7552 ปีที่แล้ว
Endelea kuiunga Mkono channel yako pendwa Ili kuendelea kupata faida itakayojenga dunia na Akhera yako @Kayusswahili Uislam Chaguo Langu
TAMTA DAY 2022 JIJINI TANGA
มุมมอง 1.5K2 ปีที่แล้ว
TAMTA DAY 2022 JIJINI TANGA
PROF: MAZINGE MZEE YUSUPH RAIS WA UFIRAUN TANZANIA @Kayusswahili
มุมมอง 2.4K2 ปีที่แล้ว
Usiache ku subscribe kama ndio Kwanza unatembelea channel hii ili usipitwe na video mpya za SHEIKH MAZINGE ahsanteeeh @Kayusswahili
WASOMAJI WA HADITH MADRASAT IRSHAD TANGA
มุมมอง 1083 ปีที่แล้ว
@Kayusswahili
WASHIRIKI WA MASHINDANO YA KUHIFADHI QUR'AN MADRASAT IRSHAD BARABARA 20 TANGA
มุมมอง 2593 ปีที่แล้ว
HII NI @Kayusswahili
WALIOHIFADHI QUR'AN MADRASAT IRSHAD BARABARA 20 TANGA
มุมมอง 873 ปีที่แล้ว
WALIOHIFADHI QUR'AN MADRASAT IRSHAD BARABARA 20 TANGA
WAZURI WETU WALIMU NASHEED MUHARRAM ALLY & HAROUB HAJJ #live #Madrasat_Irshad
มุมมอง 1773 ปีที่แล้ว
Mahafali ya kiislam Yaliombatana na Tahfidhil Qur'an, Hadith pamoja na Nasheed Mbali mbali
WATU WATATU ALIOWATANGAZA ALLAH KUA NA UGOMVI NAO SIKU YA MALIPO @Kayusswahili
มุมมอง 1893 ปีที่แล้ว
huu ndio muda wa kuleta istighfar kabla ya kua na ugomvina alietuumba Kwan hatuna uwezowa kupambananae hata chembe @Kayusswahili
ZAFA MADRASAT ANNUR SWABBAHIYYAH TANGA MJINI
มุมมอง 4543 ปีที่แล้ว
MAADHIMISHO YA KILA MWAKA AHSANTENI WANA SWABBAHIYYAH
Zafa Al madrasat Ayoubiyyah Mnyanjani Tanga
มุมมอง 9893 ปีที่แล้ว
Zafa Al madrasat Ayoubiyyah Mnyanjani Tanga
Naibul Mudir Wa Tamta Akimuelezea Sheik Muhammad bin Ayoub Katika Ufunguzi wa Maulid Mnyanjani
มุมมอง 4033 ปีที่แล้ว
Naibul Mudir Wa Tamta Akimuelezea Sheik Muhammad bin Ayoub Katika Ufunguzi wa Maulid Mnyanjani
Ufunguzi Rasmi wa Maulid Mnyanjani Mudir wa Tamta Ahudhuria ufunguzi huu Naib Mudir Azungumza
มุมมอง 2093 ปีที่แล้ว
Ufunguzi Rasmi wa Maulid Mnyanjani Mudir wa Tamta Ahudhuria ufunguzi huu Naib Mudir Azungumza
SHEIKH ILYAS UBAGUZI SIO KATIKA MAADILI YA UISLAM
มุมมอง 1013 ปีที่แล้ว
SHEIKH ILYAS UBAGUZI SIO KATIKA MAADILI YA UISLAM
DEBATE¦ IPI DINI YA MITUME NA MANABII SHEIKH MBOGO
มุมมอง 4K3 ปีที่แล้ว
DEBATE¦ IPI DINI YA MITUME NA MANABII SHEIKH MBOGO
SWALA YA MAITI PAMOJA SHUHULI NZIMA YA KUMUHIFADHI SHEIKH MUHAMMAD SULEIMAN IBN MBWANA ALLAH AMREHEM
มุมมอง 6K3 ปีที่แล้ว
SWALA YA MAITI PAMOJA SHUHULI NZIMA YA KUMUHIFADHI SHEIKH MUHAMMAD SULEIMAN IBN MBWANA ALLAH AMREHEM
MUFTI WA TANZANIA SHEIKH ZUBEIR AHUTUBIA MAZISHI YA SHEIKH MUHAMMAD SULEIMAN BIN MBWANA JIJI TANGA
มุมมอง 2.4K3 ปีที่แล้ว
MUFTI WA TANZANIA SHEIKH ZUBEIR AHUTUBIA MAZISHI YA SHEIKH MUHAMMAD SULEIMAN BIN MBWANA JIJI TANGA
SHEIKH OTHMAN MAALIM UFUNGUZI WA MASJID AL AQSA
มุมมอง 5553 ปีที่แล้ว
SHEIKH OTHMAN MAALIM UFUNGUZI WA MASJID AL AQSA
SHEIKH MBOGO WAJIBU WASABATO KANISA SI JENGO NI KUSANYIKO
มุมมอง 8K3 ปีที่แล้ว
SHEIKH MBOGO WAJIBU WASABATO KANISA SI JENGO NI KUSANYIKO
PROF:MAZINGE ALIVYOWAGARAGAZA WASABATO TANGA
มุมมอง 43K3 ปีที่แล้ว
PROF:MAZINGE ALIVYOWAGARAGAZA WASABATO TANGA
DEBATE: SABATO NI UOVU ISAYA 1:13 PROF:MAZINGE
มุมมอง 23K3 ปีที่แล้ว
DEBATE: SABATO NI UOVU ISAYA 1:13 PROF:MAZINGE
PROF: MAZINGE TANGA HAKUNA AYA NDANI YA QUR'AN UKIRISTO NI NJIA YA HAKI
มุมมอง 286K3 ปีที่แล้ว
PROF: MAZINGE TANGA HAKUNA AYA NDANI YA QUR'AN UKIRISTO NI NJIA YA HAKI
UBATIZO WA SHEIKH MAZINGE BAADA YA KUPATA ANDIKO KUA UKRISTO NI NJIA YA HAKI
มุมมอง 398K3 ปีที่แล้ว
UBATIZO WA SHEIKH MAZINGE BAADA YA KUPATA ANDIKO KUA UKRISTO NI NJIA YA HAKI
NDACHA AJIBIWA NA PROF. MAZINGE NA HAIWI KWA MUNGU KUWA NA MTOTO
มุมมอง 4.4K3 ปีที่แล้ว
NDACHA AJIBIWA NA PROF. MAZINGE NA HAIWI KWA MUNGU KUWA NA MTOTO
DEBATE | Sheikh Mazinge Jibu Yesu ni Mungu au ni mwana wa Mungu
มุมมอง 99K3 ปีที่แล้ว
DEBATE | Sheikh Mazinge Jibu Yesu ni Mungu au ni mwana wa Mungu
Historia ya Maisha Sheikh Alban(R.A)
มุมมอง 12K3 ปีที่แล้ว
Historia ya Maisha Sheikh Alban(R.A)
Aina nne za ndoa na Wanandoa ndani ya Qur'an
มุมมอง 883 ปีที่แล้ว
Aina nne za ndoa na Wanandoa ndani ya Qur'an
HISTORIA YA MAISHA YA MWANAZUONI IBN TAIMIYYAH KWA UFUPI
มุมมอง 4.8K3 ปีที่แล้ว
HISTORIA YA MAISHA YA MWANAZUONI IBN TAIMIYYAH KWA UFUPI

ความคิดเห็น

  • @esmailomar9062
    @esmailomar9062 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sheikh mazinge huyu mpaka asilimu

  • @AminaIbrahim-qh2gn
    @AminaIbrahim-qh2gn 2 วันที่ผ่านมา

    Shukran Yaa ustadh

  • @SalamaSalama-tu1oe
    @SalamaSalama-tu1oe 4 วันที่ผ่านมา

    Allah AQbar

  • @isaacbig-l8b
    @isaacbig-l8b 7 วันที่ผ่านมา

    Waislamu wote tukubari tu kubatizwa hatuna hoja kabsa ktk Quran

  • @AbisalumahmedAbisalumahmed
    @AbisalumahmedAbisalumahmed 8 วันที่ผ่านมา

    Ma sha Allah,,,,ALLAH AKULINDE MAZINGE

  • @DAVIDMUGINGI23
    @DAVIDMUGINGI23 19 วันที่ผ่านมา

    Bwana Yesu ndie kapewa madaraka yote ya kuokowa, kila mwenye ku muamini yeye Bwana Yesu anapata ku okoka na kusamehewa na dhambi zake zote. Jina la bwana Yesu libarikiwe. na nyote mubarikiwe.

  • @athmaniathmanisimba4976
    @athmaniathmanisimba4976 20 วันที่ผ่านมา

    jamani tumpende mtume

  • @Dausiahussein
    @Dausiahussein 24 วันที่ผ่านมา

    Naomba jina la muimbaji wa Qaswida hii

  • @NajmaKhamis-g9l
    @NajmaKhamis-g9l 25 วันที่ผ่านมา

    Nimeitafuta sana

  • @JacklinPatrick
    @JacklinPatrick 28 วันที่ผ่านมา

    Ukristo oyeee

  • @michaelelia7058
    @michaelelia7058 หลายเดือนก่อน

    Mazinge ukweli kabisa ana ujua sema tuuu ni ubishi tuuu ukweli kabisa anae ujua

  • @michaelelia7058
    @michaelelia7058 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee ni ubishi tuu ukweli kabisa yes ndio njia bana??

  • @HasaniRashidi-s5k
    @HasaniRashidi-s5k หลายเดือนก่อน

    Wer

  • @Khadija-k6o
    @Khadija-k6o หลายเดือนก่อน

    Masha allah allah akujaalie umri mrefu sheikh wetu uendelee kuwafundisha hao nduguzetu wajue hakuna mola anaepaswa kuabudiwa kwa haki ila allah pekee

  • @DkhanDofficial
    @DkhanDofficial หลายเดือนก่อน

    🎉

  • @FATIHIALUKINDO-w3j
    @FATIHIALUKINDO-w3j หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @jeanmazambi1340
    @jeanmazambi1340 หลายเดือนก่อน

    Tunaona Mazinge anangeuza Mada kwa nini?

  • @SanziNzige
    @SanziNzige หลายเดือนก่อน

    Huyu MTU amejaa majini na majini NI mabishi mno Tena hutunga uongo uninga

  • @Oseetamuwite
    @Oseetamuwite หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana mchungaji. Nathamani ni jifunze kama wewe

  • @KhalifaMaganza
    @KhalifaMaganza หลายเดือนก่อน

    Allah waongoze wakiristo

  • @KhalifaMaganza
    @KhalifaMaganza หลายเดือนก่อน

    Ndacha mbishi kama

  • @KhalifaMaganza
    @KhalifaMaganza หลายเดือนก่อน

    😮mazinge ulamaa wa

  • @AshuraKiduba
    @AshuraKiduba หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢

  • @Catherine-s4x
    @Catherine-s4x 2 หลายเดือนก่อน

    Allah amuwekeye wepesi mazinge anabaweza kweri kweri

  • @AgripaMwangobola-z7r
    @AgripaMwangobola-z7r 2 หลายเดือนก่อน

    Ndasha amekushinda umeamia kwa wasabato

  • @SheinYahaya
    @SheinYahaya 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi kwa kwel sijawahi kuona kwenye midahalo yooooote waislamu tumeshindwa na kuritadi Bali tumewasilimisha sana ndugu zetu kwenye midahalo mengi sana karibu kwenye dini ya haki inayoheshimika hapa dunia na akhera🫴🤝

    • @chrispineacademicus5784
      @chrispineacademicus5784 21 วันที่ผ่านมา

      Waislam hamnaga hoja,au basi hamuelewi ,na kiukweli Adui kawapofusha kabisa njia ya kweli,Yesu halisi anakufanya unakuwa mtakatifu na mkamilifu,Allah hawezi,wala Muhammad. Shauri yako.

  • @sawtsalaf
    @sawtsalaf 2 หลายเดือนก่อน

    Je anayoyapinga katika masuala ya kibida'a nyie mnakubaliana naye? Mnamtukuza mtu na bado hamumfati..!!

  • @EchaIssa-w7e
    @EchaIssa-w7e 2 หลายเดือนก่อน

    S

  • @cristinajeremiah2450
    @cristinajeremiah2450 2 หลายเดือนก่อน

    Hakuna mashindano kwenye neno la Mungu

  • @Rashidi-zt9wj
    @Rashidi-zt9wj 3 หลายเดือนก่อน

    Ndacha ana pwent na ajawahi kujibu swali tokea nianze kufatilia mihadhara uwa analopoka tu uyo ndacha na sidhani kama aliwahi kwenda hata shule

  • @ZabronMagufwa
    @ZabronMagufwa 3 หลายเดือนก่อน

    Jihadhalini shetani amejificha sana na bila Biblia ni vigumu kumtambua.nawapa njia rahisi ya kumtambua nabii wa uongo,,,atawageuza watu kutoka kweny amri za Mungu. Ijumaa sio sabato

  • @PeterBoru-sq3ve
    @PeterBoru-sq3ve 3 หลายเดือนก่อน

    Mwalim ndacha hapo sawa

  • @yohanekitenge
    @yohanekitenge 3 หลายเดือนก่อน

    jambo ninyi hote wapendwa

  • @SalminiMaulidi-o1r
    @SalminiMaulidi-o1r 4 หลายเดือนก่อน

    Akuna mbadala wamazinge

  • @SaniaWaziri
    @SaniaWaziri 4 หลายเดือนก่อน

    Allah akumpe umri mrefu shekhe wetu uzidi kuwazindua maana ni mtihani sana

  • @Abijawa-d6c
    @Abijawa-d6c 4 หลายเดือนก่อน

    Yarabii tujaaliye mwisho mwema umma wake mohammad

  • @WardaHassani-w2t
    @WardaHassani-w2t 4 หลายเดือนก่อน

    Nzuri sana hii❤❤❤ naipenda tangu udogo wangu

  • @SafariHakizamana
    @SafariHakizamana 4 หลายเดือนก่อน

    Asante mutumishi wamungu ndacha 6:14 a

  • @selemanendemangandemanga
    @selemanendemangandemanga 4 หลายเดือนก่อน

    Big up PROFESSOR Mazinge.

  • @jumaali1390
    @jumaali1390 4 หลายเดือนก่อน

    Mkarafuu wa pemba ❤

  • @hassanounAbdul
    @hassanounAbdul 5 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah alhabib Ust.prof Othman Mazinge Allah akulipe kwa Kila utoapo na uvutapo pumzi yake ❤

  • @suleimandaudsuleiman
    @suleimandaudsuleiman 5 หลายเดือนก่อน

    Allah amrehemu, mwanachuoni mkubwa wa hadithi za mtume swala llahu alayhi wasalam.

  • @TwalibHusseinteni-qz8tb
    @TwalibHusseinteni-qz8tb 5 หลายเดือนก่อน

    Hatuachi qaswida mapka kiyama na maulidi

  • @NabiiJoshua-j4r
    @NabiiJoshua-j4r 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubari sana akupandishe viwango vwajuu sana

  • @mohamedisimai
    @mohamedisimai 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu yesu anabebeahwa mambo mingi sana

  • @NadhiraNa-vm5hs
    @NadhiraNa-vm5hs 6 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah mazinge Allah akujaalie uhai mrefu wenye manufaa kwetu nakwako pia

  • @suedahmadi9091
    @suedahmadi9091 6 หลายเดือนก่อน

    Iko njia ionekanayo njema machoni pa mtu lakini mwisho wake ni njia za mauti

  • @DevidiibrahimMoses
    @DevidiibrahimMoses 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu atubariki sote tunaomkubari

  • @ommytoza6971
    @ommytoza6971 6 หลายเดือนก่อน

    Allah amlipe pepo kwa wingi wa jitihada zake ktk dini na amsamehe pale alipokosea Amiin Yarrab

  • @RamadhaniSenga-m5y
    @RamadhaniSenga-m5y 6 หลายเดือนก่อน

    Allah amrem mwamba wa miamba