SAUDI ARABIA WATU KUCHEZA MZIKI UCHI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 53

  • @jumaswalehe5085
    @jumaswalehe5085 หลายเดือนก่อน +3

    Innalilahi wainnahilah rajuun!!!! Allah tusamehee makosa ytu na tupe mwisho mwema!!!

  • @NuruJuma-zv3yz
    @NuruJuma-zv3yz หลายเดือนก่อน +4

    Bwana yesu Alisema, utakopoliona chukizo la uharibifu limesimama pahali patakatifu aneyesoma na afahamu, 🤲

  • @abdulazizjeizan-vx1mc
    @abdulazizjeizan-vx1mc หลายเดือนก่อน +1

    Inaaa lillaahi wainnaa ilayhi rajiuuuna wallahi wabillahi watallahi ni jambo la kusikitisha sana na kuhuzunisha sana na kukera sana na kuudhi sana

  • @abdallahlugongo4738
    @abdallahlugongo4738 หลายเดือนก่อน +2

    MWAIPOPO MANENO YOTE UNAYOONGEAA, NI KWELI TUPU

  • @MiishHassan-qm1et
    @MiishHassan-qm1et หลายเดือนก่อน

    Ndio majanga hayaishi kila kukicha matukio mara ukatili wa kijinsi mara watu kuuwawa mara vita yani kiujumla pameharibika laan ishaingia dunian kwasababu watu wameacha misingi na sheria za dini zinavyotaka wanafuat matamanio yao,,,mi hat najiulizag kwan huyo muhammad bin Salman hajasoma dini akajua inasemaje inshort Dunia imeisha tusubir tu kiama😢

  • @AminaKimbunga
    @AminaKimbunga หลายเดือนก่อน +2

    Shekhe Mwaipopo ungeongea kwa kiarabu ili warabu wa saudia Arabia wakusikie na kukuelewa

    • @kijitamfyomi5598
      @kijitamfyomi5598 หลายเดือนก่อน +1

      We dada acha kumkebehi sheikh Mwaipopo yani unajua hajui kiarabu halafu unamwambie aongee kiarabu

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅

    • @Tupena-ov7xq
      @Tupena-ov7xq หลายเดือนก่อน

      Anajua kusalimia kwa kiarabu tuu. 😅. Huyu kazi yake ni kuongelea ukristo tuu hata kutoa mawaidha ya quran hawezi. Jicho lake lipo kwa wakatoliki tuu😅

  • @msambalamjukuu3866
    @msambalamjukuu3866 หลายเดือนก่อน

    Achaa uwongoo MUNGU ana dini zungumzia

    • @evvyyurek1862
      @evvyyurek1862 หลายเดือนก่อน

      Kwani wao watakatifu

    • @evvyyurek1862
      @evvyyurek1862 หลายเดือนก่อน

      Mchamungu anakosea nabiu adam alikosea sisi ni nani kwenye dunia

    • @evvyyurek1862
      @evvyyurek1862 หลายเดือนก่อน

      Akuna mkamilifu sote tunamapungufu

    • @HakimuRamadhani
      @HakimuRamadhani หลายเดือนก่อน

      Hiii ni nchi tunayoiangalia waislamu

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa hiyo sheikh Mwaipopo unatangaza rasmi vita na bakwata sasa maana wao ndio viongozi wa waislamu hapa tanzanian

    • @Hamisahemedi-h2q
      @Hamisahemedi-h2q หลายเดือนก่อน

      Sasa ww huu ni unafki unaleta hapa vita Gani anaitangaza wakati mtu anasema ukweli ww akili zako ni kama hao viongozi wa bakwata

  • @RayaOmary-s5n
    @RayaOmary-s5n หลายเดือนก่อน

    Mbona munamwita mungu wakati hapo unasema ni mtume kila mtu amini anachokiamini

  • @DesderiusHaule
    @DesderiusHaule หลายเดือนก่อน

    Waislamu wa Tanzania wapowapo sio wa nguvu kama wale wa nchi za kiislamu kama alivyokuwa nasema ustaadhi ilunga Hassan kapungu.

  • @richardkunambi9400
    @richardkunambi9400 หลายเดือนก่อน

    Kn vant

  • @evvyyurek1862
    @evvyyurek1862 หลายเดือนก่อน

    Nch zote za kiarabu masia yapo

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 หลายเดือนก่อน

    Hapo kwa ujinga tunaomgoza

  • @AlbertSabo-hp3ss
    @AlbertSabo-hp3ss หลายเดือนก่อน

    Waislamu hawauwi dini ni Kitabu ndio kinauwa.

  • @MathayoCharles-z2u
    @MathayoCharles-z2u หลายเดือนก่อน +1

    Amewapata wa kuwadanganya ipo ivi makabulin akuna uhai wewe😅 unangoja ukum siku ya kiama usidangaje

    • @salimharrasy7047
      @salimharrasy7047 หลายเดือนก่อน

      Uhai wa kiroho upo kaburini.

  • @SinaHafidhi
    @SinaHafidhi หลายเดือนก่อน

    Siyo kolokoloni tu
    Unanyongwa

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh Mwaipopo kaburini hakuna uhai usidanganye watu

    • @NuruJuma-zv3yz
      @NuruJuma-zv3yz หลายเดือนก่อน

      Sasa we fyatu sikiliza hazungumzii kulingana na imani yako, kwa imani ya kiislamu maisha ya barzakh yako kaburini,,, kenge wewe

    • @selemankishema5780
      @selemankishema5780 หลายเดือนก่อน +1

      Subiri ufumbe macho utaona kama hakuna uhai we ngoja kidogo tu

    • @salimharrasy7047
      @salimharrasy7047 หลายเดือนก่อน +2

      Kaburini uhai wa kiroho upo ila mwili tu ndio hautokuwepo.
      Kama husadiki endelea kufanya ukaidi.

    • @omaryntagala3740
      @omaryntagala3740 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu ni kenge kweli kwa maana mwili ndo unakufa sio roho

    • @selemankishema5780
      @selemankishema5780 หลายเดือนก่อน +1

      @omaryntagala3740 hebu eleweni jambo naona hamuelewi akifa mtu roho inatolewa na baadae inarudishwa kwenye mwili wake na kuulizwa akiwa mzima

  • @Tupena-ov7xq
    @Tupena-ov7xq หลายเดือนก่อน

    You look tired kaka Mwaipopo, huoni ni wakati wa kupumzike na uanze kuinjoy life, hii vita unayopambana nayo ni kubwa huiwezi. Really something is seriously wrong with you

  • @Tupena-ov7xq
    @Tupena-ov7xq หลายเดือนก่อน

    Mwaipopo unasema mbinguni kuna wanawake wazuri na wapo dk28, Hembu thibitisha hayo maneno yako kama kweli hayo unayoyasems yapo au umeaminishwa tuu. Dini zote zimeletwa acha kushabikia tamaduni za watu. Tafuta unyakyusani mlikua mliamini nini ndio ukipigie debe. Hizi dini ukristo na uislam ni za wageni. Waarabu wanakucheka kwa kuushabikia utamaduni wao.

    • @jamalkishangu
      @jamalkishangu หลายเดือนก่อน

      Sheikh mwaipopoo yupo sahihi, anafundisha sawa na ntazamo wa kiislamu.

  • @djumakonki1964
    @djumakonki1964 หลายเดือนก่อน

    Shekhe mwaipopo naomba radhi kwako kwa haya nitakayosema..
    kwanza uwezi kuwafananisha na waislamu wa nchi ulizozitaja.
    waislamu ndiyo waliopigania uhuru wa tanganyika , historia ndiyo msema kweli.
    kwa hiyo waislamu siyo watu wa ajabu! wao ndiyo wangekuwa na chuo kikuu cha kwanza kabisa tanganyika lakini wakadhulumiwa historia iko wazi.
    sasa kwa taarifa yako waislamu wanaangalia yanayoendelea na hawana sababu ya kupapamia hayo unayoyaita Maendeleo ya watu wa dini nyingine.
    inavyoonekane huijui historia yetu na wazee wetu walichokifanya katika inchi hii.
    siwezi kukulaumu sana kwa sababu wewe ni mgeni kwenye dini yetu.
    kwa hiyo endelea kujifunza uislam na ukiujua vizuri utawaelewa waislamu watanzania ni watu wa aina gani.
    KUWAFANANISHA WAISLAMU NA WAISLAMU WA KENYA HUWATENDEI HAKI WAISLAMU WA TANZANIA.
    AKSANTE.

    • @swalehejuma6611
      @swalehejuma6611 หลายเดือนก่อน +1

      kama walipigania uhuru ndo wafanye ujinga baada ya uhuru?! , halafu huo ugeni katika uislaam ni upi?! Mtu anasilimu jana tayari huyo ni muislaam ugeni upi sasa?! nyumbani kwako?! Hivi hao maswahaba walioingia katika dini nao walikuwa wageni?! Uelewa point yake na siyo ugeni hakuna ugeni baada ya Laailaha illa Allah

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 หลายเดือนก่อน

    eti elimu na akili na hekma kumbe wanalinda ladha ya dunia yao kwa gharama za kudhofisha dini wakati wakijua bwa mtume alipigana jihad kwani yeye hakujua faida ya amani?

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 หลายเดือนก่อน

    MWAIPOPO muwongo kama ibilisi!!hizo ptopaganda za MASHIA eti saudia arabia watu wanafanya maasia tena maasia ya uchafu kama zinaa na kucheza MIZIKI uchi!!
    Uwongo,muwongo!!nenda huko ukajaribu tuone kama utarudi hapa!!
    l

    • @Mohamedi.12
      @Mohamedi.12 หลายเดือนก่อน +1

      acha ubishi wewe ,andika JENNIFER LOPEZ ,SAUDIA ARABIA,utaletewa hapo ,upo wapi ndugu yangu

  • @Jesusalmasihi4193
    @Jesusalmasihi4193 หลายเดือนก่อน

    Mbona mudi alikuwa mbakaji😂

    • @khambhai360
      @khambhai360 26 วันที่ผ่านมา

      Alikubaka au alimbaka mama yako?

    • @Jesusalmasihi4193
      @Jesusalmasihi4193 26 วันที่ผ่านมา

      @khambhai360 😂😂Ndio pepo ya waislamu itakavyokuwa, wabakaji mfano mudi kwa Aisha mtoto wa miaka 6 na wewe mtukanaji wote sehemu yenu ni JEHANAM
      Dini ya majini na wabakaji ni Uislamu.

    • @khambhai360
      @khambhai360 26 วันที่ผ่านมา

      @@Jesusalmasihi4193 Dini ya ukafiri,mashoga ni ukristo.

    • @Jesusalmasihi4193
      @Jesusalmasihi4193 26 วันที่ผ่านมา

      @@khambhai360 Wanaongoza waarabu Kwa ushoga. Hii Ina maana waislamu ndio wengi mashoga, wakristo waliwaanzishia waarabu, waarabu wakaparamia, wazungu noma😭

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v หลายเดือนก่อน +2

    Hkn mtume Bora zaid ya yesu ht mapepo yanajua na mwaipopo najua unajua hlo sem upo ktk kutafut tonge ila Simba wa kabila la yuda yesu ndie njia ya kwnda mbingun ukubal ukatae

    • @selemanichambo2944
      @selemanichambo2944 หลายเดือนก่อน +1

      Mitume wote wa Mwenyezi Mungu ni bora kwasababu yale waliyoyafundisha sI kwa akili zao ila ni maagizo ya Mwenyezi Mungu. Hata nabii ISSA alifanya hayo kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu

    • @NuruJuma-zv3yz
      @NuruJuma-zv3yz หลายเดือนก่อน +1

      Simba Wa yuda aliekamatwa na kufa kifo cha laana, simba huyu alishidwa hatakujiokoa, anaweza muokoa Nani huyu, simba kiwete

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji หลายเดือนก่อน

      MGALA uko Karibu sana YESU NI MTUME SIO MUNGU